Barikiwa sana professor Janabi kwa Taaluma yako kwa wananchi. Ushauri wako ni Elimu kubwa kwa yeyote anaepata bahati ya kukusikiliza, Naomba uongozi ukupe muda wewe na team yako muwe na kongamano la kutembelea maeneo mengine nje ya muhimbili hospital kutoa elimu ya mazingira ya afya yetu kwa jamii.
Dr.asante sana ,elimu hii wasabato wanaifundisha na vitabu vyao vya ELLEN WHITE vinaelezea , yunapokuwa tunaelimisha watu wanatubeza.sasa waeleze waokoke kiafya
@@gracekagoma3231 jiulize material anayatoa wapi, msikilize dr berg, Dr fung, Dr aukberg hawa ni madokta wana billion viewers wanaongea anavyo ongea huyu dr, ila wao Pesa ziliingia kwenye chama zitakua na mlolongo mrefu kutoka, dada ruge alisema ataziwasilisha kwa walengwa, labda niulize na dada ruge alitumia account ya chama? na research, sasa sijui ni nani anamkopi mwenzake
Pro janab we ni mchawi kwelii😅 maana kitambo nilipoanza tu kukufatilia kila nikitaka kununua chips ghafra naiona sura yako kwenye kikabat cha muuza chips 😂😂 nami naghair kununua ,na nikitaka kununua soda hivyo hivyo unatokea ghafra kama jini, hadi nimeacha vyote.
Mimi huwa naangalia kwanza namna vyakula vinavyoandaliwa. Angalia hayo mafuta, chips na kuku wanaowekwa humo kisha jiangalie wewe kama inakufaa kutumia hivyo vyakula. Aidha, bado hata huku majumbani elimu ya uandaaji chakula chetu haichukuliwi kwa uzito mkubwa. Bado wanafanilia ni wabishi, hawajitambui hawasikii hizi mbiu kiasi kusababisha kuhatarisha afya zetu sisi tunaosubiri kuhudumiwa nao tukiwa sebureni
Safi sanaaa. Kimsingi watu tunakufa polepole. Kifo chenyewe huwa ni kituo kikuu. ( Full stop) ukiachilia ajali za barabarani ambazo wakati mwingine huchochewa na abiria kwa kumchohea dereva aongeze mwendo. Hakika tunatakiwa kulipia consultancy services fee ila basi tu hiyo sadaka tulujalia Allah akuandalie pepo ya Firdaus Inshallah! L
Kuna watu watamuona huyu Professor ni mjinga ila ukweli ni kwamba hizo information anazotoa huku nchi za nje watu wanalipia kuzipata. Sasa hivi utaona hazikusaidii ila subiri ukishaumwa ndipo utazitafuta na itakuwa too late
Bonny mshukuru Mungu wako kilichotokea hapo umekubali kupokea maelekezo kwa kujiheshimu maelekezo ya Dr Janabi. NAMI nikupe hongera kaza mwendo unaounguza BAJETI ya matibabu hapo baadae
Hongera Dr. Janabi elimu ya bure lakini bonge la uokaji wa gharama za misha.pia vifo visivyo na sababu.Maadiko nayo yanasema watu wake wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
jiulize material anayatoa wapi, msikilize dr berg, Dr fung, Dr aukberg hawa ni madokta wana billion viewers wanaongea anavyo ongea huyu dr, ila wao Pesa ziliingia kwenye chama zitakua na mlolongo mrefu kutoka, dada ruge alisema ataziwasilisha kwa walengwa, labda niulize na dada ruge alitumia account ya chama? na research, sasa sijui ni nani anamkopi mwenzake
Umewaza kama mim ivi kwann watu wasifatilie afya zao wako busy na mamb yasiyo na maan...unajua hata kila ki2 binadamu anachofnya iwe kaz na shughuli zngne ni kutokana na afya nzur ,Anyway nilichogundua watu wengi wanafatilia mamb meng ya kidunia ambay hayana msingi mkubw ni upotezaji wa muda tu....Mungu akubariki Prof. Janabi kw hii shule.
Huyu dr anapata material na kuyatafsiri kutoka kwa dr berg dr fung, na dr aukbeg wote hawa wa marekani. Nendeni youtube mnaona video zote zinazo husu mwili na vyakula
Umesahau kama huyu ni Proffessor ? Si mtu wa wa kawaida kama wewe na mimi.Ni msomi kuliko hata huyo unayomtaja.Tatizo ni Mswahili kutoka Tanzania ndiyo maana unamdharau.
Itoshe kusema Asante Kwa somo zuri la afya Prof Mohammed Janab Mungu akutunze
Shukran sana Prof. Jamii inanufaika sana kwa elimu unayoitoa, Allah akuhifadhi
Mimi nimeanza kufatilia prof J anachosema kwaio ili nisisahau kila siku haipiti bila kusikiliza ili nitengeneze afya yangu Mungu akuweke
Barikiwa sana professor Janabi kwa Taaluma yako kwa wananchi. Ushauri wako ni Elimu kubwa kwa yeyote anaepata bahati ya kukusikiliza, Naomba uongozi ukupe muda wewe na team yako muwe na kongamano la kutembelea maeneo mengine nje ya muhimbili hospital kutoa elimu ya mazingira ya afya yetu kwa jamii.
Good teachings Thank you very much Profesa Janabi
Mungu akubariki Prof. Janabi you are my role model, Mungu akuzidishie umri uendelee kutupa elimu juu ya afya
Abarikiwe sana
You are very right Prof Janabi be blessed for sharing and caring
Dr.asante sana ,elimu hii wasabato wanaifundisha na vitabu vyao vya ELLEN WHITE vinaelezea , yunapokuwa tunaelimisha watu wanatubeza.sasa waeleze waokoke kiafya
Professor anasema ukweli kabisa Tz tunabahati ya kuwa na Dr kama huyu.chini na siyo mzungu kama tulivyozoea😮.Tumushukuru Mungu🎉🎉
@@gracekagoma3231 jiulize material anayatoa wapi, msikilize dr berg, Dr fung, Dr aukberg hawa ni madokta wana billion viewers wanaongea anavyo ongea huyu dr, ila wao Pesa ziliingia kwenye chama zitakua na mlolongo mrefu kutoka, dada ruge alisema ataziwasilisha kwa walengwa, labda niulize na dada ruge alitumia account ya chama? na research, sasa sijui ni nani anamkopi mwenzake
Honest professor we need more of such professor to interact with communities
Hongera sana professor Janabi.
UBARIKIWE🎉🎉❤
Asante Sana pro Janabi, ninakufuatilia Sana. Niombee pia nisile ovyo.
Be blessed Prof. Janabi.
Pro janab we ni mchawi kwelii😅 maana kitambo nilipoanza tu kukufatilia kila nikitaka kununua chips ghafra naiona sura yako kwenye kikabat cha muuza chips 😂😂 nami naghair kununua ,na nikitaka kununua soda hivyo hivyo unatokea ghafra kama jini, hadi nimeacha vyote.
😂😂
😅😅😅😅😅
Unakula shamba la machungwa😂😂😂
Mimi huwa naangalia kwanza namna vyakula vinavyoandaliwa. Angalia hayo mafuta, chips na kuku wanaowekwa humo kisha jiangalie wewe kama inakufaa kutumia hivyo vyakula.
Aidha, bado hata huku majumbani elimu ya uandaaji chakula chetu haichukuliwi kwa uzito mkubwa. Bado wanafanilia ni wabishi, hawajitambui hawasikii hizi mbiu kiasi kusababisha kuhatarisha afya zetu sisi tunaosubiri kuhudumiwa nao tukiwa sebureni
😂😂
Hongera sana kwakutuelimisha
Thanx prof
Thank you Prof
Allah akubarik Prof
Safi sanaaa. Kimsingi watu tunakufa polepole. Kifo chenyewe huwa ni kituo kikuu. ( Full stop) ukiachilia ajali za barabarani ambazo wakati mwingine huchochewa na abiria kwa kumchohea dereva aongeze mwendo.
Hakika tunatakiwa kulipia consultancy services fee ila basi tu hiyo sadaka tulujalia
Allah akuandalie pepo ya Firdaus Inshallah!
L
Amiiyiin
Hakika Professor wewe ni hazina katika Taifa hili, Mungu akupe Maisha marefu , siku Moja natamani kuonana na wewe ana Kwa ana
Sababu ya magonjwa mengi yanasababisha kuacha utaratibu wa mafundisho ya uislam kwa sababu mtume Muhammad ametuwekea utaratibu mzur wa kula
Kuna watu watamuona huyu Professor ni mjinga ila ukweli ni kwamba hizo information anazotoa huku nchi za nje watu wanalipia kuzipata. Sasa hivi utaona hazikusaidii ila subiri ukishaumwa ndipo utazitafuta na itakuwa too late
Asante sana prof kwa elinu murua.
Hongera Sana prf Janabi. Tupo PAMOJA Sana.
Prof. Janabi mungu azid kukuweka wewe ni mfano wa kuigwa
Prof. Janabi ni mkarimu maana huku kuongea kwingi anakofanya anatoa elimu ya utaalamu wa kiwango cha juu, bure.
Janabi mimi katoa hernia yangu yaan uvimbe haupo kabisaaa
Bonny mshukuru Mungu wako kilichotokea hapo umekubali kupokea maelekezo kwa kujiheshimu maelekezo ya Dr Janabi. NAMI nikupe hongera kaza mwendo unaounguza BAJETI ya matibabu hapo baadae
Sema huyo dada anazingua inatakiwa mtu amalize kuongea ndo umuulize swali sasa mtu hata hajamaliza unamuhamisha tena aisee 😢
Kweli kabisa prf Janabi vyakula na vinywaji ndio chanza
doctor nikikimbia pressure ikafika 130 niache au niendelee kukumbi hiyo ni pressure ya chini
Hongera Dr. Janabi elimu ya bure lakini bonge la uokaji wa gharama za misha.pia vifo visivyo na sababu.Maadiko nayo yanasema watu wake wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Hongera kwa kutuelimisha!!!
Ningekua na prsa ningelikata hilitumbo limezidi nakulamlommojatu napungua ilatumbo linaningi,niatu pia tumbo pana sana minuamatu
❤
Dawa kubwa ya magonjwa ni mazoezi na sio kuacha kula
Sawa professor inamaana hata ukifunga muda wa kula hizo mboga za majani na matunda na labda samaki Kwa hiyo hutakiwi ushibe? Hilo ndio swali langu
Hiyo mboga ya maajani inawekwa mafuta au mchemsho? Matunda yenye sukari nyingi vp yanafaa?
jiulize material anayatoa wapi, msikilize dr berg, Dr fung, Dr aukberg hawa ni madokta wana billion viewers wanaongea anavyo ongea huyu dr, ila wao Pesa ziliingia kwenye chama zitakua na mlolongo mrefu kutoka, dada ruge alisema ataziwasilisha kwa walengwa, labda niulize na dada ruge alitumia account ya chama? na research, sasa sijui ni nani anamkopi mwenzake
Binafsi wanangu hawali chochote asubuh kwa hili nimeokoka, na hawataki kwahiyo huwa siwalazimishi
Inasikitisha kuona kuwa videos zenye elimu zenye tija kwa maisha yetu kama hizi zinapata views chache😢
Wabongo wanapenda habari za umbea
Umewaza kama mim ivi kwann watu wasifatilie afya zao wako busy na mamb yasiyo na maan...unajua hata kila ki2 binadamu anachofnya iwe kaz na shughuli zngne ni kutokana na afya nzur ,Anyway nilichogundua watu wengi wanafatilia mamb meng ya kidunia ambay hayana msingi mkubw ni upotezaji wa muda tu....Mungu akubariki Prof. Janabi kw hii shule.
@@JesusDivineDevotion bado tuna kasafari karefu katika ukombozi wa fikra zetu. Inatulazimu tuchukue hatua haraka
Sana yani ni tatzo kubwa
dah rafik umeongea point sana watu wanapenda kuona video za matusi au mambo ya wasanii au mambo ya umbea tu inasikitisha sana
Huyu dr anapata material na kuyatafsiri kutoka kwa dr berg dr fung, na dr aukbeg wote hawa wa marekani. Nendeni youtube mnaona video zote zinazo husu mwili na vyakula
Kaenda shule amefundishwa darasan naye anatoa elimu kwa jamii ,huenda anaelimu kubwa kuliko hao unaowajua
KAZI yake ni njema.... Biology Haina mwenyewe
Anapataje material ikiwa na yeye amesomea udaktari
@@BonnyMwajombe-iu7hb vifaa vyote vya hospital haki kiwembe mnaagiza nje sasa huyu dr atakuwaje na ujuzi kumpita mtengenezaji wa vifaa?
Umesahau kama huyu ni Proffessor ? Si mtu wa wa kawaida kama wewe na mimi.Ni msomi kuliko hata huyo unayomtaja.Tatizo ni Mswahili kutoka Tanzania ndiyo maana unamdharau.