JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
Вставка
- Опубліковано 22 січ 2025
- JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
Ungana na Prof. Mohamed Janabi katika mahojiano maalum na Prof. Pamela Kaduri, Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili na Mbobezi wa Uraibu kutoka chuo Kikuu cha Toronto, Hospitali Kuu ya Afya ya Akili na Uraibu (Centre for Addiction and Mental Health), Canada ili kupata ufahamu zaidi kuhusu athari zitokanazo na unywaji pombe.