FULL MATCH HIGHLIGHTS MARUMO GALLANTS 1-2 (1-4 AGGREGATE) YANGA SC TV3 TANZANIA GAME ON STARTIMES

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Рік тому +22

    Mungu saidia tuchukue ubingwaa💚💛💚💛💚💪💪💪💪😊🙏

  • @HusseinKafuta
    @HusseinKafuta 11 місяців тому +2

    Mechi Bora Kwa maisha yangu yote yakuijua Yanga congratulations fans Young Africans

  • @rajabmwange4634
    @rajabmwange4634 3 місяці тому +1

    Mechi bora kabisa! Haichoshi kuiangalia 🔥🔥🔥🔰🔰💚💛

  • @bahatirashid6964
    @bahatirashid6964 Рік тому +20

    Mayele😍😍 nimependa assist zote Musonda aletoa assist ya Mayele na Mayele kaassist kwa Musonda 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Ambagaye
      @Ambagaye Рік тому

      Ndivyo teamwork inavyotakiwa iwe.

  • @happykiwelu1451
    @happykiwelu1451 Рік тому +13

    Yanga oyeeeee😊

  • @driss4957
    @driss4957 Рік тому +2

    Leo September 28 2023 Bado nawacheki Yanga..Hii ilikuwa Yanga BORA Sana..

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Рік тому +10

    Vivaaaaaaaaa Yanga Africa..Naipenda yanga yanguuuuuuuu.....viva TANZANIA

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому +7

    Ally ni mungu TU na kitihada zake binafsi,sisi tuna wachezaji etii

  • @NasorMeshack-ch3zk
    @NasorMeshack-ch3zk Рік тому +1

    Daaaa❤❤❤ yan apo moyo wang ulivyokuaga ukigunda

  • @JohnAbea-xz5vr
    @JohnAbea-xz5vr Рік тому

    Yanga 👊👊👊👊

  • @NestoryMapunda-kx1su
    @NestoryMapunda-kx1su Рік тому +2

    Yanga 2licheza mpira mzuri San ongera wachezaji na benchi la ufundi kwa kazi kubwa mliee fny na amin tuta pambn tuta chukua

  • @baranyikwamohammed628
    @baranyikwamohammed628 Рік тому +6

    Yanga yanga we yanga wewe, unajuw kutowa Raha kabisaa!!!!!! """🌺🌺🌺🌺🌺

  • @RashidiRashidi-
    @RashidiRashidi- Рік тому +7

    Atari Sana Safi sana

  • @alousmist-uu2ej
    @alousmist-uu2ej Рік тому +2

    Welcom 🇩🇿❤️✊🖤

  • @nicolebitendelo1420
    @nicolebitendelo1420 Рік тому +7

    💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @PabloPablo-vw3bu
    @PabloPablo-vw3bu Рік тому +2

    USMA United, African Champion, don't dream.

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 9 місяців тому

    Yanga bingwa

  • @victormbugobola802
    @victormbugobola802 Рік тому +4

    Hongera Sana alie mleta Mayele YANGAAAAAA aongezewe Mda kuishi tunaitaj yanga Kama hiiiii naliona kombe tz

  • @josephsamwel2845
    @josephsamwel2845 Рік тому +7

    Mtasubiri sana makolo

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому +12

    Samweli huelewi mpira .tuache tupeperushe bendera ya tanzani na tule mapesaaaa

    • @samwelygilyaofficial7160
      @samwelygilyaofficial7160 Рік тому +1

      Ukizungumzia pesa sisi Caf tumekula nyingi maana ktk team 8 kubwa Africa zilizo chaguliwa kucheza Super Cup zilipewa Bilioni6 kwaajili ya maandalizi2 ya kombe wakati mshindi wa kilabu bingwa akichukua kombe pesa ni 6B Shilikisho 2.5B je mwenye pesa ninani kama sima kapewa B6 za maandalizi unahic robo au Nusu atachukua ngapi tena au fainal akifika?

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 Рік тому +5

    Wanainchiiiiii hiii hiii hiii

  • @radsonowoko1953
    @radsonowoko1953 Рік тому

    Mayele pia anaeza fanya vizuri kwa kukimbia mbio za mita Mia moja

  • @vickykwembe5842
    @vickykwembe5842 Рік тому +5

    Mmejua kunifurahisha yanga jamani

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому +6

    Goli la pili lipewe Oscar...

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 Рік тому +4

    Hakika ni raha iliyojeee, yanga raha

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 Рік тому +2

    Mama samia tunakupenda sana tozo na kupandisha umeme ndio vinakuchafua

  • @idrisaabdallah3824
    @idrisaabdallah3824 Рік тому

    YANGA HII HAITASAHAULIKA AFRICA KUSIN SIO WALE WAKUWASHA MOTO

  • @yustacostantine6709
    @yustacostantine6709 Рік тому +2

    Nimekuja kumuangalia mayele baada ya kuondoka yanga, ni huzuni jamani

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 Рік тому

    Nyie efm achen ujinga sasa kwa nn mnatoa sauti hizo za mashabiki kweli azam tv watabaki kuwa juu

  • @damasdamas2093
    @damasdamas2093 Рік тому +11

    yaan hiii yanga ndo imenifanya nilale saiz yaaan furaha niliyo nayo haielezek

  • @Danielalamayani-s8h
    @Danielalamayani-s8h Рік тому +2

    Amn bd by Dani kutoka xepek mayele no mchezaj mxur xn axe xem 2 anambio Kam mbuni axe guy n mwamba

  • @STEPHENKAGOROBA
    @STEPHENKAGOROBA Рік тому

    Hawa watangazi hakuna kituuu

  • @allymohamed5328
    @allymohamed5328 Рік тому +110

    Mimi ni Simba lkn huyo mayele ninawasiwasi alikuwa mwanariadha kabla ya kuwa mchezaji mpira,Yani sio fea kabisa!!!! Unawezaje kuutanguliza mpira mbele ya beki na Kuanza mbio wakati beki yupo mbele na kumpita🙆🙆

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 4 місяці тому

    Hiiiii nd mech tulishinda lkn aucho alitukost kwa kujisabbshia kad ya Njano na kushindwa kucheza fainal dhidi ya Alger kujitakia kad yaNjano kwa kumpgilizia mpira mchezaj mpira kwa hasra😂😂😂lkn fresh acha Tuishi nae tu

  • @SoftDisband-qi2mf
    @SoftDisband-qi2mf Рік тому

    😮

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Рік тому +1

    Yanga tafuteni namba 10 mwingine huyu Aziz ki hamna kitu mipira mingi sana inapotea anapoteza kuzima mpira kwake ni tatizo kubwa

    • @MusaMwasenga-dd5cc
      @MusaMwasenga-dd5cc 11 місяців тому

      Bdo aziz haufai au unaweza kumtaka radhi

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 місяців тому

      SHIJA RUDIA KUSOMA HII COMMENT YAKO MWAKA HUU WA 2024 HALAFU USEME TENA AZIZ KI HAFAI HALAFU UONE MASHABIKI WA YANGA WATAKUFANYAJE?!

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 11 місяців тому

    Skudu yu wapi

  • @mosesmkela
    @mosesmkela Рік тому +2

    Weeeeeeewe kula chuma hicho

  • @MohamedAbdullahman-p6g
    @MohamedAbdullahman-p6g Рік тому +4

    kisinda anaupepo na nainal za caf😆😆

  • @Ambagaye
    @Ambagaye Рік тому +4

    Kosa la Khalid Aucho alilofanya pale 21:12 halikuwa na umuhimu wowote lakini ndilo lililomkosesha final na huenda kuikoseasha Yanga ubingwa.

  • @LoyceMathias
    @LoyceMathias Рік тому

    kaz ilifanyika

  • @jasonmkisi
    @jasonmkisi 6 місяців тому

    Is a type of straikr not branch

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Рік тому +1

    Yani ukimwangalia Aziz ki upotezaji wa mipira ni mwingi kuliko kuuzuia yani hovyo kabisa

  • @nikodemmsomba2644
    @nikodemmsomba2644 Рік тому +6

    Hapa bakali nondo hakuluka jmn huyu jamaa mi simuelew

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa Рік тому +5

    Wee samweli sijui km hata mpira wenyewe unaujua,lini simba waliingia fainali.lile kombe ni la mashood Abiola.wewe ni dunduka 😅😅😅😅kabisa

  • @hamismussa8622
    @hamismussa8622 Рік тому +2

    Huyo samuel atuonyeshe medali ya mshindi wa pili

    • @josephluoga
      @josephluoga Рік тому

      Yanga timu sofa Kwa nabii profess na mayere Wana Simba wenye mapenz mema mtusapoti wezenu tu ipeperushe benders ya tazania na tuwekehistoria ya yanga.

    • @memei810
      @memei810 Рік тому

      Ukwel ni kwamba kuna watu wanaumia wakituona tunasonga mbele na sasa cyo nini wala nn fainal tupo

  • @LoyceMathias
    @LoyceMathias Рік тому

    Kazu muliifanya hakika mlistahil tuzo

  • @daudmagayane1556
    @daudmagayane1556 Рік тому +4

    Samwel simba kacheza fainal lin,wote wanao sema tz yanga imeeandka hstoria unaona hawajui,wewe utabaki hvo

  • @godchila8013
    @godchila8013 Рік тому +1

    ally mohamed icho ndo kilinipa mm bumbuwazi kuwa uyu jamaa ni.jinii

  • @BuyeyeMagembe-pn8vf
    @BuyeyeMagembe-pn8vf 6 місяців тому

    Tanga vs marumo

  • @MichaelPasipanofu-oc4uv
    @MichaelPasipanofu-oc4uv Рік тому

    Tukiruhusu waarabu kumnunua Mayele tukumbuke yaliyo wapata Simba kwa kumuuzia Mmakonde wa msumbiji

  • @tumpemsyani-io7pv
    @tumpemsyani-io7pv Рік тому +2

    Sauti mbovu

  • @Alihamdulil
    @Alihamdulil Рік тому

    Journaliste plz
    Pronounce vizuri
    Sio Mpila = Ni mpira
    Sio blanch = Branch 😅

  • @JoyceWilson-d3q
    @JoyceWilson-d3q Рік тому

    30:21

  • @allymohamed5328
    @allymohamed5328 Рік тому

    Wananchi!! huyo mayele mjengeeni sanamu lake mkishindwa mimi namletea mdoli kutoka uturuki. Yule beki baada ya kukimbizwa alishika magoti na kuomba kutolewa.

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому +2

    Final alicheza ipi hiyooo jmn

  • @esterkessy6940
    @esterkessy6940 Рік тому +4

    Naombeni kujua Aucho ana kadi mbili za njano na mechi inayofata ni kombe la azam vipi Final atacheza au? Kwa anayejua anijulishe.

    • @wardashabani
      @wardashabani Рік тому +1

      Ya mikataifa haihesabik na mpira wa ndan kwaiy na singida atacheza hat angepewa nyekundu kwet angecheza

    • @ireneproches675
      @ireneproches675 Рік тому

      Hata cheza fainali mchezo wa kwanza nyumbani ila atacheza kule algeria maanake ataukosa mchezo mmoja

    • @dicksonmakunenge4614
      @dicksonmakunenge4614 Рік тому +1

      Kombe la azam atacheza mechi ambayo hataruhusiwa kucheza ni mechi ya kwanza ya fainali ambapo yanga itakuwa Tanzania mechi ya pili ya fainali ataruhusiwa kucheza

    • @yohanaemmanuel8294
      @yohanaemmanuel8294 Рік тому

      Hachezi mechi moja ya kwanza kwenye caf confiredesion. FA ya bongo anacheza bila wasiwasi

  • @JoyceWilson-d3q
    @JoyceWilson-d3q Рік тому

    😂 24:47

  • @jasonmkisi
    @jasonmkisi 6 місяців тому

    Is a type not

  • @samwelygilyaofficial7160
    @samwelygilyaofficial7160 Рік тому +5

    Fainal hata Simba Sc alisha cheza zidi ya Stela sio ety yanga anaandika history no.