AKATAA ZAWADI YA GARI KUTOKA KWA MAMA YAKE MZAZI SABABU ALIMTELEKEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 2,1 тис.

  • @ludovicaraphael1371
    @ludovicaraphael1371 2 місяці тому +21

    Nimeumia sana sana,narudia tena,pendo msamehe mama yako.baba wakusingiziwa wapo,ila hakuna mama wakusingiziwa.epusha laana kipenzi.tena mwambie Mungu asante,hajakuuwa,alikuacha kwa bibi yako,ambae nimama yake.na Mungu alikutunza hata sasa umekua mdada.natamani niongee mengi,ila msamehe mama.

  • @JacqlineNgomuo
    @JacqlineNgomuo Місяць тому +2

    Pendo msamehe mama ako utaona baraka Mungu angekua atusameh je ..hebu tujijushe japo kidogo na tuige yale Mungu anayotaka tufanye...😊

  • @dinnaemmanuel7884
    @dinnaemmanuel7884 2 місяці тому +373

    Niliachwa na mama yangu nikiwa na miezi sita kwa bibi sasa hv nimemaliza chuo nasubiria mahafali pia BUT kamwe sitokaa nimchukie mama angu maan sijui alipitia mangap akiwa na mimba yangu! MUNGU ampe miaka mingi na kheri Dunian pamoja na kina mama wote Dunian

  • @MwanaidiAlly-d7y
    @MwanaidiAlly-d7y Місяць тому

    Ongera Kwa maamuz yak mazr Kwani uezikufanikiwa bila Barak za mom.god will bless you

  • @AskMikeTv.
    @AskMikeTv. Місяць тому +1

    Mimi nangojea likes mia moja,. Jamani natoka Kenya nikifuatilia mambo motomoto. Hello. Like tukisonga

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 місяці тому +574

    Yani nilikuwa nataka kujua point moja tu Nani anaye msomesha na kwa sababu ni ww mama Wala hata usiwaze SS tulitelekezwa na mama zetu na walirudi bila hata mia na bado tuliwapikea na kuwa saidia bila hata kujali na bado akataka kuni umiza lakini sikukata tamaa niliendelea kumlea na kwa Sasa nimeenda naye mbali Ila na msaidia mama ni mama tu

    • @rosesevent
      @rosesevent 2 місяці тому +31

      Huyo! Dada hatofanikiwa Mama yake amejitoa kwa sababu ya umaskini 😩 mama amejitoa muhanga

    • @kelvinthomas4579
      @kelvinthomas4579 2 місяці тому +13

      ​@@roseseventSema Sasa na mtoto alikuwa hajui anasomeshwa na nan 😢

    • @rosesevent
      @rosesevent 2 місяці тому

      @@kelvinthomas4579 sasa kama bibi yako hana kazi ya kueleweka kwa nini usiulize! Mungu fundi bhn! Asije akapitia mtihani kama wa mama yake Aombe na kufunga! Sanaa nimekaa hapa! Bado Ana safari ndefu ya maisha

    • @RehemaMobeto-t1q
      @RehemaMobeto-t1q 2 місяці тому +37

      ​@@roseseventnyie gar sio upendo unajua kuish maisha bila mama alafu ajafa yup hai utoto wote hayupo nyie

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 2 місяці тому +20

      Mzazi ni mzazi tu haijalishi

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 місяці тому +58

    Hongera😂😂umefanya matangazo mengi kwa wakati mmoja😂hongera sana

  • @bernadetageorge6039
    @bernadetageorge6039 2 місяці тому +41

    Kikubwaa mama hajamtupaa ...kamsomeshaa anamftilia na kumhudumiaa mama hakosei

  • @MroseMcho
    @MroseMcho 2 місяці тому +29

    Watu hawawezi elewa watu waliopotia haya maisha magumu sana maumivu yake hawezi elewa😊

  • @chrisslinda9971
    @chrisslinda9971 2 місяці тому +9

    Hope troni paid you, that integration of marketing in this storry is fire

  • @abc-en3em
    @abc-en3em 2 місяці тому +134

    Same story as mine ,, nimesoma kenya for the last 14 years bila communication na mama.Mzee alipofarika, mama aliniacha kwa bibi akaenda dar kutafuta maisha apo nlikuwa sijielewi mdogo sana. Bibi angu mzaa baba akiniombea kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi kenya. Shangazi akanichukua apo nlikuwa darasa la pili. Nlienda kenya nikaanza darasa la kwanza . Adi nimemaliza form 4 mama ndio nlikuja kuonana nae Dar es laam , Alafu fresh kumbe mama alikuwaga analipaga ada yangu kenya alafu nlikuwa sijui wala nn.. adi nimemalizaa form 4. Ndio nimekuja dar nimekutana nae ,, Nampenda mama kinomaa uyu pendo Anazingua .

    • @Official_kp-2000
      @Official_kp-2000 2 місяці тому +6

      @@abc-en3em uyo mdada nae aache utoto shida miaka 22 unapewa. cX5 unaona kama ujinga akati ndoto ya mtu hiyo 😂😂

    • @elviaheriel2582
      @elviaheriel2582 2 місяці тому +6

      Tusimlaumu kwa sasa!
      Kumbuka ndo amepokea taarifa, hawezi kusamehe hapohapo.. baadae atamsamehe tu

    • @kelvinthomas4579
      @kelvinthomas4579 2 місяці тому +4

      Hapo bibi alishamwambia kuwa mamako alikutelekeza alikukimbia. Hapo kwa harak harak mtoto anaweza waza mengi. Mfano anaweza waza kuwa mama angepitiwa kdg tu na shetan inamaana angeweza hata kunitoa uhaii.😢 😢 But inasikitisha sana

    • @MerinaMihayo
      @MerinaMihayo 2 місяці тому +2

      Pendo acha ujinga wewe mama ndyo kila kitu utajutia baadae

    • @FEBRONIAJULIUS
      @FEBRONIAJULIUS 2 місяці тому +1

      Safi sana mama kitu kingine bna wee

  • @MayasaYousif
    @MayasaYousif 2 місяці тому +72

    Haki nimelia sana sanaa wakat mimi apa nataman hata dk 1 nimuone mama yangu alafu wewe unakataa kumsamehe mama yako pendo popote ulipo mama nidhahabu ghar sana mama yupo mara moja tu akuna mama mara 2 napia mzazi hakosei ajakutupa alienda kutafuta naleo kakurejea na hajaja kwaajir umefanikiwa unakipato kikubwa ila kaja kuonysha upendo alio kukatili mimi ni mwanamke na nimama pia kunamaumivu tunayapata tukiachisha mtoto ziwa lakin ainajinsi lazima uache ili tuendelee na majukumu mengine ikiwemo kuwatafutia watoto wetu rizk na ndio iko kilicho mkuta mama yako leo so msamehe haikua kafanya ivyo kwa ubaya nandio maana alikuacha kwa bibi yako akidhani ni sehem salama nani salama kweli nimeandika kwa uchungu sana

    • @Heisbilluh
      @Heisbilluh 2 місяці тому

      Tofautisha kufariki na kutelekezwa

    • @AbubakariABOUBAKARISwai
      @AbubakariABOUBAKARISwai 2 місяці тому

      Huu ujumbe umeundika kwa uchungu Sanaa imenigusa

    • @agnesgodsaviour5968
      @agnesgodsaviour5968 2 місяці тому

      Ungemsamehe mama tu jmn miaka 8 mbona alijitahidi sana kukulea. Hujui alipitia nin

    • @joycesamweli1219
      @joycesamweli1219 2 місяці тому +1

      Hii Hadithi sidhani kama Kuna ukweli ni ya kutunga kabisa

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer 2 місяці тому +128

    Huyu mama namuelewa sana, wengine watupwa kwenye tundu la choo, mama alimuacha kwa mtu wake wa karibu, hamktelekeza!! Binafsi Pendo amemkosea mama yake!! Wengine mama zetu thnawalipa na mshahara kabisa yaan hata akiumwa na mbu roho inauma 🙌🙌🙌 staki apate shida

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 2 місяці тому +3

      Ndo achague mapenz kuliko mume😢

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 2 місяці тому

      Kwanza binti pole sn najua mm ni mm! Gari ni juu yk kupokea au ila ikubalishe nafsi yk na bond yako na atouchment itapoza machungu yako yote. Ucjali mpende mama yako sana zaidi ya sana. Na wewe utapata In shallah mtt wako utajua thamani ya mama na mtt. Alikupenda na anakupenda. Ucjaribu kumsusa mm yk. Itakuja kukulipa. Km utasoma hii coment yangu. Nitafute nitakupa story ya mtt aliemkosea mm yk kwa kuwa hakumlea na hakuwa akimtembelea. Amepata naye mtt sasa mtt wake amemvua nguo ki vipi nitafute

    • @revocatuscostantine3647
      @revocatuscostantine3647 2 місяці тому +3

      Amekaa nae hadi anafikisha miaka 8. Ndo akaenda kumuacha kwa bibi yake

    • @gladysmsele4291
      @gladysmsele4291 2 місяці тому +4

      Pendo mama yako ana makosa kama binadamu wengine hakuna mkamilifu akikurudisha Kwa mama sababu ya shida na mapenzi mpe nafasi ingine kwenye moyo wako hakuna mkamilifu pengine wewe umeshakosa mara nyingi na ukasemehewa pia

    • @emmanuelmichael4508
      @emmanuelmichael4508 2 місяці тому +1

      Wanaotupwaga chooni ni watoto wachanga huyu aliachwa akiwa na miaka 8

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 2 місяці тому +10

    Nakuombea kwa mungu mama Yangu Mungu akulaze Mahali pema pepon Amina😢

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 2 місяці тому +65

    Poleee Mwaya pendo,😢, i understand your feeling, najua utamsamehe mom, but unahitaji time uwe sawa, kwa wazazi hatuhitaji magari au magorofa, tunahitaji upendo zaid kabla ya rasilimali.

    • @joanbwahama-rx3tc
      @joanbwahama-rx3tc 2 місяці тому +4

      Kweli kabisa ❤❤❤

    • @liliantemba1181
      @liliantemba1181 2 місяці тому +1

      👏🏽

    • @erickkinyere9185
      @erickkinyere9185 2 місяці тому

      Upo sahihi sana😢​@@joanbwahama-rx3tc

    • @AhmedMohamed-so7db
      @AhmedMohamed-so7db Місяць тому

      Miaka name mbona mkubwa halafu naww mtangazaji tulia mtu anahadidhia wew nawe upo

    • @doscarvuhahula2882
      @doscarvuhahula2882 29 днів тому

      Pole sana Pendo, msamehe mama, maana imetupasa kama watôto wa Mungu ili nasi tusamehewe. Ni mazingira tu hakujutupa au.....kukuua
      Msamehe ubarikiwe na Mungu

  • @paulmrema1083
    @paulmrema1083 2 місяці тому +60

    ile kiredio kala shavu sana kwenye hii kazi😊😊

  • @williamjustin-f7f
    @williamjustin-f7f 2 місяці тому +68

    mama ni mama kwanza kitendo cha yeyekutunza mimba hadi akajifungua ni kitu kikubwa mno sababu angeitoa sabbu yeye alikataliwa but aliweka imani yake kwa mwanaye na kuamini ipo siku iwe mvua iwe jua kwahiyo kukuacha kwabibi sio shida je angekutupa dampo kikubwa mushukuru mungu amekukumbuka

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 2 місяці тому

      Yan apa baba pendo ndo sababu

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 2 місяці тому

      Angetupwa dampo angeisoma wa.mtaani wanaomba hata atokee mtu awàhifadhi hawana

    • @julianagowele9163
      @julianagowele9163 2 місяці тому

      Maneno mazuru

    • @erickashindi2666
      @erickashindi2666 2 місяці тому

      Umeongea vema na kweli

    • @StellaMwaikuka-eo9ji
      @StellaMwaikuka-eo9ji 2 місяці тому

      Pendo mshukuru sana mama yako. Alikuacha mikono salama ya mama yake. Angelazimisha kukaa na wewe kwenye ndoa ya baba asiyekuhitaji ingekuwa mbaya sana. Unayasikis yanayojili kwa watoto wengine. Pia kumbuka wewe pia ni mwanamke...hatukuombei ukutane na yaliyomkuta Mama yako. Mpokee mama yako utibu jeraha lake!! Hakuna kama Mama

  • @athanazistraton185
    @athanazistraton185 2 місяці тому +31

    baba alimkataa, mama alimtoroka , wakat mwingne tujaribu walau kuyahisi maumivu ya pendo.
    PIGA MOYO KONDE NA USHUKURU KWA KILA JAMBO .
    PENDO POLE SANA ❤❤

    • @MargarethOmary
      @MargarethOmary 2 місяці тому +1

      Ila mimi nisene ukweli mwanaume asiyemtaka mwanangu. Aende tu wapendwa huyu hakufanya vizur ila pendo ansamehe tu bure

    • @DeboraHasunga
      @DeboraHasunga 2 місяці тому

      Ni kweli kabia

  • @BabyCharles-j9w
    @BabyCharles-j9w 2 місяці тому +2

    I swear nimelia ila siokosa la pendo bibi alimlisha sumu mbaya sana uyo Binti mungu akadhihirike kwa uyo mama na upendo wa mama aufananishwi na kitukingine❤❤

  • @EmmanuelNdahya
    @EmmanuelNdahya 2 місяці тому +2

    Huyu dada mjinaga sisi tumetelekezwa na tusha wasamehe SI kasha barehe atajuwa sababu ya kutelekezwa na mama yake 😢 kidogo imenimiza Kwa mama yetu . ❤

  • @Di9797-t4f
    @Di9797-t4f 2 місяці тому +173

    Uchungu + maumivu ya miaka 14 mnataka mtu ayamalize ndani ya siku moja..haiwezekani anahitaji muda pia kuweza kusamehe..hamjui binti kapitia mangapi kumkosa mama ambar anajua kabisa yupo na ni mzima wa afya ila aliamua kuchagua mwanaume zaidi kuliko binti yake…huwezi kaa miaka 14 hujaonana na mtoto wako mtoto anamaliza la saba upo kimya,form four kimya,form six,kama kweli ulikua unalipa ada ungekua hata unampigia simu mtoto kumwambia kazana kusoma mwanangu au hata unajitokeza kwenye matukio yake muhimu ili ajue upo

    • @rajabus.kigwanigwa9788
      @rajabus.kigwanigwa9788 2 місяці тому +11

      Mama anasema juhudi za kuwasiliana na mwanae zilikua zikizimwa na bibi.

    • @elisaphymsemo6330
      @elisaphymsemo6330 2 місяці тому

      Bro kama kweli alikua na nia ya kumtafta mwanae sawa bb kakataa jee alishindwa kumtafta kwa njia nyingne mfano kwenda kusalimia home,kutafta watu wakampe taarifa binti yake kua namuulizia? ​@@rajabus.kigwanigwa9788

    • @Di9797-t4f
      @Di9797-t4f 2 місяці тому

      @@rajabus.kigwanigwa9788 kwao/kwa mamaake alikua hapajui?? Miaka 14 unaongeaga tu na mamaako kwenye simu ??..hatukatai anatakiwa kusamehewa ila sio lazima iwe kwa muda wake ampe muda binti na aendelee kuweka juhudi za kua nae karibu

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 2 місяці тому +5

      Nakubaliana naww aisee yani sio rahisi mtu amekutelekeza miaka yote sio rahisi kukubali

    • @annaYohane-i4r
      @annaYohane-i4r 2 місяці тому

      Inauma bwana

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o 2 місяці тому +41

    Pendo ashukru Mungu aliachwa sehemu salama coz apo kwa bibi mzaa mama nisehemu salama kabixaa ajakutupa amekuacha kwa mama ake usiwe hvyo pendo mzazi akosei msamehe mama ako nimaisha tu wanawake tunapitia mengi xana ukikua utaona pendo

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 місяці тому +65

    Kwa mama hata asingenipe kitu ningemsamehe Kwa mapenzi yoote ❤

    • @lelaiddy6856
      @lelaiddy6856 2 місяці тому +2

      Kabisaa..maaana wamama wanapitia changamoto nyingi kwa wanaume inayopelekea mama kuikimbia familia

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 2 місяці тому

      Kabisa kwasababu mama ni mama

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 місяці тому +1

    Gari ndio Nini wakati mtoto altelekeza,mhimu upendo na kumjali mtoto. Mtoto 👍👍❤️❤️🌹

    • @marthamoyo4826
      @marthamoyo4826 2 місяці тому

      Hakumtelekeza kwa kumtupa bali alimuacha kwa mama yake ambaye ni bibi na alikumbuka na bado aliekua anamsomesha je bibi angeweza ni sawa ila amsamehee ni mama .mana alikua na uwezo wa kumuua ila alimuacha kwa bibi yake

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 місяці тому +31

    Pendo bado ana maumivu,maumivu ambayo hayatamalizwa na gari wala fedha yoyote, maumivu ya kujua mzazi yuko hai lkn amenitelekeza,anaishi maisha yake kule, leo eti ananijia na zawadi ya gari, 😢😢 hata bibi angeshangaa na kuumia kama Pendo angepokea hiyo gari ki urahisi hivyo! .kitu nimekiona kwa Pendo ni hana tamaa, amelelewa vizuri sana, na hana mpenzi, kitu ambacho ni nadra sana kwa mabinti wa leo, Mungu azidi kumbarik.i,
    Msamaha haumbwi kwa zawadi

    • @mohamednassib2595
      @mohamednassib2595 2 місяці тому

      Asa bolauyo kaachwa kwa bibi yake asa angemuacha mitaani t amsamee t mama ake

    • @massawenusrat-nk2gw
      @massawenusrat-nk2gw 2 місяці тому

      ​@@mohamednassib2595 hat kwa bib n sawa na mtaani kaka sawa

    • @massawenusrat-nk2gw
      @massawenusrat-nk2gw 2 місяці тому +1

      Kabisa mamii mm had bib kaninyonyesha imagine alafu cha ajabu nmekua naend kumsalimia akanifukuza mchana kweupe 😭😭 ndio nije nipokee msamaha kirahic bado san nahic hat bib kaburin anaona

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 2 місяці тому +1

      Kwa inamaana hata mama yake mzazi hajamuona miaka yoote hiyo au vipi maana sijaelewa sasa hizo pesa alikuwa anazipeleka vipi mbona sielewi

    • @OmbeniMwalupindi
      @OmbeniMwalupindi 2 місяці тому +1

      Kusamehe kitu kama hicho. Kwa hara harak ningumu.naukifatiria huyo pendo mama yake hakumwach na miaka nane kama alivyo sema inaonekan.alimwacha chin ya miaka nane.kiukweli mama pendo hata nichangamoto za maisha ndozilisababish hayo yote.inamaana alikua Hana hata hamu hata yakumuona hata mama yake mzazi.ambaye ndo bibi yake pendo.naunatafuta maisha Gani? Namwanaume ambaye hamjui hata mzazi wako.mwanaume ambaye yupo tayar uchukie ndugu zako Ili uishi nayeye.nabado unazaa nae watoto.wakat mtoto mmoja wakwako alimkataaa.wewe mama pendo Tena hiyo adhabu nindogo.mali gan ulikua unamtafuta bila kufrahi na mama yako.mwache pendo aendelee na bibi yake

  • @uwandameno
    @uwandameno 2 місяці тому +3

    Hii ishu wanatakiwa wataalamu wa saikoloji kuweza kusaidia kutatua mgogoro huu, kina Dr. Chris session hiii ina wahusu ingilie kati wakuu. Mama hakudhamiria kutoka moyo bali ugumu wa maisha na vikwazo kutoka kwa mume anayeishi naye kuepuka kurudi katika nyakati ngumu, ndiyo maana aliamua kuchukua maamuzi magumu.

  • @halimarahma7450
    @halimarahma7450 2 місяці тому +37

    Shukuru mungu uliachwa sehemu salama ungetupwa dampo je

    • @dotnatajoseph2620
      @dotnatajoseph2620 2 місяці тому

      Kweli kabisa

    • @kelvinthomas4579
      @kelvinthomas4579 2 місяці тому

      Na ndy Maan pendo anaumia sana. Akifikilia kamuacha kwa bibi ake akiwa na miaka 8 tu. Now yupo chuo. Anamaliza😢 af ndy mama aje. Na pendo aliambiwa na bibj kuwa mama ako alikutelekeza akaenda kuolewa

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 2 місяці тому

      Kuna watu Wana roho za ajabu sana wakat hata usipomuona Kwa muda mchache mtoto unaita unataka umuone

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 2 місяці тому

      @@kelvinthomas4579 sibora yeye miak8 mm nilitelekezwa kwa bibi baada ya baba kufa nikiwa miez3 na Leo huyo mama karudi na maneno kibao nikamsamehee kumbe analake katumwa na mganga aniuwe ahamishe nyota yangu ampe mwanaee mwingine aliye zaa huko na akashidwa naleo Wana maisha magumu balaa mm ndiyo na walea

    • @marthamoyo4826
      @marthamoyo4826 2 місяці тому

      @@kelvinthomas4579 sawa mama ameolewa ila aliachwa sehemu salama na bado mama alimkumbuka mtoto wake .na kumsomesha akumbe pia yeye ni mwanamke all in all amsamehee mama yake kua alipapambana sana na kumsomesha

  • @IdrisMtimbwila
    @IdrisMtimbwila 2 місяці тому +6

    Hilo tangazo la Tron motor Mimi nishastukia huo mchongo😂😂😂

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 2 місяці тому +2

    Matangazo kama matangazo😅😅😅😅😅😅

  • @eliassanga6907
    @eliassanga6907 2 місяці тому +3

    Mama kakosa mtoto mpe nafasi ya kumsamehe mama maisha mengne yaendelee ❤

  • @francisemmanuel5578
    @francisemmanuel5578 2 місяці тому +24

    Dada Pendo namshukuru Mungu sana Mama ake kaenda kumuacha kwa Bibi yake kama mimi nimeachwa shambani nikiwa na miezi mitatu tu ndio watu wakanichukua na kunipeleka kwa Bibi na kulelewa na bibi mpaka 2010 nimuombe tu amsamehe mama na maisha yaendelee tu

  • @DorahMwanansolo
    @DorahMwanansolo 2 місяці тому +13

    Najaribu kuvaa viatu vya Mama na Pendo havinitosh, nikikaa upande wa Mama naona anastahili msamaha plzz Pendo msameha mama hakukuacha alikuwa nyuma yako ni Maisha tuu but nakuelewa pia 😢😢😢

  • @JoyceMbise-mb3sp
    @JoyceMbise-mb3sp Місяць тому

    Nimemwacha mwanangu kwa bibi yake niko napambana kusoma ili nimtengenezee maisha ya mbeleni sijui namimi yatanikuta ya mama pendo😢japo naongea nae namhudumia na namuona pia❤

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 2 місяці тому

    Msamehe mama na wewe Mungu ,Atakusamehe Utafuzu Duniani. Na maisha Ya milele

  • @DinahNish-bm9sr
    @DinahNish-bm9sr 2 місяці тому +8

    Kosa alilofanya ni kutoroka angemuaga hata mama yake akamwambia hali harisi mzazi angeelewa tu na asingemjaza sumu mtoto😢😢😢😢

  • @fatmambeyela6697
    @fatmambeyela6697 2 місяці тому +112

    Aiseeh nmelia😭😭😭😭😭mzazi hakosei jaman kuna watu wanataman wazaz wao warudishiwe pumzi walau DK 10 tu wapate kumbatio Lao dash😭😭😭😭😭

    • @SylviaMrope
      @SylviaMrope 2 місяці тому +5

      Hujui kapatia nini anahitaji muda wa kutosha ,

    • @kelvinthomas4579
      @kelvinthomas4579 2 місяці тому +5

      Sio hakosei watu tumekataliwa na wazaz wetu tokea tupo tumboni.Af akija sahz hata na zawad huwez kubal kirahs hivyo. 😢. 😢

    • @Mellissabahati137
      @Mellissabahati137 2 місяці тому +1

      😢😢😢😢 kweli

    • @Elineswai155
      @Elineswai155 2 місяці тому +3

      Angekuwa na nia mbaya asingemsomesha

    • @TinahMhafiwa
      @TinahMhafiwa 2 місяці тому

      Hujui unaongea nn

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 місяці тому +64

    Ila hyo mwanaume ana roho ngumu sana kumtenganisha mtt na mamake na wadogo zake duhh

    • @salumhamisi6706
      @salumhamisi6706 2 місяці тому +1

      Atakuwa Mchaga tu huyo jamaa

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 2 місяці тому

      @@salumhamisi6706nawaha wamoo😢

    • @happinessmisanga4944
      @happinessmisanga4944 2 місяці тому +2

      Umesema vema mwanaume huyu mbaya kama nyoka

    • @donathageorge6551
      @donathageorge6551 2 місяці тому +1

      Afu mseme wanawake hatupendani

    • @LucyRafeali
      @LucyRafeali 2 місяці тому

      Mi mwanaume kama huyo hata akiwa na pesa vip sitaki ona Sasa maumivu kwa mama na mtoto

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 2 місяці тому +2

    Mtangazaji kakosea sana. Ilitakiwa mama aonane na social worker aongee na Pendo kumwandaa jinsi ya kupokea ujumbe na hatimaye awakutanishe!

  • @ZiadaRamadhany
    @ZiadaRamadhany Місяць тому

    Mama ni mmoja tu haiwez kutokea kuwa na mama wa pil kuwa makini Binti maisha hayakupi nafasi ya pili take care mm pia nimepitia changamoto kam yako mpende San ni Kwa wema tu SI Kwa ubay

  • @Nurjan847
    @Nurjan847 2 місяці тому +10

    Mimi naona wanafanya matangazo ya agari 😂😂😂

  • @yudzchaz6636
    @yudzchaz6636 2 місяці тому +4

    Sasa kiredio si ungemwachia tu hiyo hela bi mdashiii akupee baada ya kazi😂😂😂😂

  • @RUTIGITATOY
    @RUTIGITATOY 2 місяці тому +3

    sio kweli bhna 😅😅😅😅😅😅😅

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 місяці тому

    Mama ni mtamu haishi HAMU,😭😭😭😭tuwasamehe wazazi wetu,kwani hatujui waliyopitia mpaka kuwapa changamoto watoto wao waliowazaa,tuombeane jamanii,tumuombee pendo pia,maana hatujui amepitia mangap ktk ukuaji wake,kabeba mengi moyoni,tumuombee ili Mungu a'weze kum'badilisha,na upendo urudi kwenye hiyo familia,🙏🙏🙏🙏

  • @francehans3526
    @francehans3526 Місяць тому

    Mom congratulations 🥰

  • @Sisterelly
    @Sisterelly 2 місяці тому +59

    Mwambie uyo mama aniletee iyo gari, funguo ntachongeshaa😢😢😢😢❤

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 2 місяці тому +5

      @@Sisterelly 😂😂😂😂hunashida na funguo

    • @mwajabumrindoko-xw9mq
      @mwajabumrindoko-xw9mq 2 місяці тому +4

      Mm namchukiaa mama yangu yanii hapo najiona Mimi kabisaaa simpendi na siongei nae sitoongea naeee Tena naona ya huyo binti ni madogo yangu😢😢😢

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 2 місяці тому +1

      @@mwajabumrindoko-xw9mqmsamehe mama Huwa wanakera lakin usiwe unachukuria uzito Yale anayokufanyia hata kama yanakuumiza pole ila msamehe tu

    • @JanetAhmad-v3h
      @JanetAhmad-v3h 2 місяці тому

      😢eti mama ni mama hio mwaka yote alikua wapi hata ningekua mimi nisinge kubali

    • @Sisterelly
      @Sisterelly 2 місяці тому

      @@petermanala6138 ndy😣😭😂😂

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 2 місяці тому +4

    Nimeipenda sana hiyo big up Pendo,umeonyesha ujasiri mkubwa mno. Baba wa kambo hakupendi Wala hakuhitaji mama nae amekutupa hivyo hivyo ili kuilinda penzi lake kwa mwanaume wake. Huyo hakupendi ila ameogopa mafanikio Yako baadae ya kukutelekeza mungu ndiye wa kuabudiwa na kuheshimiwa huyo mama Yako ni mnyama sana hata ungekufa asingekuja kukuzika. Mungu ni mwema stay blessed beautiful daughter!!...

    • @DoriceKibasa
      @DoriceKibasa 2 місяці тому

      Angekua mbaya asingemuacha kwa bibi mzaa mama

    • @tabiangonyani3526
      @tabiangonyani3526 2 місяці тому

      Uyu mama hana kosa jamani kwani kuna watu wangapi watoto wanatupa jalalani lakini uyu alimwacha kwa mama ake mzazi na kumbuka alikuwa na maisha magumu ndomana akalazimika kumwacha mtoto wake ili akaolewe pia anamanisha yake uyu mama hana njaa

    • @SkeetoSsaa
      @SkeetoSsaa 2 місяці тому

      Angekua mbaya asingemyacha kwa bibi ake angemtumpa na miaka 8 si kamlea kabic anajielew ajaonana nae Lakin anamsomesha we umezaa kweli unamjua uchungu wa mtt

    • @januaryjambo5064
      @januaryjambo5064 2 місяці тому

      ​@@SkeetoSsaaa

  • @JudithAlly
    @JudithAlly 2 місяці тому +6

    Mydream car🌝🥰 Pendo msamehe mama though its take time ila msamehe tu

    • @kimscharos9156
      @kimscharos9156 2 місяці тому +1

      Hakuna gari hapo hayo ni matangazoo

  • @pendomlay9674
    @pendomlay9674 2 місяці тому

    Msamehe Mama, jaribu kuvaa viatu vya Mama yako, kusamehe ni njia ya mafanikio yako, hakuwa na jinsi, Bibi nae kamjaza Binti sumu kali, nampongeza huyu Mama kikubwa amemsomesha smempa uridhi wa Elimu, wengine waliteketezwa hata elimu hawakupata. Bibi msamehe pia Mama Pendo naamini na Pendo nae atasamehe. Ujumbe wangu kwa KinaBaba mnapompenda Mwanamke kama ana Watoto wengine jaribu kuwapenda pia.

  • @ludovicaraphael1371
    @ludovicaraphael1371 2 місяці тому +1

    Mama mwenzangu,nawewe ndenda kwa mama yako,muombe msamaha,ili maisha yaende,nakuepusha laana.pendo usipo msamehe mama yako,ujue unajipalia makaa yamoto.kubuka alikua anakusaidia bila wewe kujua.

  • @stellamongi8811
    @stellamongi8811 2 місяці тому +4

    Ila mama umepata maisha mazur kwa mama yako ujawai enda ata mim sijakuelewa bado

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 2 місяці тому +1

      Ni wachache sana hapa walio note icho kitu wengi wana mlaumu pendo kwa mihemko...
      Mtu ulimterekeza mtoto na mama kwa ugumu wa maisha ok sawa lkn baada ya kujipata kdg kwann asinge watafuta mama na mwanae japo kwa kuwajulia tu hali? Ili menzie waone bado wako nae pa1?
      Amekaa wee miaka 14 ushaona unakarbia kufa laana za mama na mtoto zina mtafuna anaanza kutapatapa

  • @kelvinthomas4579
    @kelvinthomas4579 2 місяці тому +11

    Sema na sisi ambao tulitelekezwa na mzaz mmoja wapo. Hii story kama inatuuma sana. 😢. Unaangalia unakumbuka mbali. 😥😥

  • @frankmalesa9226
    @frankmalesa9226 2 місяці тому +9

    Kama umegundua haya ni maigizo na matangazo gonga like....... Mama hawez endesha gari hata anavokaa kwa steering utajua na huwez mpa gari mtu kama baiskeli mmekutaka hujui driving yake et au endesha ww afu kila muda wanamkuta kapaki aisee Kiredio umetisha lakin kwa content na namna unafanya tangazo zako

    • @Mtoto-ig5vw
      @Mtoto-ig5vw 2 місяці тому

      Acha wivu kwenye vitu vya watu 😂😂 gonga like mwenyewe mwanga wew

  • @KinofuKinofu
    @KinofuKinofu 2 місяці тому +1

    😢😢😢ware ambao mama zetu ni bibi walio turea nipeni like apa

  • @HUMAID_FITNESS
    @HUMAID_FITNESS 2 місяці тому +1

    Tangazo limeenda 😹🙌

  • @HappnecPaullo
    @HappnecPaullo 2 місяці тому +4

    Pole pendo na mama pendo mungu awapatanishe

  • @AishaNikule
    @AishaNikule 2 місяці тому +4

    Yaan huyo pendo anatakiwa amshukur mungu mama kakuaomesha tena hajaachwa mdogo ni miaka 8 alhamdulillah tena hajatelekezwa umeachwa kwa bib Mzazi hakosei afanye yaixhe tu

  • @mwashabanihamisi2274
    @mwashabanihamisi2274 2 місяці тому +5

    Duuuh! Tangazo la magari limekaa vizuri sana. Big up Kiredio. Mwenge mpakani kwa magari bora zaidi

  • @lydiajohn6865
    @lydiajohn6865 2 місяці тому

    Pole sana mama, haukumwacha pendo sababu haukumpenda, ila no mahangaiko tu ya maisha magumu, wanawake tunapitia sana changamoto hasa ukiachwa na mwanaume aliyekuzalisha. Pendo mdogo wangu msamehe tu mama anakupenda tambua wewe pia ni mwanamke huwezi kujua utapitia changamoto gani ktk hii dunia maisha bado yanaendelea. Mama alikubeba miezi visa na hakutoa mimba, akakuzaa kwa maumivu makali akakulea hadi miaka nane thamini hata muda ule aliokulea, mama ni mama tu hata kama mpumbavu hana akili au kilema. Msamehe mama utafanikiwa. Bibi asikupotoshe. 😢😢😢

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 2 місяці тому +1

    Pole sana mama mimi nimekupenda sana unajua kujishusha

  • @ThadeiLyimo
    @ThadeiLyimo 2 місяці тому +12

    😢The same story mimi nimezaliwa marangu uko moshi nilipofika miaka miwili mama alimcheat mzee akaamua kwenda dar es salaam huko tayri alikuw na mwanaume mwingnee nimesoma marangu kwanzia chekechea mpk form four mama ajawahi pigha simu wala kunijulia hali kwa namna yeyote ile hajui nakula nn wala na vaa nn matokeo yalitoka ya form nimefauli kwend advnce baba yangu naye akapata ajali ya piki piki nikawa sina msaada wowte baba yuko hosptal anatakiwa hela mimi😢😢 pia natakiwa hela kwa ajili ya kununua vitu wakati huo naskia maam anatembelea maghari dar anabiashara za kutoshaa mpk mombasa n china anaenda nikimpighia simu anakata wala anisikilizi mungu si asuman baba yangu akapata mtu wakumtoa pale hosptal na mimi nikasaidiwa n uko nikanunuliwa vitu vya shule nimemalza six nikaenda chuo cha NIT nimemalza mungu akanisaidiaa nikapata kazi bandarini jana kaja ofisini anataka nimsaidie kutoa bidhaa zake japan nizilete huku tanzania alafu ata haibu ana😢

  • @JudithMapunda-i4o
    @JudithMapunda-i4o 2 місяці тому +27

    Mama au baba huwa ni mmoja wengine ni walezi tu, nammiss mama yangu arudi hata sekunde tano tu nimwone nimkumbatie nimweleze machache rest easy mama

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 2 місяці тому +56

    Huwezi Pata Maisha mazuri kizembe... Mama shujaaaa ame sucrifice for the Family... Kila jambo Lina Hatma yake mtoto hana Budi kumkubali Mama Yake

    • @Vees12
      @Vees12 2 місяці тому +2

      Ndio nashangaa Yani mtu anajitoa kwaajili yako alafu umuaibishe hivyo no way

    • @tausishabani263
      @tausishabani263 2 місяці тому +3

      Hii comment imenipa nguvu sana kaka hujui tu😢😢

    • @AllyKirita94-q3d
      @AllyKirita94-q3d 2 місяці тому +1

      Kabisa kaka yaan upo sahihi karisk mnooo

    • @SamwelSimion-l5g
      @SamwelSimion-l5g 2 місяці тому

      Huyu mtoto hajui maisha aliyopitia mamaake na ukubwa wote huo

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 2 місяці тому +1

      Kabisa kaka Ana tofauti na anayeacha mtoto tz na kwenda uwarabuni kutafuta pesa

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n Місяць тому

    Kakomedy Kazuki sana wabongo bwana

  • @ikupaisaac2635
    @ikupaisaac2635 2 місяці тому +1

    Tangazo la gari hili😂😂

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 2 місяці тому +1

    Mama ni Mungu wake wa hapa duniani. Aende aendako mama yupo pale pale na baraka zake ziko mikononi mwake.

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 2 місяці тому

      Ndio lkn mama alitakiwa amtafute mtt na kumwomba msamaha Kwa hata neno la MUNGU linatuonya tusiwachokoze watoto

    • @arthurmwabulambo1201
      @arthurmwabulambo1201 2 місяці тому +1

      @@basilisamsaka8469 Ni laana kumtaka mama au baba yako kukuomba msamaha. Wao ndiyo waliodetermine maisha yako. Wangeweza tupilia mbali ama kukutenda mbaya wakati wa utoto wako. Hata hivyo walihangaika na wewe hadi kufika ulipo. Zaa mtoto halafu ujemwomba msamaha. Hizo hasira ni hila ya mwovu kuwatenganisha na hatimaye kuwangamiza.

  • @rahimbukutu6866
    @rahimbukutu6866 2 місяці тому +10

    hii story sio ya kweli ni ya kutunga.ila imepeleka ujumbe mzuri kwa jamii Hongera Kiredio

  • @yonahmkemwa9767
    @yonahmkemwa9767 2 місяці тому +12

    Ukiona mtu amekubali kosa na akaamua kukuomba msamaha basi ujue amemaanisha Sasa hapo pendo ndo amebakia na hatia huyo mama sio kwamba ana maisha ya dhiki ila uchungu alionao kwa mtoto tena na kumsomesha amemsomesha pendo Mungu akupe hekima katika hili usipoangalia utajikuta unaishi maisha ya uchungu na kisasi kitu ambacho kitakunyima amani ya moyo msamehe mama ufurahie maisha Sasa changamoto zipo kwa kila mtu we fikiria hakukuacha kwenye mazingira mabaya alienda kukuacha kwa bibi ni ishara tosha bado alikuwa na upendo

  • @HadiyaHamadi
    @HadiyaHamadi 2 місяці тому +3

    Kiukweli haya mapito ni mazito,kiukweli mm ni mama na niliolewa ila mume alikua anaishi kenya mm nipo Tz ila alichonifanyia mwanamme sitokuja kusahau,alinitelekeza na mimba nikapata mtihani wa kuzaa mtoto njiti na bahati mbaya maziwa yalikua hayatoki,ikabidi kumuanzishia maziwa ya kopo na ilikua kila baada ya siku tatu nahitajika pesa kwa ajili ya kununua maziwa hakunipa msaada yeye na wala ndugu zake,nilipambana mm na wazazi wangu mpk mungu akanijaalia maziwa yakaanza kutoka lkn hayakua mengi,wazazi wangu wanaishi kibaha mm nikahamia mtwara wilaya ya masasi nilikaa nae ndani ya miezi kumi tuu mtoto akakataa kunyonya mama mzazi akaniomba nimpelekee akaishi nae na mm nikampelekea na mshukuru Allah mtoto wangu saa hv ametimiza miaka sita bado yupo kwa wazazi wangu na baba ake tangu anisusie mimba mpk leo hajawahi kuja kumuona mtoto wake na hata huduma hana,nashukuru pia wazazi wangu hawajawahi kumlisha sumu ya maneno mtoto wangu,naongea nae vizuri namtumia pesa za matumizi na pia nikipata nafasi naenda kumuona,kwa hiyo wazazi tuwe makini sana na watoto wetu,japo kua baba wa kambo hakumtaka mtoto ila mama alitakiwa awe na mawasiliano na mtoto wake

  • @luciasteven8558
    @luciasteven8558 2 місяці тому +2

    BONGE LA COMEDY 😂😂

  • @salmangalihya9607
    @salmangalihya9607 2 місяці тому

    Haiaijua dunia pendo, mzazi hasahau mtoto, alijua na kufuatilia maendeleo yake mpaka akawrza kumnunulia gari. Kwakuwa ni hiyo shule inamdanganya anahisi mafanikio makubwa kupitoa hiyo. Naona mazingira na mfumo wa maisha wa familia umemuathili binti. Lakini akumbuke huyo ni mama hila yeye hakuna yeye. Kukua tumuachie mungu. Eliminyake imkomboe na si vinginevyo. Pole mama huo ni mtihani.

  • @manp9091
    @manp9091 2 місяці тому +9

    Oya mbona kama ili tangazo la magari kmmak😂😂😂

    • @mayassahmtumweni
      @mayassahmtumweni 2 місяці тому

      sema inawezekana huyu bimdingi ndo mwenye tron mwenyewe wametengeneza sinema 😅😅😅😅

    • @pendoyohana2547
      @pendoyohana2547 Місяць тому

      Huyu mama anaishi makongo juu namjua😂😂

  • @AminaShaibu-c5v
    @AminaShaibu-c5v 2 місяці тому +76

    Mimi niliachw nikiw na miak 3 mama akarud Nina miak 10 akanion akaondoka hapo baba simjui,niliish kwa mjomba angu mwisho wa siku ndug wakagombn kuhus Mimi nanyanyasik Mimi sijui ant akakasirik mke wa mjomba akasema mtot aende tanga ,mama aliish pemba ila alikuja kweny 40 ya mama ake alifarik na sikupew uhamisho wowote ule mama akapambn mpk nikaend shule kule kijijn nikiw 6 40 ilipoisha akarud kwa mumew pemba nikaachw kijijn na kaka angu mtot wa mjomba aliemaliza chuo niliish pale mwisho nae akaondoka nikabaki kijijn mwenyew akawambia majirn waniangalie matumiz anatuma napika mwenyew nafua kulala naogopa naenda rafik yangu namuomb tulale wote 😢,yote mama kuniacha mwanaume aliemuoa hakunitak Mimi hapo nilikuw na miak 11 naish mwenyew mpk nikamaliz 7 Babu mzaa mama alikuw anakuja kuniangalia Anglia lkn yeye alikuw anaish korogwe mjin alivyoumw Babu mama akarud Tanzania korogwe mjin na Mimi nikaw namaliz 7 ila Babu alichomwambia mama asiondoke Tena akaniacha alikuw na mtot Mdogo mume wa mam akamwambia mama achague ndoa na Mimi kwakwel mama alichagua Mimi nilipomaliz 7 nikaend korogwe mjin nikaish na mama matokeo yalipotok nimefaul sec akapambn kunihamish korogwe mjin nikaw naish na mama rasm nilipofik form 2 baba mpemb akaja Tanzania na yeye kumfuata mama japo kishingo upande ,nimeish na mama rasmi mpk nikamaliz kidato 4

    • @Harsinotzkasongo
      @Harsinotzkasongo 2 місяці тому

      Unabonge la story ilapia pole kwayaliotokea😢😢

    • @AliAli-hr8mr
      @AliAli-hr8mr 2 місяці тому +1

      please nitafute

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 2 місяці тому

      mungu kakulinda kuosh pekeako ukiwa mdogo aisee

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 2 місяці тому +1

      Duh Pole sana lkn km kuna kitu siwez bac nikumtelekeza mtoto wangu kisa mume no way ni single mother lkn mtoto wangu nampambania kwa hali na mali hata hio ndoa siitaki kwasbababu nataka mwanangu aishi maishi mazuri asome shule nzuri na Alhamdulillah amemaliza darasa la saba na sasa anaenda sec mwakan nampeleka bodying kwasbabu walezi wamekuwa na mambo mengi bora aishi bodying tu anarudi likizo siishi nae lkn nathami uwepo wake na maisha yake usalama wake ni bora kuliko

    • @rizickjonas1916
      @rizickjonas1916 2 місяці тому

      Pole bby

  • @ericsalema1690
    @ericsalema1690 2 місяці тому +24

    Mama ana kosa ila sio kubwa..Kwenda kumuacha mtoto kwa mama yake alifanya vizuri kuliko angemtelekeza kwingineko..Bibi wa mtoto alipaswa kumjenga binti kisaikolojia ili ajue mama yake bado anampenda na ndiye anayemsomesha. Mama yetu ana kazi kubwa sana kurudisha mapenzi ya mtoto kwake. Ila bibi mtu akikaa na mjukuu wake yatakwisha..Na angekuwa ni mtoto wa kiume mama angefanikiwa upesi sana.Si mnajua Watoto wa kiume na mama zetu hatukui🙌🙌...Anyway Nimegundua mama kashikilia usukani muda mrefu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @dovicochristopher5388
      @dovicochristopher5388 2 місяці тому +1

      Ana kosa kubwa sanaa mzee😢😢

    • @erickndamlo280
      @erickndamlo280 2 місяці тому

      Kushikiria uskani ni kuwa anaongea kwa uchungu

    • @graceluambano3922
      @graceluambano3922 2 місяці тому

      mama amtumie mamake (bibi pendo) kumuomba amuombee kwa mwananae yaishe. lingine kwa nini mama pendo akumbuambia ukweli bibi pendo badala ya kumtoloka. lingine natamani mazungumzo yangefanyika kabla ya siku ya kumpa zawadi yani siku ya graduation. namuonea huruma mama mwenzangu hii kitu tunavyoisoma kwenye mtandao. kila anayemjua anaona kuwa alimtoroka mtoto na akumuambia mamayake mzazi. inamzalilisha sana

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 2 місяці тому

      ​@@dovicochristopher5388kazngua sana

  • @loitengia4217
    @loitengia4217 2 місяці тому +1

    😂😂😂hii stori tuu

    • @AnnaMhina-p8l
      @AnnaMhina-p8l 2 місяці тому

      😂😂😂gari Haina pret namba

  • @charleskoechkoech8241
    @charleskoechkoech8241 2 місяці тому

    Watching live from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @youngnigerbarizo2167
    @youngnigerbarizo2167 2 місяці тому +17

    Pesa sio Kila kituuuu😢

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike 2 місяці тому +5

    Mm cjaona kama kweli alimpenda mwanae coz hata kama mwanaume hamtaki Mtoto ww ungempeleka huko Kwa Bibi Ake sawa lkn lazima ungekuwa unampigia nakumfalij lkn kuanzia la pil mpk form5 ndio uanze kumtafuta inamaana umeshindwa HT Siku moja kwenda kumuona ila kuna wamama Wana roho ngumu sana...hata mm nicngekubali kirahic

    • @SINADATITO
      @SINADATITO Місяць тому

      Hata husikitishi kabisa unavyo ongea mama Angu🙆

  • @IbrahNikke
    @IbrahNikke 2 місяці тому +4

    Amshukulu sana uyo mama kwasababu mama alikuwa anauwezo wakumtupa mama kwa huruma akampeleka sehem salama kwa bibi ake

  • @binabbassuleiman5011
    @binabbassuleiman5011 2 місяці тому

    Najua kabisa ningumu kumsamehe ghafla, ila chukua ushauri wangu mm km mama "nasema msamehe sana mama yako hayo nimatatizo ya wanawake wote uzuri ww ni mwanamke omba yasikupate wanawake wote ni wahanga kila mtu kwa namna yake. Kumbuka umelala tumboni mwake hivyo huwezi kuua undugu umetoka na vitu vyake vya mfanano ndani na nje. Wengi wamesema maneno mazur sana msamehe MAMA

  • @safiniasinyangwe4359
    @safiniasinyangwe4359 2 місяці тому +1

    😢😢😢 IKI KISA NICHANGU KABISA MUME ATUNZI MTOTO NILIKO OLEWA KAKATAA MKE MWENYE MTOTO YEYE APO LINAWATOTO WATATU LAKINI KAKWANGU KAMOJA TU KANIACHA ,😭😭😭 IPO SIKU MUNGU ATANIPA MAISHA MI NA MWANANGU 😭😭😭

  • @wilisonmikate1652
    @wilisonmikate1652 2 місяці тому +9

    Hii story niya kutengeneza sio true

  • @RichardMunishi
    @RichardMunishi 2 місяці тому +6

    Inaumiza sanaa kukosa mapenzi ya wazazi hususani mama inaumiza sanaa😢

  • @HawaAbdu-gt3yz
    @HawaAbdu-gt3yz 2 місяці тому +6

    Mm niko mbali ty na mam yngu but nammis sana sana tena

  • @jcomplext.v4409
    @jcomplext.v4409 2 місяці тому

    Kiredio mm nimemuelewa amepambana miaka 8 sio mdogo kuachwa Kwa bibi naomba umtafute bibi aliemlea tujue kwann kamlea mjukuu kwa kumchukia mama miaka 14 hapo nyuma mama hakuwa na kitu sasa anakitu saluti 💪💪💪💪 mama pambana wewe ni jasiri unaweza hili ni jaribu la mafanikio

  • @fatmacharles369
    @fatmacharles369 2 місяці тому

    Hakuna kitu kinaumiza kama mama kudharau mwanao nakumthamini mwanaume wewe ulipoolewa ulitakiwa uwe unawakumbuka japo kwa chochote 😢😢

  • @ChidySuleiman
    @ChidySuleiman 2 місяці тому +5

    Maisha yanatufundisha vitu vikubwa sanaa lakn wanafunzi atuelewi

  • @evidencemaimu1883
    @evidencemaimu1883 2 місяці тому +38

    Ila inauma😢
    Baba kakataa mimba
    Mama kakimbia mtoto
    Baba wa kambo kakataaa mtoto
    Bado mapenzi hayajakufinya😢
    Kiboooooooo😢
    Heart💔

    • @Kibibistore
      @Kibibistore 2 місяці тому +5

      Watu hawawezi elewa maumivu yakukataliwa/kutelekezwa na mzazi 💔

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 2 місяці тому +1

      Maskin Huyo Mtoto Amuaache Tuu Mama Abakie Na Mume Wake Haina Haja...Nayeye Abakie Nabibi...Namama Awe Radhi Namtoto Mpaka Ataka Amua Ila Asimfanyie Hasira Mtoto..

    • @irakozeshakiru1131
      @irakozeshakiru1131 2 місяці тому

      inaumaa wasikwambie mutu 😢😢

    • @HildaChard-vl1jb
      @HildaChard-vl1jb 2 місяці тому

      Sema Huyu mama mjinga San Yan unamkubalia mwanaume asie na mapenzi na mtoto wakooo unaamua ukamtelekeze kijijin bila kujali hali ya maisha kisa mapenzi puuuu ana haki ya kukukataa forever

    • @Yuvilath
      @Yuvilath 2 місяці тому +2

      Huyu akili za kitoto izo sisi mama yetu amefariki tumeachwa wadogo hatuna B Wala E

  • @Faridahabibu-n5u
    @Faridahabibu-n5u 2 місяці тому +9

    Nimewaacha watoto wangu kwa bibi yao nipo Oman sjui namie watanichukia😢 mungu watie upendo kwangu nawapenda na nawapambania

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 2 місяці тому

      Huyu kamtelekeza c kumwacha

    • @leilasalim-2009
      @leilasalim-2009 2 місяці тому +1

      Hajiwezi kuwa hivo kipenzi tumekuja kuwatafutia

    • @steveabel5819
      @steveabel5819 2 місяці тому

      Uwe unawacheck through calls na kwenda kuwasalimia physically dear

    • @rahimbukutu6866
      @rahimbukutu6866 2 місяці тому

      bila shaka wewe ni mrangi wa KONDOA,

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 місяці тому

      Kwamba warang wapo sana oman au​@@rahimbukutu6866

  • @sallyandmozachannelchannel37
    @sallyandmozachannelchannel37 2 місяці тому

    Sisi wazazi tunaitaji muongozo,
    MATATIZO ya Kifamia hutatuliwa na family kwanini uweke ktk mitandao ya kijamii 😭😭😭😭😭😭😭😭
    MAPENZI YA MAMA KWA MTOTO huwezi kuyatathimin na chocolate💔💔💔💔

  • @LeilaShaban-c8j
    @LeilaShaban-c8j 2 місяці тому +1

    tangazo ilo bana we mama ana uma

  • @Clausonlab
    @Clausonlab 2 місяці тому +15

    Wa kwanza hapa likes zangu😂

  • @mwanahamisizawadi9345
    @mwanahamisizawadi9345 2 місяці тому +22

    Hamjui baba ake mzazi📌 baba mlezi pia akamkataa📌 , na mama akamtelekeza kwa kuangalia maisha sawa lakini dodoma singida sio mbali kwann hakua anaenda hata mara moja moja ili mwanae amuone eti alikua anapiga cm ni nini hata bibi alichofanya ni sawa kutompa cm mjukuu maana labda lengo lake lilikua mama apate akili awe aende mwenyewe anamuona mtoto ila wapi, Eti namsomesha ila hajui huyo bibi amekubali msaada wa kusomeshewa mjukuu sababu tu hana namna kipato hakiruhusu. Okay acha mama alipie alichokichagua , Pendo amsamehe mama ila sio kirahisi maumivu ni makali

    • @salhamembe
      @salhamembe 2 місяці тому +1

      Kweli kabisa

    • @Qaiser277
      @Qaiser277 2 місяці тому

      True

    • @YuyuMp-d8y
      @YuyuMp-d8y 2 місяці тому

      Nimekupenda bure

    • @SharifaMgwambe
      @SharifaMgwambe 2 місяці тому

      💔😢

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 місяці тому

      Ah wazaz wengine mna moyo yaani miaka yote hio utasema uko mbali na dunia wakati ni hpo hpo Tanzania.

  • @rahabgatwiri6178
    @rahabgatwiri6178 2 місяці тому +5

    Je,kuna part two of this video?
    Sioni haja ya Pendo kukataa tuzo la mamake.Kwa kuwa mama yake ndiye aliyemsomesha,kumbuka pia sio pendo la mama kumwacha huyu mtoto ila ni umaskini na mama alitaka kubadilisha maisha ya familia yake,akiwemo Pendo.Umaskini unaweza ukiuka utu wa mtu.Mzazi yuko tayari kuomba msamaha tena kwa njia ya heshima.Wapo wazazi wengi ambao hutelekeza watoto wao na wanawapokea vyema,Pendo kama unausoma ujumbe huu kubali zawadi ya mama na umsamehe,aliolewa ndio akusaidie na kama sio yeye hungehitimu masomo yako.WATCHING FROM KENYA

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 2 місяці тому +1

      Sio kirahisi hv,kaa ukijua upendo haukai kwenye vitu,pendo anaonekana anauchungu mkubwa wa kutelekezwa,mama alipaswa kumtafuta mwanae private na sio mitandaoni

  • @TheresiaAllen-v2i
    @TheresiaAllen-v2i Місяць тому

    Mmmh uyo mama balaa ana roho ngumu sana,miaka yote hiyo hapigi simu duuuu ni hatari

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 місяці тому

    Muhimu upendo,mama alimnyima mtt wake upendo maisha yt,leo gari inathamn gn

  • @zuwenaabdallah2059
    @zuwenaabdallah2059 2 місяці тому +12

    Aaah gari jaman namsamee Mama yangu siwezi kuwa na cuki na mama yangu kwa kweli

  • @esterbenard-f2p
    @esterbenard-f2p 2 місяці тому +7

    Ni ngumu kuondoa hasira na uchungu uliudumu miaka 14 ndani ya siku moja tena kwa suprise. Mama asichoke ipo siku mtoto atafungua moyo😢💔

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 2 місяці тому

      Atengeneze na mama yake kwanza.Aliyemlelea mtoto.Anaanza na matawi anaacha shina.Alishindwa.hata siku.moja kutoroka.akamjulie hali..mama yake,?

  • @ginelisangakrambi9546
    @ginelisangakrambi9546 2 місяці тому +14

    Mimi ningemshauri Pendo kua msamaha ni msamaha siku zote na. Mama ni mama ata asingekuja na zawad ya gari ni mama na akukuua kama mama wengne akukutupa nje kama mama wengne ila alikupeleka maali aliko jua utakua Salama kwa asilimia Mia Pendo mpenzi pls msameh mama

  • @DASILVA-t8j
    @DASILVA-t8j 8 днів тому

    Kiredio 💯💯 ila yote mama ni mama

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 2 місяці тому

    Kiredio bwana et gari gari😂😂