Roma Ft One Six - Anaitwa Roma (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 4,3 тис.

  • @delickpesambili8075
    @delickpesambili8075 4 роки тому +50

    👏👏👏👏👏👏 Siwachukii wasukuma Najua atanuna najua ya nyuma yatamtia huruma 🤔🤔 gonga like kama umeelewa hilo verse

  • @superarts3334
    @superarts3334 5 років тому +161

    Duh! Roma ni noma. Lisaa limoja watu wamealikana. Mi nimefurumushwa twitter mpaka UA-cam. Yani huu wimbo kesho # 1 kwenye trending hutaamini. Gonga like kama na wewe umeibuliwa kuja kusikiliza huu wimbo.

  • @mchinamweus6935
    @mchinamweus6935 5 років тому +96

    tokea nikufaham sijawai kuchoka kukusikiliza Roma Mzee wa halakati💪💪

  • @abdallamlondani8577
    @abdallamlondani8577 4 роки тому +153

    Ukiyakubali haya maneno ya roma nakuamba like yako from USA.

  • @oscarfabian4202
    @oscarfabian4202 5 років тому +325

    Viva ROMA
    VIVA ROMA
    BIMA YA AFYA NI BORA KULIKO NDEGE 🙏🙏🙏🇹🇿
    Drop Your like

  • @tenten921
    @tenten921 5 років тому +92

    R0MA unatetea xana "wafanyakz na wananchi" mungu akubariki sana

  • @babamwita8517
    @babamwita8517 5 років тому +154

    Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara 20 lakini sijaumaliza. Kila nikifika verse ya pili naanza mwanzo tena yaani kwa jinsi ulivyo mzuri. Haya mashairi ni hatari. This is what we call rap and hip hop.

    • @justinbieber8668
      @justinbieber8668 5 років тому +2

      BABA MWITA ndo ivo mzee baba

    • @khamisidiego6790
      @khamisidiego6790 5 років тому +2

      BABA MWITA ni hatari 2pac wabongo viva Roma

    • @eliasjohn8517
      @eliasjohn8517 5 років тому +1

      Good xanaaa

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 5 років тому +1

      Uzuri wa sanaa ukiwa umesoma hakuna unafiki wala uswahili

    • @alamu2407
      @alamu2407 5 років тому +1

      that Real rap na mix ya Hiphop

  • @blesssaimon3399
    @blesssaimon3399 5 років тому +197

    Oyo ndio migoma yakusikiliza
    ... Sio uno ... Mala baba lao ....
    ...gonga doleee...wagumu

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 5 років тому +221

    1st to hear from Canada 🇨🇦
    Gonga like kama uli miss kusikiliza michano yake Roma💪🏾

  • @emmanuelkyando2125
    @emmanuelkyando2125 5 років тому +79

    Huyu ndio ROMA MKATOLIKI tulie mzoea👏👏👏

    • @shekimpelako6791
      @shekimpelako6791 5 років тому +1

      Roma 2020 ugombee uraisi tutakupa maana ww unayajua yao mengi

  • @chegaritofx
    @chegaritofx 5 років тому +150

    No 1 on trending mamaeeeeeeee.....Huyu ndo baba lao sasa sio huyo yusuph anaependwa na yuda wakati sisi wote watoto wa yuda na tumekubali😀😀😀😀.....

  • @juniorjofrey7831
    @juniorjofrey7831 5 років тому +2

    Sijawah kuona mpiga kinanda wa kanisa akitoa sadaka jmn we Roma kweli hakuna wa kukunyamazisha kama umeielewa hii ngoma gonga like kwa wingiiii

  • @carlosmziray3673
    @carlosmziray3673 5 років тому +74

    Huu ndio wimbo wa Taifa kwa sasa💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulfaustin8382
    @paulfaustin8382 5 років тому +30

    dah! nimekuwa wa mwisho kuitazama hii nyimbo, ila kutangulia siyo kufika... naitaji like za roma, awezi kuwachukia wasukuma

  • @Omary_Mjema
    @Omary_Mjema 5 років тому +31

    Trust me ur my hero bongo mzima yupo pa1 milele yan.. WatanzaniA bado tumelala na wanafikii

  • @chug1132
    @chug1132 Рік тому +4

    Roma hujakoxea viongozi hawataki kukoxelewa wanafanya kaz kwa xifa 👊👊 2023

  • @athumanbilah5536
    @athumanbilah5536 5 років тому +116

    Hii nyimbo ukikaa vizuri inabonge la ujumbe kama umeelewa hii nyimbo like za kutosha

  • @markgerald6682
    @markgerald6682 5 років тому +128

    No 1 trending kama umeona gonga like tuende sawa

  • @tuntuboss5530
    @tuntuboss5530 5 років тому +43

    Tungo ngumu Sana inahitaji ujasir kuandika Na kuachia hewani
    VIVA ROMA
    VIVA ROMA
    VIVA ROMA

  • @fatumshijja3919
    @fatumshijja3919 5 років тому +32

    asante mungu kwa kuteletea msemaji wetu, wengine tunavipaji vya kulia tu... yanatukaba rohon hatuna pa kuyasemea

  • @geophreyhizza6315
    @geophreyhizza6315 5 років тому +57

    Brother Roma shikamooo ww ni mfalme wa hip Hop Africa nzima

  • @yustinkivamba707
    @yustinkivamba707 5 років тому +41

    Timu Roma twende sawa ,

  • @shakurkimboka4621
    @shakurkimboka4621 5 років тому +207

    Dakika tano za hii ngoma zina contents zaidi ya taharifa ya habari za TBC za mwaka mzima

  • @barakabrownshayo2971
    @barakabrownshayo2971 5 років тому +2

    Roma umetisha broo wachane maana nchi yetu itaangamia

  • @cosmasmkinga296
    @cosmasmkinga296 5 років тому +262

    see I told to you like kama unaamini ngoma itafika No 1 trending ndani ya masaa 24

  • @BUFFALO-A
    @BUFFALO-A 5 років тому +37

    WANACHI, Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndeeeege
    😂😂😂😂ROMA, atafanya yote tumuombee na tuimbe Yesu nibebeeeeeee. ROMA ROMA ROMAAAA GENIUS

  • @officialyoctanyavani776
    @officialyoctanyavani776 5 років тому +131

    nomaaa sana hio ndo ngoma yangu ya mwaka kama umeludia kama mm hiii ngoma naomba like yako tujuane

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 роки тому +26

    Hivi nyimbo ndio imemfanya brother akae mbali na familia yake.... Daaah Roma 🔥
    Mungu akulinde brother 🙏

  • @polycarpmdemu3552
    @polycarpmdemu3552 5 років тому +638

    R - Rhymes
    O - Of
    M - Magic
    A - Attraction

  • @KingKing-uy9hq
    @KingKing-uy9hq 5 років тому +126

    Sasa huyu ndo Roma ninayemjua na si mwingine,,,wapi likes za Roma

  • @danielpablo6868
    @danielpablo6868 5 років тому +17

    From Zimbabwe to USA ROMA Mkatoliki ongea kweli kabisa

  • @samweltumsifu2415
    @samweltumsifu2415 5 років тому +9

    Licha ya Media kuubania wimbo huu bado unaendelea kufanya vizuri mtandoani, leo ikiwa siku ya nne unashika namba 1 UA-cam.... Pongezi nyingi wa waTZ wote mliofanilisha ili...

  • @moureenmartin4125
    @moureenmartin4125 5 років тому +39

    Yuda usimwaribie Dani kumfurahisha mtukufu, sisi wote wanao kwanini unampenda sana Yusuph... aisee🙌🏽 kama umesikia na kuelewa hapa acha like tu.. UONGOZI NI KUACHA ALAMA❤️
    #vivaroma🗣
    Naaaaaniiih wakumnyamazisha🔥🔥🔥🔥... aisee dude kali sana hili🔥

    • @zuberytesha9393
      @zuberytesha9393 5 років тому +1

      Wanapiga bomu moturi wanajisifu wameuwa.hahaahaaaa Roma Viva

  • @willeydavid2108
    @willeydavid2108 5 років тому +15

    Roma hizi ndonyimbo ambazo tunakuelewaga 🇹🇿🇨🇦🇹🇿🇨🇦 VIVA ROMA 🙏

  • @alfredyfredrick8955
    @alfredyfredrick8955 5 років тому +25

    HUYU NDIO ROMA TULIO MMISS FOR SO LONG TOKA ZIMBABWE SAUTI YA WANYONGE VIZIWI NA MA BUBU

    • @muhamesalim166
      @muhamesalim166 5 років тому +1

      Unapiga bomu mochwari dah nishida roma

  • @caimedia
    @caimedia 5 років тому +9

    Umenikumbusha wimbo wako wa Tanzania, huu ndiyo mziki wako.. Viva Roma Viva Roma.

  • @rumayojr4638
    @rumayojr4638 5 років тому +67

    #1 on trending 😋😎 Katikat ya Mondi na Kiba na Konde boy😂 Kweli utajua Watanzia wanatak ksikia nin nin🤭🤒

    • @2116-n
      @2116-n 5 років тому +2

      Serious watz wanahitaji kusikiliza ukomboz

    • @graphixmaster6146
      @graphixmaster6146 5 років тому +2

      Kuachia tu wimbo wakati huu ambao hao jamaa watatu wameweka ngoma mtandaoni unakuwa umegamble kweli

    • @alikhalfan5019
      @alikhalfan5019 5 років тому

      Dah salute kwako brooh nmekkubal

    • @Dapeopletz
      @Dapeopletz 4 роки тому

      @@graphixmaster6146 true

  • @jaypili7837
    @jaypili7837 5 років тому +26

    mungu akulinde bro umejitoa mhanga koz inchi yetu yenyewe mamafia

    • @officialjuguy3921
      @officialjuguy3921 4 роки тому

      ua-cam.com/video/C9cmzYPI5UY/v-deo.html subscribe my chanel 🙏🙏support music

  • @anelkaking9342
    @anelkaking9342 5 років тому +24

    Roma mkatiliki.
    The best hiphop.unajua mzeee.love from Zanzibar nungwi.

  • @derrickoyonjo
    @derrickoyonjo 4 роки тому +39

    I love Roma's work ...Bear is equally an excellent producer for hip-hop ...Love from Kenya🇰🇪

  • @HarounIEsese
    @HarounIEsese 5 років тому +68

    Love from Kenya.. Pongezi Roma wapi likes za team Roma kenya

  • @fadhlemwalongo7278
    @fadhlemwalongo7278 5 років тому +24

    MB zetu haziendagi kwa hasara kwa uyu jamaa 💪🏼

  • @salimuawazi7225
    @salimuawazi7225 5 років тому +67

    Mnavunja dole lamwisho mnaliacha lakat nan kasikia iyo gonga like kwa Roma

  • @jjrussell081
    @jjrussell081 5 років тому +20

    The Greatest!!!, umefunika kamanda 💯👏💯👏💯💯💯🍾🤸‍♀️

  • @francisjoachim4698
    @francisjoachim4698 5 років тому +68

    Jeshi la mtu mmoja Roma is Back

  • @georgegerald4153
    @georgegerald4153 5 років тому +30

    Nime mzaa mpare ila siwachukii wasukuma . . .ilo jiwe lime mwendea jiwe wallah!.

  • @s.a.jmwinchumu1304
    @s.a.jmwinchumu1304 5 років тому +17

    Anaitwa Roma hakuna wa kumnyamazisha watching from Moro town

  • @tobaramadhani7139
    @tobaramadhani7139 5 років тому +2

    NAMKUBALI SANA ROMA WASANII WENGINE WOTE WAMEFYATA HUYO. NDIO ROMA NAMPONGEZA SANA JAMAA ANAJUA SANA

  • @mnyamapeter1265
    @mnyamapeter1265 5 років тому +182

    Mwanangu Roma umelud kama umeikubari hii ngoma conga like

    • @mgayamakori1564
      @mgayamakori1564 5 років тому

      Hahahahahahahaaa hapo sawa kama dawa nimekusoma roma

  • @kabilamalasy9964
    @kabilamalasy9964 5 років тому +588

    Huyu ndo Roma tunaemjua LIKE KAMA WALISAHAU DOLE LA KATI

  • @joelbernald8108
    @joelbernald8108 5 років тому +59

    Huu ujasiri next level..

  • @stellahjoseph8597
    @stellahjoseph8597 4 роки тому +1

    Wamevunja dole LA mwisho wameacha dole LA katiiii daaaa kwel kiumbee hichooo

  • @24four7seven8
    @24four7seven8 5 років тому +26

    My best is "unapig bomu mochwari afu unajisif umeuwa" 😁😁

  • @innocentwilliam811
    @innocentwilliam811 5 років тому +48

    This is the Roma i know, This is my classmate. Proud of you dude.

  • @TheLugiko
    @TheLugiko 5 років тому +75

    Genius. May God protect you brother. You are a great treasure to our nation.

  • @pitahkym8806
    @pitahkym8806 5 років тому +17

    Love from Kenya asante kwa message

  • @mtulivuindustryltd2356
    @mtulivuindustryltd2356 5 років тому +250

    Nani mwingine kaona mzigo umetrending no 1? Usiwe mchoyo wa like

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 5 років тому +12

    Yesss uyu ndio Roma big up mi nipo nawe kama nawe upo na mkatoriki like zako zinatakiwa apa

  • @pwoka5208
    @pwoka5208 5 років тому +19

    Mnapiga boom mortuary mnajidai mmeua... Kali sana 💣💥🔥 imba Roma imba no.1 fan pia *Rostam*

  • @gangan4618
    @gangan4618 5 років тому +8

    Unastahili kupewa pongezi sana Roma;Mtetezi wa ukombozi wa kweli wa Tanzania. Wewe ni Mtanzania halisi na ndio Roma halisi anayechukia mambo ya ovyo... Viva Roma viva....!!!

  • @hassaniabdul71
    @hassaniabdul71 5 років тому +18

    Kutekana kuuwana sio sifa ya mtanganyika
    Bonge moja la ngoma

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 5 років тому +14

    ANAYE MUOMBEA MABAYA ROMA YAMRUDIE MWENYEWE QUMAMAEEE👊👊

  • @ridhiwaniselemani5106
    @ridhiwaniselemani5106 5 років тому +66

    "Walivunja dole la mwisho wakaliacha dole la kati....mmmh,,,,,eeeh hii si nchi ya demokrasi mkimind bas mnamjua sas mbna hamuwakamati" 😂😂🙌🏽

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 5 років тому

      Dole la kati linachoma

    • @wasajo
      @wasajo 5 років тому

      Yan mitambo inatesitiwa na inaonesha iko fiti sana haina hata kutu " viva Roma

    • @giftpeter6115
      @giftpeter6115 5 років тому

      Et unalipua bomo mochwar hahahah

  • @bornraphael7085
    @bornraphael7085 4 роки тому +3

    Uyu mwamba ninoma sana siasa unaiweza ingia mzigoni ukatutee asee

  • @josemkongwe4609
    @josemkongwe4609 5 років тому +14

    Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua 💪💪

  • @hatibukipande3675
    @hatibukipande3675 5 років тому +24

    Hapo naona mtu mfupi kakaa pembeni maana hiyo migoma haiwezi😂😂😂 stamina

  • @aboumsouth6498
    @aboumsouth6498 5 років тому +341

    AMKENI AMKENI AMKENIIIIIIII ROMA TULIEMTAKA KAJAAAA WOYOOOOO MI SIOMBI LIKE ILA NAMUOMBEA ROMA

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 4 роки тому +1

    Mungu akusimamie ndugi yangu ww msema kweli huna shobo na pesa z zulma baba tutetee mung atakulipa inshallah

  • @TebelaTv
    @TebelaTv 5 років тому +65

    Dah bro nilikuwa nakusubiri the true Roma unastahili shahada ya heshima mana visanii vingine vioga. Knm
    We ndo mnyamaaa

  • @eliamsigwa7326
    @eliamsigwa7326 5 років тому +26

    Brother you a man of vision thats why they can't stop you. I think this is the kind of music our generations need to hear. Keep it up mr ROMA MKATOLIKI.

  • @daudiminde8596
    @daudiminde8596 5 років тому +27

    huyu ndio Roma tunaye mfahamu kama upo pamoja na mm bas gonga like
    Roma hizi tungo ni zaidi ya warakah wa waebrania 🤣🤣

    • @zuberyhossein1695
      @zuberyhossein1695 4 роки тому

      Mwanajeshi kamili sio mgambo nakukubali sana jeshi

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 Рік тому +1

    ROMA PAN AFRIKAN...MOB LOVE FROM +254 🇰🇪 🇰🇪

  • @bongomusic4604
    @bongomusic4604 5 років тому +79

    Dah roma wew ninoma mpka umemtoa diamond One trendng

  • @juliusmpasa634
    @juliusmpasa634 5 років тому +78

    Akuna nyimbo inayo gusa apa kwa 2019 anaiungana na mim liki kama zote

  • @eliasgebron846
    @eliasgebron846 5 років тому +11

    ngoma kali,, flow safiii,, ujumbe xaxa ndo.. wooiii ,,mxii

  • @pameladonald3365
    @pameladonald3365 4 роки тому +1

    Yani roma nakuombea sana maana umekubari kujitoa sadaka kwajl ya nchi yetu Nakuelewa roma kama unamuelewa Pia gonga like twende sawa

  • @willeydavid2108
    @willeydavid2108 5 років тому +14

    From Canada 🇨🇦🇹🇿🇨🇦🇨🇦🔥♥️ VIVA ROMA VIVA

  • @almassddtzyusuph3102
    @almassddtzyusuph3102 4 роки тому +24

    Kama umeikubali ngoma hiii naomba like zaidi ya 200

  • @yusuphmadebari1987
    @yusuphmadebari1987 5 років тому +75

    "yudo, usimuharibie danny, ili umfurahishe mtukufu, sisi sote wanao kwanini, wampenda sana Yusuph"
    Aliyesikia hii kitu inamuhusu rais wa dar, like hapa.

    • @sebajosephat1861
      @sebajosephat1861 5 років тому +1

      Noma sana Roma

    • @sebajosephat1861
      @sebajosephat1861 5 років тому +2

      Mi ni soja niko vitani kama umeilewa hyo like twende pamoja

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 5 років тому +1

      @@sebajosephat1861 huyu bear ni mtu mbad hii sound na beat mnaiyonaje wazee wangu na enjoy huu mziki niko na mkatoriki begakwabega tunakaba man to man toka mathematics !!

  • @shebymnazi3530
    @shebymnazi3530 4 роки тому +1

    wimbo mtamu kama bao la kwanza aiseee

  • @guulajini3596
    @guulajini3596 5 років тому +9

    Hii ngoma imenifanya nirudie zaidi ya mara tatu ndo nimeielewa upo vizurii sanaa mkali wangu🔥🔥💪

  • @noahmwasomola4317
    @noahmwasomola4317 5 років тому +57

    What a song bro, you have raised the voices of majority of Tanzanians.

  • @malembwemuwawa4902
    @malembwemuwawa4902 5 років тому +42

    Kumamaeeeeeee😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍Umezaliwa upareni Ila huwachukii wasukumaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnipe tu nawaambia had kesho ipo 1trending🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪

    • @angelmmbaga6043
      @angelmmbaga6043 5 років тому

      Hatarii huu ndo wimbo sio nn wala drama hapo amejitoa haswaaa

  • @rachelmgonja7347
    @rachelmgonja7347 5 років тому +2

    Daaah iyo ni kifa na kutekwa inauma jmn miungu watu watanzania mpngze roho mbaya kna Mungu

  • @flovamanmusic3663
    @flovamanmusic3663 5 років тому +488

    hizi ndo ngoma tunazo taka kuskia'' wanaarakati wote gonga ma like kaa zote tujuanee hapa

  • @sonmjofficialtv9090
    @sonmjofficialtv9090 5 років тому +32

    Nilisha sema lazima tuingie #on #trending #no:1 mm alizima ni play mara 100 ili ibaki wiki on trending no:1

  • @najatmngazija1547
    @najatmngazija1547 5 років тому +12

    Vivaaaa vivaaaaaaa vivaaaaaaaa vivaaaaaa Roma yan ngoma kali nasikiliza hadi mwili unasisimka 🙌🙌🙌 I appreciate you, big up .

  • @wilsonbalama2849
    @wilsonbalama2849 5 років тому +4

    😁😁😁😁😁 Roma kunywa peps bariiiid sehemu yoyote ulipo nakuja kulipa

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 5 років тому +24

    Leo ndio Nimekuelewa vizuri sana, Tokea 2015, Sasa ndio Roma ninaekufahamu. Mimi sio MPENZI wa nyimbo za bongo lakin Rostam? Nawaelewa kuliko mtu mwingine yeyote

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 5 років тому +22

    Number 1 on trending aisee Allah Karim sana

  • @barakaelijosephat6655
    @barakaelijosephat6655 5 років тому +14

    viva roma ujawai niangusha et wanapiga mabomu mochwari wanajisifu wameuwa dah !!tnx bro roma 🇹🇿🇹🇿

  • @daviskagusa8929
    @daviskagusa8929 5 років тому +6

    Roma izi tungo ni zaidi ya waraka wa waebrania🔥🔥🔥...unapiga bomu mochwari afu unajisifia umeua🔥🔥

  • @bernardminja5089
    @bernardminja5089 5 років тому +23

    Nimeusikiliza huu wimbo zaidi ya Mara 30😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭inuma Sana eeeh Mwenyezi Mungu

  • @taifastephano3394
    @taifastephano3394 5 років тому +36

    "Huu ni moto unataka kuuzima na petroliiiiii ......!!!!!!"

  • @brianmagali5486
    @brianmagali5486 5 років тому +16

    This is more than song ☺ ,we need more artist of your kind Mr Roma 👍👍

  • @bikangaya6091
    @bikangaya6091 5 років тому +2

    Viva roma Mungu akupe maisha marefuuu....tetea haki ya mnyonge kwan Mungu anamakusudi na ww....

  • @marcusmndamshimu2091
    @marcusmndamshimu2091 5 років тому +10

    Roma huyu ni zaidi ya mtu genius kweny tasnia ya music, ANAITWA ROMA

  • @brightlastborn4440
    @brightlastborn4440 5 років тому +210

    Kwamba , unapiga bom mochwali , unajisifu umeua😁😁😁 , Gonga like kama umesikia huu msitari kama mimi

  • @bonifacefrancis51
    @bonifacefrancis51 5 років тому +27

    Uyu ndo Roma ninae mjuwa Mimi ,gonga like kama unahamini kuwa Roma kaludu kutoka zimbabwe.

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 роки тому +1

    Roma Mungu akupiganie kwa kuwasemea wanyonge,ungepata wenzako Kama watano undava ungepungua bongo