Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer)
Вставка
- Опубліковано 22 січ 2025
- Jaivah and MARIOO join forces to ignite the airwaves with their electrifying collaboration, 'Buruda.' As the year draws to a close and festive spirits soar, this dynamic duo presents the ultimate party anthem, designed to keep the celebrations alive. Bursting with infectious beats and high-energy vibes, 'Buruda' is more than just a song - it's a musical escape, a testament to the joy of togetherness and the perfect soundtrack for year-end revelries.
VIDEO CREDITS
1. JAIVAH X MARIOO
2. DJ ALLY B
3. CHINO KIDD
4. POSH BOY
5. CUKIE DADDY
Bookings /Enquiries
📩 bxtratz@gmail.com
Follow us on social Networks
/ jaivahtz
/ jaivah
/ jaivahtz
plus.google.co....
indiesound.com/...
Jaiva kauwa Mario ndio staa 2023 amna kama yy Ila bana wanambania sana
kama umemuona DJ Ali B miwani ikitka muanguaka piga like hapa
AWEEE.....JAIVAH 😂
👌🖕👐🖖🦾😅🏇
😊
Marioo pongez kwako❤❤
Kilicho nileta hapa ni ilo neno la jaivah aweeee😍😍😍
2023 ulikuwa mwaka mzuri kwa jaivah sana sio kidogo hapa ndio niwakumbushe wanadamu ukuu wa Mungu ABBAH alimleta MARIOO mjini na kumkuza kwa brand yake mpka leo naye MARIOO kamsukuma kakayake ABBAH mpka leo tumemjua JAIVAH Mungu awabariki sana wana ndugu msha kuwa familia moja ata siku mkipishana rudini msome coment hii itawakumbusha mliko toka AMINA🥰🥰.
Nakupenda sana kaka yangu mungu ukujaliye
Ila jaivah na marioo nawapenda bule sabufa yangu inakoma wallah majiran ndy awapumui maan nyimbo sauti adi 63 alafu buruda tu 😅😅😅💞💞
Huo ushamba
😂😂duh kumb Ayo mamb bado yapooo walaii
Hahahahha
😂😂😂me pia napenda mziki
😂😂😂😂🎉
Jaiva me sauti yako tu inanikosha aweee❤❤
Huyo kaka anaeendesha gari anavibe hatar😂😂😂
Now this is what we approve as South Africans ❤
👍👏👏👏
Welcome to tanzania
love
U.. can't..feel. the vibe.... without..jaivah.... voice ..jaivaaaaah
🎉sanaaa
chuma cha baridi like hapo na Qumban sapoti zenu jaman naombeni fungua hapo kwenye hiyoo picha hapo
🎉🎉
Mariooooooooooooooooo!!!!!!!baaaaaaaaaaade!!!you never disapoint my guy🔥🔥🔥🔥🔥emoji nd BIGup Jaivah skilled n unique voice#Buruda
Everything Marioo touches turns to a gem this brother is super talented
o
Dude la kufungia mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏻 gonga like
🎉🎉nyimbo nzuri sana
Showing love from 🇰🇪🇰🇪
Unyama. Sana wanangu. Nimetokea. South Africa ❤🎉nipeni. Like
pamojaaaaaaaaa
Jaivah took this personal
Tukachkueni OB jamaa Jaivah kauwa!🇰🇪❤️
Wow
ok@@SalmaSharriff-fx9mg
Mega Beat!
Marioo killing all this piano beats no doubt he is number one in Tz right now 💯
His good but not number 1, No No
@@nzurisanatv2285 to me bro no one is killing piano like him no one
@@nzurisanatv2285he’s no1 in bongo piano no fvckin cap 🧢
🔥🔥🔥🔥🔥
Number one there's simba lama simba dangote
The resounding Jaivah Roar! 🔥
Igama lamii ngu - Striker!
Oya mnajua knm dash!!!!!!!!!!!!!!❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🕺
This combo should just do an album already
Well enough talented
I love Jaivah's voice,like damn daddy's home
You is the king jaivah
Hi
Soon you'll be divorced
The voice is so cute😅😅
The voice is mwaaah 😂😂I always listen to jaivah song before I go to bed
Kama kuna kenyans munapenda muziki ya wabongo na sio ya kenya like hapa
I love bongo songs and Kenya songs
Hii chemistry ya Marioo na Jaivah … ni sio poaaa 🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤😂😂
Marioo ndiye mrithi sahihi wa diamond.Bongo flavor iko mikono salama.
🎉Qqqxq q 11qqq
🎉Qqqxq q 11qqq
X Xzibit Xzibit❤,
Q
Rfr
Love ur voice Jaivah big up msalimie Chino
Umeweza kijana baddy
naukubali huu mziki sana
Jaivah una sauti nzuri
Achana na bad nation Yani on top juu ya mezaaaa halloooo🥶🔥🔥🔥
Usiacheee
Watu wa Mombasa tupo ndaaaaniiii, Marioo hi😍
This year ilikua ya mariooo❤
Like❤❤❤❤
This Swahili Piano always hits different 💥
Ikrr😊😂
Wallah
Nimekujuwa kupitia mpemba comedy kutoka zamy
Igama lami ngu-Jaivah wena
Aweeeh..Aweeeeeh
Aweeeeeh
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza
Nikamwambia mitungi, buruda
Washa hata kitu, buruda
Na kama upo fresh na kama sio kesi
Hapa hata mikasi, buruda
Nikamwambia mitungi, buruda
Washa hata kitu, buruda
Na kama upo fresh na kama sio kesi
Hapa hata mikasi, buruda
Nani jina lako..?!?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Ubani igama lakho..?!?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Si mtoto alivyoona venye nimepoa
Ye akanichukulia poa
Na mwanenu nnavyojua kukomoa
Naweka kama natafuta ndoa
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Aloooooh
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo, kojo, kojoo)
Kojo, kojo, kojoo
Nimelewa sioni mbele, sioni nyuma
Sioni juu, sioni chini tundu liko wapi
(La choo)
Sioni mundu, sioni kijema
Kwani njia iko wapi
(Ya chooni)
Kama nawakwaza semeni
(Hautukwazi tajiri)
Kama nawaboa semeni
(Hautukwazi tajiri)
Kama nina gubu semeni
(Hauna gubu tajiri)
Kama ninabaya semeni
(Hauna baya tajiri)
Shiih..
Leo dj nani, chapa ngoma ya Zuchu (honey)
Anapiga nani, hebu ngoja nipokee..Aloooh
(Hey baby please, come back home please, I need you now)
Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home
Au ninyi mnasemaje
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo, kojo, kojoo)
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mwaka huu inatosha daah mtatuua sio kwa hizi ngoma kali sana daah 🎶🎶🎶 jaivah na marioo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I Swear This Is Another Banger Mario Keep It Up🎉🎉🎉
Marioo Bad Nation congrats bro❤❤ Jaivah love your voice 🎉🎉
Kumbe dishi 📡imeyumba bana khaaa zuchu umeuaaaaa👌👌👌❤❤❤
AWEEEEHHH!!!!
This banger is a hit song already
Jaivah umetuharibia wake zetu, sa hivi wanautaka tu.
😂
Jaivaaah 🔥and marioo nailed this song its lite aiseee keeep going🗣🔥mwaka huu lazma wawarogeeeee😎hawawaeziiiiiiii 👏
Watching from Capetown city magnificent piano
Iike The voice of jaivah❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Jaiva. 💝💝 Na Mario Nawakubali sana 🌹🌹🎵🎵🔊🔊❤❤❤❤❤❤
u kill it jaivaaah💯
Voice jamanii ni 🔥🔥 wametishaaa
Hii sauti ya j ni balaa itaniletea shida kwa nyumba😊
Kweli ety😂
Love the beat ❤❤❤❤😂🎉🎉😊😊
Jaivah your voice is killing me always❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Uhh
nimeipenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂😂😂😂😂😅😅😊😢
UtgUbcghfdf❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nice work nice creative 😁😁👏👏👏👏 vibes on
Buruda liiit🔥🔥🔥🔥
apa only mario njonimefata kamanawakwaza semeni awutukwazi tajiri
I thought it's pop smoke jamming on Amapiano vibez🎉😂😂❤❤
I still.miss that soul 😢😢😢
Nakubali
hii ngoma ni banger, tamu sana....inaguza sehemu fulani kwa mwili unasikia raha....washa kitu buruda...Much love from Kenya
aweeeeee jaivah una hatariiiiiiiiiii😘😘😘😃🤣😃😄😅😅😁😂
This song is a big vibe. Enjoying it hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.shootout Jaiva and Marioo
Swahili
The only one that is the best way for you are doing well and that is you
Hatari sanaaa❤
Nyimbo nzuri sana Ila Video mmeifanya rahisi sana
Yaan
It's another banger🔥🔥🔥💯
Jaivaah is my favorite ❤❤
Hana baya 😂
🎉🎉🎉
Sawa😂
Ziko wapi likes kwa jaivah na marioo👍👍👍👍👍
Napendaa ❤❤❤saan sauti ya jaivah yan inanifurahishag kinom yan
Jaivaa vybz danger hatari big shout to jaiva ,marioo and chino from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Buruda is on fire always
NOW THIS IS what weapporveassouthafrcans❤
Uzuri hii nyimbo kila baada ya 5 yrs inaweza kuboreshwa kwa kuifanyia update ya majina ya machinga wote waliotawala humo
You nailed it my gee
I swear this is fire ❤ Mario keep it up
Hot piano
Hiyo nyimbo imeniingia Kwa moyo
Kings of swahili amapiano ❤☝️
Kali 💥💥💥💥
JAIVAH FT MARIOO = HITS🔥🔥🔥
good😂
Good jaivah good than good fundi wa amapiano bongo
On behalf of my family,and my village people ,my ancestors and my African brothers in Amsterdam,we appreciate.
Hey
Yooh this is a banger and the vibe is right. Ananiangalia huku macho analegeza....from Kenya with love. Majirani wanapiga kazi safi sana twashukuru.
Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi
Jaiva took it personally and took the song into the next level
😂😅❤
Love ya jaivah from 254
Song of the year❤
The combination of Jaivah & Bad has never left us fans. Complaining these people are a disaster"🎉🎉
Good song 💯
Irudiwe jmn nawakubl sana❤❤❤❤ jaivah awee umeuwa mwanang
Marioo baddie the king of amapiano in East Africa 🔥🔥🔥
Marioo deserves more recognition
katundu muzito 💪💪💪💪💪💪💪💪
#Jaivah ni fund maan Hilo li bass kweny amapiano Ndo zury aseee😮🎉🎉
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊💪😁jaivah marioo 2 th wrld🎉🎉
Anajichezesha kama mtu msenge sana uyo mtoto chino, show zenyew hapigi bila verse za watu
🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬 gather here🔥🔥
i like the beat♥️🔥🔥🔥🔥jaivah and mario this shud be a hit song
Such a world class banger
leo dj nani chapa ngoma ya zuchu,,,,,,,,,😀😀😀😀😀honeyyy is my favourte part
Classic piano sound💯💯💯💯
JJUUIIIII
❤❤❤❤❤😂
Best 🔥🔥🔥🔥🔥 likes from Kenya one love ❤️🇰🇪🇹🇿