Hakuna mwingine ataweza fikia kazi zako zote za harakati ngoma zako zinahitaji watu makini sana Giza limejaa kwenye minds za watu wengi sana much love💞💞💞💞💞 Brother with God walk to you all over the sides ""wherever & forever"" Real patriotic Genius
@@TungoZaMswahiliJk Macho makengeza na miguu yako, zina mbio za kukosoa kwa kutafuta ubaya na sio kusoma kuelewa alichokimanisha mwamba wa miaka sita from 2008 hadi leo bado jicho lake ni pevu kwa tungo za Roma zilizoenda shule. Jifunza kupunguza kiherehere au kusoma huku ukipiga chanfya, then unacomment chapchap ili nawe uonekane kwenye chat list. Punguza shobo au rudi darasani!
Roma na Kara Kati ya wasanii wa Tz ndio Wanaelewa nini maana ya usanii wa mziki. Nashauri vijana wenye ndoto za usanii ni watu sahii kuwaiga. Usanii bila kuvua, kuchora tatuu, wanaume kusuka nywere, kujichubua, na mambo hovyo kama hayo inawezekana. 🎉Maua yako brother 💐💐💐🌹
In this year 2099, my great grandson, in 2023 there lived a legend called Roma who is own country refused to recognise him, but we still respected his work.
Mie ni @Kijana Mdogo Alexo. Naskiza tokea Kenya 🇰🇪.Hizi ndizo chupa baada ya chupa. Hongera #Viva_Roma kwa kazi nzuri zenye jumbe nzito. Mungu akutangulie & akulinde.🙏
Congratulations roma wimbo wako ambao mistari masito Sana love your songs Roma ,,niliposikia wimbo huu nilikumbuka wimbo yako nyingine ya simbwambwe 😢😢 congratulations bro
Roma is my favourite musician. If only we had the option to exchange all our politicians for this guy, we can even add our religious leaders. Huku Kenya tunakupenda sana Roma.
Hii nayo imetetemesha dunia nzima. Ni wapi kwingine tutapata msanii mwenye maono na mkakamavu kama huyu? Roma ni zaidi ya chuma ya reli. Words can't explain how instrumental and good you are. Much love from Kenya🇰🇪
Roma unafikirisha sana kaka, ni mwanafalsafa wa karne yetu katika Ardhi yetu' Tanzania 🇹🇿. Wewe ni mtu huru kiakili, ni vitu viwili kwa asie kuelewa Ana shida ya kiakili au hajakusikiliza. Leo tena umefanikiwa kuleta swali gumu kwetu🤝 , kwa jukwaa lingine nitakujibu Bro
Big up bro you made my heart breath now your a man that I miss ur sound I was asking my self where are you Tanzania ina angamia bila sauti yako at end u made it bro ata ukienda umesema ya moyoni mwa watanzania bro zaidi tuna kuombea maisha ya milele.
Daaah yaan Roma na Neyo mnaniliza 😢😢 hizi nyimbo zenu najikuta najiwekea huruma alafu kuna sehemu nafc zao zinawasuta hata kama hawatasema ila ipo cku yao
Ney and Roma hawa ndio watetezi wa taifa letu
achia like zako kwa hawa wajamaa
nani yupo number moja on treading tumchomoe kudadedi hip hop is on this man 2090 watoto huyu alikua babu yenu mwenye akili nyingii sanaa
da bro mbunifu sana❤
Aliyewaua wote ni muda tuh
Hakuna mwingine ataweza fikia kazi zako zote za harakati ngoma zako zinahitaji watu makini sana Giza limejaa kwenye minds za watu wengi sana much love💞💞💞💞💞 Brother with God walk to you all over the sides ""wherever & forever"" Real patriotic Genius
Kabla Mimi sijazaliwa nlikuwa tayari namkubali Roma😂😂,much love from 254 mwanangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪📌
Ngoma inavyoanza nikahisi mwamba leo kazingua ila kadri sekunde zinakwenda nagundua huyu mwamba hatari Sana!!!! Tisha Sana bonge la kazi.
Wewe ni "MUDA" nina uhakika niko sahihi maana muda ukifika kila mtu ataondoka, na muda haujatajwa kwenye wimbo😊
nice
👍👍👍👍👍
Yee MALAIKA MTOA ROHO AFANYAE KAZI YAKE KWA AMRI YA MOLA WAKE
Nikweli
Muda umetajwa,
"Muda ukigoma....."
Cjakuelewa ata kidogo
Wakati tunaendelea kutafakari we nani, tutengenezee na ya bandari.😊
Umejuaje ..atuambie kwanza yy nani ili wafanyamikataba hovyo atuondolee wote ..
Much respect✊ to roma 🙌 drop like hapa kama umerudilia zaidi ya Mara tano
Duuu huyu jamaa ana hasira aise
ALWAYS FACT ARE FOUND IN GENIUS MIND.. ROMA MMOJA KATI YA WATU WACHACHE TULO BALIKIWA KATIKA NCHI YETU... nipeni maua yangu✍️
Namuomba atoe ngoma nyingine kuusu bandali
❤❤❤
@@CharlesiMsike❤❤❤
@@CharlesiMsikeFack asha kujibu
Trust me kwa wimbo huu umehubiri neno la mungu na tumelipokea ..keep it up my brother
Ukweli unauma sikuzote toanyimbo nyengine mgos,❤
Kaka roma natamani nikitumie voice not unielewe ,🎉 nakukubali broo wangu njia moja ❤❤❤❤ congratulations 🎉🎉🎉❤
Roma is a free soul that is an epitome of a tormented mind, that is a true definition of hip-pop. Viva Roma, you've done it again 👏
Roma nakubali sana , , , , , , , , , Tatizo hujatuambia ww ni nani ?????????
Roma,
Endeleza fikra za kujenga nchi, jamii na kuelemisha kikamilifu!! These instrumental tools of minds be blessed man!
keep it up
Jamii ganii iyo
@@godfrayodondo4134
Wewe wajua gani kwani?
@@sirialemmy37 haya mwenzetu uliyeelewa, hii ngoma inahusu nn?
Dah kwel hili song mpaka uwe na roho aiseh ✍️ big up sana Roma wetu endelea kutushushia madude 👊
Kaka roma kweli kaka bado nakubali mapigo yako kaka me niko na wewe sana kaka nakubali sana kaka pambana broh
This is what we call art 🔥🔥🔥,much love from 🇰🇪
This is so amazing 👏... Kila neno Lina maana nzito. Nmengojea hii song for long. Long live VIVA ROMA VIVA uendelee kutupakulia mziki👊👊
We ni muwaji absolutely geneus
Very Talented man
We ni kifo
Nimeotea kaka Roma nimekufuatilia tangu 2008 namiaka 6 mpaka leohujaniangusha naombeni like zaidi ya laki, ROMA FANS GENEOUS.
Huo ndo uongo 2008,mpk Leo miaka 6
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
@@TungoZaMswahiliJk Hujui kusoma boss, kasema akiwa na miaka sita
@@TungoZaMswahiliJk
Macho makengeza na miguu yako, zina mbio za kukosoa kwa kutafuta ubaya na sio kusoma kuelewa alichokimanisha mwamba wa miaka sita from 2008 hadi leo bado jicho lake ni pevu kwa tungo za Roma zilizoenda shule. Jifunza kupunguza kiherehere au kusoma huku ukipiga chanfya, then unacomment chapchap ili nawe uonekane kwenye chat list. Punguza shobo au rudi darasani!
Viva Roma!
Roma doesn't force, things come naturally as music flows in his veins.
ua-cam.com/video/pAz6orLCXiM/v-deo.html
👊👊👊👊👊👊 unyamaaaaaaaa
Bro mi nakuitaga kichwa kubwa yani unafikiria mno kupata hit unahaki ya kupewa msemaji wa watanzania Big up bro
Nimependa sana hii... Kaka nitakutafuta tufanye kazi nzuri tu kama hii
xo creativity broooh, mwalm wa math haujawahi kutuangusha, me kama mwalim wa kemia nakuahid utafika mbali!!
Kaka upo vzr Sana. Na watu wengi wanashindwa kutafsili kifo ni nn¿?.na Ni mpango wa Nani mungu Atujalie maalifa makubwa
Roma na Kara Kati ya wasanii wa Tz ndio Wanaelewa nini maana ya usanii wa mziki. Nashauri vijana wenye ndoto za usanii ni watu sahii kuwaiga. Usanii bila kuvua, kuchora tatuu, wanaume kusuka nywere, kujichubua, na mambo hovyo kama hayo inawezekana. 🎉Maua yako brother 💐💐💐🌹
Nay wa mitego mzee
Umenifanya nilie mwanaalakati god bless you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥂🥂🥂🥂
Jamani ,mpeni mauwa yake jamani bado mapema.hii ngoma itaishi milele,big up sana Roma ,nimeipenda sana hii...
TATIZO LAKO ROMA UNAPENDA KUSEMA UKWELIII.... TAKE YOUR FLOWERS FROM ME 🌺🌺🌺🌺🌺
Ubunifu
In this year 2099, my great grandson, in 2023 there lived a legend called Roma who is own country refused to recognise him, but we still respected his work.
whose own siio who is bwana
UA-cam won't be present
Oya hi ngoma Hadi kesho wadau💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Jama Ana weza sana uko juuu kwa doka 🎉🎉🎉
Daah, hii nyimbo inatafakarisha sana. Na mbaya zaidi sijui ata natafakari nini. Big up Roma. Umekuja nje kabisa na matarajio yetu
Roma Ni Mdaa
Kweli mpaka sasa nimeisikiliza zaidi ya mara kumi nimeambulia tu 2002 alikufa baba yaje roma still yeye ni nani?
Umetisha kaka
Ccm 😅
@@papywabarega253 ccm Hadi south Africa🤣🤣
Mie ni @Kijana Mdogo Alexo. Naskiza tokea Kenya 🇰🇪.Hizi ndizo chupa baada ya chupa. Hongera #Viva_Roma kwa kazi nzuri zenye jumbe nzito. Mungu akutangulie & akulinde.🙏
Aisee...! Hii imefanya nifikiri sana ..! Ila jibu sijapata ye ni nani!!!🤣 Roma shikamoo✋
Guys kusema roma Ana talent itakua tunakosea this guy his blessed ❤❤❤
Congratulations roma wimbo wako ambao mistari masito Sana love your songs Roma ,,niliposikia wimbo huu nilikumbuka wimbo yako nyingine ya simbwambwe 😢😢 congratulations bro
Wewe ni dhambi.....
Mungu alisema hakika UTAKUFA, utakapokula tunda la mti wa katikati.
MY COMMENTS AIN'T HOLLY AND WORTHY ENOUGH TO BE HERE, YOU'RE THE REAL DEFINITION OF THIS GENRE OF MUSIC CALLED HIP-HOP... LIVE LONG ROMA 🖤🙏🔥🇰🇪
I approve this hit song....Dear lord protect this genius from all the social adversities.
Jibu yote yanafanyika ni Mungu ndio amepanga good broo
God father protect you brother 🇹🇿🤝📛🔥🔥🔥,,imefika hii
King Roma sending us back to the Library again.
Msomi kaka nakukubali 👍Good history Good Act
Daaa hatari sana always we respect you bro ....MIMI NI NAN?? Sema yule dada katisha sanaaaaa! Et itakuwa wew "JINI"😂😂😂 so intellectual
Roma isn't pregnant but he always delivers ❤️💥🔥🔥... another Banger 🥶🔥💯🙌
oyaa weee miakili💥💯
💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣
Iyo sio banger Kaka
Viva mkali..nipo na fuso ya maua yako
Umetisha broo
Roma is my favourite musician. If only we had the option to exchange all our politicians for this guy, we can even add our religious leaders. Huku Kenya tunakupenda sana Roma.
Tunaompenda Roma bac nipen like mia200 tu
Nakubarii mukarii kwa arakatii dondosha tuu wata Kaa sawa naku kubarii sanaa
Hii nayo imetetemesha dunia nzima. Ni wapi kwingine tutapata msanii mwenye maono na mkakamavu kama huyu? Roma ni zaidi ya chuma ya reli. Words can't explain how instrumental and good you are. Much love from Kenya🇰🇪
maono gani sasa?
@@IamTheStore Asiyejua maana haambiwi maana
Kaka nakubali sana
@@IamTheStore #Kuuelewa Huu wimbo inatakiwa Uwe na akili ya?Ziada.
😀😀😀😀 dah! kumbe nyimbo inaitwa KIFO 💪💪💪
Naisubil kwa hamu2030🎉🎉🎉🎉nakubar Dana brother Roma
Grande song nimependa sana From Palma 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Bro am from Kenya but your songs mazee unafaa uziimbie kenya.i luv the way you speak our minds
Kwasasa hakuna msanii mithili ya Roma. Yuko top...
Daaaaah oyaaaa kaka createve sanaaaaa 🌹🌹🌹chukua maua Tena.
Roma unafikirisha sana kaka, ni mwanafalsafa wa karne yetu katika Ardhi yetu' Tanzania 🇹🇿. Wewe ni mtu huru kiakili, ni vitu viwili kwa asie kuelewa Ana shida ya kiakili au hajakusikiliza. Leo tena umefanikiwa kuleta swali gumu kwetu🤝 , kwa jukwaa lingine nitakujibu Bro
Leta jibu kak
Naomb ujibu pls
jibu ni "Muda"
Roma na aitwe Roma tu
Hii combination ya producer na Roma ni hatari sana
Baba niko hapa nasubiria ngoma iwe live
Tungu nimekujua Kaka ROMA ujawai kukosea chukua maua yakoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Creative thinking and the way of delivery in Roma😢... Roma is just on his own level🙌
Mmh nyie huu.wimbo
Safi sana mkatolik ujawai kosea big up brother chukua maua yako nipen like zangu
ROMA MKATOLIKI MWENYE ASILI YA KIYAHUDII🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏
Inshaaaaaaaalah....Wewe ni LIFE
Ni moja kati ya wasanii wenye ushawishi mkubwa tanzania
Pure creativity...another realm of poetry
Much love from kenya...siskizagi rap za bongo ila huyu ni mwamba milele
The message here is that we should remember that death is there,let us live the life that glorify God
Sijawai pata rike hata moja
Let's go 🔥
Roma ni msanii bora toka Enzi
Matukio yote makubwa ndani ya dk 4 ... GENIUS MIND....🔥🔥🔥🔥
Oyaaa jafee3 achia dudeee
Ambacho ce mi naona! We ni mzee mnorya tu ivii!! Mganga wa kushoto n'a kulia
Big up bro you made my heart breath now your a man that I miss ur sound I was asking my self where are you Tanzania ina angamia bila sauti yako at end u made it bro ata ukienda umesema ya moyoni mwa watanzania bro zaidi tuna kuombea maisha ya milele.
WA 2024 tuweme likes .ake leo ndo napata kujua ye n nan ni siasa huyo😊
Ubunifu💯💯
Alwayz fact are found in Genius mind📌....I appreciate u Roma Mkatoliki
On behalf of my ancestors,clan, nation and my wicked landlord we approve this song
😂😂
Why wicked landrod🤣
Duuh
daaah Roma Kwa kweli huna mwenzio
Umewafunika wote
Pewa maua yako
Hi ngoma lazima ukae vizur uskilize ili uchambue verse after verse... To be honest, this is hip hop #VivaRoma
Zaidi ya akili ya kuzaliwa 💪🏻🙌🏻
Roma ako wapi siku izi ...maua yako ndio hii 💐 🌹 🌸 🏵 🌼
Man I wonder why this dude has no awards,Kenya salute youuuu!
Because he is above their reach.
@@edwinjhilbajojo2429 yeah I respect this guy
Daah apo kwa Hussein Ramadhan Mkieti(sharomilioneq)daah💔💔💔💔😥😥😥😥🥺🥺
Umewagomea kutoka namba 1🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️ukitoka tu hapo tuachie dude lingine
Roma uko on your own level 👏 love from Kenya 🇰🇪
Hili jibu alijai bainika lkn lipo wazi...mungu saidia watu wako.
Dah respect sawa broo endelea kutuwakilisha Kaka peperusha bendera Viva Roma viva
Hii ngoma inazosha aseee...kama unakubali gonga like
Ana ongelea nguvu za free manson
CREATIVITY AT ITS HIGHEST LEVEL, MUCH LOVE FROM +254 (KENYA)
Daaah yaan Roma na Neyo mnaniliza 😢😢 hizi nyimbo zenu najikuta najiwekea huruma alafu kuna sehemu nafc zao zinawasuta hata kama hawatasema ila ipo cku yao
I remember when the south African was looking their freedom through the singers, vivaroma