Hiki ndicho chanzo cha VITA ya URUSI na UKRAINE/ Nani Mchokozi/ Marekani anataka nini?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kumekuwa na maswali mengi juu ya watu kuhitaji kufahamu kwa undani nini chanzo cha vita ya Urusi na Ukraine. Kwanini Marekani anatajwa sana kwenye vita hii?, Putin anataka nini kwa Ukraine?. Yote haya yamewekwa wazi na mtayarishaji wa vipindi vya Redio kutoka East Afrika Redio Grayson
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Russia #Ukraine #War

КОМЕНТАРІ • 218

  • @virginiawambui4001
    @virginiawambui4001 2 роки тому +11

    Mimi ni metoka Kenya but huyo jamaa ametuma ni jue history ya Russian keep it up bro

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 Рік тому +2

    Wacheni kuyilaumu Marekani sio kweli.

  • @alimarezi3613
    @alimarezi3613 2 роки тому +4

    Jama Yuko vizuri sana

  • @majormajomjohn3775
    @majormajomjohn3775 2 роки тому +4

    Asante Grayson kwa madini yaliyoenda Shule

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 2 роки тому +16

    nafurahi kuona kijana mdogo anafahamu historia ya ulimwengu,vijana wengi ni wazuri kueleza kuhusu bongo flava.

    • @johnkamara1080
      @johnkamara1080 2 роки тому +1

      Na umbea mwingi

    • @antonymangu3458
      @antonymangu3458 2 роки тому +1

      @@johnkamara1080 Tunajivunia KISWAHILI kuliko hio kingereza yako ya pesa nane

    • @Siasa-k7v
      @Siasa-k7v Рік тому

      Na Machawa Kuna mmoja anaitwa DC anajisifu amesoma Ako na Degree na anashinda kuongea ujinga tu!

  • @ramadhanikalungwana6809
    @ramadhanikalungwana6809 2 роки тому +1

    Binafsi nimekufurahia sana!!! Uko vizuri!!!

  • @kijonalusay
    @kijonalusay 2 роки тому +7

    thanks kwa infor jamaa kaongea vizuri sana na anaeleweka sana ❤️🇹🇿🇨🇦🤝

  • @ephrahimukangalawe441
    @ephrahimukangalawe441 2 роки тому +3

    Rassia anaishambulia unkiren ni kosa, lkn marekani akishambulia iran afganistani, au libya siyo kosa ,

    • @allykwaya
      @allykwaya 2 місяці тому

      Upuuzi wa kuaminishwa kwamba ubaya wa America na washirika wake ni halali na siyo dhambi ispokuwa ubaya uwe kwa wengine Tu.

  • @catholic_playlist_tz
    @catholic_playlist_tz 2 роки тому +3

    Respect sana to Grayson... Ametoa madini safi sana... Big upo bro

  • @dannyasavela6232
    @dannyasavela6232 2 роки тому +2

    Mwanangu Rick naijua sana Historia naomba nafasi mzee

  • @floranangawe9000
    @floranangawe9000 2 роки тому +8

    Hongera kaka uko vizuri, Historia unaijuua Big up sana, kipindi kizuri Hongera kwenu waandaji

  • @awadhawadh6916
    @awadhawadh6916 2 роки тому +9

    Nawaombea Kwa Mungu yaishe haya mapema sana

  • @allykama3352
    @allykama3352 2 роки тому +3

    Rudiyenu mukataba wa 1962 ,Russia na USA na Cuba na Turkish, mutapata ukweli mzuri

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 2 роки тому +5

    mchina kulinda mrusi ni lazma ikumbukwe kesi ya TAIWAN ina fanana na hiyo ya ukrain. leo akimkataa putin ikumbukwe kwenye kesi ya mchina na TAIWAN pia urusi atahitajika kupiga kura.

  • @Sifalbertandluoisplay
    @Sifalbertandluoisplay 2 роки тому

    Nashukuru sana kusikia haya

  • @Lifeeofemmy
    @Lifeeofemmy 2 роки тому +5

    Ukraine ilikua kama Ukraine katika umoja wa USSR na Moscow ilikuwepo kama capital city ya Umoja huo .wala Ukraine haijazaa Russia ,kwasababu baada ya USSR kuvunjika kunamataifa kama Belarus,Minsk ,Kirgizistan Tashkent,Uzbekistan Doushambe,Turkeminstan ,Armenia Tirana na mengine ... yalitoka kwenye umoja huo USSR

    • @sangadismasf3373
      @sangadismasf3373 2 роки тому +2

      Nadhani huyu bwana amepitia juju hii historia

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому

      Kabisaa JAMAA Hajui HISTORIA Ya URUSI Wala SOVIET UNION, Halafu Amesema EAST GERMANY Ilikuwa Part of SOVIET Hiyo Si Kweli Kwenye Vita ya PILI ya DUNIA SOVIET Walijenga ile Ukuta wa Kugawa UJERUMANI MAAHARIKI NA MAGHARIBI Lengo ilikuwa Kumdhibiti ADOLF HITLER Asitoroke ili wamkamate Na Walichelewa Kidogo Wakamkosa HITLER Alitoroka kwa MANOARI Chini kwa Chini Akakimbilia na Kujificha huko Chile Amerika ya Kusini, ndipo Baada ya Vita UJERUMANI MASHARIKI Ikaelemea Siasa za Ujamaa COMMANIST Ikiitwa GDR Au na WEST GERMAN Ikaangukia SIASA Za MAGHARIBI Anasema SOVIET Iliingia mpaka SERBIA Mhhh Si Kweli. SERBIA ilikuwa Mji Mkuu wa UGOSLAVIA AMBAO ilikuwa TAIFA HURU Llinajitegemea ila ilikuwa Imafuata SIASA Za Unamaa kama URUSI COMANIST, Kipindi hiko Nchi Zote za ULAYA MASHARIKI Zilikuwa Imafuata SIASA Za Ujamaa COMMANIST, kama Vile ROMANIA BULGARIA ZCHERK SLOVAKIA Na Zingine Baadae UGOSLAVIA Ikabomolewa kama Vile SOVIET Ikatoa SARAJEVO, BOSNIA COSOVO Na vinginevyo,

    • @jabiraxmed7898
      @jabiraxmed7898 2 роки тому

      Bwana wee hawa watu hawajui historia western ukrane na Crimea ilikua ni sehemu ya Russia na hiyo nchi ya ukrane iliundwa VI leney na huyo ndio alieunda Soviet union ni kweli mji mkuu wa warusi ilipoanza miaka hiyo ilikua Kiev lakini kabla ya hapo ilikua hamuna ukrane na ukrane hawana silaha za hivo

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 Рік тому

      Yupo sahihi hio Russia empire ya enzi kitovu chake kilikua Kiev kabla ya Moscow.

    • @chagaapauline1247
      @chagaapauline1247 Рік тому

      kama unasema ivyo ukren imepata uhuruake kutoka nchi ip

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 2 роки тому

    Jamaa uko vizuri

  • @jumaubwa239
    @jumaubwa239 2 роки тому

    Uko sawa

  • @babumrisha
    @babumrisha 2 роки тому +4

    Uko vizur mzee baba. Nilikua namlaumu Putin but sasa naelewa "size ya kiatu chake"

  • @huseinmwandwani1909
    @huseinmwandwani1909 2 роки тому +5

    Historia bado haijakaa sawa sana though he tried

  • @allykobra4417
    @allykobra4417 2 роки тому +3

    Sio kweli iyo historia ya uwongo

    • @cantonaiddy6042
      @cantonaiddy6042 2 роки тому +1

      Eti anasema Ukraine imeizaa Russia huu ni uwongo wakati Russia iliizaa Ukraine

    • @idioume59
      @idioume59 Рік тому

      Huyo wa mchongo tu

  • @sara-os9dn
    @sara-os9dn 2 роки тому +4

    Kama takwimu za kijeshi kati yao iko ivo dah wakae wayamalize tu sanasana hapo watu Ukraine wataisha sana

  • @mariamdickson4327
    @mariamdickson4327 2 роки тому

    Hongera

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 Рік тому

    Sio urafiki bali nikutaka kuizohofisha urusi rafiki wote wa,urusi marekani imewachukua itatawaliwa pindi ukreni ikishinda

  • @khalidbakari7163
    @khalidbakari7163 2 роки тому +2

    Hakuna watu washenzi na wauwaji kama marekani na huu umefika mwisho wao

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 Рік тому

      Wamekutengenezeamazingira unayoyaonasasa, SASA wewemwafrika umeshindwakujiwekeamfumo imAra badaye mnavurugana wenyewe leo unanyosheawatuwaliyokupaelimuvidole,vyazarau, ushenzi mtupu

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 Рік тому

      Wewe unaesema Marekani ni wauwaji je!? wamekuulia mtoto au wamekuulia mjomba ako mbona unamlaani bila sababu alafu unaoonekana wewe ni mbumbumbu kweli**ujui chochote,👻👻👻

  • @RemyByamungu-in7cl
    @RemyByamungu-in7cl 3 місяці тому

    Naku bali kaka

  • @omariddi
    @omariddi Рік тому

    Mmmm

  • @simalomaduhu5369
    @simalomaduhu5369 2 роки тому +1

    Ee mungu ingilia Kati

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 Рік тому

    We unajua history but unapendelea umagharibi umesahau kuwa urus na sera zake against ubeberu urusi ilirusaidia kutukomboa Afrika

  • @priskusianaeli9377
    @priskusianaeli9377 2 роки тому

    Hapo safi kwa elimu nimeelewa kitu

  • @sharifuhusseinally542
    @sharifuhusseinally542 2 роки тому +1

    Na hayo nimajimbo kama vile marekani kuna giogia, chechinia, ingueshetia, Dagestan, kazakastani, uzebiksitan, Belarus, kreimea,

  • @victormathayo743
    @victormathayo743 2 роки тому +1

    Ongera umetu erewesha vizuri

  • @othmanmussa3416
    @othmanmussa3416 2 роки тому +1

    Richie congrats bro..unajitahid sana

  • @shabbymakapaneshabby5000
    @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому

    GDR Au X UGERUMANI MASHARIKI Haijawahi Kuwa Party of USSR Bali Ilikuwa Inafuata SIASA Za KI COMMANIST Au UJAMAA

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 2 роки тому +3

    Mimi binafisi kuawa kwa Gadafi sijafurahi sana Basi tuu,ata sadam haikuwa vizuri kuawawa

    • @robertsmwinyi4515
      @robertsmwinyi4515 Рік тому

      Kiukweli viongozi hao waliponduliwa na kuuwa kimakosa, wababe wa wakati George Bush junior na Baraka Obama na sera zao kandamizi ziliwaongoza kufanya hivyo kwa masilahi ya viwanda/ makampuni ya zana za kivita ambayo ni wachangiaji wakubwa kwenye uchumi wa Marekani.

  • @blackmanking3447
    @blackmanking3447 2 роки тому +2

    Urusi hawataki kuchukua Ukraine ila wanataka kuhakikisha watakapotoa wanajeshi kule, wahakikishe kua serikali watakayo acha imo pande ya Urusi 100% na hata serikali za baadae

  • @idioume59
    @idioume59 Рік тому

    Marekani syo kitu wanabweka tu

  • @oss6689
    @oss6689 2 роки тому +1

    China 🇨🇳 to support Russia 🇷🇺 inahaki kwa sababu china anampango wa kuipiga Taiwan 🇹🇼 aichukue .
    Anyway mmejaribu ila wote tuelewe kwamba Kenya 🇰🇪 kuidai tanzania 🇹🇿 kama ni mji wa Kenya 🇰🇪 sio haki kwa leo ingawa enzi ya ukoloni zilikua inchi moja. Russia kudai Ukraine 🇺🇦 ni mji tu wa Russia Ukraine sio inchi wala haiwezi kua inchi tulilani.

  • @dullasoldado9541
    @dullasoldado9541 2 роки тому +5

    It's could be so good if you put some pictures on the video like the pictures of the cities that you are talking about or some other pictures while you are talking.

  • @kornelialbert9489
    @kornelialbert9489 Рік тому

    Mbona hamjaiongele pesa ya urusi ruble mmeongea mambo mengine TU

  • @eray5446
    @eray5446 2 роки тому +3

    Dah,hii vita ni hatari

  • @estherwilliam3758
    @estherwilliam3758 2 роки тому +1

    Nilitaka kujua hatimaye leo nimejua🙏🙏🙏

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 2 роки тому

    Hongeraaa bro elimu hii hekko

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 2 роки тому

    Kwa kweli hujui chochote

  • @kelvinsichone1471
    @kelvinsichone1471 2 роки тому

    Thanks Zambia

  • @kanyamageorge7015
    @kanyamageorge7015 2 роки тому +5

    Huyu sio mchambuzi ni munganishaji wa vipande vya taarifa za historia.Kama Ukraine ni Urusi ya Kiev Moscow ikijulikana ya Rasha.Angetuweka sawa Mongorian walifanya nini Ulaya na Asia.Koo zipi zilitoweka zipi ziibuka.Nini chanzo cha yote yake.

  • @allykobra4417
    @allykobra4417 2 роки тому

    Sio kweli

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 2 роки тому +4

    KAKA RICK MWAMBIEA KAKA GREYSON ANIPE NAMBA ZAKE ANAJUWA MAMBO MAMBO MENGI KWAKWELI KAMA NI MADIN ANAYO YAKUTOSHA HONGERA YAKE

  • @kyatikomakunja6897
    @kyatikomakunja6897 2 роки тому

    Good time

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m Місяць тому

    ndo wanampenda warusi wanampenda Rais wao

  • @sharifuhusseinally542
    @sharifuhusseinally542 Рік тому

    Kwanza msisahau tofauti za polishi mrussi nikiongozi wa nchi za mfumo wa kijamaa na marekani nikiongozi wa nchi za nfumo wa kibepari hivo hizo ninguvu mbili zinazoshindana

  • @yakubumuhamedi3297
    @yakubumuhamedi3297 2 роки тому

    Hongera Kaka upo vizuli kwenye uchambuz😄😄

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 2 роки тому

    Usisahau Rais Biden alimwambia Putini usifikiri ukianzisha vita ya nyuklia utashinda
    hauko kwenye nafasi ya kushinda

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 2 роки тому +1

    Saf sana uko vizuli huo ndo ukweli kabisa

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 2 роки тому +12

    Tatizo ndio hilo watu weusi kilasiku tutakuwa watumwa tuu watu wamemuua gadafi hakuna alie ongea lolote yemen 🇾🇪 wana pigana hakuna anaae ongea lolote lakini kwakuwa wana pigana watu weupe ndio unaona kila mtu anaongea sasa ukimaliza kuongelea Russia 🇷🇺 uongeelee na afrika utavyo teseka

    • @saidyhasshim2373
      @saidyhasshim2373 2 роки тому +3

      Uko saiih wafrika wote wapumbavu Kongo kuna vita Somali napo vipo lakini wazumgu ndio wana tuletea vita vya wenyewe kwa wenyew

    • @blackblue9729
      @blackblue9729 2 роки тому +3

      Ndio maana Trump alisema Africa inabidi tutawaliwe tena kwa mambo kama haya

    • @danielmbaga4596
      @danielmbaga4596 2 роки тому +1

      Pole ndugu yangu akili ni nywele kila mtu ana ZAKE!!!!

    • @jieurtshitshi-tshifunga6639
      @jieurtshitshi-tshifunga6639 2 роки тому

      Tatizo kilicho fanya gadafi afe ni aliegemea kwenye dini tatizokubwa la bara la Afrika utumwa wa dini zakigeni zinafanya watu kuwa WA tumwa

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 Рік тому

      @@jieurtshitshi-tshifunga6639 aisee katika watu ziro brain ww ndo kilaza kabisa,unajua gadafi alikuwa anachangia robo 3 ya pesa ya kiti cha afrika(AU) na nimtu alietaka africa iungane na kuwa na jeshi moja,benki kuu moja(sarafu 1) na kuwaamsha waafrika wenzake waliolala na mzungu kuona hivyo kuwa shamba la bibi linachukuliwa na mmliki mwingine akaamua kuua.kasome kwanza maana napoteza muda kumuelimisha mbumbumbu

  • @u2nyaafunntengo213
    @u2nyaafunntengo213 2 роки тому +1

    Mtoa history bado mchanga sana una dokoa dokoa history.
    Hatukuelewi vizuri

  • @ibrahimbiswaro1664
    @ibrahimbiswaro1664 Рік тому

    Ngoma nzito mataifa yamemsaidia silaha Ukraine kujitegemea Putin anawaambia wamechelewa kumsaidia

  • @azizairakoze1230
    @azizairakoze1230 2 роки тому +2

    Kwetu africa vita kilasiku sisiki uchambuzi lakini kwawazungu kilamtu anajifanya anajuwa kueleza africa shida

  • @Haustine3507
    @Haustine3507 2 роки тому

    Ulisomea wapi ndugu ?...very smart upstairs

  • @Samworldnews
    @Samworldnews Рік тому

    Kwel jamaa anajua sana

  • @AristidesJustin-ik7lc
    @AristidesJustin-ik7lc Рік тому

    Historia unaijuwa nusu nusu

  • @msumajulius8076
    @msumajulius8076 2 роки тому

    Wakat huo umoja wa UssR ulipoanzia kyvi ilikuw mwak gan

  • @ibrahimbiswaro1664
    @ibrahimbiswaro1664 Рік тому

    Putin yupo sawa watu km hao wamekuwa na msimamo juu ya mataifa yao

  • @hunstonjuliusmkonyionlinetv
    @hunstonjuliusmkonyionlinetv 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa muongo marekani ni baba wa dunia

  • @chagaapauline1247
    @chagaapauline1247 Рік тому

    kwann belarus ina mggoro wakisiasa alafu inatumika kijesh na urus

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 місяці тому

    Capitalism, Socialisim & Comunisim. Kimataifa ya Magharibi ni Capitalists ; Urusi, China na Korea Kasikazini ni Communists. Africa ni Masocialists.

  • @neemamsyani7212
    @neemamsyani7212 11 місяців тому

    Greyson una ufahamu mkubwa, kupitia vita hii andika kitabu utauza, pia utawafungua watu wengi wanaofuatilia hii vita

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Рік тому

    Mwamba ana data sema nyingi zimempotea

  • @petrojacob6070
    @petrojacob6070 Рік тому

    So!

  • @OproKahumbya
    @OproKahumbya 4 місяці тому

    Tuwaulumie raia wa ukkiren

  • @khadijaseph4306
    @khadijaseph4306 2 роки тому +2

    Ukraine ndo ilikuwa part ya Russia na sio Ukraine ndo imezaa Russia bro

  • @emanwelmanirakiza8785
    @emanwelmanirakiza8785 2 роки тому

    Umesem ukwel san nashangaa watu sana yukrene nichi inayojitegemeya warusi wametumia ubabe rafikiak akikuaca unaenda kwingin

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 2 роки тому

    Good job bro

  • @jubiercib3074
    @jubiercib3074 Рік тому

    Hyu jamaa anajithd lakn still hyuko vizur kuelezea

  • @simonnzombo4319
    @simonnzombo4319 2 роки тому

    Muongo wewr

  • @christophermarwa1538
    @christophermarwa1538 2 роки тому

    Jamaa hajui kitu, ameclaim kidogo tu.

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 Рік тому

    Itikadi (Ideologies) kuu Duniani ni UBEPARI (Capitalism) na UJAMAA (Socialism/Communism). Nepotism sio miongoni mwa itikadi.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 роки тому +1

    Huko Russia kuna campany 360 za watu wa nato zimechukuliwa na putin.50/50 TU

  • @kamizekamize5715
    @kamizekamize5715 2 роки тому

    That's the truth bro Russia to be safe Ukraine must not join NATO

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m Місяць тому

    sisi ndo ata kama rais atumtaki tunakomaa nae adi aamalize warusi awako ivyo yan wenzetu wanaojua kama maendeleo yanatafutwa na sio kuletewa awawezi kumuacha Rais wasiemtaka awaongoze kwa kipindi chote puttin anapendwa na nchi yake na nchi zengine zenye maono kama yake❤❤❤

  • @johnfaceluhigilo7129
    @johnfaceluhigilo7129 2 роки тому

    Kweli elimu nikitumuhim sana jaama upovizuri

  • @saidajm8344
    @saidajm8344 2 роки тому

    Mungu atuepushe nahilo janga kwenye nchi yet

  • @teresiawachira1034
    @teresiawachira1034 2 роки тому

    Thanks for you historical information about Russia and Ukrain

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 Рік тому

    Jamaa muongo huyu ,sehemu kubwa ya kipindi chake ni uongo na ukweli mchache

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 Рік тому

    ivi wewe na mimi nani wakwanza kurionajuwa nawakati mosco ndio kitovu cha urussi wewe mtoto mwongo sana

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 2 роки тому +2

    Acha kuwaongopea watu
    Eti Ukren imeiza Urus🤣🤣🤣

  • @rehemamkalawa3801
    @rehemamkalawa3801 2 роки тому +2

    Doh! Yaani wachambuzi wa bongo flavor leo wanachambua vita 🤔🤔

  • @geoffreychiute4133
    @geoffreychiute4133 2 роки тому +1

    Congraturation rick... Smart studio.

  • @omaryathumani3259
    @omaryathumani3259 2 роки тому

    I y3

  • @sharifuhusseinally542
    @sharifuhusseinally542 2 роки тому +3

    We kuna maeneo mengi unayachanganya, Yugoslavia ilikua inajitegemea lakini ilikua nimwabachama Wa ukominisiti na Romania na cheko Slovakia zote zilikua memba Wa kambi ya mashaliki,

    • @hassanihema5192
      @hassanihema5192 Рік тому

      Huyu jamaa hajui vizuri historia maana anachanganya mambo sana kama yupo tayali nimpe namba simu nimmeleweshe kwa usahihi kabisa

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому

    Putini amevunja sheria nahaki zawatu kimataifa huuniupumbavu wahali yajuu, zambi inazidikutafunadunia yaani mtu anapigaramli eti atatuvamia akilizakishetani,

  • @karyori69
    @karyori69 Рік тому

    Wacha chai USSR imeanza ku-exist 1917 unachoongelea ni Russia Kingdoms mpaka Romanov empire!

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 роки тому

    WEWE WAYAHUDI WAKOWAPI SASA NA HUYU NI MUYAHUDI NDIO WANAOTAKA KUCHUKWA NCHI 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 2 роки тому

    Nimependa dialogue hii aise dah

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 2 роки тому +1

    Nami namkubali saaaaana piéton🇧🇮🇧🇮💪💪🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @SaciidAhmed-zu7nk
    @SaciidAhmed-zu7nk Рік тому

    😅

  • @leahwambui5608
    @leahwambui5608 2 роки тому

    Huyu mwalimu mzuri sana love the show

  • @ignacekullaya7406
    @ignacekullaya7406 2 роки тому

    Yy

  • @gabrielferefere1417
    @gabrielferefere1417 2 роки тому +1

    Bro muna fanana sana ulizeni wazazi wenu

  • @abdullahnassor9433
    @abdullahnassor9433 2 роки тому

    Haikuanzia Kiev ilianza karkiv na ukikua hamna Ukraine , ilikua Rus