WAKATI WA KUMFURAHISHA MUNGU NI HUU OfficialVideo-St. Don Bosco Choir Githurai 44 Ft Lawrence Kameja
Вставка
- Опубліковано 3 січ 2025
- Wimbo-Wakati wa kumfurahisha Mungu ni Huu
Choir- St. Don Bosco choir Githurai 44 Ft Lawrence Kameja
Mtunzi- Lawrence Kameja
Audio- Steve Khakolongolo (KhakStudio)
Organist -Ray Ufunguo
Video- Bugatti Studios
Video Director- Buga
Safi sana. ♥️♥️Well done wanakwaya.. mmependeza sana pia👏👏👏. Kameja na Bugati mmefanya kazi nzuri aisee👏👏🔥🔥🔥
Asante Sana Dada yetu Mkubwa Anastasia. Tumefurahia zaidi kwa kututazama.
Asante sana Anastacia rafiki yangub ubarikiwe sana 🙏🙏🙏 tumetoka mbali Sana🙏🙏
Hello@@stdonboscochoirstfrancisof294
Natafuta izo necklace za ladies,zinakaa poa Sana,any leads?
Gd one!😅😅kameja cont. With that 🎉🎉spirit
Kazi safi
Kazi safi sana 🎉🎉🎉🎉 congratulations
Wimbo mtamu Sana.....😊Hongereni sana wanakwaya wa Donbosco 🎉🎉🎉🎉🔥
Well done ! 🎉Don Bosco choir 🙏 wakati ni huu
Proud to be a Catholic faith in Jesus's name amen wonderful song 🎵 ♥️
Safi sana❤️❤️🔥🙏
🎉🎉kitu safi na tamu 😊
Kip it up donbosco choir
Thank you for a good piece let's us praise the Lord kwani kuimba ni kuomba mara ya pili
Napenda Sana nije kujiunga pamoja nanyi. Amina Sana 🙏🙏🙏🙏
@@WitnessSilvestKimvula uko karibu sana
Me npo dar es salaam kimara
@@stdonboscochoirstfrancisof294 me nipo mkoani dar es salaam. Mbez kimara
Asante Sana waimbaji hongereni mko on point.
Inaingia Kwa mfupa ndani...💃💃💃✅
Congratulations St. DonBosco. This is good music
Ukisamehe wengine umetenda wew
Tenda mema aaa tenda mazuri wimbo mtamu kweli
Mungu aendelee kuwabariki na kuwapa afya njema siku zote mwendelee kumsifu na kumtukuza mungu kwa roho na kweli ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Amina
Hongera wanakwaya 🎉 kutoka githurai
Wooow nice song 💯
Hongereni🎉
Wow..kazi safi
Hongereni sana wapendwa kiukweli huu ni ndio wakati sahihi wa kumfurahisha Mungu❤❤ hongera sana Ft kameja❤
Asante Sana. Tuzidi kumtukuza Mungu
Lovely song
Hi song unibariki sana thanks kamejor
Hongereni wanakwaya kutoka Githurai.
Congratulations 👏👏 very nice song.
Congratulations 👏 top wanakwaya
Congratulations 👏👏👏st Don Bosco choir ❤
Many many thanks
Wow🎉! This is another beautiful song from Laurence Kameja. I can't stop watching. ❤🎉❤🎉
Asante Sana Mwana muziki mwenzetu. Endelea kuutazama tena na teana😊
Well done kazi safii
Wow..... congratulations Wana Don Bosco....you still remain a part of me.....kweli wakati wakumfurahisha Mungu ni huu....kudos once more 🎉
Asante sana Beatrice
❤❤❤❤❤kazi safi
Congratulations 🎉🎉🎉 Kameja na Team nzima ,,,, kazi safi 👌👌 hakika ni wakati mzuri wa kumfurahisha Mungu wetu kupitia huimbaji wetu 🔥🔥🔥🔥
Shukrani sana
Wao... I can see we are going far church ...parish Ina wapogesa sana keep it up
Thanks alot
Asante Sana. The sky is the limit. Na Mungu mbele
Job well done don Boscombe choir proud of your preaching through singing. He who sing pray twice. May God bless you❤
Thank you very much 🙏
Good job my friends❤
Githurai hoiyeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉
Hoyeeeee🎉🎉🎉❤❤
Hoiyeeeeee🎉🎉🎉🎉
@@stdonboscochoirstfrancisof294.oyeeeeee
This is song is carrying me... The best time to do it is now.... This is so sweet... This is awesome St. Don Bosco
Thank you very much. Watch it as many times as you can, and share to friends
Wakati ni huu... Nice piece. ❤❤
Kaz nzuri sana barikiwa❤❤ ...
Yeah..🙏❤️🙏 ❤❤❤🎉🔥🥰
Ila sauti iko chini Sana cjui imekuwaje mh. Kameja, Ila wimbo mzuri sana
kazi moto sana hiyo congrats Wana Donbosco.kazi nzuri kameja Wacha tutende mema tumfurahishe mungu
Amina 🙏
Wow congrats Don bosco choir
Kazi safi, wimbo mtamu unaobariki 🎉🎉
Congratulations
Great work friends
Thank you 🤗
Hongera sana Kameja and the team, This is the time to praise God ❤
Naipenda🔥🔥🔥kweli wakati wa kumfurahisha Mungu ni huu
Mungu awabariki sana KAZI nzuri,ujumbe umetufikia KAZI ni kwetu kumfurahisha Mungu Kwa kutenda matendo mema
Wimbo mzuri sana wanaDon Bosco, Hongereni sana.
Asante Sana. Wakati ni huu
Cool music❤ keep soaring high.
Wow I see you. Thank you so much
To God be the Glory
❤❤❤❤congratulations 🎊 👏🎉🎉nice song
Congratulations guys good job Mungu awazidishie
Amina 🙏
Kazi 🎉nadhifu, 🎉🎉
Nawapa hongera nyinyi nyote
Matayarisho mazuri yamezaa matokeo aula.
Nzuri
Waoh waoh....githurai 44 choir..my choir
Karibu sana uungane nasi
Wow nice song.CHRISTINE my friend and classmate back in college, can see the passion for singing for the Lord hata imeongezeka. Congrats to all of you wanachoir
Asante Sana Sallie. Classmate amepata huo ujumbe
Jamani imenibariki Sana
Kazi nzuri sana wapendwa🎉
Congratulations guys,kazi zuri❤❤
Wakati wa kumfurahisha Mungu ni huu..... Amina sana kaka Lawrence Mungu azidi kukupa kipaji zaidi,,,,wana kwaya wamependeza sana 🎉🎉❤
Asante sana
Congratulations Anto n the team..Kazi safi kweli
Shukrani sana Gacheri🙏🙏🙏
aisee ni kali balaa..wakat wa kumfurahisha mungu ni huu u ngali hai
Hakika wakati ni sasa hivi
Hakika ni wakati wa kumfurahisha Mungu Well done
Congratulations 🎊👏👏
Quality song man,a hit song too it will bless many
#Singing to evangelize 🙏
Congratulation to wana DonBosco mungu awajalie mema sana, kazi nzuri ❤❤❤
Asante Sana. Mungu akubariki pia
This is beautiful 🥰 Hongereni sana wana Don Bosco👏👏🎉 @Lawrence uko vizuri zaidi, Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza 👌😊
Thanks alot Mercy k. 😊
Asante Sana Dada Mercy K. Muimbaji mwenzetu. Twafurahia kwa utazamaji wako.
Congratulations nice song
Kazi safi, ujumbe ukasimikwa vyema. Hakika wakati wa kumfurahisha ni huu tungali hai 🎉🎉
Shukrani sana. Tuzidi kumtukuza mungu
Well done mko vizuri nawaalika kwaya ya Mt yosefu mume wake bikira maria mwecau
Asante Sana. Na kwa kutukaribisha,tutafikiria hayo maneno
KAZI safi Keep going team 🎉
Congratulations to you 👏❤ a beautiful song this is 🙌💯💯.
Wakati wa kumfurahisha Mungu ni huu 👌👌
Kazi njema ❤
Waaohh..Nice one guys,❤❤❤keep flying.
Thank you so much 🙏
The sky is the limit
Hongera sana wanakwaya mmependeza sana kaka angu kameja Mungu akutunze vema 🎉🎉❤❤❤
Beautiful song 😊
Thank you
👏 👏 👏 congrats
Hongereni
kazi safi hongera kameja
Kali sana ongereni
Kazi safi❤,,, napenda uimbaji wenu, natamani kuwa nanyi tumsifu Mungu wetu kwa pamoja🎉
Asante Sana. Unaweza ungana nasi katika kanisa katoliki St. Francis of Assis catholic church Githurai 44 kwa Ibada takatifu ya misa kuanzia Saa 7.30 asubuhi
Big talents!.congrats bro and other singers for this great production.
Thank you na Karibu tuendelee kumtukuza Mungu
Nice one.keep it up
Congratulations 👏👏👏🎉 don bosco the song was sweet
Hongeren sana Kwa Kazi nzuri Mungu awabariki sana
Asante Sana Madam Despina. Twashukuru Sana kwa kutazama Wimbo wetu. Mungu na akubariki
Safi safi safi sana 👏👏👏👏
Noma saaana kaka kazi safi ❤❤🎉🎉
Congratulations st Don Bosco choir,nice song .
Thank you very much 🙏
Wimbo unatukumbusha kumrudia Mungu safi sana
Kazi nzuri sana kwaya ya 44,Donbosco😊❤
Baba mungu atukuzwe kwa KAZI hii yenye masifu kwake.......ubarikiwe
Asante sana
❤❤ Catholic shall never die
Hongera sana mtunzi na waimbaji kwa ujumla ..wimbo mtamu sana
Congratulations team. 🎉🎉
Asante Sana Madam Kaluai. We are grateful for your support
Good job congrats🎉🎉🎉
Thank you
Double thumbs up st. Donbosco. More grace to compose many more
Thank you very much 🙏
Kutenda wema ukiwa mzima ndio namna nzuri ya kumfurahisha mungu
Hongereni sana wanakwaya kwa uimbaji mzuri,mmependeza sana! Laurence!!!nakuita mara kumi! Dunia ina bahati ya kuwa na mtu mwenye kipaji chako! Endelea na moyo huo huo wa kumtumikia Mungu!Kazi nzuri sana
Asante Sana na Mwenyezi Mungu amzidishie baraka