MWANAFUNZI APOTEA MIKONONI MWA WALIMU, "NAMTAKA MTOTO WANGU AKIWA HAI" SIKU NNE HAONEKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 700

  • @JacklineKisamo
    @JacklineKisamo 3 місяці тому +83

    Mungu wetu na baba yetu popote alipo mtumishi wako joely tunaomba aonekane akiwa miza. Ameen

  • @TumainiMatembo
    @TumainiMatembo 3 місяці тому +41

    Mwenyezi Mungu amlinde huko aliko apatikane akiwa hai

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 3 місяці тому +112

    Mwenyezi Mungu tunakuomba mtunze huyu mtoto huko aliko apatikane akiwa salama salimini.🤲

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 3 місяці тому +151

    Daaaah.... Sikia kwa watu... Usiombe liwe nyumbani mwako😢😢😢

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 3 місяці тому +9

      Sana maumivu ayasemek 😢

    • @shaloom-it4qs
      @shaloom-it4qs 3 місяці тому +9

      Dah! I cant take it God please do miracle for this family so they get their son safe and alive

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 3 місяці тому +14

      Mkiambiwa nchi siyo salama mnasema drama

    • @gracemwagange
      @gracemwagange 3 місяці тому +8

      Kabisa jamani cjui kimemkuta nini jamani Dunia hii jamani

    • @sarahmollel8458
      @sarahmollel8458 3 місяці тому +2

      Kabisaaa

  • @AmelianaElipid
    @AmelianaElipid 3 місяці тому +25

    😢😢 Mungu tunaomba Ulinzi kwa Watoto na wadogo zetu huko Mashuleni

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 3 місяці тому +9

    Mwenyeezi mungu akulinde na wanyama wabaya uludi salama 🤲

  • @AgnesMakunege
    @AgnesMakunege 3 місяці тому +7

    Mungu nilindie wanangu bila wewe hakuna maisha 2naomba 2punguzie matukio kwa watoto Amina❤❤

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 3 місяці тому +8

    Pole sanaa jirani angu jmn tunakuombea sanaaa atapatikana kwa uwezo wa Mungu mdgo wetu🥲

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 3 місяці тому

      Mungu awabariki kwa maombi iliniuma sana

  • @MkMk-t9f
    @MkMk-t9f 3 місяці тому +23

    Sasa mama walipotea wengi badae wengine wamepatikana huyu mwngne anawezaje kupotea akiwa pekeake… kamata wanafunzi aliokua nao na walimu watasema ukweliiii😮😮

  • @happyhappy-ym2su
    @happyhappy-ym2su 3 місяці тому +6

    Mimi ndo mana mambo ya tour huwa nakataa kabisa, bora wanangu wabaki shuleni mana sijawahi kuona umuhimu wa tour kwa hawa watoto 🤔
    Mungu awatie nguvu wanafamilia wote. Joel wajina wa mwanangu Mungu akufunike na ulinzi usio wa kawaida upatikane ukiwa salama kabisa🙏

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому +8

    Suhbhanallah poleni saana wazazi. Allah awape subra. Aonekane akiwa.hai kwauwezowake daa wazazi wanaumia.sana 😢

  • @pendojohn5759
    @pendojohn5759 3 місяці тому +47

    Joel mdogo wangu jamani uko wapi 😢😢familia tunaumia ujue hatujui ulipo siku ya nne leo malaika walinzi wakuzingire upatikane salama mdogo angu

    • @HyacintaGugu
      @HyacintaGugu 3 місяці тому +5

      Naamin atapatika akiwa mzima

    • @pendojohn5759
      @pendojohn5759 3 місяці тому +1

      Amina tuzidishe maombi sana Mungu afanye wepesi apatikane

    • @annajohn175
      @annajohn175 3 місяці тому +1

      Damu takatifu ya Yesu Kristo imfunike awe mzima

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 3 місяці тому

      Huyo mama kwann asingemsaidia heee

    • @HappyMwandiga-lo7ge
      @HappyMwandiga-lo7ge 3 місяці тому +1

      Polen sana nakikuta nalia mda ote Mungu ampe ulinzi awe salama na apatikane akiwa salama

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 3 місяці тому +52

    😳🤔🤔🤔😭😭😭Watafute Drown wangeweza kumuona ile ni ndege ya kucheki juu ya anga mungu awasaidie 🤲🤲🤲jamani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 місяці тому +4

      Kweli nchi hii haitumiki vitendea kazi halisi kama hiyo drone mbwa wa Polisi n.k lakini hawajali raia hivyo ni ngumu kufanya jambo kwa haraka sana. Imagine wanakimbilia kuandika maelezo badala ya Emegency ya kutafuta kwanza .Emegency hakuna kabisa

    • @MaulidiNchasi
      @MaulidiNchasi 3 місяці тому

      😢😢😢​@@leokamil6284

    • @saudalilingani9264
      @saudalilingani9264 3 місяці тому +4

      Wazo zuri aisee

    • @psara4067
      @psara4067 3 місяці тому +1

      Nchi hii uhai wa mtu wanachukulia simple san, Mungu atusaidie maana uhai ni zawadi pekee isiopatikan kwa ela 😢

    • @JustineKimwaga
      @JustineKimwaga 3 місяці тому

      Umeweza kama Mimi Kwan selkali haiwez kuingilia hili swala

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 3 місяці тому

    SubhanaAllah Mwenyezi MUNGU awafanyie wepes apatikane Amin

  • @ellensamson6787
    @ellensamson6787 3 місяці тому +3

    Shiriikisha watumishi wa Mungu kuomba Damu ya Yesu itamuibua huko aliko kwa jina la Yesu Kristo

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 місяці тому +12

    Mungu amlinde kitakacho mchosha huko ni njaa na kitu kilicho hatar huko ni wanyama

  • @miriammbwambo-cr4jn
    @miriammbwambo-cr4jn 3 місяці тому +1

    Mwenyezi Mungu akunusuru joeli wetu 🙏🙏🙏 Mungu awatie nguvu wazazi wenzetu

  • @dinakyoma5977
    @dinakyoma5977 3 місяці тому +14

    Damu ya Yesu umtetee huyu kijana popote alipo, tusiloliweza wanadamu kwako Yesu yote yanawezekana, Uhai wake ulindwe na Damu ya Yesu 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @ellensamson6787
    @ellensamson6787 3 місяці тому +3

    Mama na Baba huku mkiendelea kimtafuta Shirikisheni watumishi wa Mungu waombe ataatikana kwa jina la Yesu Kristo

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 3 місяці тому

      Ni kweli kabisaaaaa Lakini wakisema wawalaumu walimu haitosaidia coz ata walimu hawakupenda mtoto hapoteee

  • @MzalendoTaifa
    @MzalendoTaifa 3 місяці тому +3

    Naamini kwa uweza wa Mungu mtoto huyu atapatikana.Poleni sana wazazi wenzangu

  • @ansigar1997
    @ansigar1997 3 місяці тому +3

    Pole sana wazazi na mwenyezi Mungu awajalie uvumilivu maana inauma sana kupotelewa na Mtoto na inashangaza kupotea peke yake katika kundi.

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 3 місяці тому +40

    Yarabb amlinde huyo mtoto Inshaa Allah 🤲🤲

  • @JacklineKithikii-n4b
    @JacklineKithikii-n4b 2 місяці тому

    Poleni sana mungu ndiye mkuu ako na uwezo wa kila kitu amini atapatikana in god every thing is possimble

  • @EugeniaAssenga
    @EugeniaAssenga 3 місяці тому +2

    Mungu wangu baba yangu nakuomba jehevo Ufanye wepesiii mtoto huyu hapatikane johevo Yesu wangu Fanya jambo baba Wa rehema

  • @DamfaNgwele
    @DamfaNgwele 3 місяці тому +2

    Allah nakuomba umlinde mtoto huyu na apatikane akiwa hai... Yaa Allah tunakuomba uwalinde watoto wetu

  • @SalumaGeazi
    @SalumaGeazi 3 місяці тому +2

    Mungu amlinde huyo mtoto mahali popote alipo na amrudishe akiwa salama

    • @joyceseguni2038
      @joyceseguni2038 3 місяці тому

      Amen kwakweli,hadi leo hajaonekana?Mungu simama katika hili.

  • @RehemaCharesi-y4v
    @RehemaCharesi-y4v Місяць тому

    Pole sana baba mungu akusaidie apatikane mzima duuu inauma sana

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 місяці тому +11

    Tulisoma tukaelewa vyematu ,bilahaya mambo yasasa ,yakuwachukua watt kuwapeleka misafara ,mangapi yalishatokea? ,Mungu mlinde aliko kijana huyo naapatikane ,Amiin

    • @mariamjames-l6x
      @mariamjames-l6x 3 місяці тому

      Siyo kweli ile ilikuwa kukariri ndo mana mm physical geography ni hola saiz vitendo vinasaidia imagine nina mtoto wa miaka minne lakin ukimpa ramani ya dunia anataja anakuonyesha kila nchi kwenye raman na hajui kusoma

    • @songeza
      @songeza 3 місяці тому

      Mungu wa mbingu na Nchi mfunike damu Yako mwanao uliyemfinyanga tumboni mwa mwanamke mwenzetu apatikane salama. Na ombi atakapopatikana mtujulishe tumeumia wengi inauma inauma jamani nimeumia😂 poleni wazazi

  • @AbdallahMsemo
    @AbdallahMsemo 3 місяці тому +18

    Baba Angu najua unaongea kwauchungu kupotea kwa mwanao Joel 😢😢 hata ingekuwa ni mimi lazima nngeongea kwa uchungu lakini mzee walimu wanakosa lakini umewalaumu sana mtangulize mungu tumpate mdogo wetu Joel akiwa hai😢😢😢😢 mfano ikatokea mtoto hajapatikana walimu utawafanyaje watakulipa joeli hapana tuzidishe tu maombi kijana wetu arudi akiwa salama

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 місяці тому +2

      Kwakweli Situation Ningumu. Itakiwavyo Nikuwa Nasubra Hata Yakuzungumza Sio Unaongea Tu. Kaaaida Inatuambia Isiahidi Ukiwa Nafuraha Nawala Usihukumu Ukiwa Hasira MOLA Wetu Nimkubwa Tunamuomba Amrejeshe Akiwa Salama Wasalimini. Aaaamin

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 3 місяці тому +1

    Poleni sana Familia mtihani sana Mwenyezi MUNGU amlinde huyu mtoto hao wote niwanyama hatari

  • @KuruthumKikuyu
    @KuruthumKikuyu 3 місяці тому +30

    huku walifuata Nini msituni kwa somo gani hasa walimu kupenda hela tu

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 3 місяці тому

    Ahsante Mungu❤❤❤❤❤iliniuma sanaaa

  • @miriammbwambo-cr4jn
    @miriammbwambo-cr4jn 3 місяці тому +1

    Ee Mungu wambinguni mlinde joeli muepushe nakila roho ya uharibifu🙏🙏🙏 jamani inauma saña jamani,Mungu wasaidie watt wetu.

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 3 місяці тому +22

    Eee Mungu Baba yetu mwenye nguvu, uonaye yalifichwa nakuomba mtoto wetu Joel apatikane akiwa hai na mwenye afya njema

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 3 місяці тому +43

    Mwenyezi Mungu amsaidie na amlinde mtoto awe hai

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 3 місяці тому +18

    😢😢😢😢 Daaah hizi tour mara kwenda mbugani,porini au beach kwa watu walivo wabaya saizi hapana!

  • @liliandeus7809
    @liliandeus7809 3 місяці тому +2

    Mwenyezi Mungu sikiliza kilio chetu mtt apatikane akiwa salama jamani 🤲🏻😢

  • @gracegrace6510
    @gracegrace6510 3 місяці тому +2

    Roho inaniuma jamani umri wa kijana huyu unafanana na umri wa mwanangu wazazi Mungu awatie nguvu kwa Yesu yote yanawezekana Atapatikana tu

  • @evelinekaaya3365
    @evelinekaaya3365 3 місяці тому +2

    Jamani Mungu afunike joeli kwa jina la yesu pole mama Joel

  • @piusnyitika5845
    @piusnyitika5845 3 місяці тому +2

    Poleni sana wazazi wenzangu Mungu muweza wa yote atusadie amrudishe mtoto akiwa hai Ameen

  • @UmuHaitham-v3b
    @UmuHaitham-v3b 3 місяці тому +2

    Mungu msaidie huyu mtoto apatikane.mungu wape subra wazazi wake

  • @Zariaty-wy1dy
    @Zariaty-wy1dy 3 місяці тому +4

    Daaah sitosahau mdogo wangu alivyopotea siku tatu kwenye pori la mdorii milimanii ila mungu anafanya wepesi atapatikana salama😢😢

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 3 місяці тому +49

    Baba ana machungu mpaka mishipa ya kichwa imemsimama😢😢😢😢,Mungu si umtoe huyu mtoto jamani?!😭😭

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 3 місяці тому +4

      Kwani mungu ndiyo kamchukua? Watanzania sijui mpoje yaani mna uelewa mdogo sana

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому

      @@nsajigwamwakalonge5702 Sana,Mimi nawashangaa sana,HAPO hawahi,Kwa wataalamu wa jadi,mtoto wake atarudi

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx 3 місяці тому +1

      Ach kufuru

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому

      @@SihabaAbdallah-li6dx KUFURU GANI SASA HAPO?!😭

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx 3 місяці тому

      @@israelkisaila8401 usisem ivo wewe sem mungu amjalie aonekane hemm isome vizur Kun HERUFI HERUFI mbil haukutakiw kusema ivo ukisom.ten iyo comment yk ut pat jib

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 3 місяці тому +25

    Lengo la walimu ni zuri sema tukio lenyewe la mtoto kupotea ni LA utata Au mtoto alipotea njia.
    Mungu amlinde aonekane jaman.

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 місяці тому +1

      Sawa nirengo zur ila wnakosea pahala pamoja hawa wnawpeleka kule ninwagemi hawajui. Njia inatakiwa wwp skot ya walinzi kuwasindikiza na kuwaelekeza

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 місяці тому

      Aaamin

    • @lindaezekiel-iz3xw
      @lindaezekiel-iz3xw 3 місяці тому

      Atapoteaje njia jmn na wapo kimakundi?

    • @KelvinMwakilagila
      @KelvinMwakilagila 3 місяці тому

      Acha upuuzi kazi yenu ni kuwasema walimu Kwan wap ndio waliompoteza​@@nishaabdula5015

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 місяці тому +2

    Mungu nakuomba kwa utukufu wako huyu kijana aonekane. Eee Mungu wangu tunakusihi mfalme mwenye nguvu. Uwe nae huko alipo

  • @JumaMalugu
    @JumaMalugu 3 місяці тому +10

    Duu! Mtihan mungu amlinde huko aliko

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 3 місяці тому +16

    Tunaomba safari zote za wanafunzi shule zote zifutwe

    • @richardrichope3528
      @richardrichope3528 3 місяці тому +2

      @titongomuo Hivi una akili timamu???

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 3 місяці тому

      ​@@richardrichope3528yupo sawa nyingine huwa hazina maana

  • @CashMoney-zf4qr
    @CashMoney-zf4qr 3 місяці тому +6

    Tutafika ila tukiwa tumechoka sana Mungu tunusuru na haya matukio mtu tu akipotea au kutekwa kuonekana akiwa hai ni vigumu😢😢😢

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 3 місяці тому +4

    Mungu baba wa mbingini Tunaomba utende miujiza mtoto arudi akiwa salama🤲🤲🙏😢

  • @tinajoachim2796
    @tinajoachim2796 3 місяці тому

    Ee Mungu mlinde na mabaya yoyote hyo Mtoto apatikane akiwa mzima . Amina

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 3 місяці тому +17

    Chakufanya huo mlima/msitu kama niwakimila, watafuteni wazee wa mlima huo mtoto atapatikana, haya yamewahi kutokea huko mbeya wanafunzi walienda study tour kwenye mistu ya huko wakapotea kumbe ulikuwa msitu wakimila ilibidi hawa ambao wako nje ya mstu waende kufuata utaratibu, walielekezwa nahatimae walipelekwa kwa bibi mmoja akawaambia msirudie kuingia humo bila kufuata utaratibu wakimila, baada yahapo hao wanafunzi walipatikana ndani ya msitu

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 3 місяці тому +18

    Mitihani ipo jamani Allah ajalie apatikane mzima inshallh

  • @gracemusa31
    @gracemusa31 3 місяці тому +75

    Ile nguvu iliyo mfufua Yesu Kristo naomba ikamtoe mtoto wetu kokote aliko Amen..

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 місяці тому +6

      Alokwambia alikufa ni nani😂😂😂

    • @AminaIbrahim-qh2gn
      @AminaIbrahim-qh2gn 3 місяці тому

      Nashangaa​@@hanifa9153

    • @AminaIbrahim-qh2gn
      @AminaIbrahim-qh2gn 3 місяці тому +8

      Allah amhifadh popote alipo aludi salama ktk Mikono y wazazi wake

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому

      Kachanga nyikiwa aise SubhanaAllah Aanze kufa Yesu ​@@hanifa9153

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 місяці тому +2

      ​​@@hanifa9153 alokwambia hakufa ni nani?! 🤔
      🚮 🚮 🚮 🚮

  • @MaryJasely
    @MaryJasely 3 місяці тому +6

    Weee mungu mlinde huyo mtoto kwamoto🔥🔥

  • @GloryKweka-z1l
    @GloryKweka-z1l 3 місяці тому +1

    Daaah mungu wangu inauma sana kwakweli mungu aendelee kumlinda huko aliko

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 2 місяці тому

    Uchungi kwa mwanamke mwengu mungu tena miujiza yako hauwoneka

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 місяці тому +52

    Mtoto wa jirani yangu alienda safari huko waterfall marangu akapotelea kwenye maji siku ya 3 anakuja kupatikana amekufa hizi safari zifungiwe tu😭😭😭

  • @NeemaUrio-u5q
    @NeemaUrio-u5q 3 місяці тому

    😢😢 mwenyez Mungu nakuomba umlinde mtoto huyo apatikane akiwa salama😢😢😢

  • @YusraAdully-v6s
    @YusraAdully-v6s 3 місяці тому

    Ya rabi mtto hyu alipo kwass naomba umlinde umuepushe na mabalaa yote ameen ya rabii nakuombea dua ulipo joel utakuwa sawa inshaallh... Nawaomben mchukue kifaa chochote bas hat muangaliie jamn inauma San KBS mtto bado n Mdogo San kabsa..

  • @pendokileo7882
    @pendokileo7882 3 місяці тому

    Ahsante Mungu kapatikana leo yuko hai

  • @mtummoja6882
    @mtummoja6882 3 місяці тому +3

    Wanafunzi wanajua. Lazima kuna mwanafunzi anajua wahojiwe vizuri. Mtu mmoja hawezi kujitoa kwenye kundi halafu wengine washindwe kujua

    • @joyceowenya7985
      @joyceowenya7985 3 місяці тому

      Kabisa. Kwanza tour guide kaeleza tangu awali waalimu walisema sisi tunataka kufika kwenye crater na wakaacha watoto.

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 3 місяці тому +1

    Ee Mungu wangu nini hiki?tunapoteza mwelekeo wanao nakuomba Mwenyezi Mungu utusaidie🤲🙏

  • @DxbYae
    @DxbYae 3 місяці тому +2

    Najaribu kuvaa vitu vya wazazi vinanibana mungu wangu du😢sijui kapatwa na nini mtoto wetu

  • @abdallaabdalla4416
    @abdallaabdalla4416 3 місяці тому

    Poleni LAKINI mtoto yawezekana yuhai IKIWA ENEO halina mto AU mashimo KWA vile alishaonekana akishuka KTK ENEO salama Mola amuhifadhi

  • @DevothaJohn-q4s
    @DevothaJohn-q4s 3 місяці тому +1

    Mungu wasaidie wazazi Hawa wampate mtoto wao jamani najua Yesu unaweza na hujawahi shindwa baba nakuomba.

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 3 місяці тому +4

    Yaani jambo Zito kama hili polisi ni wawili tu wa kufanya msako?daa!😢😢

  • @AshaChambo-qf2pv
    @AshaChambo-qf2pv 3 місяці тому

    Miongoni mwa hao wanafunzi waliokuwa wamepotea hlf wakapatikana je wao wanasemaje? Uzembe wa hao walimu.Pole sana wazazi.

  • @MolkidResaime-k7r
    @MolkidResaime-k7r 3 місяці тому +42

    kwa uwezo wa allah atapatikana akiwa hai insha allah🙏🙏🙏🙏

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому +2

      AaminaInshaAllah

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 3 місяці тому +1

      Insha'Allah amin

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 місяці тому +1

      Inshallah Kwa uwezo wake Allah atarejea akiwa hai.

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 3 місяці тому +3

      Allahuma Aameen 🤲
      Tuwe makini kuandika "Allah" kwa herufi kubwa Shukran

    • @MolkidResaime-k7r
      @MolkidResaime-k7r 3 місяці тому

      @@sheikhanasser4714 🙏🙏

  • @Devota-mr6ng
    @Devota-mr6ng 3 місяці тому

    Mungu saidia,selikali tunaomba njia zote zitumike ishallaa mungu afante wepesi

  • @agnessmpuku4551
    @agnessmpuku4551 3 місяці тому

    Kiatu cha mama joel ,kinanipwaya ,mungu utuponye ,malaika mlinzi amlinde joel apatikane akiwa hai

  • @victoriafaronendakwamakond4816
    @victoriafaronendakwamakond4816 3 місяці тому

    Mungu ni mwema ataonekana kwa uwezo wake, mungu tunaomba sana sana

  • @Niika870
    @Niika870 3 місяці тому +3

    Daaaaa inaumiza sana niliwahi kupotelewa na mtoto weee usiombe inauma sana sana

  • @zuwenahassan3624
    @zuwenahassan3624 3 місяці тому

    Ilichogunduwa Watt Wajatekwa na Ndugu za Familia zao Mungu Afanye Miujiza Zake Apatikane

  • @RizikiDorcas
    @RizikiDorcas 2 місяці тому

    Pole sana kabisa yanaumiza

  • @odiliagara5728
    @odiliagara5728 3 місяці тому

    Oh poleni sana wazazi labda wafanye upekuzi nyumba zote zilizozunguka mlima pande zote

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 3 місяці тому

    Mungu eneza baraka zako popote na nguvu zako zisizo na mfano kijana apatikane jmn,inshaalah,hakuna zito kwako

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 3 місяці тому

    Baadhi ya mashule wanstoa kafara. Mdaini na maombi Kwa jina la Kristo Yesu yaendelee

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 місяці тому

    Kwa kweli inauma zaidi ya kuuma haitoshi pole mungu mwenyewe aingilie kati

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 3 місяці тому +1

    Mwenyezi Mungu naomba huyu mtt apatikane akiwa mzima. Ee Mungu tusaidie

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 3 місяці тому

    Jmn mdgo wangu mdg wangu Ulipo Mungu akutunze upatikane salama🥲🥲🥲

  • @LiydiaGabriel-y7f
    @LiydiaGabriel-y7f 3 місяці тому

    Poleni
    Saana
    Mama
    Mungu
    Atafanya
    Njia
    Pasipo
    Na
    Njia

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 3 місяці тому +20

    Hizi study tour hazina umuhimu wowote ni upuuzi tu

  • @SaraSimonNyamayagwa
    @SaraSimonNyamayagwa 3 місяці тому

    Mungu Baba naomba umrudishe Joel kwa wazazi wake.

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 3 місяці тому

    Duuu Mungu wng mpaka mambo yanaogopesha ss hv mungu tu amsaidie awe Salama huko na apatikane akiwa salama

  • @lightnesstippe9006
    @lightnesstippe9006 3 місяці тому

    Mungu akulinde joelii awe salama huko alipo…🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @SofiaCosmas
    @SofiaCosmas 3 місяці тому

    Jamani ukatili mbona umezidi ,mungu atutangulie apatikane

  • @MaulidiNchasi
    @MaulidiNchasi 3 місяці тому

    Allah amlinde popote alipo 🤲🤲

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 3 місяці тому

    Mungu amelinde uyo mtoto uko aliko asizulike🙏

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 3 місяці тому

    Pole dear naamini atapatikana jaman🙏🏻

  • @RojasKimo
    @RojasKimo 3 місяці тому

    Mungu amfunike kwa mbawa zake asizurike,akutwe akiwa hai

  • @RenaMgongolwa
    @RenaMgongolwa 3 місяці тому

    Mbona watafutaji wengi ni wa kike ???
    Hii inatia shika sana, uongozi haujakaa poa kwa kweli 😭😭😭😭

  • @jamillahnyagawa6534
    @jamillahnyagawa6534 3 місяці тому

    Mwenyezi Mungu mrejeshe salama mtoto huyu

  • @NeemaSwai-u6v
    @NeemaSwai-u6v 3 місяці тому

    Jaman mungu wa mbingini awafanyie hawa wazazi wa joel kumpata mtoto wao, kikwel jambo hili linauma sana

  • @ellensamson6787
    @ellensamson6787 3 місяці тому

    Ombeni kwa uongozi Helkopta itumike kumtafuta huku maombi yakiendelea atapatikana kwa jina la Yesu Kristo

  • @selemwenda690
    @selemwenda690 3 місяці тому

    Polen mungu ni mwema siku zote!!

  • @officialdorah
    @officialdorah 3 місяці тому

    Duuh, inasikitisha poreni wazaz nandugu wajoery mungu akusaidie popote ulipo upatikane ukiwa ai

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 3 місяці тому +6

    Mungu saidia uyo mtoto awe hai

  • @parokokiongozi5041
    @parokokiongozi5041 3 місяці тому

    We mungu fungua jia pasipo njiab joeli apatikane akiwa mzima

  • @Sr.MartinaNyoni-s8g
    @Sr.MartinaNyoni-s8g 3 місяці тому

    Mungu awatie nguvu wazazi wa kijana. Damu ya Yesu imkinge huyo mtoto

  • @hubimogela9167
    @hubimogela9167 3 місяці тому +4

    Aiseee inauma sana kwa kweli poleni sana wazazi 'ila ili swala kwenye kulitazama ni vyema kuangalia pande zote mbili sizani pia kama walimu iyo ingekuwa nia yao nao wazazi kitu muhimu ni kushirikiana kwa pamoja kuweka jitihada hii sawa na Ajari ikitokea imetokea tuendelee kuomba Mungu aweke wepesi kwenye jambo hili.