Huu wimbo wakati unatoka nilikuwa ndo nimeanza kupanga baada kumaliza form four na kuamua kutoka kwetu, muda huo chumba nalipia kodi elf10 kwa mwezi hakina siment wala signboard maeneo ya kileruu mabatini mwanza😂😂😂😂 muda huo nimenunua kiswaswadu changu cha line3 nausikiliza huu wimbo na kuuimba mchana kutwa slay queen sindo mimi utanambia nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah natamani hata kulia kila nikikumbuka enzi hizo ilikuwa raha sana japo nilikuwa nalala chini🫣🫣😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Nani anasikiliza 2024 weka like hapa
Tupo tupo😂😂😂
❤❤❤❤❤
🎉🎉
Pamoja sana 😂😂
Yuko wap msanii
Ngoma kali sana ❤❤
Kalisana kwakweli
Samiri umepotea kaka 2023 naipenda hii nyimbo nakumbuka kipindi namlea mwanagu saiv yupo na miaka 10
Yuko wapi huyu bro
Kwl ama unamuinjoy
Bado na views hapa ni 2024
Mungu ametuweka hai nausikiliza nw 2024
Tupoooooo❤
11/10/2024.
Tupoooo
Bro kabula sijajua chocho duniani nasikiliza ngoma zako ❤❤❤❤❤
Moja ya Ngoma iliyo teka bongo flavor 2011 ilikuwa ya 🔥🔥🔥🔥
Hatar kipindi nipo shule natoroka naenda kuiangalia😅
Jamani mi namuombea mungu afungue macho arudi kwenye game jamaa anajuaaa kuimba mi nampenda hata Sasa wimbo unanijaza mwoyo
😢😢 kwani ana matatizo ya macho
Verse 3 enzi hzo sio poaa samir umeenda wap, 2024 bado tunasikiliza🎉
Napenda nyimbo zako zazamani❤❤❤❤
Nani mpka sai anasikizaa ii 2020
Wenye wanasikiza tukiwa tumekaribia kufungua mwaka 2024
Nakumbuka dadangu alikua akipenda sana hii song ,,Rest easy my lovely Siz 😭😭😭
Nipo kwa hapa nasikiliza 2024
ngom ni kal mnooh 😂😂😂
Kudadadeki hii ngoma hatar sana.."
Samir ulipotelea wap kka ua nmber one fun ..hii song nikiwa class 5 m ndio nliluwa nikiimba class mbele😢
Ngoma poa nafurahia from kenya kisii
Hii Ngoma ilifanya vizuri Sana
Naikubali hiyo brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kwanini huja msema Roma wakati wewe ni police officer
Wanangu wa 2024
ngoma kali sna nakbali
Hivi huyu kaka yupo wapi kweli watching from Sydney Australia 🇦🇺
Yuko tu
Huu wimbo unanikumbusha kipindi nilipotolewa bikra..😭🤦🏽♀️ nilikua nausikikiza kila muda aisee kwenye kasimu changu flan hivi kadunchuu..😆
uwiiiii
😂
😂
😂😂 au nlikutoa mm??🎉
Long tym kwenye game 🤣🤣🤣
Uyu jamaaa fundi sanaaa
Huu wimbo nilkuwa naimbiwa na mchumba angu
Naupendaga saaaaana huu wimbo 🎉nipo hapa nasikiliza 31/07/2024
Nyimbo nilipenda hii jaman nimekuja kuichukia baada ya slay queen kua mke mwenzangu 😅😅😅😅
Hizi ndo Ngoma zilizotulia ❤❤🇰🇪
nipo zangu kijijin kwetu huko Moro...utatuambia nini kipind hiko watoto wa moro na samir wetu
jamaa unajua Kwa hisia
Nimemic sn samiry
Sito wa sahau kuasikiriza
Huu wimbo wakati unatoka nilikuwa ndo nimeanza kupanga baada kumaliza form four na kuamua kutoka kwetu, muda huo chumba nalipia kodi elf10 kwa mwezi hakina siment wala signboard maeneo ya kileruu mabatini mwanza😂😂😂😂 muda huo nimenunua kiswaswadu changu cha line3 nausikiliza huu wimbo na kuuimba mchana kutwa slay queen sindo mimi utanambia nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah natamani hata kulia kila nikikumbuka enzi hizo ilikuwa raha sana japo nilikuwa nalala chini🫣🫣😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
hahaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Hadi sasa 2025 nauangalia inshallah
😍😍😍 kula mbakishie baba Kula mbakishie mama
😂😂😂
Wote mmepota jaman Nini changamoto nakumbuka udeko ulanga mlikuwa mnakuwasha wp mtoto wa mamachagua
I was scrolling in TikTok then boom, a song I forgot 10 yrs ago came by😅. Best song
Samira Rudi mjini tumekumis😭😭😭
2024 tujuane hapaaa kwa likee.
Nyimbo yangu pendwa,samir Rudi bc tumekumiss😢
Ngoma Kali, should have over millions views
😘😘😘😘😘mpaka sasa me naupenda sana 2021
Ngoma kali sanaaaa
🔥 👋 from America's 🇺🇲🤙🥀🗽🪐 🙏🌎🪄 🎵🎶 🌃🌙🌄🌅🌉🗣️🎧🎤🍾 🏆
Bravo 👌👏🎉❤
Hatari Leo ni saa 23:48 na 2024
Nakumbuka I was 15 nasikiliza hii song 2014 by the way miaka inasonga
Wimbo mazur jmn
Nani anasikiliza good music 2025
Mm nazipinda San kila siku nasikiliza
Dec 2024❤
Ngoma uhakika
Mm hapo Emmanuel Maro apo kutoka dar
tunao upenda uu wimbo tunasikiliza 14/8/2024
Nikiwa na 10 yrs ndo ulitok huu
qubal sana mwatani🎉🎉🎉🎉
Mm hapa 2024
My love music 😍😍😍
Pado hii na tamba
Enzi hizo umetisha aisee umepoteleya Wapi? Rudi game jamani!
Mim nimeokoka lakini nasikiliza Ngoma hii
2024 like apaaaa😂😂
Sito sahau jamni😂😂😂
2024 still watching it
My song always ,,,,,,I like it walai
kaka upo wapi Kaka
Kwani ulienda wapi
Nasikiliza mzigo
4/24 on fire
From tiktok weka like 😂
Nani yupa hapa baada ya kuona maujiano ya video geen wa daimond wa mbagala
Good music ❤
Pamoja sana 2024
Had laha kipind hicho hamna Mac up
2025 whose here❤❤❤
Nani anasikiliza January 8.2025
Samir mbona kimya au upo maka
My best song 2011❤😅
Ilikuwa dedication from my Ex boyfriend 😂 2013
Hit song
What does "kinyulinyuli" mean in English?
😢😢
Its children’s game where kids put their hand on top of each other, like here 1:46
Wale wa 2024 mpooooo
2024 here🎉
Eeeee kidal
🎉❤❤❤2024
2024 naipend
❤❤
Dahhh
Good
Nimetoka TikTok -December 2024
❤😊
hatal xan taixon cris 😂
2024
2025❤❤🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤
2024❤
Safi
Audio
Oww
Iv yupo wap
This man got voice en he needs to let it out