@@AffectionateChess-mh5cz OG yake Haina uandishi bobu Ngoma yote hii ibrah kaandika kuliko yeyote angalia jinzi midondoko yake alivyo dondoka angalia jinzi alivyo badilika badilika kwenye kwenye hiyo ves yake
Producer uko sw kbxa ni mependa vibe ya bit pluse chino toka tanzania nenda naijeria hiyo ndio inch itakayo kupea mpenyo nyimbo zako zifike duniani ju ushaliteka soko la east africa big up my young bro .
wanangu ngoma kama hizi ndiyo za kuwashusha wapopo kwenye level za Dunia, kazieni hapo hapo, yaani hili dude litanakiwa lifanyiwe remix na A list wootee ili niende Duniani kuitambulisha sound yetu, kazieni hapo hapo wana
A list hao ndo wanajifanya kama hawazioni ngoma za kuupeleka mziki wetu mbele! Ila kama wangekuwa na umoja hii ngoma ilitakiwa wapite nayo ili itrend world wide
Waliojua Ibra kaua kabla hawajaskiliza nyimbo mpaka mwishoooo
😂
kaharibu ovyo ovyo
aaah chuki hizooo amefunika@@AboubacarMlanz
👎👎👎👎👎👎👎😏😏😏😏😏@@AboubacarMlanz
Oya unatisha mwanetu❤ kama una mku bali ibraah🎉Gonga. Like hapo
❤
🤗👍🎉🎉
Umetishaaa sanaa😅
Mbon sijamuona jaman
Ili iwejee
ibraaah intro amemaliza kabla hajaanza Oyaaa!!Oyaaah!Kama nimetoloka milembeeee🙌🙌🙌🙌
Ibraah is underrated
Km nimetoka mirembe
Humu tyuuuuuuu❤
Oy duuh anae amin kama Tanzania akuna dj wakumfikia mushizo kwakazi hiii like ap
Mistari imeenda shule na ujumbe mzuri , hustler wote mungu awafungulie njia kwa Kila jambo mnalofanya.
Watu wa chinga boy twende kazi hapana like kama zote
GangGang
Apa nairobi imeshika sana pongezi sana wabongo
Mwenye kumkubali ibraah acha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Bonge ra ngoma
Mimi apa namkubali zaid
Tisha sana
@@DianaLuvanga Big up bro
@@hamrantz9134 🙌
Uimbaji wa harmonize wa kwenda na beat , ndo kitu ambacho ibrah anakifanya anatembea na beat mule mulee ndmana anauwa sanaaaa
Ni kweli dogo Ibrah ameua na anakwenda na Beat
IBRA noma Sana we endelea kuwapa mawe
Ibrah popote alipo akamatwe apigwe mpaka aseme aliwaza nini kutoa hii ngoma😂😂😂 ameweza sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Sio yake
😂😂😂 hakika
Kenya tunamkubali Ibraah, dogo ametesa walai🔥🔥🔥🔥🔥
Kwel chinga katoloka milembe maan anamotoo huyu mtoto
😂😂😂
Sio pia😂😂😂😂😂😂
Tulio kuja kumwangalia ibra a.k.a Chinga like hapa 👍🏾
Chingaa🔥🔥🔥
Wivuuu...🔥🔥🔥
Jbvbbb
Wanaomkubal mushizo gonga like apah
Huu mtoto Chinga boy from Konde Gang kauwaa sanaa🎉🎉kanifanya nipende hii song from🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Even me Johnson from +255 eti kama nimetoka mirembe ibraah kauwa
❤❤❤❤❤❤
Wee #chinga mwanang wa geng geng unatisha ,,,,much love en support from 🇰🇪#001
OYAAA HILI NGOMA KUMAMAKEE SIO POWA HAFU HUYO IBRAAA MAMAE KAWAFUNIKA WOTEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sio kwer ww hebu kaskilize og yke wee 😂
@@AffectionateChess-mh5cz OG yake Haina uandishi bobu Ngoma yote hii ibrah kaandika kuliko yeyote angalia jinzi midondoko yake alivyo dondoka angalia jinzi alivyo badilika badilika kwenye kwenye hiyo ves yake
@@AffectionateChess-mh5czibrah kauwa kuliko wote umu
wote wameua ila ibra katixha zaid
Nikweli kafunika
From kilifi Kenya🇰🇪🇰🇪😀😀 mnipee likes zangu
From Tezzo Kilifi Kenya
Chinga kama nimetoloka milembeeee🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅
Kutoka burundi, wanao mkubali ibra nipe likes hapa❤
Bujumbura
Ngoma yenyewe ni kali kwelikweli.Allah akujalie uwe mwenye kufanikiwa katika mambo yako.
Ibrah umeua umeweza bila vita like apa kama na ww upo pamoja na mimi❤❤
amin mwanangu
Limetoroka milembe ❤❤❤ chinga anawaburuza wezake mmm ibraah vipi wewe
Love ❤from Kenya 😍🇰🇪👋....Chingaaaaaaaaa💯🔥
Nakuongaaa Figoooo Nikupeee Na Moyooooooo💔💔💔 Twendeeee Dj Mushizoooooo🎶🎧🎧🎧🎧🎤🎤🎤
Tumefungua mpya kurasa ....tuzae na watoto wewe sio Tasa ... Mchezo wa domo lisilo na meno... Ndo unafanya moyo unauma🤗🤭🤫
Oyaa Wanangu Wa Gang Gang🙌 CHINGAAAAAA🔥🔥🔥
ili goma unaeza licheza usiku kucha na usikinai yaani ni🎉🎉 fire
Nakupa na marejesho kaushadamuuuu😮 danciiiii
Nyimbo kali sana , kusah kautendea Haki vizuri sana ongera sana Dogo
Oya Konde gang nkinki 🔥, we Mushizo utawauwa...
Wanao mkubali jay combat like apa
Producer uko sw kbxa ni mependa vibe ya bit pluse chino toka tanzania nenda naijeria hiyo ndio inch itakayo kupea mpenyo nyimbo zako zifike duniani ju ushaliteka soko la east africa big up my young bro .
Bonge ra ngoma
Sicheki na wowote
Naulinda wangu moyo
Wengine viroboti
Hawawezi kunifolo
Wivuuu wivuu
Daaaaah ibraah kauwaaa sana wanangu xjawai mpinga uyo kakaa 🙏🙏🙏👆
Naipenda from Kenya , likes zikam
Wanangu wa gang gang gongs like hapa🔥💪👊
Remix ya kibabe... isimame trading top kabisa🎉
Tuliotoka TikTok kwa ajil ya ibraah gonga like apa
Ila sija sikia ex wangu kubabako iyo verse iko wapi jamaan
Alafu kuna jitokeza mjinga Fulani kutoka kenya ana fosi bifu na mwamba 💪🏾. Huna baya kaka mkubwa 🦁 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
yaani 😂😂😂😂😂😂
❤❤❤ Wakati wa mungu chupa waliyokufungia imepasuka 🎉🎉🎉 bigap familia
Ibra mtu hatari sana mdogowangu kazi mikazoooooooo
Yes ibraah apo safi kabisa, wapimbi wote wa fwate hiyo ngoma nakusapoti ku toka DRC ni mimi barakey comedy ❤❤
Fayaaaaa
Bless sana mdogo'angu Jay Combat mungu one day mungu atabless tu
🎉 noma sana ni songs moja ivi uki tulia vizuri chozi lina toka una weza mwamba chaku fanya tulia acha mambo mengi
Ibraaaaaaaa hatali sana nakuhonga Figo nikupe na moyo 🔥hahaaaaa🔥🔥🔥🙌
Nakupa marejesho kausha damu! Baddest 47 killed it!
Marejesho kausha dam😂😂😂 for the
Ukitaka kujua Ili goma Kali weka bufa yako sound mpaka mwisho🙌🏽🙌🏽🙆
Mwenyenyumba nae kaja tunaskiiiza wote😂😂
@@davidsalikoki6319 🤣😂🤣nomaa
@@davidsalikoki6319unataka sasa nihamishwe ila jpili nakiwasha mornng kabisa km ni notes nipewe manina😂😂😂
😂😂😂
Oyaaaaa we noma combat bila kuchoka kimbiza kitaa mpak wasem kafa pakaaa.......mamaeeeeeeeeeeeee
Baddest mwamba kabisa ametisha sana, Ngoma imetoka kelelee nyingi yeye kaja flow ya low Fulani hivi kitu kimesimana lkn kwa wanaojua mziki
Oa ni hatari sana hii Ngoma big up 💪🔥🔥
Hakuna mmakonde mshamba 😂😂❤❤🎉
🔥🔥🔥
🎉🎉🎉😊😊😊❤❤😅😅😅
Ibraah inakitu sema bdo hatujamzingatia tu ila huyu broda ni fireeee wanangu wa gang gang
Nime ipenda hii singeli, na isikiliza kutoka Burundi 🇧🇮. Mshukuru kisweta ame kupromoti nimeona nyimbo hii kwasababu yake.
Nikweli ata mmi nimeona kwa kisweeta
Chingaa umeuwa baba sio kwa moto huu🦻 🎉🎉🎉
Wuvuuu ❤❤❤❤❤❤safi sana mdogoangu songa songa ubarikiewe sana god bless you boy
JAY combat Ameanza Kuandamwa Sasa Pongezi Kwako
Wivuuuuuu😊😊😊ibrah wangu weweeeeeeeee😂😂 umetoloka milembee
KONDE GANG mnatuwakilisha vizuri kUSINI
Hili songi bwana likipigwaga na mashabiki wa simba 🔥🔥🔥🔥 inakuaga hatari ndipo nikaikubali🫂
Safi sana hii nyimbo nairudia mara mia huwezi amini tangia asubuhi nasikiliza yaani hapo kwenye kuhoga moyo na fingo ndio hatarii dj hongera
Aise watu ktk nchi hii wanajua mziki mzuri
This song is 🔥🔥 Kafa paka kazikwa Nyau😂 genious
Ibraaaah wewe mukali unanjuwa alafu nakuchauri ndunguyangu usitoke konde gege bomboclaaaa📢
Oya oya gang gang umetishaaaa broo
Ibraah! Wimbo wote alimo ndani mtamu. Heko. Learning the dance styles that don't involve kitingisha kiuno as usual.
Ibraaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umetishaaaaaaa
Sijamuona mbona hajaimba ibra
Iyo bit ni hatari kama afro bit vile ila sio gonga like kama umeikubal
Wivu remix ni hatariii 🔥🔥🔥💪
Hii ngoma ilifunikwa na gorofa la kariakoo inabidi waizimue kwa promo nyingi na challenge. Coz ngoma ni kali na haijachukua headline
Nyie brother unakipaji Sana voice Kali mungu akutangulie ndugu yangu joker apa💯💯🤞🤞
Pale unapojikuta unarudia verse ya ibra
Chinga 🙌🙌
Tupooo😅😅🎉
Umeonaeeh 😅😊
😂😂😂😂umejuaje
Emu bisha basi verse ya ibu inasemaje
Anakuambia
Mchezo wa domo lisilo na meno ndio unafanya moyo unauma.
Weeeee mushizoooo utawauaaa 😂😂😂😂KAFA PAKA KAZIKWA NYAU sio pow yaan IBRA ''sio daada2 ntakupa NKE WANGU😅😅😅
Kama nimetoka milembee Chingaaaaa❤❤
Bonge la Ngoma Ina mzuka wa hatari, salute sana wote,
Ulishirikisha wasanini wenzako ngoma yako na wakafanya kweli inakua poa sana. Wote wameua mnoo..
Umetisha sana bona 🤟❌🇹🇹🇰🇪🇹🇿😝💯%💯💯💯
Katika hii ngoma Ibraah kaua sana kama una mkubali gonga like hapa ❤
Ila mjukuu wa diamond 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂
Chinga nakukubal sana, ktk vijana wa level zako hamna anaekufikia
Waooh video queen yupo vzr❤
Kama ww konde gang like here
Mdogo anajuaa saaana
❤uhakika
Forever❤❤
Watoto wa Mabibo org. 2024
Sengeri kali sana hii
Huyu ibra nyie hatar katokea mile mbe aswa ibra ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mjukuu wa Diamond ila Mungu akiamua kukubless anabless kila mahari nyimbo imesumbua nihatari waoooooo
Diamond it’s genius kila sehem💥bonge la kibaoo
We mushizo Utawaua like zote kwa mushizo
Nyimbo mzuri san hii ndo tunakula nayo krisimas bila shida
Chingaa kauwa🎉
Kaza brother upo aise , aka kqnyimbo kameniwazixha xana 🎉
Sawa mkuu😢😢, yanapitaa tu... Tutalipiza na sisi.... Mpaka mpotee kwenye dira😊😊
Kuja weweeeeeeee fireeeeeeeeeee eeeeett whaaaaat fire 🚒🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sema Ibraa kafanya kuwaficha umu ndani kafunika sana
Hahaha kafanya kuwaficha mwamba fulani toka mtwara
Kama una mukubali ibraah wa sasa gonga ❤kama like 🙏👌
❤
Hakika vya kale ni dhahabu, Mafundi wa muziki mzuri ndo hawa sasa👍👍👍💪💪
Atari sana
Commented from ECBbrand
Hili goma nimelisubiri sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎼🎼
wanangu ngoma kama hizi ndiyo za kuwashusha wapopo kwenye level za Dunia, kazieni hapo hapo, yaani hili dude litanakiwa lifanyiwe remix na A list wootee ili niende Duniani kuitambulisha sound yetu, kazieni hapo hapo wana
A list hao ndo wanajifanya kama hawazioni ngoma za kuupeleka mziki wetu mbele! Ila kama wangekuwa na umoja hii ngoma ilitakiwa wapite nayo ili itrend world wide
Ukienda nalo mbele utakamatwa utadaiwa fidia kuna beat za kuiga za mbele zimo kwenye hili song zimechanganywa sema nyie watoto wa efu 2 hamjui !
My uswazi master piece
Hongela Mungu Akutangulie kwa kipaji hicho kizd zaid❤❤
Video imekuwa na wanaume tu. Kwa vile ujumbe halisi wa wimbo ni kwa mpenzi, alitakiwa awepo video queen