Ndaro X G boy ft Kontawa_Nimpe Nini (official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,8 тис.

  • @ndarotz742
    @ndarotz742  Місяць тому +953

    KARIBU KUTAZAMA WIMBO WANGU MPYA AFU NIPE USHAURI WAKO…USISAHAU KULIKE KUCOMENT NA KUSHARE ASANTE🙏🙏

    • @damagemweusi
      @damagemweusi Місяць тому +21

      Umetisha,,Mjeshi KIKOFIA

    • @Shokolokobango9385
      @Shokolokobango9385 Місяць тому +16

      Ngoma kali fanya promo ya uhakika this is hit song bro weka mpunga ngoma ilipuke

    • @ArseniShimirimana-l5z
      @ArseniShimirimana-l5z Місяць тому +16

      Ndaro Nataka kuogeya na Wewe naomba namba zako plz 💝💝🙏

    • @abubakariibrahimu27
      @abubakariibrahimu27 Місяць тому +1

      Oya wee hii kali

    • @DanielChaula
      @DanielChaula Місяць тому +3

      Kwenye kupiga makofi apo inge pendeza watu wawe wengi

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi Місяць тому +100

    Yamoto Sanaa 🔥

    • @COMASAVAT
      @COMASAVAT Місяць тому +2

      Tupe basi na wewe Steve au tuchekeee tu maana huchelewi 😮

    • @magangatv
      @magangatv Місяць тому

      ua-cam.com/video/2P133VDGzD0/v-deo.htmlsi=hmS5BZT1Cme4QGN6

    • @AliyCk-r5k
      @AliyCk-r5k Місяць тому +1

      Ahhhh Ahhhh Ahhhhhhhh😂😂 si ndo nyimbo yako iyo

    • @madahaman5402
      @madahaman5402 Місяць тому +1

      Stev nakuona my bro 🎉

    • @mash3775
      @mash3775 25 днів тому +1

      Steve mweusi napenda ungekua apa jameni

  • @skmovies-m8f
    @skmovies-m8f Місяць тому +92

    kama unamini mungu ni muweza wa yote usipite bila ku sapoti like comment mungu awajalie nyote mlo soma comment hii amen

  • @guchiiofficial254
    @guchiiofficial254 Місяць тому +273

    Kama unasema kontawa kafunika apa weka like za kumkumbali

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Місяць тому +24

    Kigoma hatoki boya wanyoosheni🎉🎉🎉 umetisha ndaro❤❤❤

  • @ArseniShimirimana-l5z
    @ArseniShimirimana-l5z Місяць тому +489

    Oyaaa Kama umeona kontawa katisha gonga like zaa kontawa 👊👊😍😍💝💝🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @DavidEverton-l3o
    @DavidEverton-l3o 17 днів тому +3

    Ndaro kumbe una kipaji Daah, like Kutoka Malawi 🇲🇼

  • @mamaraoumabah7576
    @mamaraoumabah7576 Місяць тому +167

    Ndaro respect. Kumbe una kipaji ❤. Jamani like mingi kutoka south Africa ❤

    • @DeBeasts66
      @DeBeasts66 Місяць тому +3

      MBOOOOMBOOOOMBOOOOOO😂

  • @ngigajustin05
    @ngigajustin05 Місяць тому +3

    Umetisha sana Ndaro ngoma kali

  • @HassanMgunda
    @HassanMgunda Місяць тому +255

    Tuliorudia verse ya kontawa likes hapa tuondoke

  • @BABAZOO-e9k
    @BABAZOO-e9k 4 дні тому +1

    Ndaro fikisha ujumbe Kwa chadi talenti mwambie ndugu yako baya anaomba msaada wako tufanye kazi pamoja mtaani pagumu naimba pia najuwa kufanya sanaaa comedi

  • @lamranpets
    @lamranpets Місяць тому +91

    Wanaomkubali Ndaro kwa hii Ngoma

  • @batatukatotolabikay5296
    @batatukatotolabikay5296 6 днів тому

    Kwa kweli beat na maneno humu ndani makubwa kweli. Big up my brother's
    Mumeuwa

  • @isackjohn7123
    @isackjohn7123 Місяць тому +59

    Kontawa kauwa sana humu ndani aseeh✍️

  • @pdaxofficial3144
    @pdaxofficial3144 18 днів тому +1

    Kontawa kauwaaa kabisa huyu jamaa anajua sana pamoja sana ndaro kikofia ngoma Kali sana..

  • @LauzeniMushani
    @LauzeniMushani Місяць тому +88

    kontawa kaficha wote 😂😂😂😂 hapo yaaan utafikili yeye ndio mwenye wimbo daaah mwamba umetisha saaaan mwamba

  • @HusseinNgowa
    @HusseinNgowa 23 дні тому

    Balaa sana...salute

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial Місяць тому +115

    Wanao mkubali kontawa weka like zake apa❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @UchebeMonster
    @UchebeMonster Місяць тому +15

    💫Wazee tuliokubli unyama mwing wa kontawa tia like mzee

  • @johnpeter1674
    @johnpeter1674 Місяць тому +27

    Kama unapenda meno ya tembo nitaongea na mwanangu kondeboy .. wakenya wapi likes🇰🇪

  • @jacklinetitusy
    @jacklinetitusy Місяць тому

    Ndaro banaaaa kuwa serious bhas

  • @KasaiBoyTv
    @KasaiBoyTv Місяць тому +43

    Wa kwanzaaaa Nipeni Like 1000+

  • @FabianoJumanee
    @FabianoJumanee 14 днів тому

    ndarooo TZ au Bass. nakukubali sana brooo

  • @SnapBoy254
    @SnapBoy254 Місяць тому +12

    Oyaaaaaa kontawa moooto yaaan 🔥🔥 hatari. Kila maali ua yuafunika mashimo kila atakapo ekwa. Kama unamkubali pitia apa tujiesanu jameni

  • @johnkay5377
    @johnkay5377 Місяць тому

    Daaah ndaro anamistari si haba, ila Kontawa kawakilisha kweli

  • @NurdiniChipanganya-kd7lw
    @NurdiniChipanganya-kd7lw Місяць тому +13

    Duuh mwshoni hapa nimemwona mwanangu sana Steve

  • @TunguIzengo
    @TunguIzengo Місяць тому

    Ngoma la kilengendary kweli 👏👏

  • @LeonG511
    @LeonG511 Місяць тому +10

    Steve kajifungia kioo yupo peke ake! One of the most trending hii isipokaa 1# youtube ndaro nidai 500k

  • @omarcpt1178
    @omarcpt1178 3 дні тому

    Maneno ya hi nyimbo nayakubali,the song is very nice keep it up guys

  • @CesiliaNkuba
    @CesiliaNkuba Місяць тому +5

    yaan kwnye hii nyimb nimefurah sana kumuona steve aiseeeee ,ndaro bila steve ni sawa na mwili bila roho

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 29 днів тому

    Nyimbo nzuri ..ndaro endelea kuimba mnaweza

  • @Didaahsaid005
    @Didaahsaid005 Місяць тому +13

    Kontawa cha matusi jmn😂

  • @MariaPhilipo-s1o
    @MariaPhilipo-s1o Місяць тому

    Hongera sana bro naikubali hiyo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @eliaselly915
    @eliaselly915 Місяць тому +12

    Mkubwa Ndaro endelea kipaji unacho ,kinachobaki nikutazama jisi ya kumiliki Music na Comedian
    Mi eliaselly from Burundi 🇧🇮

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 Місяць тому +1

    Mwanzo mzuri brooh

  • @Plan-Bofficial-p5b
    @Plan-Bofficial-p5b Місяць тому +21

    Wakwanza naombeni like zangu

  • @kassimmohamed543
    @kassimmohamed543 Місяць тому

    Wamelala sio mida yao ni malejendari tu 🔥🔥🔥

  • @KEAGOGEOFFREY
    @KEAGOGEOFFREY Місяць тому +25

    Huyu kontawa Kenya tunakukubali Sana

  • @Carl-ki
    @Carl-ki Місяць тому +3

    Kontawa mnyama ujue
    Hadi stivini yupo kwenye gari lake jipya
    Kikubwa ngoma kali❤❤

  • @collinsodera6010
    @collinsodera6010 Місяць тому +34

    Watz nipeni like zangu niko kenya🇰🇪

  • @KenyaSanduku
    @KenyaSanduku Місяць тому

    Kontawa ni nareee mbayaaa..kuwaaa sanaaa

  • @Sultanmadeleka
    @Sultanmadeleka Місяць тому +9

    Ndaro saluti sana kazi nzur unajuwa kiukwel ❤❤❤❤❤❤

  • @LucasZozo-q7k
    @LucasZozo-q7k Місяць тому

    Ndoroo toaaa ngoma Hadi waseme shikamo jeshi kikofia toa Hit toa hitiiiiiii babaaa

  • @KINGKEYBEATBEREGEONLINET-jk6sf
    @KINGKEYBEATBEREGEONLINET-jk6sf Місяць тому +13

    Tulosubilia kumuona stevmweusi gonga like apa

  • @officialkhanboytz
    @officialkhanboytz Місяць тому

    Ujue mwanangu umeua au bax acha2 vinamuda bax🔥🔥🔥🔥

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Місяць тому +7

    Kontawa ni rema sura mpaka mapugo yake na staili mpaka kucheza 🌹 🌹.wapi time konde jesh ndaro acha ujinga bac😅😅

  • @modystartv
    @modystartv Місяць тому

    mwanagu imeweza mjeshi kenya representing..................................

  • @bembestarsedimonda2154
    @bembestarsedimonda2154 Місяць тому +6

    Powa kabisa vijana wakazi mungu hawabariki kila.siku kazi zuri vijana muna Tisha sana ni kwaniaba ya bembe capany tv online pamoja na bembe stars edimond 🙏 ✨️ 💖

  • @festusbokoro1615
    @festusbokoro1615 Місяць тому +2

    Kama umegundua kuwa verse ya ndaro iliandikwa na kontawa ni Nan,,,,kontawa kambless mwanawe ndaro safi sana

  • @MpoyolaNyoni
    @MpoyolaNyoni Місяць тому +5

    Hongela.sana unajuwasana ndaro

  • @HadijaCharo
    @HadijaCharo Місяць тому

    Ndaro kazi nzuri ❤❤🎉

  • @ndasi_zedon1095
    @ndasi_zedon1095 Місяць тому +14

    Unajua kuchagua wakufanya Collaboration
    Nyote mumepita vizuri Ila Kontawa Ni hatareee

  • @brianmapunda8957
    @brianmapunda8957 Місяць тому

    uyo kontawaaaa sasa chiiiiiii.... mmeua wanetu

  • @JohnMobali
    @JohnMobali Місяць тому +5

    Ushauri kwangu ni uendele tu kwasa babu mi nimusani nalikini minakufata sana kutoka Congo 💪

  • @MajaliwaGona
    @MajaliwaGona 20 днів тому

    🎉🎉🎉 ooe wangu vibe imejipa ... song umetumia kisomi yaaan daaaah🤜🤛

  • @ShebyRamadhani
    @ShebyRamadhani Місяць тому +20

    Duh ndaro kumbe fundi naombeni wadau support na mimi najua kuimba naitwa puzzle voice ❤❤🎉

    • @sophiaali5813
      @sophiaali5813 Місяць тому +1

      Nyimbo zako zipi yutube kaka au zipo wapi

    • @ShebyRamadhani
      @ShebyRamadhani Місяць тому

      @sophiaali5813 search puzzle voice

  • @projestusalexander5872
    @projestusalexander5872 Місяць тому

    sema Ndaro kajitaid sana big up sana

  • @MelkMsonga
    @MelkMsonga Місяць тому +7

    Namna hio, mkuu endelea kupiga kazi mzee bab

  • @CharlessJumbu
    @CharlessJumbu День тому

    Nice boy god bless you🙏🙏🙏 struggles pay more

  • @HusseinAyoubKijazi
    @HusseinAyoubKijazi Місяць тому +1

    Dah man water Cristian Bella king 👑 kiba hahaaaaaaa Tisha shanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @titusosano3946
    @titusosano3946 Місяць тому +4

    Kontawa ni Gwiji

  • @ray_0929
    @ray_0929 Місяць тому +1

    nimpe mbamba...nimpe mbembe...nimpe mbimbi nimpe o 😮

  • @mihezagirobaraka-x7x
    @mihezagirobaraka-x7x Місяць тому +3

    Kontawa ametisha kinoma ❤❤❤🇲🇼🇲🇼🇲🇼

  • @TzkidsMusic
    @TzkidsMusic Місяць тому

    Nakubali sana iyo vasi ya kontawa akh

  • @materulivin5921
    @materulivin5921 Місяць тому +5

    Dah ajabu Leo Steve kawazid kete wenzie

  • @BonfaceChunguri-bg7jr
    @BonfaceChunguri-bg7jr Місяць тому

    Hii energy iko juu alafu hii ngoma ni vibe🥰🥰🥰

  • @juicelove999
    @juicelove999 Місяць тому +4

    Mjeshi umetisha

  • @StanleyaStella
    @StanleyaStella Місяць тому +1

    Ndaro 😂😂😂😂😂 kwaiyo aliemfata dem ni stive au nimeona vibaya 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 tufanye tu ndo jimbo la kufungia mwaka

  • @Stina_Boy_Official
    @Stina_Boy_Official Місяць тому +4

    Ndaro wee mbona kauwa wewe🎉🎉 kisa Kontawa noma sana 🎉🎉 like zangu kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @SsoziDavid-rg7ni
    @SsoziDavid-rg7ni Місяць тому

    Ukweli ni kwamba king kashindikana❤

  • @WEUSI-s4l
    @WEUSI-s4l Місяць тому +9

    The first

  • @JCVisitor-nv8te
    @JCVisitor-nv8te Місяць тому +7

    Wakwanza ndo Mimi JC visitor kuzaliwa buja jamani naombeni like

  • @charasiwaverse2140
    @charasiwaverse2140 Місяць тому +2

    Kazi nzuri sana siongei kishabikitu ila kazi nzuri sana inasikilizika vizuri sana hongera sana Tena sana

  • @mudathirhussein9557
    @mudathirhussein9557 Місяць тому +3

    Ndaro ww kazi yako ni comedy so kila kitu ukifanya sisi tunaoma like comedy uweeee na steve kidonge cha lami 😅

    • @Exclusive_zein
      @Exclusive_zein Місяць тому +1

      Walai 😂😂 lakini ndaro ni motoo 🔥wa kuotea mbali comedy amewezaa pia Kwa nyimbo nimkali bado😂

  • @MelkiardSulley-iu5jq
    @MelkiardSulley-iu5jq Місяць тому +1

    Hahahaha jamani ndaro umetisha sanaaa ❤😂🎉

  • @m.laudrup_7
    @m.laudrup_7 Місяць тому +4

    Wow what a song 💎 #ndaro 🖐️/🖐️ keep going

  • @AsmaahOthman-j5o
    @AsmaahOthman-j5o Місяць тому +1

    Awesome asee bonge la ngoma

  • @DannySimfukwe-c6k
    @DannySimfukwe-c6k Місяць тому +10

    Apo kwa konde boy unyama sana 💯💯💯 goma lamana sana mumetisha sana 💥💥💥💥 nawakubali sana kikofia afu bro kontawa 💯💯💯

  • @Jacksonmanirankunda
    @Jacksonmanirankunda Місяць тому

    ❤❤❤ komera komera kbs tera Imbere mugenz kemusey muyitez Imbere

  • @kudra_mshairi
    @kudra_mshairi Місяць тому +3

    Km umeona kontawa katisha gonga like zakutoshaaa

  • @ElishaLaizre-n2l
    @ElishaLaizre-n2l 6 днів тому

    Nyimbo safi ndaro ❤❤❤❤

  • @saeed2242
    @saeed2242 Місяць тому +3

    Eti umpe oooh😂😂Wacha kutupima baada ya mbiii ni mboo🫵🤣

    • @goodluckpeter7371
      @goodluckpeter7371 Місяць тому

      Kwishaa ampe hiyooo inayo fata baada ya mbi mbi mbi😊

  • @BoniphaceSaidy-d3j
    @BoniphaceSaidy-d3j 26 днів тому +1

    Mungu tumuache aitwe mungu nakusa mungu atakulipa kwahiki ulichokionyesha kwamungu ww utajua umeimba nagofrey kumbe mungu ndo nkaamua kujizihilisha machon mwako

  • @cleyrapher3833
    @cleyrapher3833 Місяць тому +12

    Nikujitafuta tu kijan ndaro mpaka maokoto yakae level..

  • @jerryjeremmy6823
    @jerryjeremmy6823 Місяць тому

    Umetisha sana Ndaro

  • @ahasaamiri7491
    @ahasaamiri7491 Місяць тому +5

    sehemu ilinifurahisha ni kumuona steve mweusi ety yeye ndio kaondoka na mzigo😅😅😅😅

  • @LundikaPwagu
    @LundikaPwagu Місяць тому

    Tawa we ni noma! Yani umewaweza, kama unankubaly kontawa gonga apo, from 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿

  • @UchebeMonster
    @UchebeMonster Місяць тому +3

    💫Kontawaaaaaaaaaaaa the championnnnnnnnnnnnn

  • @kapolesyaba3133
    @kapolesyaba3133 Місяць тому +1

    Kontawa leo nimekubariki amen!!!
    kazi nzuri saana 💪💪💪💪

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Місяць тому +6

    MALIZIENI MBOMBOMBOMBOO HAPOOO , MNAOGOPA😂

  • @HassanHamisi-b4s
    @HassanHamisi-b4s Місяць тому

    Ndaro ongeza tena u ubunifu uwe zaidi ya huu pia eka umakini kwenye game nakubali🎉🎉🎉

  • @KEAGOGEOFFREY
    @KEAGOGEOFFREY Місяць тому +12

    Kumtaja Tu konde boy, hapa Kenya nashare link ya wimbo huu 🤗✌️💯😊

  • @ShadaNestory
    @ShadaNestory День тому

    Unyama xanaaaaaaaaa!!!!!😊😊😊😊😊

  • @IssaMuamede
    @IssaMuamede Місяць тому +13

    Leo mi ndo WA kwanza naombeni like please 🇲🇿

  • @LovelyGlaciers-vn8xb
    @LovelyGlaciers-vn8xb Місяць тому

    Hii kali sijawaii kuona ndaro toka tu cheka tu welcome in music 🎉🎉🎉🎉

  • @AmRamkennytz
    @AmRamkennytz Місяць тому +6

    kumbe naww ni msanii

  • @PriscaDickson-x6w
    @PriscaDickson-x6w Місяць тому

    Kontwa anaajuaa bhana❤❤💯💯

  • @wise_d_tz
    @wise_d_tz Місяць тому +5

    Kali sana . Ila uyu producer sound yake ya kipekee sanaa #Let Go guyz

  • @HellenSteven-y2y
    @HellenSteven-y2y Місяць тому

    nyimbo zur bora uimbe tuuuu ❤❤❤

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Місяць тому +3

    MPE MBOMBOMBOMBO MALIZIENI 😂😂😂😂