Napenda sana vile ume imba iyi wimbo ina nifanya na fikiriya mbali sana napenda wehimbo zako sana tena sana cz ulijitaidi sana kama ume muku bali naomba upige like yako apa nakupenda bure tu sana
Duuh huu wimbo unanikumbusha wakat nipo form2 kila nikitoka shule kuna kaka alikuwa anafanya kaz studio bas kila nikipita alikuwa anauweka sanaa huu wimbo kumbe alikuwa ananipenda ila alikuwa anaogopa kuniambia
He plagiarized a cameroonian song originally from X-Maleya. The original song is "Yelele" by X-Maleya and released more than 13 years ago. You can go and check on platforms
Nilikuwaga form one kipindi goma hili linatoka , alfu nilikuwaga namuelewa dadamkuu pale kixkul. Nikawa Domo zito kama timbulo nataman ingekuwa ndo sahv 2023 . Likes
Huu wimbo bhana alikua ananiekea babangu mdogo nikifeli tu kes domo langu zito najisikia ovyo kesho sifeli bt mungu akupumzishe Mahali Pema pepon daima ntakukumbuka baba yangu rafiki yangu kipenzi
Niko mwenyewe nasikiliza 2024 ..gonga like kama tupo wote mwaka hui
Hauko peke yko ata mmnilikuw naupenda sna
Mimi wa mwezi wa kumi kweny huo mwaka ulio utaja😂😂😂😂❤❤
Tupo wengi
Nipo pekeyangu Nina sikiliza nyimbo mwaka 2024
nipo peke yangu kuskiliza 2024
Nipo pekeyangu Nina sikilizar nyimbo mwaka 2024
Tupo pamoja mhenga mwenzangu😂😂😂
Tulia babu
Tupoooo
Hii Ngoma namkubali sanaaa Niko nayo 2024👍
Aya tunaotizama mwaka 2024 tujuane❤❤❤
Hii ngoma ilikuwa Kali kinyamaaa! Wanaoungana na Mimi like zenu.
Bado na kali
2010 mpaka leo 2023
Sana2 na bado Kali sana
🔥🔥🔥🔥
Haiwez kuchujahiii
Nipo pekee yangu kuskiliza mwaka huu 2023
Namimi pia ninamba mbili
Mimi piah
💪
Na mimi pia
Tupo
Tupo wangapi tumeskiliza mwaka 2024😊
Mm nipo
2021 sizani Kama na kosa 😘in love with this song
Nawe kama unaisiki ngomaaa iiiii mbaka 24 -9-2019 gonga like yako tujuane
Kweli inanikumbusha kipindi hicho ila kweli wasanii walikua wakiimba reality
Nani anasikiliza wimbo huu 2020 bonge la ngoma, inanirudisha mpaka mwaka 2011
❤❤❤❤
Wangap tuna watching 2020 gonga like hapa tujuane
Dar wimbo huu acha kabisa yan
Wimbo huu bado unaishi
Hi
Tunao Ukumbuka mpaka sasa Tujuwane 😭😭☺☺☺☺ichupa Ili nitamanishaga Mapenzi haki ❤❤❤😊😊😊😊😊😊nakupenDa Timbulo wangu
Napenda sana vile ume imba iyi wimbo ina nifanya na fikiriya mbali sana napenda wehimbo zako sana tena sana cz ulijitaidi sana kama ume muku bali naomba upige like yako apa nakupenda bure tu sana
Wimbo huu unanikumbusha mdogo wangu alikuwa anaupenda sana, dah R.I.P mdogo wangu, now n 2019
Pole
Asante
Macrina Mulima r.i.p
Macrina Mulima daaah pole sana ndugu yangu kwa kupoteza mdogo wako
Pole sana
2/5/2019...kama bado mpo like hapooooo thatha...nakumbuka kipindi hicho naanza kujua mapenzii 😂 😂
2009 when I listen this song i remember my first love ❤️
Naipenda san
It’s 2021 and I’m here for this 😍😩😩
Kwiifahee nkwee
ni kali kil leo
Tulokuja hapa baada ya alikiba kumtaja, kuwaangalia kama wamefanana Gonga LIKE tufahamiane.
2024 naskiliza ngoma kutokea yokohama japan 🙌
teamTimbulo
hii ngoma kila nikiichek namkumbuka mshikaji Wang Yasin enzi hizo tukiwa singida
UK. Gado
Teem Singapore
ack shuba nkbl
Nimeikubali yatesa kwatuliwo jawa mate mdomoni!
Mbuyane ngoma qaaal
hakna kitu kunanipa hisia Kali na kunikumbusha mbali kama huu wimbo
this was a true definition of art & melody 🇹🇿❤️
Kama bado tupo 2019 gonga like 👇👇👇
nakumbuka mbali
Nakubal 💯
Tupo tunachek hatr
Nakubal
###Ŕ2Ź2 Million Official
Huu wimbo 😭😭😭unanikumbusha mbali
every tym navosikilizaa dis song... namkumbuka sanaa mylate dady..........
pole sanaa
Doooh pole sana
Pole sana
Pole Sana Mpendwa.
Pole Sana Mpendwa.
Story ya Alikiba imenileta hapa. Timbulo mungu anakuona
Kibisa 😅😅😅😅
😂😂
😂😂
😂😂
😊😅😅😅😅😅
Kitambo sana Hadi leoo hii2022 naikubali sana hii nhoma
I love this song....even after this long i haven't watched it....
lov this song
Duuh huu wimbo unanikumbusha wakat nipo form2 kila nikitoka shule kuna kaka alikuwa anafanya kaz studio bas kila nikipita alikuwa anauweka sanaa huu wimbo kumbe alikuwa ananipenda ila alikuwa anaogopa kuniambia
jamaniii mliopo hapa kwa timbulo kama mimi naomba uwepo wenuuu😘😘😘😘😘
Ila kweli timbulo anafanana na alikiba ila timbulo sema king anakupenda
ayse naiyona tena 25/1/2018 inanikumbusha enzi izo
Zuhura Hassan Aaaaaaaaaaaaaaaa Wapi Zuhura
Dadeq ili goma lnanikumbusha shule Kun manz nlikua namkubal kumweleza sas hahaha matanga nlishia kula kw macho 🤭🤭
😂😂
Hahahahhahaha
Hata me nakumbuka shule kama ww nilikua nampenda manz ..mpaka wakaniita timbulo
Wimbo huu una nikumba mengi🐤
2019 Nipo Peke Yangu
Manka Joseph manka njo kwangu 0743416315
Tupo pamoja
nakubar mzebaba
Tupo pamoja iko poa sana
mpaka leo bado naukubari huu wimbo kama nawe ni miongoni acha like yako hala big up bro timbulo
my love song nikiwa nimeanza utundu kuna kaka nilikua nampenda hatl
napenda saaaana mziki wako timbulo, Mungu aibariki kazi ya mikono yako daima
2019 🤣🤣🤣 angejua angejua angenip leooo
domo langu zitooo iweje mwenye bahati kuwa na upendoooooooo Mwenzinu bad naliaaaaaaaaaaa
hii ngoma niliipenda ad nkapewa jina la timbulo kipindi iko niko o level.
Wow what asong 🔥🔥.....I can't stop listening
Dah uko wapi Zawadi...tulikuwa tunaimba huu wimbo kwenye viazi vya dada Asha(RIP), 😞😞😞
Pole dear 😭😭😭rip
Pole😢😢
2020 mpo wapi like apa
Sidhani kamaninakosa moyowangu wanisumbua, domolangu zito kukwambia kweli nashindwa.
❤❤❤ still my favorite song till date 2024
Nan bado anasikiliza mziki mzuri wa zaman 22/08/2024
Wow, i love this song. Thumbs-up Timbulo
Nipo hapa 2024
Mzuri sana nakumbuka ulitoka nikiwa shule ya msingi 2009 ndo niliujua da.
Jmn naomba kuuliza huyu msanii yupo wapi mn hii nyimbo ni nzuri ila mwenyewe yupo wapi
Domo lako zege kumwambia kweli unashindwa 💃💃💃💃💃💃💃💃 enzi zetu
2019 Nov 06 bado fireee🤩🤩
Penzi langu tamu Kama asali zaidi ya vanillaa
What a handsome boy I like your music who is here with me in 2019
Kama unaangaalia ii ngoma 2020 gonga lik zako apa
Very authentic and well composed sounds and beats@!
He plagiarized a cameroonian song originally from X-Maleya. The original song is "Yelele" by X-Maleya and released more than 13 years ago. You can go and check on platforms
Duuuuhhhh nakutaka enz za uhuru arts group From kigom a
I remember when I was in Morogoro maseyu with my best friend Vaileth
Timburo jina nimpa mwanangu ally njembaaa
Moçambique amo essa musica
Nani yupo tena 2020 like twende saw
Hv Timbulo kwa nn huimbi asee tunamiss real bongo fleva
Kazi nzuri ❤❤❤ 2024 live
2022 but still hit song to me🔥🔥🔥
I'm here but I wonder where the Star has gone here.
Timbulo katoto hapa 2010. Now ni mbaba mkubwa
Jamani nakupendaga tu jamani kila nyimbo zako unazo zitoa nazimendaga sana yaaaaaaaaaaani sana
Kila cku nautazama mzuri sana
nikweli man
Naona comments zako kwenye NYIMBO nyingi za Timbulo I gues you're fan of him
upendo Wang ni kama ziwa noma sana brother
nzuli san
2019-iam from mozambique
2019 tupo pamoja🔥🔥🔥
Nyimbo nzuri kamwe haichuji.....bdo ni hit song kwang
10-9-2019 kama na wew upo lake tujuane
Nilikuwaga form one kipindi goma hili linatoka , alfu nilikuwaga namuelewa dadamkuu pale kixkul. Nikawa Domo zito kama timbulo nataman ingekuwa ndo sahv 2023 . Likes
Duuuu,,,nakumbukaaa mbaliii enzi hzooo nkiwa skuli daaaa,,,,,2019,,
Huu wimbo unanikumbusha mbali saan yaan
inaumaa xn pale unapokuwa una mpenda mutu alafu unashindwa kumutamukia ♥️♥️
Alikiba ndo amenilete hapa baada ya kumtaja Timbulo 😂😂😂😂
13 may 2019...my lovely #TBT song
2020 corona year lakini nyimbo kama hizi zinarudisha akili nyuma kidogo tunakumbuka tulikotoka. ..tuko nani mwaka huu kusikiliza??
George Johnson tukoo pamoja😂
@@adidjakhalfani8794 wonderful
Nani jo iko na ona iyi mu 2019? I love this song❤❤
Hii Ngoma haijawah kuchukua kwenye moyo wangu naipenda sana
Nakumbka dem wAngu wa kwanza kupitia hii ngoma
mmmh kumbe huyu kaka mtamu hongera sana penda sana wewe nmmmwah songz zako tamu sana Kiss u
Kha!!
Nakupenda mpaka naumwa hii nyimbo jaman
tangiya 2012 mpaka Leo nafata mzikihuuu nafurahii sana
2023 Here again naipenda sana hii nyimbo
Huuuu wimbo rafiki yangu BARAKA MWAKISALE alikuwa anaupenda balass
walio kua na madomo mazito enzi hizo saizi ni mafundi mikono juuuu
Vpi
THIS IS A BEAUTIFUL SONG
loving it
Nikisikiza huu wimbo sijui nahisi kukumbuka Mambo ya kitambo
😍😍🔥🔥2022...we miss these songs
This was Pure Talent 🔥🔥
Bonge la ngoma sio nyimbo za xaxa hivi hazina ujumbe
Jmn kaenda wapi huyu yuko vizuri sana.
Daaah yani hii ngoma inanikumbusha mbal sana fest love Wang I like 😘
inanikumbusha mbali San hii ngoma daaaa
Unyama sana hii ngoma ❤❤❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo bhana alikua ananiekea babangu mdogo nikifeli tu kes domo langu zito najisikia ovyo kesho sifeli bt mungu akupumzishe Mahali Pema pepon daima ntakukumbuka baba yangu rafiki yangu kipenzi
😂😂😂😂
EN THIS was reality of arts what a good music😇😇😇😇
naipenda na leo nimehikumbuka sana 22/2/2018 time 01:00 jaman nakumbuka mbali sana
Nalipenda adi Leo ili xong
Hilikuwa ngoma nzito sana. Mpaka Sasa inanifariji