MBDOGG/DADY MASTER - Mapenzi kitu gani feat chelea man (official audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 149

  • @AikaKiwelu-c9r
    @AikaKiwelu-c9r 2 місяці тому +23

    Anayekubali nyimbo za mb dog 2024 like hapa tujuane

  • @LizzyNyange
    @LizzyNyange 5 днів тому +1

    Kwakwel mb dog tumpe maua yke

  • @titokisukamalima4453
    @titokisukamalima4453 Рік тому +130

    Tuliorudi hapa baada ya interview yake...kwamba alikuwa anaimbia radio station❤

    • @marthamagory2735
      @marthamagory2735 Рік тому +1

      Leo ndo nimefunguka 😂😂😂

    • @kelvinmasami2340
      @kelvinmasami2340 Рік тому

      Watu wasiri sana😊

    • @toney..
      @toney.. Рік тому

      😂😂😂😂

    • @salhahazaly8042
      @salhahazaly8042 Рік тому

      Wee here baby🤣😂😂❤️

    • @mariyammaria669
      @mariyammaria669 Рік тому +3

      😂😂😂😂yani kanivuruga nakumbuka tulichanga mi na beshte tukiwa primo takanunua CD 💿nikienda kuskiza kwao the next day anakuja kwetu kusikiza juu ya MB Dogg hii nyimbo tulikuwa tukii tuna rewind tena oooh God😢😂adi huzuni ety kwani mapenzi nikitu gani adi tunahurumia walai 😂😂😂

  • @ashaMgindo
    @ashaMgindo 3 дні тому +1

    Masista du wa enzi izo tujuwane basi apa 13/1/2025 nakumbuka apo mmewang amenikwaza alaf bado nipo mdogo basi namuimbia huu wimbo uku naliya 🤣🤣 nishakuwa mmama jaman

  • @asmahussein
    @asmahussein 9 місяців тому +44

    Wanaoskiza 2024 gonga like,

  • @AbdallahHamis-v9e
    @AbdallahHamis-v9e 16 днів тому +3

    Niko hapa tarehe 31 december mda sa 5 na dakika 50 bado dakika 10 kufika 2025.

  • @mettanahonyo3345
    @mettanahonyo3345 Рік тому +18

    Imebidi nirudi hapa kusikiliza tena! Dah! Nakupa salute sana MB Dogg

  • @Decimahotenyo
    @Decimahotenyo 8 місяців тому +12

    Mad love from Kenya. This song was so soothing.❤❤❤❤ memories brought me here. 2024

  • @rugerojunny7557
    @rugerojunny7557 Місяць тому +4

    This reminds me of my first girl friend diane ❤

  • @imanmodern
    @imanmodern Місяць тому +4

    My best musician since niko primary MB DOG 2024 bado namsikiliza

  • @luganonsubisi3418
    @luganonsubisi3418 Рік тому +18

    Hsante kwa utunzi huu Wimbo wenye maudhui ya mapenzi lakini maana ya kuwashukuru vyomba vya habari

  • @hassanmataula7063
    @hassanmataula7063 Рік тому +10

    Mziki ulikua zamani bhana dah kaka fundi. Sana ww

  • @HassanMsangi-d2k
    @HassanMsangi-d2k 11 місяців тому +11

    Waliorud kuchek more kujua huu wimbo n mali ya nani kwenye mtandao gonga like hapa

  • @eunicelaizer250
    @eunicelaizer250 Рік тому +11

    Duuu nimesikiliza baadae ya interview

  • @KilalaKimoloRamadhan
    @KilalaKimoloRamadhan 2 місяці тому +3

    Yaani nyimbo za huyu jamaa ninoma yaani hata kama Kuna manzi anakusumpua ww muwekee hii nyimbo2 unaeleweka chap

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 3 місяці тому +4

    Nyimbo hii inakumbusha maisha ya sekondari company yangu sasaiv hata sijui mko wap wanandugu

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 Місяць тому +1

    Bado naipenda mpaka leo.mnaoipenda tujuane. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HALIMASIRI-o4k
    @HALIMASIRI-o4k 27 днів тому +2

    MB DOGG pls tumemiss mziki mzuri

  • @hajinyumba7570
    @hajinyumba7570 Рік тому +5

    Fanya rimix ya huu wimbo toa video kali na mboso ngoma itarud

  • @Allyzungujr
    @Allyzungujr 10 місяців тому +6

    2080 mkiwa mnasikiliza hii nyimbo mkumbuke cc ndo babu zenu

  • @lighnessmrisho1525
    @lighnessmrisho1525 Рік тому +6

    On fire 2023 December 26 ❤ nakupenda sana mwamba hapa salute 🔥🔥🔥

  • @millerambe5978
    @millerambe5978 Місяць тому +2

    Nina furaha Sana kupata hili ngoma kwa Spotify 2024.

  • @zainabunyaboke2910
    @zainabunyaboke2910 Місяць тому +2

    Enzi zetu music was real
    You feel the music until u change mind😅

  • @bigmzazee2961
    @bigmzazee2961 Місяць тому +3

    DECEMBER 1 2024 tufunge mwaka kwa amani magenge yote ya kihuni
    ya tusizi na ngoma kali kama izi ghetto

  • @Massakagovanornageneral
    @Massakagovanornageneral 11 місяців тому +3

    Adi mm nmerudi apa..imenikumbusha far

  • @johngongana670
    @johngongana670 8 місяців тому +3

    I hope diamond wa Zari huskiza mashairi humu.....

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa 11 місяців тому +1

    Gomalako badomoyoni linarilei ❤❤ 2024 kutoka ukonyuma nimezinguwa sana darasani nilikuwa nikivimba mashore kamawote mkwanja mshuwa nikonae vizuri barafu bikuti itisamoo sana mashore afukasti wanajilengatu🎉🎉🎉 kulamaisha embidogi saluti ulikuwa umewaza plani

  • @DanielPius-b8m
    @DanielPius-b8m 24 дні тому

    Alikua anatusaidia kutongoza enzi hzo huyu mwamba

  • @frezianaraymond9083
    @frezianaraymond9083 11 місяців тому +1

    Binafsi natamani wasanii wazamani wapewe kipaumbele jamani.maana walikua wanaimba nyimbo za ukweli kinoma.MAMA SAMIA AWAANGALIE HAO WASANII WAZAMANI JAMANI.

  • @AllyTozzy
    @AllyTozzy 11 місяців тому +5

    Wap kumeandikwa diamond platnumz jmn mbn mnatuchanganya

    • @labankidake8233
      @labankidake8233 3 місяці тому

      Alirudishiwa wimbo wake...ilikuwa imeandikwa diamond platinumz

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Рік тому +4

    Pokea Maua yako

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому +4

    Interview fulani imenirudisha uku.... ivi kweli legend ana 4k subscribers ama nimekosea account?

  • @AllyMasamaki-r7o
    @AllyMasamaki-r7o 16 днів тому

    Daaa anabalaasaaaaanaaa

  • @DOUBLE_G_DA_BST
    @DOUBLE_G_DA_BST Рік тому +5

    Mbna sioni palipoandikwa nasibu abdul

  • @MfaumeRamadhani-k9o
    @MfaumeRamadhani-k9o 11 місяців тому +1

    Mb doggy master sijah kujutia kupendwa ngomazako kitambo sana daah amakweli tunz Kali sana

  • @ibrahimismail8982
    @ibrahimismail8982 Місяць тому +1

    Who’s here 2024

  • @mwijupembe3339
    @mwijupembe3339 Рік тому +2

    Mmeimba ngoma ya mapenzi imebamba na haina matusi

  • @AsumaniSungura-o4k
    @AsumaniSungura-o4k 26 днів тому

    𝙸 𝚕𝚒𝚔𝚎𝚜 𝚖𝚞𝚌𝚑❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AbdulAbdul-v9s
    @AbdulAbdul-v9s 24 дні тому

    Amna Cha mond enzi izo

  • @rocketbreezy
    @rocketbreezy Місяць тому

    King of Melodies Tanzania treasure super super Star kabisaaa..Daddy Master

  • @habarileoleo
    @habarileoleo Рік тому +5

    Ngoma kali sana hii. Afu kuna mtu anaitumia kuingiza fedha badala ya mwenyewe.

    • @idrisaabdallah3824
      @idrisaabdallah3824 Рік тому +1

      Hamna kitu kama hicho natafuta hakuna sehem imeandikwa hata hilo jina lamond

  • @mgogobeleko1411
    @mgogobeleko1411 Рік тому

    Hii ngoma kama unataka ifufuke na ipo kwenye soko la mziki bado itengenezee video kali na ya uhakika broooo utakuja kunitafta

  • @stevomweni6488
    @stevomweni6488 11 місяців тому +1

    Yani nmerudi hapa baada ya interview uko vizur kaka

  • @RaymondMbengale
    @RaymondMbengale Рік тому +4

    The real talented mb dog

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland Місяць тому

    Nilitesek

  • @dennisollomy6512
    @dennisollomy6512 Рік тому +2

    Diamond mwizi mnyonyaji alipe kwa hili

  • @mohamedsamata9049
    @mohamedsamata9049 Рік тому +1

    Kuna sehemu nyingine UA-cam ukiingia kutafuta huo wimbo mmiliki ni Diamond sehemu zingine inaonyesha mmiliki wa wimbo ni Mb dogg

  • @youngmoney5093
    @youngmoney5093 7 місяців тому +5

    2024 June ❤

    • @bahatially3042
      @bahatially3042 7 місяців тому

      Bro are you a time traveler? We are in 27th of May 2024😂

  • @EmmanuelTarumbeta
    @EmmanuelTarumbeta 11 місяців тому

    Achen kumchafua diamond jaman mbona hvo 4:21 4:21

  • @bishopangetilemwalyombo8168
    @bishopangetilemwalyombo8168 Рік тому +1

    modi hii nyimbo sio yako umemkosea sana jamaa

  • @AnordErio
    @AnordErio Рік тому +2

    Daaaaa kitambo mnooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RojahKhan-vo7bc
    @RojahKhan-vo7bc 8 місяців тому

    Kwan uyu mkaka yupo wap saiv jmn aje nimpe mauwa yake ilov it 🎉🎉

  • @BobMathias-p8c
    @BobMathias-p8c 10 місяців тому

    hatuwezi kusahau tuliko toka men😍😍

  • @elishapetro1194
    @elishapetro1194 Рік тому +2

    Nqipataje kwenye nini kuona umiliki

  • @hassanyyahya5578
    @hassanyyahya5578 11 місяців тому

    Tuluokuwa darasa la tatu wakati huu wimbo unatoka tujuanee kwnzaa

  • @dennisollomy6512
    @dennisollomy6512 Рік тому +3

    Mondi auwawe

  • @morriceopiyo2203
    @morriceopiyo2203 Рік тому

    Bado tuko kwa hi Master piece

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 4 місяці тому +1

    Hii ngoma ningeomba uitolea video pamoja na latifa, kuna kipindi Dunia ilisimama na ikajiuliza mb dogg ndo Nani!!? Ulikuwa kuwa HATARI ulipotoa hii ngoma na Ile latifa

  • @harounheri6702
    @harounheri6702 Місяць тому

    company yetu wote maculture kuhusu mabitoz hakuna kabisa,jimix ma magang ili upate rahaa ooh nakonda kabisa

  • @DushimimanaAngelique-i7z
    @DushimimanaAngelique-i7z 9 місяців тому

    Diamond anaharibifa numinous za tanzania kbsa

  • @kizomontana5918
    @kizomontana5918 14 днів тому

    Tena 2025

  • @YaziduAlly
    @YaziduAlly 11 місяців тому

    Mbona nyie viongo Sana

  • @harunotieno2270
    @harunotieno2270 9 місяців тому

    Bongo project imenirudisha huku.

  • @abdulselemaneselemane9282
    @abdulselemaneselemane9282 11 місяців тому

    Mb my brother My this song ,i am rembrer long teme is go

  • @FranckByanchira
    @FranckByanchira 3 місяці тому

    Kwani hamukudumu.

  • @carlitacelestino5548
    @carlitacelestino5548 Рік тому +1

    Yani kama wa jana❤❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelTarumbeta
    @EmmanuelTarumbeta 11 місяців тому

    Wapi pamendikwa nasib

  • @MohamediSaidi-pt6md
    @MohamediSaidi-pt6md 9 місяців тому

    Mb dogg katudanganya mbn sioni mond popote

  • @leynerleonard8905
    @leynerleonard8905 11 місяців тому

    Mbn cjaona kitu nawewe unatafuta views

  • @jafetjakcsonlaiza4672
    @jafetjakcsonlaiza4672 Рік тому

    Atweza aenda san daima katoto ya jusitu

  • @TigerZlatan
    @TigerZlatan Рік тому +3

    Diamond mwiziii tz yapaswa kuandamna kumsusia mambo yake aache uzurumati tunataka haki araka mb dog kaimba music diamond haja zaliwa leo ndo mmiliki wa wimbo #aFuck

  • @OmalyPanga
    @OmalyPanga 9 місяців тому

    Ngomakali saiy

  • @gracethomas4621
    @gracethomas4621 Рік тому +1

    Nenda mahakamani utalipwa because ni Wizi wa kuaminika

  • @gzomkali3790
    @gzomkali3790 Рік тому +3

    Uyo choko tu mtotouyo mwiz sana wa viuaz

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Рік тому

    Nimekubali

  • @YaziduAlly
    @YaziduAlly 11 місяців тому

    Acheni uongo

  • @charlesantony9761
    @charlesantony9761 Рік тому +1

    hiyo dimond mbona siioni

  • @Invisible254-xb8ts
    @Invisible254-xb8ts 11 місяців тому +1

    I ❤LOVE THIS SONG SO MUCH ❤❤❤❤

  • @bagenijuma7109
    @bagenijuma7109 Рік тому

    Msanii yeyote akitaka kutrend mpaka amochokonoe diamond mbona ivo jaman, mti wenye matunda hahaaaa, mbona waponwengi kondo boy alikiba marioo baba levo jaman muachen

  • @mariakemunto3389
    @mariakemunto3389 Рік тому +1

    Doggy siku zote dope ❤❤❤

  • @abubakarmohamed9900
    @abubakarmohamed9900 Рік тому +1

    Diamond mwizi kama wezi wenginetu

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 Рік тому

    😊😊😊 baada ya kuskiliza interview inabd nirudi

  • @nicholausmakundi2663
    @nicholausmakundi2663 4 місяці тому

    Beat inavyodondoka kwanza...jajaja

  • @SmilingDragon-qn5hz
    @SmilingDragon-qn5hz 11 місяців тому

    Enzi zangu ebu huu jama kaenda wapi

  • @Lizyokoye
    @Lizyokoye Місяць тому

    December 2024❤️

  • @HakeemAlvin
    @HakeemAlvin 11 місяців тому

    Mb gogg

  • @FidesDamian
    @FidesDamian Рік тому +1

    Pole

  • @HalifaniJuma-px6qn
    @HalifaniJuma-px6qn Рік тому

    Sana

  • @kevohlefti
    @kevohlefti 11 місяців тому

  • @busatitv
    @busatitv Рік тому +1

    Shikamoo Diamond

  • @razackhamis4375
    @razackhamis4375 Рік тому +1

    Huyu Diamond huu wimbo kaupataje!!

    • @harunathuman149
      @harunathuman149 Рік тому

      Kwani hujui kusoma siangalia hapo more ujue kama kumeandikwa nn nkt

    • @mohamedally5225
      @mohamedally5225 Рік тому

      Mbn haionesh kua ipo kwa daimond

    • @Aboodjan4-
      @Aboodjan4- Рік тому

      ​@@mohamedally5225hata mi sioni

  • @FatumaPamfili
    @FatumaPamfili Рік тому

    man water ✍️

  • @harunaabu3083
    @harunaabu3083 11 місяців тому

    Sasa kaka mb dog mbona kama niuwonevu tu kwanini wakuwa.hivyo nyimbo hii nimekua ninaisikia toko mwaka 208 mbona kama wanazingua hawa majaa

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +1

    ❤❤

  • @phoncechriss
    @phoncechriss Рік тому +1

    I hope hii ndo account sahihi

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 Рік тому +2

    Kwani hii ndo account ya Mondi!!?

  • @EmmanuelTarumbeta
    @EmmanuelTarumbeta 11 місяців тому

    4:21

  • @Williumgeofrey
    @Williumgeofrey Рік тому

    Hahahaha huyu jamaa muongoo et diamond kaandikwa majina yake pumua kwa jasho lako kakaaa

  • @rajabumakopa1238
    @rajabumakopa1238 11 місяців тому

    Dog mungo

  • @abedmswahili
    @abedmswahili Рік тому +3

    Anajaribu kurejea kwa upepo wa Mond .... how Mond could access UA-cam account yake and just edit descriptions ya Wimbo 😂😂😂

    • @meshackmbinda4608
      @meshackmbinda4608 Рік тому +1

      Wewe dogo huu wimbo unapigwa wewe haupo utachekwa mond hapo kayakanya wimbohuo emb dog etadhalilika bule