UNAWEZA KUWA KANISANI KUMBE UMEPOTEA( SEH B)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @emmanuelmbuliimo7055
    @emmanuelmbuliimo7055 4 роки тому +8

    Natamani pastor tukutane mbinguni maana Mungu anakutumia kutusaidia madhaifu yetu Kuna marafiki ambao wewe hutufahamu tunakupenda sana pastor unisaidie namna gani Nina weza nikadumu katika Roho Mtakatifu milele zote nisirudi nyuma tena

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 роки тому +5

    Mungu akupe maisha marefu dear pastor barikiwa sana Amen❤❤

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 4 роки тому +1

    Barikiwa sana pastor kwa himizo nzuri ya kwamba hata kama tulishapokea ubatizo wa maji mengi ,bado twahitaji ubatizo wa pili wa roho mtakatifu,neema ya Mungu naomba itoshe kwa nafsi zetu za kiroho 🙏🙏

  • @clementgerald2988
    @clementgerald2988 4 роки тому +5

    Barikiwa Sana Pastor Hakika naenjoy Mahubir yako kwa Ujumbe wako Mzuri, Hakika unabadilisha Maisha Ya Watu kukua Ktk Bwana

  • @Afrikahuru28
    @Afrikahuru28 4 роки тому +1

    Asante sana pastor nimekua nikitafuta ufafanuzi wa hili fungu la tunda la roho.. Namshuru sana MUNGU BABA kwa kunipa haja ya moyo wangu

  • @shukurumlechi4139
    @shukurumlechi4139 5 місяців тому

    Hallelujah neno hili lina bariki
    Barikiwa sana mchungaji ❤❤

  • @veronicaenock7292
    @veronicaenock7292 4 роки тому +1

    Asante kwa mwendelezo huu @pastor mmbaga Mungu akubariki maana unatubariki saaanaa🙏🏻🙏🏻

  • @ndayishimiyeriziki8696
    @ndayishimiyeriziki8696 4 роки тому +1

    Mungu atusahidie sana natuweze kubatizwa kwa roho mtakatifu Amina

  • @emmanuelmbuliimo7055
    @emmanuelmbuliimo7055 4 роки тому +4

    Nimelisubiria kwa hamu sana Ameni

  • @elizabetmageme1562
    @elizabetmageme1562 4 роки тому +1

    Barikiwa sana pastor

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 роки тому

    Mungu azid kukupa maisha marefu uendelee kutilish chakula cha kiroh ubarikiwe san Mchungaji

  • @jimmymwashambwa3923
    @jimmymwashambwa3923 3 роки тому

    asante Roho wa Mungu wetu kwakuwa were watupenda daima

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 роки тому

    Amen asante Yesu maana neno langu lanichonga kweli kweli utukuzwe milele BWANA asante mchungaji ubarikiwe sana

  • @nicholauscharles8517
    @nicholauscharles8517 4 роки тому

    Pastor no nimebarikiwa Sana na somo hii kweli Mungu atusaidie,,

  • @danielnkonu4282
    @danielnkonu4282 2 роки тому +1

    Mungu akutagulie pr d mbanga

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 4 роки тому

    Barikiwa sana mchungaji.kwa hakika umetusaidia sana kuzifungua akili zetu

  • @wadyanali900
    @wadyanali900 4 роки тому

    Amen pastor kwa hubiri tamu

  • @issackmzena4906
    @issackmzena4906 4 роки тому

    Somo hili limenitoa kutoka sehem moja kwenda nyingine limenibariki sana ,Barikiwa sana pastor

  • @natihaikamjema6130
    @natihaikamjema6130 4 роки тому

    Nimebarikiwa na somo Pastor, Mungu akubariki

  • @dianamalaba1776
    @dianamalaba1776 4 роки тому

    Asante PR.nmepata kitu kikubwa sana kwny hili somo.Mungu akubarki sana.

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 4 роки тому

    Aminaa mchungaji wangu

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 роки тому +1

    Amina nakupata pastor

  • @josephkivunge7501
    @josephkivunge7501 4 роки тому

    Amina Pr

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому

    Asantee kwa somo zurii

  • @elizabethmabula101
    @elizabethmabula101 4 роки тому +1

    Amen

  • @nippermshana9260
    @nippermshana9260 4 роки тому

    Amina roho mtakatifu atuongoze

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому

    Kwa MUNGU hakuna color, kambila, taifa, siku mwesi au mwaka ni moyo mukujufu wa kunyenyekea na upendo. amen amen. kweli muchungaji ubarikiwa

  • @dicksonwambura9840
    @dicksonwambura9840 4 роки тому

    Amina pr mbaga ubarikiwe san

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 4 роки тому

    Amen thank you pastor 🙏🙏🙏😍🥰💖

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 3 роки тому

    Ashukuriwe MUNGU wa mbinguni aliyekufanya kuwa mtumishi wake.

  • @noellaniyonsaba9087
    @noellaniyonsaba9087 3 роки тому

    Mbarikiwe n'a Bwana

  • @ellenmbota1241
    @ellenmbota1241 4 роки тому +1

    Amani mchungaji, kwa somo hilo Mungu akubariki

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 Рік тому

    Amina

  • @annakiza4925
    @annakiza4925 4 роки тому

    Amen ubarikiwe sana Muchungaji . yani umeubiri jibu la Swali yangu lakila siku. MUNGU nimwemakweli. i had a Question that says how can i be baptized by Holy Spirit everyday and how can i know?.

  • @amosmwaz4742
    @amosmwaz4742 2 роки тому

    Wimbo unaoibwa soma likiansha inaujibe.Nawesha ipataaje

  • @verdianajohn7634
    @verdianajohn7634 4 роки тому

    Amina pr barikiwa sana yaani hapo kwenye uhazini wa kanisa nilisemwa sana sana lakin nilifanya kazi hy kwa muda wa miaka 9 nilisimama nikawa mwaminifu kwa Bwana na pia nilikuwa sijaolewa vyote vikichanganywa wakati mwingine nilikuwa nalia na Bwana akaniinua wakabaki wanashangaa. Hayo yote yanatokea. Nimebarikiwa sana

    • @estheryesuwe633
      @estheryesuwe633 4 роки тому

      Pastor,ahsante sana kwa somo hili,mm na mume wangu tulikuwa wema sana na tulijitahidi kutenda mema kwa familia,rafiki na hata jamii nzima lakini tumefika wakati wema wetu umegeuka huzuni kubwa maishani,tafadhali pastor nifundishe nifanye nn ili nirudishe furaha na mahusiano mema kwa jamii na marafiki ?

  • @rwesimbibicharles8994
    @rwesimbibicharles8994 3 роки тому

    Alléluia

  • @agnessnlukumaylukumay9111
    @agnessnlukumaylukumay9111 4 роки тому

    Mtumisha no yako naomba.

  • @Vel42
    @Vel42 4 роки тому

    AMINA

  • @mn9484
    @mn9484 4 роки тому +1

    Lol!! Uaminifu!!!

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 роки тому

    Kuzaliwa Mara ya pili

  • @nidusabejean
    @nidusabejean 4 роки тому

    Pastor, asante kwa somo zuri, mimi binafsi nomeonekana nimepungua mbele ya neno la Mungu ,alakini nina swali, ni kipi kinaanza kati ya matunda ya Roho na kujazwa Roho mtakatifu??

    • @awalimunishi
      @awalimunishi 4 роки тому

      Samahani naomba nijaribu kujibu,Kinachoanza ni kujazwa na Roho mtakatifu ukishajazwa matunda yake yatadhihirika ndani yako maana matunda ya Roho ni Kazi ya Roho wa Mungu mwenyewe,ndiyo maana tunasema hata utendapo matendo mema huna cha kujivuna maana hata hayo matendo mema si juhudi zako ila kazi ya Mungu ndani yako.

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 роки тому

    Na wenye mnadislike hii vedio na wenye mpo na madeni ama nikutoelewa?
    Ama ni wenye mpo ndani ya giza? l'm sorry,though I don't judge anybody God bless you much

  • @willywox5040
    @willywox5040 4 роки тому +1

    Je? Mchungaji kama mtu yuko hivo alaf ni wa jumapil hataenda mbinguni?

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 4 роки тому

    Swali ,je ukiwa na Roho mtakatifu huwezi kuanguka?

  • @enockndamo1350
    @enockndamo1350 4 роки тому +1

    Amen

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 роки тому

    Amina

  • @rwesimbibicharles8994
    @rwesimbibicharles8994 3 роки тому

    Amen

  • @محمدمحمد-س5ت3ن
    @محمدمحمد-س5ت3ن 4 роки тому

    Amen