Ukisoma Yohana 9, utaelewa kwamba Sio Kila tatizo Lina sababu mengine yamekuwapo Kwa ajili ya Kulitukuza Jina la BWANA, na Kila jambo liwe Lina sababu au halina Mwishowe Ni Mungu ambaye hutukukuzwa
Mchungaji natamani kuwasiliana na wewe binafsi lakini sijui napitia njia gana au napataje namba zako tafadhali kama kunanjia unaweza kufanya ilituwasiliane nisaidie NAKUOMBA SANA.
Asante Mungu nimeamini kupitia maombi haya familia yangu yote tumefunguliw kwa Damu ya Yesu Kristo Amen🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏 mungu akubariki sana .nafuatiliya maubiri Yako kutoka Kenya nabakiwa sana , naomba mungu anifugue kwa biasara yagu.
Amina muchumaji tubalikiwe sote pia naamini yesu atavunja maagano yote yafamimiliya yangu
Ahsante pastor nimeamini mimi pamoja na family yangu tumefunguliwa kwa jina la yesu kristo amina
Asante mchungaji kwa mafundisho haya , Mungu akubariki
Mauburi mazuri sana mchungaji,Barikiwa sana💪🙏🙏
Ni Imani yangu kywa,familia yangu pia imefunguliwa kwa Jina la Yesu Kristo 🙏
Namshukuru Bwana Kwa kufungua ndia yangu
Amen nimeamini kupitia maombi haya hakuna mabaya kwa familia yetu🙏🙏🙏
AMINA
Amen 🙏 🙏
Ameeeen
To God be the Glory ❤
Amen 🙏🙏🙏
Aminaaa
ameen
Amen
😊
Ukweli nimesikiza mahubiri yako Mazuri nakuomba uniombee mwanangu ambaye kwa darasa anaperform mbaya sana.
Mchungaji naomba sijui nilini ila siku utakapopata ujumbe wangu naomba tuwasiliane nimeshindwa nikupataje ila nakuomba sana tuwasiliane
Niko na swali,ni mlango gani ambao Ayubu hakufunga hadi adui akapita?

Amen 🙏