UNAWEZA KUWA KANISANI KUMBE UMEPOTEA ( SEH "A")

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому +3

    I thank God for your truth of the Bible may God bless you and your family in Jesus name amen

  • @mkubwahasani4916
    @mkubwahasani4916 Рік тому

    Amina sana Mungu akubariki sana mchungaji na mwalimu

  • @tinclassic421
    @tinclassic421 3 роки тому +1

    Barikiwa sana mchungaji

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 роки тому +3

    Asante mchungaji Mmbaga, Mungu akubariki kwa somo

  • @fatumasika9519
    @fatumasika9519 Рік тому

    Nashukuru kua nimepita njia ya kufanikiwa n'a mafundisho mazuri. Mchungaji, ubarikiwe! Naandika kutokea Kinshasa DRC

  • @nellyn2809
    @nellyn2809 4 роки тому +2

    Hallelujah am blessed with the preaching I can't wait to listen part B.Ubarikiwe sana

  • @paskaziafabiani3752
    @paskaziafabiani3752 4 роки тому +1

    Yananiimarisha sana pastor mmbaga nakuombea mungu akujalie uzima kila itwapo leo

  • @jafarisimfukwe4413
    @jafarisimfukwe4413 2 роки тому

    Barikiwa sana pastor

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 4 роки тому +5

    Mmi niliwahi kuota YESU anakuja toka mawinguni ila nilikuwa nafuraha ya ajabu hadi machozi ya furaha yalinitoka je ndoto hii inanifundisha nni mchungaji je na mmi ni moja wao wa kwenda mbinguni au ni ndoto tyu

  • @emilymigiro2832
    @emilymigiro2832 4 роки тому +1

    Thank you pastor for the fundamental truths that I have learned...you have taught me more insights than when I went to church.
    God bless you so much

  • @angel-y
    @angel-y 4 роки тому +2

    Amen 🙏

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 роки тому

    Amen, Mungu na akubariki kwa somo nzuri,limeniinua hadi nimejua penye sikua najua, God bless you Pr Mmbaga

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 4 роки тому +1

    Ameeeeen God bless you pastor 🙏🙏🙏🙏😍🥰💖💗

  • @liliankerubo7906
    @liliankerubo7906 4 роки тому +1

    Amen

  • @celinastewart5247
    @celinastewart5247 4 роки тому +1

    Ubarikiwe Pastor

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 роки тому

    Ameeeen

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 роки тому +1

    Pr.Mmbaga Mungu akubariki sn.hubiri la kuelewa unapambana na shetani usimchukie mtu nililitumia likasaidia kuikomboa familia iliyokuwa ina migogoro ya ndoa nikawafundisha wanandoa wale waelewe wanapambana na shetani mpaka wakarudiana wakati kila mmoja hakuwa na hamu na mwenzake tena kuishi naye na walikuwa wametengana nikatumia hubiri lako waelewe wanapambana na shetani mpaka ile ndoa wakarudiana.Mkono wa Bwana ulionekana ktk ndoa ile na yule mwanaume akashukuru kwa ukombozi wa ndoa yake.Pr mahubiri yako yamenisaidia ht mm kunifanya niwe mpatanishi wa familia hiyo kupitia hubiri lako la juu ya kuelewa unayepambana naye ni shetani na si yule mtu.Ulitoa kisa cha shetani alivyoweka asali mpaka mbwa wa jirani na paka wa jirani kuleta uhasama kwa familia shetani akaanza kusema kwani mm ndo nimewagombanisha! nilitaka tu kukumbusha kuwa umenisaidia kwa kiwango kikubwa.Zamani nilikuwa nawachukia wanaoniudhi ila siku hz nimemgundua shetani.

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 4 роки тому +1

    Pasta unafundisha vizuri sana

  • @mn9484
    @mn9484 4 роки тому +1

    Amina

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 роки тому +1

    Ameen

  • @teresaosoro5962
    @teresaosoro5962 4 роки тому +1

    Imeleweka kabisa pastor

  • @bienvetvofhope2509
    @bienvetvofhope2509 4 роки тому +2

    Ubarikiwe mchungaji kwa somo hili ila swali ni
    1) Roho Mtakatifu ni nani kwetu?
    2) Unaweza kuwa na Roho Mtakatifu huku hujabatiwa kwa maji pia?
    3) Anaye stahili kubatiza kwa maji ni nani maana tunaona wanafunzi wa Yesu walibatiza hali nao bado walikuwa hawajapokea ubatizo wa Roho.
    4) ushirika gani uliopo kati Maji na Roho Mt

  • @wilsongabriel1167
    @wilsongabriel1167 3 роки тому

    MUNGU akubariki

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 4 роки тому +6

    Nimemuona huyo alosoma mara ya pili alinifanya niwe msabato IRINGA kwenye efort

  • @veronicaenock7292
    @veronicaenock7292 4 роки тому +1

    😂😂😂😂@pastor mmbaga watu wanakata tamaa huku kufufuka na maralia,ila kiukweli pr Mungu ameweka kitu ndani yako sii bure nabarikiwa saana,umenibadirisha saana,Mahubiri TV hunibariki saana nashukuru 🙏🏻🙏🏻Mungu akubariki saana mtumishi

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 4 роки тому +1

    Yes

  • @lamidalonghee7012
    @lamidalonghee7012 4 роки тому +1

    thanks mchungaji.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 роки тому

    Katoliki tunaamini ufufuo wa pili upo.pia kanisa hili ni watoa huduma.(hosptali,shule,maji)hawatuambii tutafute pesa.wanatuhimiza toba na kupokea Ekaristi.

  • @petermalima2312
    @petermalima2312 4 роки тому

    Barikiwa mchungaji

  • @kapeletv
    @kapeletv 4 роки тому +3

    Barikiwa sana Pr, je na ombi langu unalikumbuka la Viziwi? Wasaidiwe Pr, watafsiliwe masoma mazuri haya, ili tubarikiwe wote pamoja

  • @rogersrom5460
    @rogersrom5460 2 роки тому

    Pr. Natafta msaada.

  • @gloryrimy9613
    @gloryrimy9613 4 роки тому +4

    Imn pr mbona umetukatishia njiani.😂😂

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 роки тому +1

    Mchungaji nieleweshe, nauliza kwani watu watafufulia Mara mbili .

  • @emmanuelisimkonda2370
    @emmanuelisimkonda2370 2 роки тому

    Nashukuru kwa mafundisho ila Niko zambia na nilitamani kufunguriwa zaidi kwani huwa siendi kanisani kwashida ambazo nakutana nazo na utanisaidiaje nifunguriwe

  • @neemarugoe8315
    @neemarugoe8315 2 роки тому

    Ubàlikiwe mchungaji

  • @nsabimanamalirojeandedieu6649
    @nsabimanamalirojeandedieu6649 2 роки тому

    Nakufuata katika mahubiri unayo toleya duniya nzima. Mungu Baba wa Mbinguni aku bariki na nyumba yako yote. Ila, hubiri hili ume weka nusu. Ikupendeze kui post yote. Mwanzo hadi mwisho.

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому +1

    😃😃pr et siku yote nimfano tu

  • @oredibonk592
    @oredibonk592 4 роки тому +1

    Part B please

  • @aloyceluchagula2698
    @aloyceluchagula2698 3 роки тому

    Aloyce samwel.Geita. Mimi paster kila nikitoka kanisani kujitakasa dhambi zangu kuelekea Katika mihangaiko ya Maisha najikuta nafanya maovu tena makubwa tu shida ni nini labda kwangu

  • @ellenmbota1241
    @ellenmbota1241 4 роки тому +1

    Amani

  • @paulgitita6932
    @paulgitita6932 4 роки тому +1

    Mtumishi huburi tamu...lakini kuna mahali kachanganyikiwa....yesu kurudi mala ya pili....kumbe hatutamuona yesu sisi wote akirudi at same time...

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 Рік тому

      Huenda wewe ndio umechanganya kusikia maana amemaanisha ufufuo kwa watu wa aina 2 na mitazamo tofaut, watakatifu wakifulahia ujio wa Yesu
      Na wadhambi watakapomuona wataogopa tukio litafanyika kwa wakati mmoja

  • @esthetbabu7481
    @esthetbabu7481 4 роки тому

    Asante sana tunaitajika kusikia neno la mungu akikuita usikatae pastor God bless you Amen Amen

  • @joshuaaugustino7646
    @joshuaaugustino7646 4 роки тому

    Mahubir tiv

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 роки тому +2

    😂😂😂🙆‍♀️Oooh jamani somo zuri sana ila umetukatishia

  • @paskaziafabiani3752
    @paskaziafabiani3752 4 роки тому +1

    Nitayamc mahubir kwa mda nauza cm

  • @kohelethbirage7755
    @kohelethbirage7755 4 роки тому

    Mchungaji ni kweli na watoto walikuwa wakijipanga msitari na bibi arusi anagawa sent za pesa

  • @febbycosmas6298
    @febbycosmas6298 3 роки тому

    Kwa hiyo mpumbavu ni mbishi na hataki kujikubali

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 роки тому

    Nimepitia comment ubaeikiwe Samwel Mungu azidi kuinua ndoto zako na kipaji hicho cha maombezi.Nami napenda sn huduma hiyo nisaidie ktk maombi.

  • @unclejonah7350
    @unclejonah7350 3 роки тому

    pastor hapo kwa wale waliokufa wakiwa watakatifu wataenda mbinguni .hivi je ? wale wako hai wakiwa wenye dhambi watabaki duniani pekea yao na shetani

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 4 роки тому +1

    Amen