SIRI KUBWA KUHUSU SHERIA ZA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA ( SEH A)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura Рік тому

    Amina

  • @adonismuganyizi226
    @adonismuganyizi226 2 роки тому

    Lazima ni kili kwa moyo mkunjufu Mungu akubaliki pr.Mmbaga
    kwani haijalishi nilini ulitumiwa na Yesu kutufikishia huu ujumbe kila nikiusikiliza utadhani umehubiliwa leo,
    nakuombea kwa Mungu akujazie roho mtakatifu maladufu uzifikie roho nyingine kama mimi duniani.
    ninabalikiwa sana kwa mafundisho yako asante

  • @jeanmandala1905
    @jeanmandala1905 3 роки тому

    Asante mtumishi wa Mungu. Ninabarikiwa Sana kwa somo ili takatifu

  • @stellamtera7337
    @stellamtera7337 2 роки тому

    Asante pastor,nakushukuru nimejuwa sasa zaka na ukarimu
    Bwana akubariki zaidi

  • @jaredmayaka9059
    @jaredmayaka9059 4 роки тому +1

    Kwa kweli nimejifunza jambo jipya kabisa katika maisha yangu ya Ukristo. Amina

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 3 роки тому

    Am soooo blessed,nimejifunza Mambo mengi every time I watch ur sermon GOD 🙏 bless you in all the ways

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 4 роки тому +1

    Asante pastor kwa somo nzuri la kutufahamisha umuhimu/faida ya kuwa chini ya uongozi/neena ya Kristo kwa ajili ya kufanikiwa katika vyote ambavyo tunafanya 🙏

  • @bedamnamalalikonda1124
    @bedamnamalalikonda1124 4 роки тому

    Ubarikiwe PR Mbaga kwa kufundisha somo hili lenye nguvu sana katika maisha yetu.

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 3 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU aliye hai.

  • @naominasimiyu551
    @naominasimiyu551 4 роки тому

    Asanti sana mwalim wangu, Mungu akubariki sana pastor, yaani wewe ni mwalim wangu wa roho.

  • @ndayishimiyeriziki8696
    @ndayishimiyeriziki8696 4 роки тому +1

    Nashukuru Mungu kwakuwa nimebarikiwa nasema Amina

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 4 роки тому

    Very powerful msg nimepokea sehemu yangu more grace Pastor watching you from Kenya

  • @marysteven3543
    @marysteven3543 3 роки тому

    Amina 🙏 pasita,,nabarikiwa na mahubiri mazuri

  • @judithmakoye6592
    @judithmakoye6592 4 роки тому

    Amina pastor, barikiwa, nashukuru part B nilikuwepo nimejifunza mapya

  • @glorymrema8945
    @glorymrema8945 4 роки тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @hagaikabogo8895
    @hagaikabogo8895 3 роки тому

    Unabariwa na mahubiri pr ubarikwe. By hagai kabogo kutoka mtaa usokami mufindi

  • @romwaldbruno5522
    @romwaldbruno5522 4 роки тому +1

    Mchungaji naomba hili somo ulirushe part B yake kesho,,, barikiwa na Mungu akutunze

  • @jessikaakinyi8445
    @jessikaakinyi8445 4 роки тому

    Asante sana pastor

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 роки тому

    Mchungaji ubarikiwe san kwa som nzur ambalo linametuelimish 🙏

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому +1

    Asante kwa somo zuri nasubiria pat 2

  • @verdianajohn7634
    @verdianajohn7634 4 роки тому

    Amina pr Mungu atusaidie sana kuelewa

  • @molaedward9334
    @molaedward9334 4 роки тому

    Barikiwa saana pastor

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 роки тому

    Amen asante nasubiri part B

  • @ellenmbota1241
    @ellenmbota1241 4 роки тому

    Amani mchungaji kwa somo hilo,umenifuza hawa marafiki ni sumu mbaya Mungu akubariki kwa ujumbe huo Mungu awe nawe

  • @mgangazephania2592
    @mgangazephania2592 4 роки тому

    Very nice

  • @joymoraa6701
    @joymoraa6701 4 роки тому

    Barikiwa Sana Mchungaji, The message is powerful

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 роки тому +1

    Amen God bless you

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 4 роки тому

    Barikiwa mtumishi.

  • @suleselina9919
    @suleselina9919 4 роки тому

    Munguatusaidie kukua kiroho amen

  • @saighilunyangusi4986
    @saighilunyangusi4986 4 роки тому

    Aasante pasta

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 4 роки тому

    Aminaa

  • @rosemaryotieno3243
    @rosemaryotieno3243 4 роки тому +1

    Amen!

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 9 місяців тому

    Amen

  • @gerraldgready8051
    @gerraldgready8051 Рік тому

    Asante

  • @jessicaabraham4677
    @jessicaabraham4677 4 роки тому

    Ameeeen

  • @eliashosea1811
    @eliashosea1811 3 роки тому

    Amani ya bwana iwe pamoja nanyi ubarikiwe mchungaji

  • @mn9484
    @mn9484 4 роки тому

    Chapati nyeupe!!

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 роки тому

    Amiinaaaa

  • @zachariahonga
    @zachariahonga 4 роки тому +2

    Eti "unakula vitu vya ajabuajabu!" 😀😀😀😀 yaani hiyo kauli nimeambiwa nyumbani mara kibao sana na wadogo zangu. Ni kwa sababu jamii imezoeshwa isivyo sahihi. Kauli nyingine nayopata ni kwamba "lifestyle yako tofauti sana"

  • @mrtoxicx
    @mrtoxicx 4 роки тому +3

    SIRI KUBWA KUHUSU SHERIA ZA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA ( SEH A)

  • @mwasimichael4903
    @mwasimichael4903 4 роки тому

    Na iwe hvyo

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 2 роки тому

    Mchungaji unauhakika walioko hapo wanamjua YESU tuongee kweli kabisa hivi ni kweli kabisa wanampenda yesu?kwanza wanamjua mpaka wampende?

  • @bobog9732
    @bobog9732 4 роки тому

    jina la BWANA lipewe sifa

  • @jackneymasamson8335
    @jackneymasamson8335 4 роки тому

    Mchungaji naomba unisaidie kuhusu tohara kwa wanaume au watoto wa kiume kibiblia hili likoje kibiblia tohara ni lazima au sio lazima naomba unipe elimu hii mie naishi Germany Bayern Munich nimepata mjadala mkubwa kuhusu tohara kwa Mwanangu wa Kiume. Email yangu ni Jackneymas@gmail.com +4915211959380

  • @samngax_123
    @samngax_123 4 роки тому

    Ubarikiwe Pr. Pitia wimbo mzuriii kwenye h link ua-cam.com/video/Sdg9ZW1S7Wc/v-deo.html

  • @davidginono625
    @davidginono625 4 роки тому

    Je kula nyama inaruhusiwa ........? Kulingana na roho ya unabii......na biblia??

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 роки тому

      David Ginono Soma Walawi 11:1-23

    • @davidginono625
      @davidginono625 4 роки тому

      @@MahubiriPrMmbaga sawa ......lkn bona mungu aliwapiga wale walio taka kula nyama jangwani kama vile ni kosa...?

    • @davidginono625
      @davidginono625 4 роки тому

      @Daniel thomas Msigwa ahaa...kumbe hairuhusiwi kwa wakati wetu......basi mbona walawi 11:1-23 nimeambiwa nisome?

  • @Calton898
    @Calton898 Рік тому

    Amen

  • @respiskasomo7859
    @respiskasomo7859 4 роки тому

    Amina

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 роки тому

    Amen

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 4 роки тому +1

    Amen

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 4 роки тому

    Amina

  • @elizabethmabula101
    @elizabethmabula101 4 роки тому

    Amen