demu wangu alikuwa anataka kwenda police nilimuambia ninakukula Kwa mara ya mwisho unakoenda sitoweza kudate na jambazi nashukuru aligaili na sasa yupo sehemu nzuri sana
Shida ya Zitto anakuwaga Radical pale anapojeruhiwa. Mlikuwa mnpiga selfie na mama yenu mnamshngilia. Ehee imekuwaje?? Usisahau kaka mkubwa, mmehujumu Azimio la Tabora na sera za Ujamaa. Tunawadai. Sijui wewe na wapinzani wenzenu kama CDM, NCCR, CUF n.k mnasimamia nn hasa au ni Mafisiemu wote. Sera zenu ni zile ile (Uwekezaji, Utalii, Soko huria, diplomasia ya Uchumi, nk.) kwa nini msiungane tu?? Napenda sana siasa ila kila nikiwafikiria wapinzani na walioko madarakani natokwa na machozi. Kama nyinyi ACT niliwaamini sana kupitia Azimio la Tabora, kumbe Unafiki tu......😢
Hili jeshi linatakiwa livunjwe na kuundajeshi lingine maana hawa hawafai hawana hofu ya Mungu wameharibu nchi.wametia aibu inchi yetu kimataifa.Mungu atusaidie.
Inahuzunisha sana Eeee Mungu tusaidi hali imekuwa mbaya sana😢😢😢 Naiomba serikali ichue hatua kwa hawa wanaovunja sheria pia wanachafua jeshi la Polisi na kuliondolea sifa ya kulinda laia na na mali zake
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Kijana wa ACT mmoja anakamata kura bandia badala ya kupeleka polisi au tume ya uchaguzi ana mpelekea Zito kabwe mmiliki wa chama hicho na sasa amestaafu maajabu hayo acheni uhunu
Kuliko kujihusisha na siasa za Tanzania ni heri ukasome bible na Quran huenda utapata faida badae ila ukijihusisha na siasa za CCM unajichimbia na kujiwekea njia rahisi ya kwenda motoni
Kweli nimeamini kuwa Siku likikukuta Jambo Kwa yule uliyempenda sana kumuamini kukufanyia ubaya hapo utakuwa umejitambua haswaa 😅😅😅ulimchukia Sana JPM hukujali Maendeleo ya nchi yalivyokwenda ukaangalia ubaya zaidi ya wema sasa Mungu kaondoa Vyotee hakuna olaaaaa
R.I.P uchaguzi huru😢😢😢kupiga kura ndo basi tena wacha waendelee kupeana madaraka kwa mfumo wao wa kifalme sitapoteza muda wangu kupiga kura mimi na familia yangu yote
@salhaomar5382 tume huru ya uchaguzi inabid iwe huru isihusiane na chama kilichopo madarakan mana tume hii ya sasa ipo chin ya tamisem Yan ipo chin ya serikal ya ccm kwaiyo haki haiwez patikana ya uchaguzi kua huru ikiwa chama kilichopo madarakan ndo wanasimamia iyo tume ya uchaguzi Yan ni sawa na yanga na Simba kucheza mpira wakati refa wa pambano ni kocha wa Simba inamana lazima apendelee tim yake
Hivi kweli polisi wanapiga ndugu zao bila huruma, Kwa Nini wasifunguliwe mashtaka? Au Kwa sababu wanatumwa na wakubwa wao! Lakini ipo siku mambo yatageuka.
@@atupegemwakahesya ss hatujitambui tunavyopelekwa rais, waziri wa ulinzi na tamisemi wote zanzibar unategemea nini hapo uzalendo utatoka wapi tulivyo wajinga tunauana watanganyika wenyewe kwao ni furaha kwetu kilioo
@@OmariChanja kaka hakuna kitu kibaya kama rushwa, rushwa ni adui wa haki na maendeleo ndio maana mahakama haziwezi kutenda haki tukatae umasikini wa rushwa
Mheshimiwa Zito, Ninyi ndio tunategemea kubadilisha siasa za nchi hii, tumechoka na chama fulani kutawala kwanguvu , sisi sio watumwa, Hawana tofauti na wakoloni , nahisi Tanzania hatujapata uhuru bado
Zito ulibadilika Sana kijana zidi ya miaka 4 hujawahi kuongea kwa uchungu kama hv ukimya wako WA kumsifia mama Kila wakati umetufikisha hapa ss nakuombea rudi kama zamani kukemea
Ukweli serikali imelidhalilisha taifa letu. Kura bandia zilikuwa kila mtaa nchi nzima.AIBU KWA CCM. Waziri wa Tamisemi amemdjalilisha Mwenyekiti wa CCM taifa.
Hongera Sana Mhe Zitto Kabwe kwa Maneno Mazuri.
Watapigwa na Mungu Mwenyewe.tusubiri
Poleni Sana Wapizani mm Nilishaapa sitajisubua tena kwenda kupiga kura hadi nitakapoona mabadiliko ya katba na tume huru ya uchaguzi .
Hiyo katiba mpya ataleta nani kama Sio ww kwanza kushinikiza
Huna akili
Zito kaongea kwauchungu sana daah mungu atusaidie sana
Very powerful speech Mh
Hawa POLISI na Usalama wa Taifa ,wanapenda siasa Waunde CHAMA nawao Waingie kwenye mchakato.
Umemaliza ❤❤❤❤❤
Usisahau na greenguard wajiunge na hicho chama.
Wakulaumiwa hapa sio police ni Amiri jeshi mkuu, kwasababu kiburi na ujasiri wote huu wanapewa na amiri jeshi mkuu, period
Umesema vizuri sana
Uko sawa
Hata wao wanaakili. Acha kuwatetea aisee. Kama kuna adhabu wote wanastahili
Katika kazi sihitaji maishani ni ya upolisi sio kazi hio Bora niuze matunda
Eeee Zitto sasa umeanza kujitambuwa Hawa wanaumiza sana hakika inauma sana
🎉kumeanza kuchangamka
Zito Mungu Akubariki Sana Kweli kabisa jamani MUNGU Akubariki Sana Sana ndugu yangu
demu wangu alikuwa anataka kwenda police nilimuambia ninakukula Kwa mara ya mwisho unakoenda sitoweza kudate na jambazi nashukuru aligaili na sasa yupo sehemu nzuri sana
😁😁😁😁😁😁😁 mpka nimemeza taksima
Heeeee😂😂😂😂😂
Zitto barikiwa police wemejaa laana
Zitto sikutegemea ayaseme haya. Ulisema Mama Samia ataonesha Uongozi mzuri kuliko wa Magufuli leo unalalamika tena?
Alitegemea sio kwamba alikuwa na aslimia 100
Ushasema alitegemea
Shida ya Zitto anakuwaga Radical pale anapojeruhiwa. Mlikuwa mnpiga selfie na mama yenu mnamshngilia. Ehee imekuwaje?? Usisahau kaka mkubwa, mmehujumu Azimio la Tabora na sera za Ujamaa. Tunawadai.
Sijui wewe na wapinzani wenzenu kama CDM, NCCR, CUF n.k mnasimamia nn hasa au ni Mafisiemu wote.
Sera zenu ni zile ile (Uwekezaji, Utalii, Soko huria, diplomasia ya Uchumi, nk.) kwa nini msiungane tu??
Napenda sana siasa ila kila nikiwafikiria wapinzani na walioko madarakani natokwa na machozi. Kama nyinyi ACT niliwaamini sana kupitia Azimio la Tabora, kumbe Unafiki tu......😢
😂😂😂😂😂
Lazma alalamike km kuna tofaut
Album kubwa. Mwogopeni Mungu ninyi wote wenye majukum. Baba mtakatifu tusaidie.
Zito.ulijipendeza.sana.kwa.ccm.na.samia.umeona.ushenzi.wao.njoo.tuunganishe.nguvu.tudai.katiba.mpya
Umeona
Hili jeshi linatakiwa livunjwe na kuundajeshi lingine maana hawa hawafai hawana hofu ya Mungu wameharibu nchi.wametia aibu inchi yetu kimataifa.Mungu atusaidie.
Police hawana kosa waijua oda?(oda ni nzito kuliko sheriya).
Wateuliwa makada wa ccm kuwa polisi..hakuna haja ya kusomea,wafunge vyuo vya polisi@@MahamuduAbasi-o1n
Wametumwa n'a Serikali ya CCM
Polisi siyo jeshi wewe
Very strong and powerful speech
😂😂 tulia dawa ikuingie vzuri si ulisema tukazikwe naye majibu ni hapahapa
IGP acha kazi. Ninaona serikali na polisi wote mnatembea bila nguo. Ni aibu sana.
Polisi pigeni kazi kazi yenu nzuri sana Mungu awabariki sana
Mugopeni mungu kila mtu ni mgeni duniani
Strong speech...
Wenzetu wameshafika na maisha yao wameshawekeza duniani ndo maana hawana habar na viumbe wengine ambao Ni wapita njia hapa duniani😢😢😢😢😢😢
Mm nachoamini Mungu yupo na ataipga ccm kpgo ambacho hawataamin,mwaka ujao hautaisha mtaamin maneno yangu,nagonga muhiri haya maneno kwa damu ya yesu
Kaka Fanya mambo vigogo wa ccm wafe wote niko pale nitakupongeza sana
Damu ya yesu ni ya wote...ccm wana iyoiyo damu ya yesu
A TANZANIAN GIRL WHO WAS MARIED IN NIGERIA, EXPLANED HOW SHE BARIED HER LATE HUSSBAND IN THE LUXURIO
ua-cam.com/video/Ha_yNED5gLI/v-deo.html
Sasa damu ya yesu siunywe wewe tutolee ukafiri wako hapa
@@stevenkichereocholla2572towa ukafiri wako hapa ukafiri niujinga
Inahuzunisha sana Eeee Mungu tusaidi hali imekuwa mbaya sana😢😢😢
Naiomba serikali ichue hatua kwa hawa wanaovunja sheria pia wanachafua jeshi la Polisi na kuliondolea sifa ya kulinda laia na na mali zake
Yani ukipewa silaha unaingia front bila kuwaza mambo yanaumizaa haya kabisaa hii nchi imekuwajeeeeeee,,,😢😢😢
Alaf hapo Bado kunamijitu mipumbavu inashabikia ccm.
Bado nchi yetu ipo nyuma sana. Ki elimu tunashabikia ujinga kisa ccm
Zitto mnafiki juzi tu alikuw anamfagilia SSH mnatuchosha
Wapo tu Hao watu
Hongera sana mheshimiwa
Akili inakukaa sawa MH umeongea vzr
Pole sana kijana kwa yaliyo kukuta mungu atalipa kwa hili ndo maana mimi sitakitena kupiga kura maana ukiongea ukweli unafungwa au kutekwa kura
Daaaa mwenyezi wetu sote hakuna kitu kisichokuwa na mwisho!!
Safi sana mheshimiwa
😂😂😂 Huyu siyo zito ninae mjua!! Vip tena nini kimemkuta
Acheni uhuni ACT na CHADEMA mnawaua watoto wetu kipumbavu
Mnaingia katika uchaguzi ambayo sio halali
Mnaingia uchaguzi unaongozwa na Tamisemi Ovyo😅
Mmh.Dunia simama,nishuke.
Umeongea vizur sanaaa
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
aaah hatari😮😮😂😂
Thanks God lao ni ACT maana sisi tumechoka. Ngoja tuone mwisho wa hili saga honestly
Very sad
Mwenye masikio asikie
Zito mambo ya polisi huyajui.
Au bax nisije nikatekwa nyara bure😮😮😮
Mbona malalamiko kama lemaaaa 😅😅😅😅
Tena huyo zito alifurahishwa na kifo cha jpmn magufuri saiz anajifanya ana machungu na haki 😅
Kijana wa ACT mmoja anakamata kura bandia badala ya kupeleka polisi au tume ya uchaguzi ana mpelekea Zito kabwe mmiliki wa chama hicho na sasa amestaafu maajabu hayo acheni uhunu
Demokrasia zero
Kweli umeongea mkuu
Mungu awabanike
Inspekta afu ana nyota tatu😁😁
Mungu akutie nguvu.
hi nchi bana😂😂😂😂😂😂😂😂 wananchi mataira viongozi mataira serikali mataira nasema wananchi mataira kwasababu hatuwaahughulikii ipasavyo waoga sna
Kujigawa kwenu vyama vya siasa lazima msote hivi... Unganeni na muache kupokea wanafiki kutoka ccm
Natamani waungane wote halafu watie ngumu pasi tume huru uchanguzi usifanyike
MWENZANGUUU!!¡😮😮😮😮
Hao ndo watumishi wa nchi hii
Daaah hii nchi
Kinuke tu kama Sudan au Libya
Hatuna jeshi la polizi bali tuna wahuni wachache waliovamia jesh hili wanalitia aibu kubwa Sana 😥😥😥
AIBUUU!!!😂😂😂😂😂😂
Kweli moto umewasha😂
😂hiyo ndiyo tz !!!😂
Polisi walinzi wa raia na mali zao wanashiriki uwizi inspector ni aibu sana
Imekula kwenu mtasema sana lakini ukweli ni wa mungu
“ Aibu kwa nchi yetu, Mungu atatuacha! Tumrudie Mungu.
Kweli
Kuliko kujihusisha na siasa za Tanzania ni heri ukasome bible na Quran huenda utapata faida badae ila ukijihusisha na siasa za CCM unajichimbia na kujiwekea njia rahisi ya kwenda motoni
UKISOMA QURAN FAIDA YAKE NI KUBWA SANA KULIKO KUSHABIKIA CHAMA
Mara zote Mungu huaga hana haraka ya kumuangamiza kila dhalim katika hii dunia
Zito zamani alikua akiwatetea wananchi lakini suku hizi kama hayupo vile
Mhe. Zitto leo ndiyo umeamka na kuanza kujitambua.
Daaah ni 😭😭😭
Mungu atusaidie 2025 kama uchaguzi mdogo hivi je huo mkubwa?
Daaaaahiiii hakuna marefu sio na ncha mwisho wa mambo yote mabaya mwisho umefika kile apandacho mtu Leo atakivuna
Kweli nimeamini kuwa Siku likikukuta Jambo Kwa yule uliyempenda sana kumuamini kukufanyia ubaya hapo utakuwa umejitambua haswaa 😅😅😅ulimchukia Sana JPM hukujali Maendeleo ya nchi yalivyokwenda ukaangalia ubaya zaidi ya wema sasa Mungu kaondoa Vyotee hakuna olaaaaa
For real Chama changu nipo tayari kuangamiza upumbavu wa CCM kwa Aina yoyote ile
katika siasa nawakubali watu wawili tu,zito na tundu lisu basi
Ccm wana laana sugu Mungu wa Mbinguni atawapeperusha Muda si Mrefu
Ccm sio watu
Ccm ni mfumo wa nchi wa kuleta maendeleo kwa watu
Ila jeshi letu hili😅😅
Eee mwenyezi mungu tuhurumie sana na uibariki nchi ya Tanzania Kwa mara nyingine tena kwani hatua iliopo Sasa sio rafiki wa nchi hii
Si muliunga mkono kuwa kanuni ni nzuri
Aisee
R.I.P uchaguzi huru😢😢😢kupiga kura ndo basi tena wacha waendelee kupeana madaraka kwa mfumo wao wa kifalme sitapoteza muda wangu kupiga kura mimi na familia yangu yote
@@FrancisNgomaitara mimi mwenzenu sijaelewa tume huru ya uchaguzi inakuwaje nielewesheni jamani maana nipo nipo tu
@salhaomar5382 tume huru ya uchaguzi inabid iwe huru isihusiane na chama kilichopo madarakan mana tume hii ya sasa ipo chin ya tamisem Yan ipo chin ya serikal ya ccm kwaiyo haki haiwez patikana ya uchaguzi kua huru ikiwa chama kilichopo madarakan ndo wanasimamia iyo tume ya uchaguzi Yan ni sawa na yanga na Simba kucheza mpira wakati refa wa pambano ni kocha wa Simba inamana lazima apendelee tim yake
@@FrancisNgomaitara apo sasa nimeelewa
Duuuu jamani Mungu atusaidie
Zito umefuga nyoka sasa wamekung'ata hukuona chadema wakiangamizwa ukachekelea!!!!!
Hakuna haki kwenye uchakuguzi c c m bado waoga wa kushindwa
Mm kupiga kura ningumu sana kw Tanzania hii
Hivi kweli polisi wanapiga ndugu zao bila huruma, Kwa Nini wasifunguliwe mashtaka? Au Kwa sababu wanatumwa na wakubwa wao! Lakini ipo siku mambo yatageuka.
@@atupegemwakahesya ss hatujitambui tunavyopelekwa rais, waziri wa ulinzi na tamisemi wote zanzibar unategemea nini hapo uzalendo utatoka wapi tulivyo wajinga tunauana watanganyika wenyewe kwao ni furaha kwetu kilioo
Mahakama hizi hizi za CCM au ?
Mahakama za maelekezo kutoka CCM ? Ni kupoteza muda tu!
@@OmariChanja kaka hakuna kitu kibaya kama rushwa, rushwa ni adui wa haki na maendeleo ndio maana mahakama haziwezi kutenda haki tukatae umasikini wa rushwa
Hawa police iko siku watajuta mungu yupo
Mheshimiwa Zito, Ninyi ndio tunategemea kubadilisha siasa za nchi hii, tumechoka na chama fulani kutawala kwanguvu , sisi sio watumwa, Hawana tofauti na wakoloni , nahisi Tanzania hatujapata uhuru bado
ACT aibu hiyo mme shindwa vibaya.CCM hoyeeee
Nikuacha tu kupiga kura nimeapa sintokuja kupiga kura mpk nakufa
Tanzania akuna ukweli ata ao wanagombea niwale wale siasa bongo upuuzi tu. Kama vipi nchi ipewe jeshi mambo yaende sawa
Polisi mungu anawaona
Wewe kwaniulikua hujui ulivyompiga kabourou kwakurabandia uliona vzr pole yako
Zito ni takataka kama takataka zingine ni moja kati watu warafi ambao wakiongoza nchi kuna kitu kitatendeka
Usema kweli ni mpenzi wa mungu
Police tumewachokaa
Hii ndiyo Tanzania ya Leo.
Jeshi la police limepoteza uhalisia wake.😮
Wao
Zito ulibadilika Sana kijana zidi ya miaka 4 hujawahi kuongea kwa uchungu kama hv ukimya wako WA kumsifia mama Kila wakati umetufikisha hapa ss nakuombea rudi kama zamani kukemea
Kam kweli ana Nyota tatu huyo cheo chake ni Mrakibu sio Inspector(mkaguzi)
😂😂😂😂😂😂
Kweli kabisa inspector ni nyota mbili
Ukweli serikali imelidhalilisha taifa letu. Kura bandia zilikuwa kila mtaa nchi nzima.AIBU KWA CCM. Waziri wa Tamisemi amemdjalilisha Mwenyekiti wa CCM taifa.
Wewe ZITO NI MSALITI WENZIO WAKIANDAMANA HUTOI USHIRIKIANO UNALAANI MUONGO CCMB