IPINDA ONLINE TV
IPINDA ONLINE TV
  • 1 363
  • 2 772 968

Відео

"KUWAACHIA CCM UCHAGUZI HUU NI KUMUACHIA FISI BUCHA" BON YAI ASIMULIA ALICHOKIKUTA GEREZANI
Переглядів 1,5 тис.16 годин тому
IPINDA ONLINE TV............Asante kwa kuchagua Ipinda online tv........Usisahau kusubscribe Channel yetu
CHADEMA WABEBA JUKUMU LA HALMASHAURI MAFINGA MJINI WILLIAM MUNGAI APITA MTAANI KUHAMASISHA WANANCHI
Переглядів 62422 години тому
Mimi nitahakikisha kila mtaa una wagplombea wazuri
CHADEMA WATASHIRIKI UCHAGUZI AU HAWATASHIRIKI? ANAELEZA MNYIKA KWANINI WAMEFIKA HAPA.
Переглядів 782 години тому
IPINDA ONLINE TV............Asante kwa kuchagua Ipinda online tv........usisahau Kusubscribe Channel yetu
MWANAJESHI MSTAAFU AWAVAA CHADEMA
Переглядів 204 години тому
MWANAJESHI MSTAAFU AWAVAA CHADEMA
MWANAJESHI MSTAAFU AMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KYELA
Переглядів 1534 години тому
MWANAJESHI MSTAAFU AMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KYELA
HAWA WENYEVITI WA VIJIJI WANAWALETEA HADI MIGAMBO HAWAELEWEKI,MNAMATATZO MENGI SANA-RHODA KUNCHELA
Переглядів 1384 години тому
UCHAGUZI WA MWAKA HUU MOTO UTAWAKA
MKURUGENZI WA MJI WA TUNDUMA NI KIKWAZO KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CHADEMA WAMVAA
Переглядів 1354 години тому
IPINDA ONLINE TV.........Asante kwa Kuchagua ipinda online Tv........usisahau kusubscribe Channel
KATAVI NAKO KUNAWAKA MOTO,MWENYEKITI CHADEMA RHODA KUCHELA AELEZA CHANGAMOTO ZA UANDIKISHAJI
Переглядів 7624 години тому
IPINDA ONLINE TV...........
MOTO MPYA CHADEMA KANDA YA KUSIN KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WATOA MAAGIZO MAZITO
Переглядів 2,1 тис.7 годин тому
UCHAGUZI HUU NI BALAA TUPU
CHADEMA YABAINI MADUDU UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA KUELELEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 2427 годин тому
IPINDA ONLINE TV..........Asante kwa Kuchagua Ipinda Online Tv......Usisahau Kusubscribe Channel yetu
WANAPOKUJA KWENU WASEME WAMEFANYA NINI?TUNAPOENDA KWENYW UCHAGUZI
Переглядів 2227 годин тому
IPINDA ONLINE TV........Asante kwa kuchagua Ipinda online tv........usisahau kusubscribe channel yetu
CHADEMA "MKURUGENZI WA MJI WA TUNDUMA ANAKIMBIA OFISI NI KIKWAZO MCHAKATO WA UCHAGUZI TUNDUMA"
Переглядів 1,6 тис.12 годин тому
Jiandikisha,Piga kura uchaguzi wa serikali za mitaa
KIGOGO WA KKAM ARUDI KKKT
Переглядів 96112 годин тому
KIGOGO WA KKAM ARUDI KKKT
NGOMA BADO MBICHI MBEYA SUGU MOTO ANAGUSA KILA KONA "TUNASHINDA SERIKALI ZA MITAA MITAA YOTE"
Переглядів 1 тис.14 годин тому
"Huyu dada ameongeza nini hapa mjini? mulizeni"
MTENDAJI WA KATA YA IYELA USO KWA USO NA SUGU KWENYE MKUTANO WA HADHARA MBEYA,SUGU AMSHANGAA.
Переглядів 14 тис.14 годин тому
MTENDAJI WA KATA YA IYELA USO KWA USO NA SUGU KWENYE MKUTANO WA HADHARA MBEYA,SUGU AMSHANGAA.
VIJANA JITOKEZENI KUGOMBEA, TUKEMEE UKATILI WA KIJINSIA NA NDOA ZA JINSIA MOJA; AFISA TARAFA USONGWE
Переглядів 2014 годин тому
VIJANA JITOKEZENI KUGOMBEA, TUKEMEE UKATILI WA KIJINSIA NA NDOA ZA JINSIA MOJA; AFISA TARAFA USONGWE
MBUNGE MBEYA VIJIJINI AJIBU MAOMBI YA WANAFUNZI, WAZAZI MAHAFALI YA KWANZA JUHUDI SEKONDARI
Переглядів 5914 годин тому
MBUNGE MBEYA VIJIJINI AJIBU MAOMBI YA WANAFUNZI, WAZAZI MAHAFALI YA KWANZA JUHUDI SEKONDARI
CHADEMA NYASA WALIA NA MWENENDO WA ZOEZI LA UANDIKISHAJI
Переглядів 17014 годин тому
CHADEMA NYASA WALIA NA MWENENDO WA ZOEZI LA UANDIKISHAJI
HAMASA YA UANDIKISHAJI MBALIZI MBEYA DC, WANA MICHEZO WAONGOZA ZOEZI
Переглядів 6714 годин тому
HAMASA YA UANDIKISHAJI MBALIZI MBEYA DC, WANA MICHEZO WAONGOZA ZOEZI
"YALIYOYOKEA LEO SIKU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WITO WATOLEWA KWA VIJANA"NI WAJIBU WETU KAMA VIJANA"
Переглядів 81916 годин тому
"YALIYOYOKEA LEO SIKU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WITO WATOLEWA KWA VIJANA"NI WAJIBU WETU KAMA VIJANA"
KATIBU MWENEZI CCM ASHIRIKI ZOEZI LA UANDIKISHAJI KATIKA DAFTARI YA KUPIGA KURA
Переглядів 6716 годин тому
KATIBU MWENEZI CCM ASHIRIKI ZOEZI LA UANDIKISHAJI KATIKA DAFTARI YA KUPIGA KURA
ZOEZI LA UANDIKISHAJI LIMEANZA RASMI
Переглядів 2116 годин тому
ZOEZI LA UANDIKISHAJI LIMEANZA RASMI
SAKATA LA ARDHI MBARALI NI BALAA!!! PATACHIMBIKA KUELEKEA UCHAGUZI HUU VICTOR BALEKE ANAELEZA
Переглядів 3019 годин тому
SAKATA LA ARDHI MBARALI NI BALAA!!! PATACHIMBIKA KUELEKEA UCHAGUZI HUU VICTOR BALEKE ANAELEZA
"WALIKUWEPO MARAIS AMBAO CHAKULA CHAO YALIKUWA MAYAI YA SAMAKI" KAULI TATA ZA MWAMBIGIJA MBARALI
Переглядів 1,5 тис.19 годин тому
"WALIKUWEPO MARAIS AMBAO CHAKULA CHAO YALIKUWA MAYAI YA SAMAKI" KAULI TATA ZA MWAMBIGIJA MBARALI
HATUWEZI KUWA NA HASIRA NA DIWANI TUKAACHA UCHAGUZI WA VITONGOJI NA VIJIJI-MWASHITI
Переглядів 10219 годин тому
HATUWEZI KUWA NA HASIRA NA DIWANI TUKAACHA UCHAGUZI WA VITONGOJI NA VIJIJI-MWASHITI
"CCM WAKUMBUKENI WATANGULIZI WENU WAKO WAPI? MMEFANYA MBINU NYINGI SASA MMEFIKA MWISHO MSIJARIBU"
Переглядів 4,9 тис.19 годин тому
"CCM WAKUMBUKENI WATANGULIZI WENU WAKO WAPI? MMEFANYA MBINU NYINGI SASA MMEFIKA MWISHO MSIJARIBU"
LIVE:KIJANA WA CHADEMA ANAZUNGUMZA WIZI WA PESA MBALIZI, WITO KWA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI 2024-2025
Переглядів 34721 годину тому
LIVE:KIJANA WA CHADEMA ANAZUNGUMZA WIZI WA PESA MBALIZI, WITO KWA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI 2024-2025
SERIKALI IONE HILI WATU WANAPUNGUA,UPIGAJI WA KURA,VIJANA TUAMKE HATUNA CHAKUPOTEZA .
Переглядів 4221 годину тому
SERIKALI IONE HILI WATU WANAPUNGUA,UPIGAJI WA KURA,VIJANA TUAMKE HATUNA CHAKUPOTEZA .
"CHADEMA PEKEE INATOSHA" KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MBEYA ASISITIZA KUELEKEA UCHAGUZI.
Переглядів 45721 годину тому
"CHADEMA PEKEE INATOSHA" KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MBEYA ASISITIZA KUELEKEA UCHAGUZI.

КОМЕНТАРІ

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 9 годин тому

    Na akili nayo imestaafu huyu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 годин тому

    Toa uchafu wako ndevu na minywele hovyo

    • @ndaroGamba
      @ndaroGamba Годину тому

      Wewe umetoa hizo zilizojaa kwapani na chini ya makalio?.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 9 годин тому

    Inaskitisha sana

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 9 годин тому

    Note mpaka bando linikatikie nondo

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 11 годин тому

    Siasa ni mbovu imeleta giza nchi

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 12 годин тому

    Mnazingua bna hio beat yann msaut wote huo

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 12 годин тому

    Hongeren sana huu ni muda wa uamsho kuamka kutoka uzingizini kwali kwa mfumo huu ccm wana kazi ngumu sana.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 13 годин тому

    Haya maccm yanawadanganya masikini eti elimu Bure mbona hao wabunge wanaosema eti mama anatoa elim Bure watoto wao wanasoma huko waulize kwanini

  • @gilianiaugustino
    @gilianiaugustino 14 годин тому

    Hoja haisikiki vzr hiyo back beats sauti kubwa

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 14 годин тому

    Sema baba ila kwa watanzania ni shida utasikia eti wanafunzi wanakwenda kuandikishwa eti wakapige kura ili Washindeuchaguzi hii ni hatari sana

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 16 годин тому

    Mwambaaaa

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 День тому

    sugu utashinda tu tunakuombea

  • @frankphiri9132
    @frankphiri9132 День тому

    Kama eneo la uandikishaki limetekwa hv sidhani km Kuna Uchaguzi halali unakatisha tamaa Nchi hii imekuwake ujinga umekithiri

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 2 дні тому

    🎉🎉🎉

  • @MakameAly
    @MakameAly 2 дні тому

    Ukweli mnaongeya ila siku zinaenda kama hakujakuwa na uwamuzi mgumu CCM haiwezi uchaguzi wa uhuru na wa haki🎉🎉

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 2 дні тому

    Najivunia mwabukusi kutoka moyoni Mungu akutumie kwaajili ya taifa letu

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 2 дні тому

    Atasuguliwa kama kawaida yake abaki kuuza chai hotelini

  • @RichardMgweno
    @RichardMgweno 2 дні тому

    Muulizeni kasimu kuhusu gesi na korosho na bandali je

  • @omariabeid3291
    @omariabeid3291 2 дні тому

    Namkubali sana huyu mwamba Ulamaa flani hv maneno ya Iyunga ni famous kiasi

  • @clementmgongolwa8316
    @clementmgongolwa8316 2 дні тому

    Sugu piga kazi

  • @andambikemwakyusa8894
    @andambikemwakyusa8894 2 дні тому

    Hongera mwangu Mercy.

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 2 дні тому

    😢😢

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 дні тому

    Nina akiri timam pia

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 дні тому

    Hivi CCM Mbona hawanaga aibu?. Wamekuwa kama wanyama. Maana wanyama ndiyo wasiyokuwa na aibu SHAME ON YOU ALL

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 2 дні тому

    Hapo hakuna uchaguzi ni uchafuzi

  • @EdgarLuhimbo
    @EdgarLuhimbo 2 дні тому

    Wenzenu wanapo fanya hvo na nyie fanyeni hvyo

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 2 дні тому

    MUNGU awatangulie wao wanategemea polisi

  • @goodluckkamaghe3871
    @goodluckkamaghe3871 2 дні тому

    HONGERA SANA MTENDAJI WA KATA MANENO MAZURI PIA WATU WOTE NI WAKO , SUGU ASISHANGAE WEWE UMETIMIZA WAJIBU WAKO.

  • @EliusPonde
    @EliusPonde 3 дні тому

    Mbona wanaandikisha majina TU bila kupiga picha

  • @andrewsayi2152
    @andrewsayi2152 3 дні тому

    Hongera mtendaji Chadema kwa uhamasishaji mzuri. Ugomvi sio desturi yetu

  • @JosephatMsukuma
    @JosephatMsukuma 3 дні тому

    Bunge la kenya likija kuchagua wakuingia kule kutoka Tz ataenda mpina pekee yake wengne usiniulze angalia makofi wanavyopiga!! M sitaki ubishi

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 3 дні тому

    Mko poa

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 3 дні тому

    Kuweni makini CDM hawa CCM ni wajanja na wanavyoandikisha wapiga kura feki hamtaamini. Kuna mapungufu mengi na wanaabda kupiga kura feki!!

  • @elvisikimaro1178
    @elvisikimaro1178 3 дні тому

    Chadema Mungu atusaidie, tumechoka Na wezi wa CCM Na wauaji

  • @ShukraniMwaijumba
    @ShukraniMwaijumba 3 дні тому

    Hongera sana babaangu nawengine wakujeeee jamani

  • @HamisiSheka-lr4vh
    @HamisiSheka-lr4vh 3 дні тому

    Braza Mimi nakuelewa sana

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 дні тому

    Hongeren sugu.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому

    ANAITWA MR 2 SUGU 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @mkhitaryanwenger1477
    @mkhitaryanwenger1477 3 дні тому

    Kwakweli ❤❤❤❤

  • @noelymwakasege2428
    @noelymwakasege2428 4 дні тому

    Uewe kupamban na tu

  • @prospervedasto4366
    @prospervedasto4366 4 дні тому

    Maandiko yanatufunza kukubali makosa na kurudi nyumbani kama mwana mpotevu. Hongera sana Mzee kwa kuonesha UKOMAVU WA KIIMANI

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 дні тому

    Huko nyuma raisi walitoka hawakuwa majizi kama watawala kuanzia 2020 waliingia ni wanapenda ni wizi unajua wizi siyo wa kuigiza ni kwamba walikuwa wezi toka huko nyuma ni walikuwa wezi wa kukubuu ndiyo sababu hawaoni aibu kuiba ..

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 дні тому

    Kwa kweli watekaji mi watawala wa CCM. MUNGU AWASAIDIE VYAMA VYA VINGINE.

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 4 дні тому

    Unaumwa akili👍👍

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re 5 днів тому

    HUYO KARIBU NA PIKIPIKI KIJANA MWEUPE HUYO NDO WALEWALE

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 5 днів тому

    Mbeya mnajitambua sana,nawaelewa sana! Watanganyika/Watanzania igeni mfano kwa wana Mbeya,ikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais, msiwachague hawa mashetani wauza rasilimali za Tanganyika ccm! Msichague watu wasijali binadamu wenzao watekaji na wauaji!

  • @paulmnyeti7027
    @paulmnyeti7027 5 днів тому

    Hili zee linaongea daaaah!

  • @hassanmalekela4292
    @hassanmalekela4292 5 днів тому

    Jifunze kutangaza kaka Una haribu utamu bwana