MDUDE UCHAGUZI WA CHADEMA "MIMI SIPENDAGI KONAKONA"AMTAJA ANAYEFAA KUIONGOZA CHADEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 15 днів тому +4

    Asante mdude nyagari shujaaa wetu lisu ndio mwenyekiti mbowe aenderee kupiga magoti🇹🇿✌️✌️✌️✌️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🚣‍♂️🙏🙏🙏🙏🙏✍️✍️✍️✍️✍️✍️

  • @MarryMwamwezi
    @MarryMwamwezi 15 днів тому +2

    Mdudeeeeeee uko sahihi😊

  • @WebyNgogo-nj3fx
    @WebyNgogo-nj3fx 16 днів тому +9

    Mdude upo sawa Joshua wa sasa ni Lisu

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 15 днів тому +4

    Uko sawa mdude...hata mbowe akitia nia bado Lissu anatosha....

  • @NellyMadeni
    @NellyMadeni 15 днів тому +5

    Nakuoenda sana mdude

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 15 днів тому +7

    Mdude ww ni kiongozi na mwanaharakati thabidi big up tunaenda na Lissu.

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 15 днів тому +2

    Big up Mdude,umesema kweli

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 15 днів тому +3

    Mdude Asante sana, Pole sana naona jicho lako bado.

  • @josephmagige874
    @josephmagige874 8 днів тому

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu .Hakika wewe ni mkweli Mungu akupe Misha marefu.

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 15 днів тому +3

    LISU Ana maamuzi magumu inchi hii tunataka mtu mwenye maamuz magumu na mfata sheria mbowe apumzike amefanya mengi we’re really appreciate him Ila LISU ni chaguo la wengi

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 14 днів тому +1

    Uko sahihi Mdude

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 16 днів тому +6

    Safiii huo ndo ukweli

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 15 днів тому +1

    Safi sana kamanda Mdude

  • @microssadamu7556
    @microssadamu7556 15 днів тому +2

    Safi sana tuondoke na Lisu

  • @paulmwangoka
    @paulmwangoka 15 днів тому +1

    misimamo ya watu wa mbeya haina tofauti na misimamo ya lisu wanapenda Sana ukweli

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 16 днів тому +14

    Mdude Huna chembe ya unafiki, Lisu Mwabukusi Mdude nyie ndie watu wa haki na Allah awalinde

  • @BeniMwengo
    @BeniMwengo 14 днів тому

    Upo sawa 100%

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 15 днів тому +1

    Asante🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda 16 днів тому +4

    Mh lisu anatufaaa

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 15 днів тому

    Yess lisu ni joshua wakati huuu

  • @hamadikondo8817
    @hamadikondo8817 15 днів тому +1

    Upo Sawa kabisa Mbowe atuache kidogo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 15 днів тому +1

    Ukwel humweka mtu huru hongera mdude

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 15 днів тому +2

    CHADEMA kipo kwenye kipimo chà akili. Mkikosea hapo tu dakika hiyo hiyo mtajua mmekosea.

  • @songombingo108
    @songombingo108 16 днів тому +7

    Mdude akivaa Suti anapendeza😂😂😂

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 15 днів тому

    Asante sana sana🙏

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 15 днів тому +1

    Sawa sawa....

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 16 днів тому +5

    Ila mwanangu aliekuvalisha tai anatakiwa awe kitoweo siku ya Christmas... Jinsi alivyoifunga tai ni kana kwamba umechelewa kuhesabu namba shuleni. Hahaaaa

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 15 днів тому

      @@musamabura5200 umefanya nicheke kwanguvu nakumbuka siku nimechelewa darasani nilivaa kama mdude tai

    • @sakandalinus3125
      @sakandalinus3125 15 днів тому

      Hili andiko lako limenichekesha sana.Daaa.😂😂😂😂😂
      Japo jamaa anasema ukweli.
      Amehubiri Injili pia tumpokee YESU KRISTO

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 15 днів тому

      @@musamabura5200 nilikuwa na huzuni ila nimetabasamu kidogo

    • @gilianiaugustino
      @gilianiaugustino 13 днів тому

      Ucjali vitu vidogo sana suala la tai zingatia hoja anayoongea "simple mind discuss simple things,"

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 15 днів тому +2

    Kaka upo sahihi Lisu ni mbish lakin ni mtu sahihi kuongoza chama kwa wakat huu

  • @salama1113
    @salama1113 15 днів тому +1

    Sasa hii miemko yann😂😂😂

  • @NicePainter
    @NicePainter 9 днів тому

    Kweli mbowe apumzike.. Mbona nyerere alikuwa mwasisi lakini aliachia chama kiongozwe na wengine ..anataka kuwa mugabe ..hebu atoke huko ..mm mwenyewe ni chadema ila mbowe ni kinganganizi kama kupe ..akiwa tena mkiti nahamia ccm ..bora niitwe fisadi kuliko kidudumtu

  • @mossessimon6572
    @mossessimon6572 16 днів тому +3

    Mdude, that well spoken

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 15 днів тому +1

    kweli kaka

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 День тому

    Kwakwelo umasikin huwa unatugawa sana vyama vya upinzannakosea sana kitoa siri za chama kwenye vyombo vya habr mnatuumiza sana saaaana

  • @BahatiSimkonda
    @BahatiSimkonda 14 днів тому

    Mbowe atulie kidogo mwenzake naye afanye

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 16 днів тому +4

    Huu ni wakati wa lissu jamani hakwepeki

  • @JohnKuhoka
    @JohnKuhoka 15 днів тому +1

    Kidude huyoo

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 16 днів тому +5

    Safi sana mdude

  • @kigesomichael8061
    @kigesomichael8061 16 днів тому +4

    Twende na lisu anafaa

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 15 днів тому

    Salute

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 15 днів тому +1

    Mdude huna baya Lissu n saw,mbowe, aachie na wenzie,tuone, KATIBA, joshua kw kiarabu,n yushaa, mdude huna baya,,chadema n y ummaa,

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 15 днів тому +1

    MUNGU wa mbinguni akubariki

  • @salama6362
    @salama6362 16 днів тому +4

    mdude umegusa kwenye mshono

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 13 днів тому

    Wakizingua Lisu akaondoka na John heche akaondoka pamoja na wengine ndio itakuwa mwisho wa Chadema wanatakiwa wawe makini sana wakiondoka hao watu chadema itabaki makapi mi nimeona mbali wekeni katika kumbukumbu hili andiko langu mtalikumbuka

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 15 днів тому

    Mkuu upo sahihi kabisa, Mbowe hana hati miliki ya Chadema,kwani Mungu akimchukua leo Chadema itakufa?

  • @marysichinsambwe7708
    @marysichinsambwe7708 15 днів тому

    Mbowe must go.

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 15 днів тому +1

    Umenena vema.

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 16 днів тому +4

    Mbowe akirudi wengine tunaacha siasa kutakua na kitu kwann hatoki

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 14 днів тому

    UPO SAHIHI KABISA MDUDE

  • @prosperkatito1661
    @prosperkatito1661 15 днів тому

    upoxahihi kabisa

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w 15 днів тому

    Kwakweli tunahitaji Joshua

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 16 днів тому +1

    Njaa tupu😢

  • @faithmlay5944
    @faithmlay5944 13 днів тому

    Joshua alimkashifu Musa? Si Joshua alibarikiwa na Musa akapokea kijiti kwa heshima na baraka? Jichungeni enyi Chadema. Mnachezewa. Mtajuta kupoteza hazina ya umoja na heshima yenu.

  • @Seifkassimmkumba
    @Seifkassimmkumba 15 днів тому

    Nawashauli wanachadema wote maana kunadalili lisu anaweza akafanyiwa figisu siku ya uchaguzi.yani chakufanya akishinda mboe mumuachie chama chake unganeni na lisu mfungue chama kipya kitakacho wapa matumaini wananchi.boe kashakua mamluki wa ccm uyo achaneni nae uyo

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 15 днів тому

    Mdude umeongea point, nipe number nikupe pesa ya soda

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 16 днів тому +2

    Msitufanye wtz wajinga kwa kutueleza kuwa Lissu ni mkombozi wetu labda wa Chadema peke yenu .Huyo Lissu ataleta fujo na kumwag a damu.Mungu ashukuriwe Serikali inatulinda sisi wanyonge❤

  • @mbarakadau7345
    @mbarakadau7345 15 днів тому

    Si bure umetumwa wewe. Nasimama na Freeman atuvushe

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m 16 днів тому +1

    Joshua wetu wa sasa ni Samia Hassan Suluhu anatupeleka Kanaani na Tren SgR, Bwawa la umeme Grade ya Taifa. Ndege bombadia kama zote. Hosptal na madarasa kama yote. Akikamilisha hayo anafikiria Matibabu kila Mwananchi awe na bima ya afya. Mungu atupe nini zaidi ya mama. Mimi sirudi Misri kwa farao Mkoloni.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 15 днів тому +1

      😂😂😂😂😂 amechukua Fomu chadema au wenge la mahaba niue linakupelekesha?

    • @AlexKinunda-j9l
      @AlexKinunda-j9l 15 днів тому

      @@AdamuIbrahimu-e9m Nakupongeza ndugu unayoongea ni ukweli na watanzania wanamacho na wanaona.Hatuwezi kuamini wapinzani wakatulambisha sukari mdomoni wakati sio sukari.Mimi niko nje ya tanzania. Nchi ambayo ninayoishi kulikuwa na kipindi cha uchaguzi ,Wapinzani walikuja na hoja zao zikawavuta raia kuwaweka madarakani yaani leo tunalia kilio cha mmbwa. Watanzania ushauri wangu muwe makini sana ahadi za wagombea kiti cha uraisi.Mama Samia kapiga kazi kubwa sana kuliweka taifa letu kimataifa mambo mengi sana kafanya ,naujua mpo ambao mtasema mama ,naye ni binadamu anamapungufu yake hakuna mwenye 100% hapana.

    • @mandelasamson8401
      @mandelasamson8401 15 днів тому

      Sgr,,haiendi mbinguni inaenda Morogoro

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa 15 днів тому

      Polee

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 15 днів тому

    Nabii bora zaidi ni Mtume Muhammad (s.a.w)

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 15 днів тому +1

      @@mohamedturanardan8871 Ahaaa wapi, mtume alikuwa busy na kuoa

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava 15 днів тому

      Ubora wa utume wa mhamadi ni upi zaidi ya Uganga uchawi na majini!!!

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 11 днів тому

      ​​@@kuchimillionaire6683hahahaha 😂😂😂😂😂😂? aliona mpaka mshangazi bi Khadija ?

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 15 днів тому +2

    Safi sana Mdude