🔴LIVE: MBOWE, LISSU, SUGU WANAUNGURUMA MBEYA MUDA HUU/KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 119

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 10 місяців тому +6

    Sema bro mwabukus good sana.

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 10 місяців тому +8

    Wape makavu yao Baba yetu Mzee Slaa

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 10 місяців тому +5

    Good sana dr slaa

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 10 місяців тому +7

    Aminia bro sugu

  • @LeyoyoTurere
    @LeyoyoTurere 8 місяців тому +1

    1:47 ✌️✌️✌️💪💪✅

  • @MagdarenaLunyalula
    @MagdarenaLunyalula 10 місяців тому

    Mungu aachilie jeshi la maraika zakewenye panga zamoto liwazunguke kuwalinda wote yeyote atakaepanga kuwadhuru ashugulikiwe na jeshi la vita la mbinguni lisiloonekana liwakomeshe wasionekane milele

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 10 місяців тому +1

    ❤Sana chadema mungu atubariki katiba mpya ndio sasa

  • @sarahjames2287
    @sarahjames2287 10 місяців тому +1

    Hongera sana mzee wetu!

  • @JacobMsuya-e2p
    @JacobMsuya-e2p 10 місяців тому +1

    Mungu ibariki chadema

  • @DottoKinyaga
    @DottoKinyaga 10 місяців тому +8

    Sawa jamani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 місяців тому +6

    Crazy.at speaker wa bunge ni adui 😢

  • @selemanmoses1310
    @selemanmoses1310 10 місяців тому

    Nakuelewaga sana mzee, ila kuhusu hilo shati daah..!!

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 10 місяців тому +2

    Slaa anaongea point ila chadema mna moyo sana yani... siasa!!!!

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 10 місяців тому +6

    Marufuku kwa kicheche yeyote kuuza Urithi wowote wa Watanganyika

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 10 місяців тому +5

    Ilikwisha semwa' eti:-
    'KATIBA NI KITABU TU !''
    Unategemea nini ?

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 10 місяців тому +6

    Tuko pamoja kuidai katba mpya

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 10 місяців тому +5

    Good

  • @lupyanamatimbwi8064
    @lupyanamatimbwi8064 10 місяців тому

    Katba ni kitabu kama kitabu vinngine
    NO
    Tumwombe mungu alimalize hili

  • @paschalevarest9942
    @paschalevarest9942 10 місяців тому +5

    Umeupiga mwingi mzee

  • @maembelaurent970
    @maembelaurent970 10 місяців тому +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @rahelPetro-u2v
    @rahelPetro-u2v 10 місяців тому +1

    Nimefurahi kuona mzee baba sraha

  • @NabiKocar
    @NabiKocar 10 місяців тому +7

    Wenye akili wanaelewa sana hi kitu

  • @ellydaniely-qw8bf
    @ellydaniely-qw8bf 10 місяців тому

    Vijana walk wapi? Warithisheni maana mmezeeka wote!!Chama mtakiachaje Mungu akiamua kuwachukua?? Kazi yenu nzuri

  • @JacksonMulokoz-jg4fd
    @JacksonMulokoz-jg4fd 10 місяців тому

    Mungu awatangulie nani nipo nyuma yen

  • @furahianyambo791
    @furahianyambo791 10 місяців тому +3

    Sawa

  • @ProphetM-c9o
    @ProphetM-c9o 10 місяців тому +4

    Tupo pamoja sana.

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 10 місяців тому

    Mwabukusi anajiamini sana alafu haogopi!!

  • @EndrickKaguo
    @EndrickKaguo 10 місяців тому +1

    Maisha magumu sana umeme kila siku kukatika tutafika kweri ccm munatutesa sana

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 10 місяців тому +4

    Katba mpya ndio hitajiletu tz.

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 10 місяців тому

    Slaa hunashukran ulitaka ubalozi wa maisha?

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 10 місяців тому +5

    Wapi Covid 19 hatuoni mabango yao

  • @evelinmwangosi
    @evelinmwangosi 10 місяців тому

    Big up

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 10 місяців тому +1

    Doctor welbrod silaa voice it reach Tanzania country wide and lntanationol duble standard lnfometion as we say be unit rengforce power unity to reach destination of new costuetion and free team organization of election

    • @magaigwa4204
      @magaigwa4204 10 місяців тому

      We don't understand!!!!

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 10 місяців тому +1

    Mwanahalisi mbona hamuonyeshi wananchiiiiii?? Mnaonyesha viongozi tuuu?? Camera yenu vipiiiiiiiiiiii??

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 10 місяців тому +2

    Mwambukusi anaipamba Chadema ili impe Kibali cha kugombea Ubunge kwa ticket Ya Chadema kwakuwa kile Chama chake cha NCCR kilishajifia na hakiwezi kumpa kura.

  • @dolomentfrance418
    @dolomentfrance418 10 місяців тому

    Mbn camera hainyesh hadhira tukaona mpo wangap

  • @InnocentBakedCustard-zp7ib
    @InnocentBakedCustard-zp7ib 10 місяців тому

    Kwanza hayo majina hapo tanzania syo watanzani

  • @dolomentfrance418
    @dolomentfrance418 10 місяців тому

    Nmehesabu watu wapo 200 yaan sawa na msafara wa Makonda

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 10 місяців тому +1

    Selagani unataka wewe kipofu wa maisha kujikombo na uchawa mjinga watu wenye akili timamu wanaongerea maisha ya watu wewe unaleta ujinga katika ukoo wako akuna msomi kama lissu silaa mwambukusi

  • @OraionSabibi
    @OraionSabibi 10 місяців тому +1

    Tanzania kuongozwa na kina delira msiba tu

  • @KuzenzaSangija
    @KuzenzaSangija 10 місяців тому +1

    Hawa COVID 19 wako wapi walikumbatiwa na fisiemu na wamefrreeze kwelikweli

  • @hashakishabani4896
    @hashakishabani4896 10 місяців тому

    Inahuzunisha sana ila allah!hatawaacha salama

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 10 місяців тому

    Naona wakati wa magufuli mliufyata,
    Saivi mnamuona samia kwa kua m/ke ndo mnamchezea sio

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 10 місяців тому +1

    Wenye akili tunakueleweni na tupo pamoja.

  • @macaveliMula
    @macaveliMula 10 місяців тому +2

    katiba mpya kwanza, haijalishi wewe ni ccm au mwajiriwa wa serikali katiba mpya kwanza ni lazima

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 10 місяців тому

      Muhimu ni kupunguza inflation bidhaa zipatikane kwa bei nafuu

  • @JmotorsAutogarage
    @JmotorsAutogarage 4 місяці тому

    Hajachaguliwa na mtu amerisishwa na asijaribu kuuza malizetu

  • @InnocentBakedCustard-zp7ib
    @InnocentBakedCustard-zp7ib 10 місяців тому

    Na hyu mwananuksi jaman kama vle mtu kumbekijitu

  • @raphaelrobert6053
    @raphaelrobert6053 10 місяців тому

    Slaa wanini uyo, paparazi wa ccm

  • @MzeeKagambo
    @MzeeKagambo 10 місяців тому

    Ingekuwa vizuri utamke RAIS SAMIA MAANA KATEULIWA NA MWENYEZI MUNGU HESHIMA NI LAZIMA IWEPO

    • @henrygwalema1860
      @henrygwalema1860 10 місяців тому +1

      Samia hajateuliwa na Mungu wala hajapigiwa kura na watanzania, tunaheshimu mamlaka za selikali za Dunia na tunaheshimu mamlaka za Kimbingu kila mtu kwa imani yake, mungu hahusiki na uteuzi wa Raisi wala kiongozi yeyote wa kidunia

    • @haroungeorgejr
      @haroungeorgejr 10 місяців тому

      Hatujamchagua sisi wala Mungu hajamchagua

    • @MzeeKagambo
      @MzeeKagambo 10 місяців тому

      @@henrygwalema1860 MUNGU HUMPA AMUTAKAYE NANI ALIKUA KAMA MAGUFURI AU MKAPA WANGEPITA KUWA MARAIS __TAFAKARI_NI.UWEZO WA MWENYEZI MUNGU MWENYE AMRI KUWA HUWA KWA WAISLAMU KUNI FANI YA KUNI

    • @mwaaang
      @mwaaang 10 місяців тому

      Ulikuwepo wakati Mola anamteua? We sema aheshimiwe kwa cheo chake mengine tuyaache.

    • @MzeeKagambo
      @MzeeKagambo 10 місяців тому

      @@mwaaang mtu mzima hajibiwi hivyo tumia ustaarabu kwa kujibu ondoa neno upuuzi huo sio ungwana

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 10 місяців тому +1

    Watu wameamua

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 10 місяців тому

    Bado hamjasema

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 10 місяців тому

    TABIA YENU YA KUUNGA MKONO MARA KUPEWA UGALI NA JPM MLIONDOKA UPINZANI, WALA HAMNA UPAKO TENA WA KUVUTIA KISIASA, MNAANGALIA UPEPO TUU WAPI KUNA UGALI.. NASAR NA YEYE BAADA YA KUKOSA JPM ALIPOONDOKA, SIASA ZINAHITAJI AKILI ZA UJINGA NA UTOTO KUPELEKWA HUKU NA KULE...

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 10 місяців тому +1

    Ccm walijaribi kumfuga mtu huyu lakini ameponyoka hafugiki yuko mahali pake

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 10 місяців тому +1

      Aliwasaliti chadema wakati wa magufuli akapewa Ubalozi leo anamtetea Nani Malaya tu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 10 місяців тому

    Was the voice of lndipendet privet advocate mwabukusi voice in mbeyea today consern daresalama pot been hand of dp warld agreement case is on continue dimand pot be on hand of tanzanian population hand not dp warld ok this meeting continue have voice on different chadema official voice in mbeyea

  • @AdonKamota-s1u
    @AdonKamota-s1u 10 місяців тому +1

    Akika una fiki Nikitu kibaya Sana ki kubwa m Nacho taka chama chenu kiwepo kwenye katiba lri mpate Ruzuku Bira ki pinga mizi mri fray magufuri Arivo fariki Sasa lvi Ali ngum pungu zeni Bei sasa

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 10 місяців тому +2

    Tamka raisi samia kuwa na adabu kdg

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 10 місяців тому

    Mbunge yule mmoja yuko wp mpeni nafasi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 10 місяців тому

    Katiba ni kitabu tu

  • @SamwelMhindi
    @SamwelMhindi 10 місяців тому +1

    Mzee slaa kakosa mvuto

  • @emmanuelbenedicto589
    @emmanuelbenedicto589 10 місяців тому +2

    Mbona hamumzunguzii professor J au mpaka afe kama Mh. Lowasa halafu wewe Dr. Silaha si ulisema umeacha siasa na ukawa balozi, usijisahaulishe au umeishiwa unasaka tongue umeongea nini kuhusu Mh; Lowasa RIP mnasaka noti tu. Napita tu sisi wasaka tonge

    • @shabanadam4476
      @shabanadam4476 10 місяців тому

      Keep your mouth shut up kama ww haupigiki na mfumo

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 10 місяців тому

    Huyu Mzee sijawahi kumuelewa Toka aondoke chadema 😢

  • @RashidMwakatobe-yg8od
    @RashidMwakatobe-yg8od 10 місяців тому

    Acha njaa zako mwambukusi

  • @ciscompeni6789
    @ciscompeni6789 10 місяців тому

    Huna akili wewe

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 10 місяців тому +1

    Nawasi wasi kuna watu wamelipwa kuja kuweka comment 😂 Eti mtu anasema CHADEMA hawana sela. Umasikini wa maisha mlionao sio SELA TOSHA 😂

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 10 місяців тому

      Nyoko, wewe umepokea ngapi?

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 10 місяців тому

      @@simonmwasile4377 soma tena comment yangu halafu rudia kutukana kisha niambie umetukana kwanini

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 10 місяців тому +1

    Yaan mnapewa uhuru wa kufanya mikutano zen mnaenda kumdharau Rais, daaaaah

    • @stevenghambi3471
      @stevenghambi3471 10 місяців тому +1

      Ndo ujuwe hafanyi vizuri

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 10 місяців тому

      Hawana HOJA hawa WAHUNI

    • @yussuph-lx7cu
      @yussuph-lx7cu 10 місяців тому +1

      Rais awaombe radhi wananchi kwa kuwanyima haki yao msingi ya kufanya maandamano kikatiba

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 10 місяців тому

      @@yussuph-lx7cu RIP MAGU HAWO NI WAHUNI TU HAWANA HOJA

    • @NixonGerson
      @NixonGerson 10 місяців тому

      Mwajiriwa huyo asiwadharau maboss wake

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 10 місяців тому +1

    Mbeya yote ni kijani na njano yaaani YANGA dam dam hizo ndo Salam za 2024/25 kata zote na mitaa yote ni kijani na njano

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 10 місяців тому

      Mbwa wa blue wewe! Nani ni kijani na njiano?

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 10 місяців тому

      @@simonmwasile4377 wajina nimekustai tu huwezi kuniambia mbwa wa blue anyway huenda ndo mwisho wa upeo wako wa kufikiri umeishia hapo asanteeeee

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 10 місяців тому

    Aka kazee kanafki sana...wakati wa magu alitetea katiba hiyohiyo kwa dharau.
    Wewe si ulisema maendeleo kwanza katiba baadae kabla ujaondolewa ubalozi.
    Hivi vyama vipi?

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 10 місяців тому

    Mzee acha unafika wa kutaka tonge kiukweli mm huyu mzee slaa simuelewi tena na sitamuelewa hata siku moja

    • @JohnManyilizu-w6p
      @JohnManyilizu-w6p 10 місяців тому

      Umwelewe ni MKE wako

    • @JohnManyilizu-w6p
      @JohnManyilizu-w6p 10 місяців тому

      CCM wezi nakama na wewe CCM ni mwizi vilele

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 10 місяців тому

      Wala hakuhitaji push wewe

    • @ramadhankhatwib8561
      @ramadhankhatwib8561 10 місяців тому

      @@JohnManyilizu-w6p kwa hio alipoenda ccm alienda kuiba sasa kashiba analeta kelele siasi Za bonga ni ujinga hakuna ukweli ni unafki tu

    • @ramadhankhatwib8561
      @ramadhankhatwib8561 10 місяців тому

      @@simonmwasile4377 usifanye akili yangu kuwa mgando ww na siasa zako Za mchono wanasiasa wenyewe ndio hawa leo chadema kesho ccm pumbav

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 місяців тому +1

    Chadema tafuteni Sera nyingine na siyo katiba tu.
    Haitusaidii sisi wakulima.Shida yenu ni kutaka ubunge tu.

    • @seifkassim5872
      @seifkassim5872 10 місяців тому +1

      Wewe kweli una akili.katiba haiwasaidii wakulima unajua kwanini mbolea unauziwa iyo ni katiba mbovu wewe

    • @williamkeita1519
      @williamkeita1519 10 місяців тому

      Huyu mwizi kuna jambo ananufaika nalo😂😂😂

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 10 місяців тому

    Kwamsisha yawatazania naizi komendi mnazo toa,inaonekana kunamachawa wasamia,ila mtaelewa tu,wanainchi tumechoka nahii liccm.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 10 місяців тому +1

    Kweli magu ALISEMA hawa sio WAPINZANI ni WAHUNI badala kuongelea sera zao WANAONGEA pumba tu na kulilia RUZUKU

    • @melch3097
      @melch3097 10 місяців тому +1

      Kweli wewe mpumbavu, unawasikiliza wa nini

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 10 місяців тому

      Chawa

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 10 місяців тому

      Na wewe unda chama ukatoe sela

    • @SaviorAfrica
      @SaviorAfrica 10 місяців тому

      Kwani MAGU ni Mungu
      Ametuacha BILA KATIBA sasa RASLIMALI zauzwa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 місяців тому

    No sense.Wajinga ndio waliwao

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 10 місяців тому +1

    Picha za Ku edit 🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂🤣

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 10 місяців тому

    Waambieni waeleze Sera zao ili wanchi waichague chadema kama wakiendelea kupiga kelele na matu siku ya uchaguzi wasije lia

    • @franciscowilliam2575
      @franciscowilliam2575 10 місяців тому

      Wewe unataka sera zikisaidie nini? Sera za CCM zilizopo zinakusaidia nini? Wewe kwako kuna umeme? Sukari unanunua kiasi gani?, nauli ya basi unalipa kiasi gani? Au unatumia sera katika kupanda mabasi na kununua sukari,katika matozo na makodi ya TRA?

    • @mwaaang
      @mwaaang 10 місяців тому

      Kwani wanaoliza watu sasa hivi chama gani?

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 10 місяців тому

    Kaka hufai. Huyo tulia siyo rais wa nchi hii hata visa vyako juu yake havitafanikiwa kama wewe kidume nenda kwenu busokelo kamtoe mwakibete hapa mbeya mjini umefeli na tulia ni ya mbeya

  • @constantinebernard4977
    @constantinebernard4977 10 місяців тому

    Tunaomba mseme sera zenu fanyakazi

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤