Mh waziri mwenyezi Mungu akusimamie akulinde siku zote hakika unaitendea haki nafasi yako yako pambana matapeli wa ardhi ni wengi katika nchi yetu wanatumia uwezo wao wa kifedha kunyanyasa masikini
Mohd Mchengelo jifunze kwa waziri Slaa, ww ni maneno ya kumpamba mkwe wako Kwa kazi inayofanywa na we gine, waziri mkuu katumbua kule mara ww KAZI kuupiga mwingi, jitasthmini
Nakuomba kila ukibaini uhalifu wa ardhi iliyosababishwa na watumishi idara ya ardhi pia peleka ombi ofisi ya Rais ili watumishi waliohusika waondolewe kwenye utumishi wa umma
Naona juhudi zako nakufuatilia sana nikiwa huku ughahibuni wapatikane wengine 30 kama wewe na makamu wako Pinda yes we can! Namuona kiongozi wa Tanzania mwingine anaongea kwa upole but yupo seriously
Tatizo ni hao maafisa ardhi, wengekua waaminifu yote hayo yasingetokea hayo. Kiiufupi hiyo idara ya Ardhi ifutwe tu, waletwe watumishi wapya, kuna vijana wengi hawana ajira. Wewe utafanya kazi kwa bidii halafu akija kiongozi mwengine hayo majizi yanaendela kama kawaida. Lukuvi alifanya kama wewe lkn mbona bado yapo? Hizi bla bla tushazichoka mukitaka mambo yanyooke fumua idarA yote
TABORA NAKO ANAKWEBDA LINI? KITETE ROAD KUNA MGANGA WA MKOA KAMA SIKOSEI ANANG'ANGA'NIA KIWANJA NAMBA 40 KIWANJA CHA MAREHEMU MOHAMED BUKHI ANASEMA KAUZIWA ...... SASA CHAAJABU MAREHEMU NI MTU ASYE HAI SIJUI HII INAUGUMU GANI KWA UWAMUZI?
Hongera sana Mheshimiwa Waziri Mungu wetu asimame badala yako uendelee kuwatumikia wananchi...
Hon Silaa ni waziri no1 in EAC❤ the next president of muungano wa Tanzania
Wazir slaa you are doing hard and great job, may God protect you
Mimi na support awe next President
Kwel kabisa
Tuanze naye mapema tu 2025
Tutamchagua samia
KAZI nzuri Mungu atakulipa
Mweshimiwa Jerry Silaa hongera sana nakufatilia kila atua unafanya kazi zilizo tukuka wanyooshe na Mungu azidi kukupandisha utukufu adi utukufu.
Mungu akulinde na akujalie fadhili zake na neema sana mbele zake
Your my best i wish I'm in Tanzania can't wait to with you counsel JERRY real humanity and justice
Upo Nchi gani nike unofindishe English na mie.
Mh waziri mwenyezi Mungu akusimamie akulinde siku zote hakika unaitendea haki nafasi yako yako pambana matapeli wa ardhi ni wengi katika nchi yetu wanatumia uwezo wao wa kifedha kunyanyasa masikini
Mungu akulinde Bwana Jerry
HIYO KAZ UNAIWEZA SANA WAZIR UKO POA UNASIMAMIA UKWEL
Nyie mnajua kila mtu siku moja ataiacha ardhi na dunia hii. Acheni magomvi
Aisee.....! Mungu mwema
Mama anajua kujieleza dishi liko vizuri sana
hata mie nimeona hilo
Mheshimiwa kazi unayo watu wanaelezwa lakini hawaelewi daaaah! Hatari nchi yangu
Kwenye uonevu hakuna uchawi itakushika.simama na mungu amini mungu wako hakuna uchawi utakupata .Waziri kwenye haki simama na haki
Wewe chiziii yani una bishana nayalio mtokea acha uchoo
Jerrryyyyyyyyyy ulikuwa waaapiiii jerryyyy
Pole Sana kweli mama
Mohd Mchengelo jifunze kwa waziri Slaa, ww ni maneno ya kumpamba mkwe wako Kwa kazi inayofanywa na we gine, waziri mkuu katumbua kule mara ww KAZI kuupiga mwingi, jitasthmini
mie namtafuta sana huyu..ana mambo mazuri anaweza kufanya kwa taifa letu mpaka Mungu Atukuzwe. sijui nampataje jmni
Sidhani kama kuna Mtanzania alie kwenye haki atamkataa silaa akigombea Urais baada ya Mama kumaliza
Wasukuma utaongea mheshimiwa mpk uchoke,awaelewagi
WACHAWI WAMECHEMSHA WAMEMUULIA BIBI WATOTO ZAKE WOTE KWA MALI ZAKE 😢😢😢😢😢
Natamani kama siku moja ningekuwa Waziri wangenikoma matapeli
Nakuomba kila ukibaini uhalifu wa ardhi iliyosababishwa na watumishi idara ya ardhi pia peleka ombi ofisi ya Rais ili watumishi waliohusika waondolewe kwenye utumishi wa umma
Slaa mtu wa maana kabisa ww😂😂😂
Hivi wateule hamjajifunza chochote kutoka kwa makonda na waziri slaa
Dunia inamamambo jamaniii
jery mswahili sana
Naona juhudi zako nakufuatilia sana nikiwa huku ughahibuni wapatikane wengine 30 kama wewe na makamu wako Pinda yes we can! Namuona kiongozi wa Tanzania mwingine anaongea kwa upole but yupo seriously
sio que aani jamani nimaneno yakiarabu
Hii nchi hakuna haki wala sheria hai fuatwi😢
Yaani mtu Anashinda hukumu inatoka apewe kiwanja hlf mwizi anarudi anakata rufaaa hapo Sielewi
😂😂😂
Matatizo ya ardhi watu wanamawazo yao anakubali ila anashwindwa kuelwa
Tatizo ni hao maafisa ardhi, wengekua waaminifu yote hayo yasingetokea hayo. Kiiufupi hiyo idara ya Ardhi ifutwe tu, waletwe watumishi wapya, kuna vijana wengi hawana ajira. Wewe utafanya kazi kwa bidii halafu akija kiongozi mwengine hayo majizi yanaendela kama kawaida. Lukuvi alifanya kama wewe lkn mbona bado yapo? Hizi bla bla tushazichoka mukitaka mambo yanyooke fumua idarA yote
This family needs practical elaboration about the plot in question because they don't understand anything.
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI NA JAMBAZI WA NYUMBA ZAWATU
Kwanini msifanyie kazi maamuzi ya mahakama tena mnakuja kuwa mahakimu wapya?
Nadhan ww hujamuelewa waziri. Waziri kazingatia hukumu zote za mahakama ila hao ndugu wanapindisha ukwel
Koti magumashi
Usha ambiwa hukumu ya mahakama ishampa yule mama viwanja viwili wao hawataki ss ifatwe mahakama ipi apo ndugu
Mahakama likukute ww alafu mahakama itoe tarifa uone kama utalizika
OCD chukua MBWA hao
TABORA NAKO ANAKWEBDA LINI?
KITETE ROAD KUNA MGANGA WA MKOA KAMA SIKOSEI ANANG'ANGA'NIA KIWANJA NAMBA 40 KIWANJA CHA MAREHEMU MOHAMED BUKHI ANASEMA KAUZIWA ......
SASA CHAAJABU MAREHEMU NI MTU ASYE HAI SIJUI HII INAUGUMU GANI KWA UWAMUZI?
machawii kama hawo wakupita nayo hayana faida duniani
HUKUMU IMEDANGANYAA😂😂😂