Waziri uko makini sana. Hakika marehem magu alikuwa akitaka wasaidizi kama huyu Waziri slaa. Mungu amrehem hayati magu mungu afya njema na weledi zaidi waziri. Masheikh mmefanya vema kuwaombea duaa viongozi hawa waadilifu. Aamiyn
Mungu akulinde kiongozi wetu, akuruzuku kizazi kilichochema chenyekufata nyao zako kijekua msaada mkubwa ktk nchi yetu, kirithi yote mema ambayo mungu amekuruzuku, mungu akuzidishie elimu na hekima , busara na subra ktk maisha yako Amin, shukrani za pekee pia zimfikie mama Samia kwa kututeulia kiongozi sahihi. Najua utakutana na vita na changamoto nyingi ila usichoke wala usikate tamaa mungu yupo pamoja na wewe na utashinda na mungu atakulipa malipo mema inshaallah amin.
Kaka slaa. Mi nakukubali mno. kwanza una moyo wa kuwajali watu wa ngazi zote. na unajishusha hadi ngazi ya watu waliko. wajanja wajanja wanalia. Kumbe nchi yetu bado ina akiba kubwa ya watu waadilifu ila hawajapewa nafasi.Mungu akulinde uwahudumie watanzania wengi.
ManshaAllah waziri jaman nakupenda kwa kutenda haki yaan nakupenda unavoidable ijuwa din ya kiislam na kikiristo Allah akulinde akujalie Kila lakher Allah akupe mazuri duniani na akhera Allah akudumishe kwenye KAZI yko Akupe cheo zaidi na zaidi tunakupenda kwa ajili ya Allah.wewe ni mfano wa kuigiza .yaan hatutaman tena kupata waziri wa ardh mengine zaidi yko kwani atakae kuja atavuruga Tu
Angelina Mabula, Alikuwa ni Mngoja Posho, Kazi za kusimamia ardhi ni Ngumu sana, Ina Matapeli wengi, Waziri Jerry Slaa ndiye Mwenye maamuzi sahihi Kuliko Mabula Angelina.Mama amepata Jembe Kweli Kweli
Mboana unamvuka Wazir Lukuvi yeye si alikuwa Wazir na alikuwa anasifiwa sana...Tofauti na mawazir waliopita ni kuwa Jerry ni mwanasheria tena Wakili Msomi...ndio maana watu wanadaia mageuzi kwenye utendaji hasa kuanzia Halimashauli ili wanaoingia kwenye ofis za Halimashauri wasiwe wanasiasa ila iwe Taaluma inayoombwa kama Bank vile...Aridhi kwenye hili Taifa ni Janga kubwa,huyo Wazir kuna Mikoa hata aenda kutatua Migogoro hasa Morogoro na Mbeya..hata huku Dar bado ni changamoto...Aridhi inatakiwa iwe kwenye system sio kwenye makaratasi tenaaaa
Haki huwa inachelewa tu ukiwa unadhulumu ipo siku haki hiyo itarejea kwa mwenyewe mwenyezimungu atatenda kupitia watu kama hivyo tu apo siyo jeri ni mungu kwa hiyo msimchukie huyo
Huko vizuri mh.Waziri huo ndo ukweli watu wana dhurumu mali za marehemu , huyo mama ana matatizo ana kesi za kuwashtaki hadi ndugu zake mali za bwba yao mzee kafiti.umetenda jambo la haki ,ana tamaa sana hyo mama
Hawa ndio viongozi wanaostahili kuiongoza Tanzania Jerry Slaa Poul makondo Olengai sabaya Ali Happy Godwn Gandwe na Aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora soma hyoooooooo hao hawapepesi maneno
Waziri kuna huyu Erick mwaikambo kaniuzia kiwanja huu mwaka 6 hataki kunipa mkataba wala hati naomba serikali inisaidie mimi mnyonge sina mtetezi kiwanja kipo buyuni
@@Othumanbeyonlyonetz7320 Asante sheikh ndio tulivyo fundishwa kuwekana sawa pale pindi unapoona mwenzio kateleza Asante Nashukuru sana typing error hii inaitwa
msijali Kenya jirani wetu wazuri watu wa maana kabisa. Mungu wtu ni wasote. Mtapata tena bora sana kuliko sie. Tuendelee kumsihi Huyu Mungu Anaetupenda sote. msijali kabisa
Mama samia una vijana tena wasiokudhalilisha waziri jerry makonda chalamila rukivu nawengineo ndo ukichanja dam zao nikijani tupu nawapenda sana vijana chapen kazi
Wwe slaaa unavyonjoosha maneno kma ukija katika uislam utakuwa mtaalamu wa fani moja ya elimu ya dini iitwayo (fikhi ) hii nifani inayojihusisha na maswala ya kisheri .sheria ya dini na yakijamii
@@WitnesKephas dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanaadam ndomna binadam wote wapo na dini isipokuwa dini sahihi ipo moja , najee vle ktk bunge ukitolewa mfno wa aya za bibilia ni udini ni mifano hai2
Uchokifanya, utafanya wakazi wa maeneo mengine tuje ukonga kukupgia kula wakati wa uchaguzi, naomba nyumba yakupanga kwa ajili yakupga kula, maana una vita kubwa sn na watu wanaopokonya maeneo ya watu
Waziri uko makini sana. Hakika marehem magu alikuwa akitaka wasaidizi kama huyu Waziri slaa. Mungu amrehem hayati magu mungu afya njema na weledi zaidi waziri. Masheikh mmefanya vema kuwaombea duaa viongozi hawa waadilifu. Aamiyn
Aamin Aamiin
Tanzania muko na waziri wa ardhi, Allah akuhifadhi inshallah.
msijali jirani weetu wazuri watu wa maana kabisa. Mungu wtu ni wasote. Mtapata tena bora sana kuliko sie.
Nakukubali sana. Muheshimiwa nimejifunza mengi sana bigg up. Shule nzuri sana. Mungu akulinde muheshimiwa
Ana akili sana huyo, kwa kingereza tunasema, he is genius...trust me 😄
Hii ndiyo wizara namba moja kwa ugumu!.
Nimetoa machozi!! silaa Mungu akulinde
Akih pia mimi nimetoa machozi walaih
Mama Samia Raisi wetu umepata waziri huyu anasaidia sana Wananchi wananchi
Mkuu!mimi kama mwana ukonga najivunia kuwa na kiongozi bora kama wewe,mungu hakurinde sana una vitu kwenye kichwa chako.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni huyu MH.waziri anapiga kazi sana tena sana .
Kabisa
Huyu mama hajui sheria za ardhi hata kdg, makaratasi meeengi, imekula kwake, ukitaka kununua ni vema sana kuuliza kwanza hela sio kila kitu 😂😂😂
'Tenda wema kama wewe ulivotendewa wema na mwenyezimungu' wewe ni zawadi kutoka kwa mwenyezi mungu kwa ajili yetu,Big Up!
Uvae maski mkuu mzunguko huo zero distance be Care
Mungu akulinde kila aina ya shari salaa 🙏kesho pepo iwe makazi yako amini😢
Allah akuongoze mh silaa katika njia ya uongofu naamini sikumoja utakuwa raisi wanchi inshallah Allah akupe afya njema na uongofu
Mungu akulinde kiongozi wetu, akuruzuku kizazi kilichochema chenyekufata nyao zako kijekua msaada mkubwa ktk nchi yetu, kirithi yote mema ambayo mungu amekuruzuku, mungu akuzidishie elimu na hekima , busara na subra ktk maisha yako Amin, shukrani za pekee pia zimfikie mama Samia kwa kututeulia kiongozi sahihi. Najua utakutana na vita na changamoto nyingi ila usichoke wala usikate tamaa mungu yupo pamoja na wewe na utashinda na mungu atakulipa malipo mema inshaallah amin.
Nimetokea namachozi waziri hatahakutumia nguvu nyingi kuhukumu hiyo kesi.
Kaka yangu slaa Mungu akubariki sana unapambana sana mkuu
Hongera Mhe Waziri kwa uamuzi wako thabiti.
huyu mama namfahamu an jishepu balaa.yuko nyakato
Mh: Slaaha unakarama Mungu akutangulie
Safi sana waziri wapige supana kama Makonda hawamugopi Mungu majizi haoo
Nimesikitika Sana!Hatuingiii peponi kwa mizani Bali kwa kumpokea Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yetu!
Hayo yapo kwenu
Tatizo la nchi akija waziri mwingine anavuruga
Kaka slaa. Mi nakukubali mno. kwanza una moyo wa kuwajali watu wa ngazi zote. na unajishusha hadi ngazi ya watu waliko. wajanja wajanja wanalia. Kumbe nchi yetu bado ina akiba kubwa ya watu waadilifu ila hawajapewa nafasi.Mungu akulinde uwahudumie watanzania wengi.
Allahu akibaru mollah akupe afya njema Wazir Silaha
ManshaAllah waziri jaman nakupenda kwa kutenda haki yaan nakupenda unavoidable ijuwa din ya kiislam na kikiristo Allah akulinde akujalie Kila lakher Allah akupe mazuri duniani na akhera Allah akudumishe kwenye KAZI yko Akupe cheo zaidi na zaidi tunakupenda kwa ajili ya Allah.wewe ni mfano wa kuigiza .yaan hatutaman tena kupata waziri wa ardh mengine zaidi yko kwani atakae kuja atavuruga Tu
Hy waziri slaa namkubali kazi zuri sana
Mashaallah ni waziri Ntenda haki Mungu akubarik
Mh jeri silah nakutabiria kuwa raisi hapo badae mungu akipenda
Kumbe waziri wa ardhi Angelina Mabula alikua mzigo tu
Angelina Mabula, Alikuwa ni Mngoja Posho, Kazi za kusimamia ardhi ni Ngumu sana, Ina Matapeli wengi, Waziri Jerry Slaa ndiye Mwenye maamuzi sahihi Kuliko Mabula Angelina.Mama amepata Jembe Kweli Kweli
Tena yule mama mmoja wa majizi wakubwa kwenye hii nchi
Tena zigo haswaaa
Mboana unamvuka Wazir Lukuvi yeye si alikuwa Wazir na alikuwa anasifiwa sana...Tofauti na mawazir waliopita ni kuwa Jerry ni mwanasheria tena Wakili Msomi...ndio maana watu wanadaia mageuzi kwenye utendaji hasa kuanzia Halimashauli ili wanaoingia kwenye ofis za Halimashauri wasiwe wanasiasa ila iwe Taaluma inayoombwa kama Bank vile...Aridhi kwenye hili Taifa ni Janga kubwa,huyo Wazir kuna Mikoa hata aenda kutatua Migogoro hasa Morogoro na Mbeya..hata huku Dar bado ni changamoto...Aridhi inatakiwa iwe kwenye system sio kwenye makaratasi tenaaaa
Yule yupo kimasrahi yqke binafsi
Allah amlinde jeri silaha kwakweli
Haki huwa inachelewa tu ukiwa unadhulumu ipo siku haki hiyo itarejea kwa mwenyewe mwenyezimungu atatenda kupitia watu kama hivyo tu apo siyo jeri ni mungu kwa hiyo msimchukie huyo
Aaaaaa bakwata mali ni yao mama aliuziwa mbuzi kwenye Gunia
😂😂😂😂😂
Hahaha
Mama Leo ameyatimba 😂😂
Ameyakanyaga😂😂😂
Ameyavagaa 😂😂😂@@femidayahaya4882
Pamoja na furushi lakee loteee lkn hajaambuliaaa kituuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mungu msimamie sana ndugu waziri silaa maana anatenda haki
Yaani waziri Mungu akupe uhai mrefu umetenda haki
Mungu mkubwa..haki haipoteiii..
Mungu akupe pepo kwa daraja la firidaus..slaaa
JERRY JERRY JERRY ....... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huko vizuri mh.Waziri huo ndo ukweli watu wana dhurumu mali za marehemu , huyo mama ana matatizo ana kesi za kuwashtaki hadi ndugu zake mali za bwba yao mzee kafiti.umetenda jambo la haki ,ana tamaa sana hyo mama
Mimi nimuislamu lkn nakuombea mungu waziri wewe unajua haki za kibinadam,Allah akulinde
Huyu waziri ni genius..Sio mchezo
Waziri we kichwa
Hawa ndio viongozi wanaostahili kuiongoza Tanzania
Jerry Slaa
Poul makondo
Olengai sabaya
Ali Happy
Godwn Gandwe
na Aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora soma hyoooooooo hao hawapepesi maneno
Waziri semaa aminaa
Ongera wazili wetu kazi zuli sana❤❤❤❤❤
Waziri kuna huyu Erick mwaikambo kaniuzia kiwanja huu mwaka 6 hataki kunipa mkataba wala hati naomba serikali inisaidie mimi mnyonge sina mtetezi kiwanja kipo buyuni
Siraa piga kazi baba komesha uonevu
Mama Samia atampaje afya njema Jerry silaa wewe? Ni Mungu tu awezae. Na amelaaniwa Yule amtegemea binadamu mwenzie
Ni waziri mpole mstaarabu hana hekima na busara tele safi sana
Mno ana utulivu sana
Ana hekima 😂😂 sio Hana hekima nikosa hilo
@@Othumanbeyonlyonetz7320 Asante sheikh ndio tulivyo fundishwa kuwekana sawa pale pindi unapoona mwenzio kateleza Asante Nashukuru sana typing error hii inaitwa
Hapo mama alitapeliwa na msimamizi dah😢
Manshallah thabarakallah Allahuma hafidh YAA RABIL_ALAMEEN
Jpm ,lukivi,jerry Safi sana kwa ardhi
Takbil wanamuombea Waziriri 😅
Wanamsifu aliyemuumba waziri na kuumpa hikma ya kuamua Haki....
Wewe muheshimiwa allah akulinde namaaduwi
Jamaniiii waswahili Kwa kupenda Mali za urithi nyba iliwekwa wakfu unakuja kumuuzia mtu mwingine jamaniiii uwiiiiiiii😂😂😂
Nchi yet nzuri sana
Mm atujalia mwisho mwema kwa kazi yako
Nimependa sana hii kitu 💪
Dah hatari Sana mungu akuhifadhi na mabaya yote huyu Jama kusema kweli inaonekana Ana kitu cha kiroho
Akih nyinyi wenzetu mko Na viongozi Mungu awazidishie..... Sisi wakenya ndio shida kabisa
msijali Kenya jirani wetu wazuri watu wa maana kabisa. Mungu wtu ni wasote. Mtapata tena bora sana kuliko sie. Tuendelee kumsihi Huyu Mungu Anaetupenda sote. msijali kabisa
Safi sana waziri
Amina 🤲🤲
Hz kesi za ardhi waliosababisha kwa asilimia kubwa ni watumishi wa ardhi
Good job bro
Uyu maza bana😅😅😅😅
MUNGU Akulinde Sana ana ALLAH nifanye niwe kiongozi wa busara, na akili , mwadilifu na sifa Kama huyu kiongozi wa ardhi
Mama samia una vijana tena wasiokudhalilisha waziri jerry makonda chalamila rukivu nawengineo ndo ukichanja dam zao nikijani tupu nawapenda sana vijana chapen kazi
Mwanamke mwenzangu na Rozari hiyo hauna kauli nzuri hata kidogo unamjibu waziri wako hovyo hauna nidhamu hata kidogo
Nimetoa machozi❤
Allaah akuruzuku Uislamu
Kwa kweli we kiongozi mi nakukubali sana huna longolongo unafuata sheria sio kukumbatia migogoro tu kila siku,
Huyo mama analazimisha kumuelewesha waziri analeta ujuaji mbela ya sheria
Mama samia mungu akuweke akupe akili najicho pana lakuona viongozi wenye ujasiri kama Huu
Waziri slaa bana yaani anakusikiliza tu halafu anakubana kupitia hayohayo maelezo yako na anakumaliza🤣🤣🤣
Maashaallah. Allhamdulillah
Ktk maisha yangu ctaki migogoro wa aridhi
Huyo kafiti ardh ya mwanza kila eneo viwanja vyake kumbe tapel
Toka national had nyakato sokon😅😂
Mumewangu ukijatoa wakfu ichi kibanda kwakweli mtaniona kwenye tv na jerry😂
KALUNDE amepatikana Safi sana waziri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shida ya kununua viwanja vyenye mgogoro, hizi kesi wanaziweza wahaya tu nyie wengine 😅😅😅😅
Machozi yameenitoka hapo mwisho kwenye hiyo sala hata kama sijaelewa!😢 wamesali kutoka moyoni!
Wwe slaaa unavyonjoosha maneno kma ukija katika uislam utakuwa mtaalamu wa fani moja ya elimu ya dini iitwayo (fikhi ) hii nifani inayojihusisha na maswala ya kisheri .sheria ya dini na yakijamii
Muonee nahuyu mwezako anatatua ardhi we unaleta udin ovyooo😅
@@WitnesKephas dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanaadam ndomna binadam wote wapo na dini isipokuwa dini sahihi ipo moja , najee vle ktk bunge ukitolewa mfno wa aya za bibilia ni udini ni mifano hai2
Ww mama mwizi tena taperi
MUNGU ANAWAONA SILAHA MAKONDA MUNGU ATAWALINDA MAMA SAMIA TENGENEZA WENGINE KUMBU KUMBU UKINIZINGUA NTAKUZINGUA
Wzl upo vinzur
Uchokifanya, utafanya wakazi wa maeneo mengine tuje ukonga kukupgia kula wakati wa uchaguzi, naomba nyumba yakupanga kwa ajili yakupga kula, maana una vita kubwa sn na watu wanaopokonya maeneo ya watu
Waziri baba rao hawa ndio wanatakiwa kwa hi tz
Ila documents watu huwa wanafoji jamani
Mlindeni huyo waziri maadaui washaakuwa wengi achukue tahadhari haki anayoitenda baadhi yao inawakwaza
Baba piga kazi
TAKBEER TAKBEER TAKBEER
Pongezi sana kwako mkuu
Kafiti wakongwe wa mwanza hao😅
Naomba waziri alindwe vyakutosha asiwe KARIBU na hao majambazi wapora ardhi sio watu WAZURI pls
hakuna neema na baraka hapa dunian kama dua na kupendwa na wanyonge hakika pepo ipo juu yako kaka.
Umeenda haki mheshimiwa
Huyu jamaa akipewa Tanzania itakua kama ulaya amenyooka sana
Hakika
MH. SILAA UISHI MAISHA MAREFU
Kunahaja yakuteua mazari kwako kuangalia vigexo Vingi Sana
Amini
Ndo maana mimi nimenunua ardhi kwa mtu ninayemjua. Ardhi ni very complecated
🤝