BINADAMU EPISODE 1 (SEASON ONE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024
  • #Binadamu #Series

КОМЕНТАРІ • 530

  • @KitaleMkudeSimba
    @KitaleMkudeSimba  2 роки тому +12

    Mtawala

  • @asamunique5174
    @asamunique5174 3 роки тому +46

    Tunaoangalia muda huu tukiwa pekeyetu embu tujipige kifuani mara 3😜,hongeren washiriki wotee

  • @denisjosephdaudi477
    @denisjosephdaudi477 3 роки тому +4

    From maneno ya kuambiwa sasa binadam hongeren tuko pamoja

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 3 роки тому +3

    Mashallah haya kazi kwetu watazamaji maana anaga masiara na kazi zake huyu mkaka mashallah mashallah mashallah

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 3 роки тому +2

    Èe kitale me nkajuaga ulishaga ipotezea hii movie, asante sana

  • @neemakarisa4167
    @neemakarisa4167 3 роки тому +4

    Mambo ni moto..thamthilia safi..ahk niliwamiss sana...mbarikiwe nyote mulio shiriki Amen

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 роки тому +2

    Kubali sanaaa tulikua tumewamiss sanaaa vyakwetu tuvipende🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤👆

  • @ayshermohd487
    @ayshermohd487 3 роки тому +3

    ASNTE bro kitale kazi nzr japo nimechelewa kujua

  • @dianajeremiah3180
    @dianajeremiah3180 3 роки тому +1

    Majizo mwambie kitale KIMEUMANA! Lulu sema wowwww..

  • @sarhasarhasalum4263
    @sarhasarhasalum4263 3 роки тому +5

    Uwiiii yani ndio episode 1 lakin nitamu tena na tena kitale ujawai kosea Asante washiriki wote nawapenda sana ❤️😍😘😍😘❤️😍💕

  • @Kokomaster26
    @Kokomaster26 3 роки тому +3

    Kaka we ni nyoko sanaa aseee... Congrats

  • @jbizzojungle5437
    @jbizzojungle5437 3 роки тому

    yan leo katka pta pta zangu ndyo nmekutana na hii ngoma nliitamqn sana niione asanten washrk wote tupo pamoja kamkubwa kitale pamoja nakukubal mkali

  • @Vanny_Homeboy
    @Vanny_Homeboy 3 роки тому +26

    Naipenda movie hii kama maneno ya kuambiwa

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 3 роки тому +5

    Hii crew iko vzr kwenye ubunifu na namna nzuri ktk uandishi pia kuigiza #no.one in TZ

  • @dominickvitus4665
    @dominickvitus4665 3 роки тому +1

    Wanangu nyie ni mafundi mpaka mnakeraaaa🙌🙌🙌

  • @habbibty3274
    @habbibty3274 3 роки тому +1

    Team Maneno ya kuambiwa wamerudi kivyengine nawakubaali ndugu zangu Allah aawaongoze

  • @jecoog6086
    @jecoog6086 3 роки тому +3

    Dah kaka kitale unjua mjubaa🔥🔥🔥

  • @iamytwo5937
    @iamytwo5937 3 роки тому +7

    Return of king of series east Africa and all Africa 🌍 🙏💥💥🏹🏹

  • @halima7255
    @halima7255 3 роки тому +3

    Najuwa nime chelewa lakini nimeinjoi ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️ maana nilikuwa naisuburia sana binadamu

  • @husseinkassimu2984
    @husseinkassimu2984 3 роки тому +5

    Safi Sana hata hii bila Shaka itakuwa nzuri Kama maneno ya kuambiwa

  • @azinarashidi5204
    @azinarashidi5204 3 роки тому +33

    Nmeisubir sana dah😂😂😂final🥰
    Nani hajawah fatilia series ingin zaid ya maneno y kuambiw n binadam??

  • @mr_pablotz372
    @mr_pablotz372 3 роки тому +35

    Ebwanaee king of series Tz well come back brother kitare

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 3 роки тому +1

    Niliisubiri sana hii movie MashaAllah mpo vizur watu wangu wa chikosi chizima👌🏿💕

  • @gyestudios267
    @gyestudios267 3 роки тому +3

    sikutaka nicoment chochote ila, isije ikawa na haina mwisho kama #manenoyakuambiwa.
    Alafu kitale kunavitu munatakiwa kuvirekebisha ili kufanya The Best

  • @priscapaulpaul6254
    @priscapaulpaul6254 2 роки тому +1

    Waukae big up moro unatuwakilisha vyema

  • @qatarmobaile2153
    @qatarmobaile2153 3 роки тому +1

    Nilisubiri sana shukran kitale

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 3 роки тому +3

    Mashaallah nilikua na wasubiria balaa japo nimechelewa🔥🔥🔥

  • @officiallaytz6113
    @officiallaytz6113 3 роки тому

    Daaah mwanzo2 2meuelwaaa aisee this now over maneno ya kuambiwaa

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 3 роки тому +5

    😂😂😂 hatimae mmetuonea hurum

  • @la_raib953
    @la_raib953 3 роки тому +8

    Hii ndio series sio zile nyengine ,,,bravo baba

  • @toptomix9428
    @toptomix9428 2 роки тому

    Iko bien kabisa nipo congo kalemie napenda sana

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 роки тому

    Niliwamisi sana tangu tulivyooangalia ilee yamaneno ya kuambiwa 🙏🙏💕💕❤️ n

  • @code_rapper6317
    @code_rapper6317 3 роки тому +3

    Daaaah inafundisha sana

  • @ommybrown4833
    @ommybrown4833 3 роки тому +7

    We are in the building 💪 🙌 kenya 🇰🇪 tujuane

  • @brownlwiza1540
    @brownlwiza1540 3 роки тому +1

    Wakali wa hizi kazi

  • @sabrahbonifac3030
    @sabrahbonifac3030 3 роки тому +5

    Asante sanaa jmn kwaku tuwekea kwenye UA-cam 😭🥰🥰 nimeisubiliiiiii sanaa

  • @Thuma-g8o
    @Thuma-g8o 2 місяці тому +1

    Bakari humenona mashaallah

  • @rehemaathuman6669
    @rehemaathuman6669 3 роки тому

    Kitare umeuwa umu Kuna atali na nusu ,yani mwanzo Moto mwisho Moto duuu ,,unajua kutulia kwenye stoli zako

  • @daudbusanji2586
    @daudbusanji2586 3 роки тому +4

    Asante sana kwa kutuweke UA-cam tusiokuwa na TV

  • @abalmohd7952
    @abalmohd7952 3 роки тому +5

    😂Kwa jinsi nilivo kuwa naisubiria duh shahidi muumba tu wallah

  • @harunkimiri6189
    @harunkimiri6189 2 роки тому

    Kitale Mkude simba mob Love from Kenya

  • @Thuma-g8o
    @Thuma-g8o 2 місяці тому

    Naipenda sana hii movie jamani siku yangu hitaisha vizuri sana

  • @donaldmartin1233
    @donaldmartin1233 2 роки тому

    Nilikuwa bize sana Sasa leo rasmi naanza kufuatilia unyama wenu 1-mwisho hamnaga kazin mbovu

  • @jabirabdalla2200
    @jabirabdalla2200 3 роки тому +1

    Kazi kazi aminia jembe kitale

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 3 роки тому +2

    Nawapenda sana mumenifurajisha kuwaona tena🥰💪👏

  • @maisaramaulid4668
    @maisaramaulid4668 3 роки тому +1

    Mafundisho mazuri mno

  • @veronicazacharia1018
    @veronicazacharia1018 3 роки тому

    Jamani waoga mnatutisha Mungu wangu Kila nyumba majanga duuuh

  • @neemairdkndanenedor5449
    @neemairdkndanenedor5449 3 роки тому

    Nilikua nawa miss kinoma japo maneno yakwambiwa imenichanganya nikakosa mwisho 💕🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @rehemaathuman6669
    @rehemaathuman6669 3 роки тому

    R,p,I, mzee jengua ,sijui ata ungekuwepo ingekuaje ,,, sema watoto wako wanawakilisha

  • @jacobthomas1229
    @jacobthomas1229 3 роки тому

    mbna kimbiji mwendelezo wake haupo naipenda sana

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 3 роки тому +6

    Brother kitale welcome back 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @abdere2078
    @abdere2078 3 роки тому +11

    Welcome back kitare. Watching from 🇰🇲🇰🇲🇹🇿

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 3 роки тому

    Hongera washiliki wote mtawala ume nenepa

  • @ramasimba5665
    @ramasimba5665 3 роки тому +1

    Siangalii tena usiku nimekoma 😂😂

  • @clichytraveller8099
    @clichytraveller8099 3 роки тому

    Daah kitale unapendwa na wengi yani plus mimi Daaah utamu huu ya utamu

  • @salehrwigemagisa81
    @salehrwigemagisa81 3 роки тому +1

    Wa kwanza sana....comment na view....

  • @hawwasandale1935
    @hawwasandale1935 3 роки тому

    Aisee niisubiria kwa hamu sanaa asanteni sanaa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +3

    Kitu Kipya Hongereni Sana Washiriki, Nawaaminia.

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 3 роки тому +2

    Wanangu wa faida much love🇹🇿🇩🇪🙌

  • @andrewobonyo122
    @andrewobonyo122 2 роки тому +1

    Welcome back watching you from kenya

  • @zenahoka6265
    @zenahoka6265 3 роки тому +1

    Mzigo ndo mwanzo na uko moto

  • @ismailnyambo2131
    @ismailnyambo2131 3 роки тому

    Movie iko sawa nakubali napenda sana bongo movie

  • @shadrackclement818
    @shadrackclement818 3 роки тому +34

    Kitale your so talented 🔥🔥🔥

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 роки тому

    mtawala kawa muuza genge nimepnda ubunifu wakitale mia miaa

  • @muntazara8624
    @muntazara8624 3 роки тому +2

    Mashaallah kaz nzuri

  • @zainabufaidhi4799
    @zainabufaidhi4799 3 роки тому

    Asante Sana Kaka kitale hii movis nili isubir kwa ham Sana Nainjoi Sana nikiwa omani na wi_fi ya bure🤣🤣

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 роки тому

    Maneno ya kuambiwa ilikuwa inatisha ila hii inatishaa zaidi Kweli UBINADAMU KAZI

  • @deodatusantony9483
    @deodatusantony9483 3 роки тому

    Nilichopenda umewachukua wakari wote wamananenoyakuambiwa yaan broo nimenjoy kumuona mtawala , beka Mzee wamajanga , .

  • @abdulymtanga5893
    @abdulymtanga5893 3 роки тому +6

    Uko vizuri Sana brother mungu akuzidishie

  • @daimavlog
    @daimavlog 3 роки тому

    Bibi mzaa baba, rudisha mtoto wa wanao pumbavuu

  • @francismajja7359
    @francismajja7359 3 роки тому +1

    Wakati inaisha #manenoyakuambiwa niliamini hakuna series ya kibongo ambayo itakuwa na mafundisho na mvuto Kama hiyo, lakin kwa hii #BINADAM hakika wameweza #Hongerasana

  • @Bobgy_the_Great
    @Bobgy_the_Great 3 роки тому

    Natamani kuwa kama wewe siku moja nije nifanye makubwa zaidi niko na ww toka enz zako up 2 now allah akuongoze kazi watanzania tumeipokea

  • @elidandagara9526
    @elidandagara9526 3 роки тому +2

    Ebwanaeee nilikuwa nikisubr kwa muda sasa. Gud job

  • @mrishohamza9505
    @mrishohamza9505 3 роки тому +2

    Tuwekeen jaman hata tatu tatu kwa wiki daah imeanza🔥

  • @Melele26
    @Melele26 3 роки тому

    Sema wana mnaupiga mwingi sana ongerenii

  • @officiallyclassic4600
    @officiallyclassic4600 2 роки тому

    Brother kitale maandishi ya kingereza kwa chini yamuhimu sanaaaa boss kaxi nzuri

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 3 роки тому +1

    Mashaallah muko vizuri👌👌👌👌

  • @queen-vc6de
    @queen-vc6de 3 роки тому +1

    Wangapi tunaianza hii safari pamoja ya binadamu

  • @razackkambi8318
    @razackkambi8318 3 роки тому +4

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @abdulhasaannayanda3655
    @abdulhasaannayanda3655 3 роки тому +3

    #Kimewakaaaa huku binadamu ep 1😍

  • @usterbae
    @usterbae 3 роки тому +2

    Good job nawapenda wahusika wote

  • @mariamumariamu6386
    @mariamumariamu6386 3 роки тому

    Namupenda maman mina sana

  • @mariamumariamu6386
    @mariamumariamu6386 3 роки тому +4

    Nakupenda maman maria ❤️❤️

  • @Thecoastfilms
    @Thecoastfilms 3 роки тому +3

    Nakubali Kaka mkubwa kitale#welcome back series master love from 254

  • @samsonnamwata560
    @samsonnamwata560 7 місяців тому

    LETENI MZIGO HUU MWENDELEZO NDUGU zangu@binadamu wabaya

  • @swalehtole4507
    @swalehtole4507 2 роки тому +1

    Brigedia kitale..Congratulations...watching from mombasa..kenya...big up to this movie..maneno ya kuambiwa..na kibena...keep it up bro...

  • @sophiamwita434
    @sophiamwita434 3 роки тому +1

    Nliisubr kwa hamu hongeren sana kwa Kaz nzur

  • @etsareliza6687
    @etsareliza6687 2 роки тому

    Aisee mbn nzr sanaa

  • @hellolloheloo9743
    @hellolloheloo9743 3 роки тому +1

    Yaani adi nilikua nilishakataa tamaa miaka 2 jamani 🤣🤣🤣

  • @hasheemhongo3685
    @hasheemhongo3685 3 роки тому

    Daah we jamaa shid mung akuwek miak yot man co kwa utam uu

  • @thomsonandersondaudi3083
    @thomsonandersondaudi3083 3 роки тому +1

    Kitale ukweli nakosa cha kukwambia ila kwa tanzania hii baba we hatariii sana

  • @Kimanzi001
    @Kimanzi001 3 роки тому +3

    Iko vzr Superb.. Sema tukio zinakuja fasta sana

  • @zulfaqimdoly9317
    @zulfaqimdoly9317 3 роки тому

    😢😢😢😢nyiieee ninafurahaa mconee hviii. Nmehangaikaa sanaa kuiptaa mpkaa nikipataa tamaaa

  • @faridatambwe6711
    @faridatambwe6711 3 роки тому

    Woyoooo mumefanya vizuri kutuletea hii filamu jamani nimesubiri kwa mda

  • @ramiojr5334
    @ramiojr5334 Рік тому

    Ipo Tv mm n shabiki wenu sanaa na nafatilia sanaa Movie za Musa Kitale
    Tunaomba mtuwekee Maneno ya Kuambia youtube kuanzia Episode ya kwanza had ya Mwisho km mnavyo tuwekea kwenye Kinyamkela na Binadamu Chaooo
    Ramio hapa

  • @saidynkunya8656
    @saidynkunya8656 3 роки тому

    Eeeheeeeee tulete katiii Sasa binafsi nlkuwa naisbr sana

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 роки тому +1

    Nice season I like it looking from india 😊

  • @barickmsigwa7642
    @barickmsigwa7642 3 роки тому

    Nakubal sanaaa aseee mnawezaaa kabisaaa

  • @msouthdablack
    @msouthdablack 3 роки тому +14

    Daaaah mpk hapa ikopoa sana . Sema ingependeza sana kama ingekuwa na maandishi kwa chini kwa lugha ya kigerezaaa . Kusudi na wengine waweze kujua zaidi . Nakupata more views

  • @tuppahpremium
    @tuppahpremium 3 роки тому +1

    Story 5
    Hook Moja
    Dk 19 zote tunaangalia mwanzo tu.
    Bt
    Story nzur na waigizaji wazur