Tatizo ni umaliziaji unakuwa sio nzuri katika tamthilia zote 2 zilizopita maneno ya kuambiwa na binadamu Kitale mwanzo mzuri wa kusisimua hatujui huko mbele changamoto ya umaliziaji wa tamthilia zako ongeza hitimisho litakalo tuweka roho juu na kutufunza kuhusu uganga na uganguzi. Tuko pamoja nakuangalia nikiwa UK hongera nazipenda kazi zako usituangushe.
Kitale plus tunakuomba binadamu wabaya tupe muendelezo maana huwa tunacoka kusubiri unajua fikra kama kila movie yako huwa tunaifatilia haijalishi usumbufu wa bando wala mda wetu 🙏
Unazingua kuziweka tatizo auna ratiba maaalumu ni bonge la movie ualisia kabisa dada zetu wanavyo fanyiwa dah kitale mungu akulinde na aufi ukifa niite mbwa nimekaa pale .
Filamu zenu huwa hazifikii mwisho. Mnashindwa njiani. (Maneno ya kuambiwa haikuisha)( Binaadamu wa baya sijaishuhudia mwisho wake) (Shobo dundo haikuisha). Afu munaketa filamu nyengine mpya. Hii sifatilii. Sipotezi bando langu.
Kazi nzuri sana...mwanzo mzuri sana tunaomba msituangushe kama kwa binadamu wabaya....much ❤️ 4rom 🇰🇪
Fanyeni mutumie vipande vyenye kueleweka mm nakubali sana mapigo yenu
tatizo munakuwa hamuna mwishoo mzurii
Kinyakela mmenikumbusha mbali sana nyimbo za kinyumbani kizalam tupu shukran sana kitale kazi safi
Wallah move zenu zote ni Kali sana mungu awaongoze na awafanikishe inshallah mufike munakotaka kwa uwezo wa mungu
Yani nyimbo zenu huwa zinanikosha Sana dar mungu awabaliki Sana kuluu nzima mwingi mkuu nakuelewa Sana mwamba
Kitale awe main actor......hizi views ni kidogo mnapata kwa kazi nzuri na filamu ya kisasa
Maneno yakuambiwa,binadamu na kinyamkela.💝❤️❤️❤️❤️
Hapo kwa maneno ya kuambiwa walitisha aisee, tuone na hii
Good job napenda kazi zenu kweli nyi vichwa na sio miguu tena
masha Allah tume onyeshwa ma trela hatimae movie imekuja asanteni kwa kazi nzuri
Sema huyu bakari anajuwa mpaka anajuwa tena🙌🙌🙌
Kutoka Kenya nakubal sana kazi zenu jamaa 💯✔
Mwinyi mkuu umekuwa mganga njaa aiseee,duuh
Mnazinguaaa binadamuu amjamalizaaa mnatuleteAa vinyaaa mnkelaaa
Safi sana Kitale ila kajimbo kitamu pia 💃💃
Tatizo ni umaliziaji unakuwa sio nzuri katika tamthilia zote 2 zilizopita maneno ya kuambiwa na binadamu Kitale mwanzo mzuri wa kusisimua hatujui huko mbele changamoto ya umaliziaji wa tamthilia zako ongeza hitimisho litakalo tuweka roho juu na kutufunza kuhusu uganga na uganguzi. Tuko pamoja nakuangalia nikiwa UK hongera nazipenda kazi zako usituangushe.
Team kitare tujuane hapa kwa like 🔥
Woooyoooooo hii kali sana nzuri sana na ako ka nyimbo ka malitina kamenoga hahahaha ❤
Asaalm alykum Binadamu naona imetulia sana Mashallha ilikuwa movie safy sana
Kazi nzuri sana manshallah 😍😍
Anauliza alijuaje matatizo yangu wakat alishawaambia wasaidizi😂🤣🤣🤣
Hapo kwenye wimbo wallah umenikosha😁😁 waluguru tujuane hapa
tupooooo
Kwenye BINADAMU kazingua sana kitale
Anaanza vizuri baadae anazingua
Kibwana mwinyimkuu wa mara hii mtam🤣🤣🤣🤣🤣
Mara Ii amekuwa bonoko 😂😂🇰🇪
Mwinyi mkuu amekuwa maraya
Aloooow weee❤❤ hio nyimbo tu
Hhhhhh uko juuu
@@asalafiyahhussein7767 na nini
Nimependa tu reaction yako
@@asalafiyahhussein7767 Asante
Tunataka iwe nzuri kuliko binaadam wabaya
Nawapenda nyote ...Yani mnaweza napeda Sana vipindi vyenu.......🔥 Director pongezi kwako💓🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni nzuri sana jamani
Napenda hio sound track ya malitina
Wow mashallah movie ni nzur 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Amaliz movie. Zenu binadamu wa baya mmiishia kat maneno ya kwambia mmeishia kat
Nmefall in love na wimbo 😂😂😂😂😂
Sio peke ako na naisaka Sana audio yake
😄😄😄😄hatimae mwinyi mkuu kapata watu kazi
Napenda mdundo unaosikika huo katika kubadilika scene
Binadam yenyewe imeshindikana kumalizia mnaanza na hiiii.mnazingua
No mtawala no sobo 😂😂😂 hii haiwezi Kuwa nzuri
Watakuwemo .bado epis.1
Mngemaliza binadamu mwanzo... kitale unatuangusha
Huyoo brother anajuwa san
Kama mayele🥰🥰
Kwanini humarizi move kitale binadam vipi hijaisha
Wanaanza kwa mbwembwe baadae hawawek kama. Binadamu
Mnazingua
Uwiiii mganga na vijakazi wake wote ovyo
Nakubari sana kaka ira mama chobara mbona hatumuoni
Big up sana ila huwa mnacelewesha sana Sehem ya kufatia
bakari mapepe sana mwanetu😂😂🙌
Mnganga anakula mzingo wa mteja iyo ni 🔥🔥🔥🔥 one 💗💗💗💓💓
🤣🤣🤣🤣
Best song ever 😘😘😘😘👌👌👌
Binaadamu hajesha sasa kinyamkera lakini hongereni mungu awabariki nyote
Nimeipenda mara ya mwisho niliangalka maneno ya kuambiwa ndio niliona nzur hii nimeipenda ntaifatilia
Hawa waganga waliwahi mchanja demu wangu alfu linamuuliz mbn mweupe ivo mamaeee alfu usku nikanyimwa unyumba
Atari mwinyiusi Bigap Sana nyote
Sema umezingua xana kwa binadamu hujaimarizia kaka
mwinyi mkuu kaja kimaslahi zaidi
Kitale plus tunakuomba binadamu wabaya tupe muendelezo maana huwa tunacoka kusubiri unajua fikra kama kila movie yako huwa tunaifatilia haijalishi usumbufu wa bando wala mda wetu 🙏
Aminia sna nawakubl sana hwa jama hawna mbya
Kitale mimi nataka congoDRC. Mutu endele Che maneno ya kwambiwa
Unazingua kuziweka tatizo auna ratiba maaalumu ni bonge la movie ualisia kabisa dada zetu wanavyo fanyiwa dah kitale mungu akulinde na aufi ukifa niite mbwa nimekaa pale .
Punguza kufuru dhambi nyingine zinaepukika asife ye kajiumba.
kibwana mwenye mkuu leo amekuwa mganga wa mchongo 😄😄😀
😂😂😂😂😂😂😂haki muko funny mwanzo mzuri
🔥 juu ya moto
Nice work from Tz
😂😂😂😂 uchafu sehemu za siri,unatakiwa utolewa, unaitika sawa 😂😂😂😂😂
Hio ngoma twaitaka kitale
Hapo mwinyi mkuu umeharibu itikadi ya uganga
Mashallah Mashallah ❤️ 😍 💖
Mganga mwinyi mkuu Ana machawa pia
Amuchelew kuishia balabaln nyinyi sijui kwa nn jaman akina kitale
Bakariiiiii hahaha maneno ya kuambiwa
Sema Kibwana umu umeniangusha kinoma
Kaz nzur kitale
Mnaanza vizuli kumaliza
Kumbe alikua anachelewa kupost binadamu coz ya kinyamkela haya hongera💔💔
Anakera kweli😏
Haswaaa tupo wote aise
Likes zangu nipeni. I am the first to watch it
🤣🤣🤣🤣🤣ciri bibwana bwantamku unaniangusha uko siyo kutibu umearibu na bijakazi🎉🎉🎉
Mwinyi mkuu pamoja sana
Wanawake mnapitia mengi aisee mmhh poleni
Sijui niwe mganga. Huyu manzi kaliwa kilaini 🤣🤣🤣
Kumbe tunaingiliwa na waganga na hamsemi🤣🤣🤣🤣kinyamkelaaa cha ovyo sna😂😂😂😂😂
Unaingiliwa wewe unae enda kwa vinyankela wenzio akuuuu
Wanganga wengi wana tamaa
Kumbe idrisa mzuri mzuri 😀 kwenye binadamu nakuona m,baya sijui kwa vile umeenti na mambo ya ovyovyo ndio yamekufanya uonekane m.baya 🤣🤣🤣🤣
Haha apo ndip wanapoharib wake zetu funzo ilo
hahaha mapema tu kama mayele yng like hapa
Mwinyi mkuu fanya kazi yako kama kweny maneno ya kuambiwa
kinyamkela and binaadam wabaya back to back bigap
Mwinyi mkuu kalii hiii🤣🤣🤣
Kazi safi sana
Du waganga noma .ila mwinyi mkuu kaokota dodo kwenye muarobaini
Mwinyi mkuu humu wamekujanjarua umekua muhuni
Mwinyi mkuuu mungu anakuona
Hongera issa umelipata jawabu hivo ndivo dada zenu na wake zenu yanayo wakuta kwani ndio wanayo wakuta hawataki kutuliya
Sahihi kabsa
Kabisa
Filamu zenu huwa hazifikii mwisho. Mnashindwa njiani. (Maneno ya kuambiwa haikuisha)( Binaadamu wa baya sijaishuhudia mwisho wake) (Shobo dundo haikuisha). Afu munaketa filamu nyengine mpya. Hii sifatilii. Sipotezi bando langu.
hili ni la kweli kabisa wanawake kutapatapa sana kwa waganga wanaliwa kinoma
Iko poa sana.
Wanaotaka kitale afanye kwel si kama alivyofanya movie ya BINADAM tujuane?
Aache majivuno hao pia watamkimbia
Akiendelea na ufala wake na sisi ndo tunajitoa kufaatilia habari yake tutamkacha
Tushamzoea hamalizi movie
Hata hii ataachia njian😏
Kwani hii yake
Kitu mpya icho 😃👍👍🤟🇰🇪
Mwinyi mkuuu kazingua maaana aliendana na uhalisia lkn sio mbaya uwigizaji unautofaut
Saudia /kenya big up
Naaza leo 1
Hongereni cn❤❤❤❤❤
mwiny mkuuubatakua mganga kwel sohvhviii maaan hee
Nawakubal sana hahaha mganga
Hii tamthilia ni moto mabadiliko kwel nayaona nakubali Kitale na team yako amjawahi kutuangusha tangia maneno yakuambiwa..
Uyu mbabaishaji mbn hamalizii 🙄😏