BINADAMU EPISODE 30 (SEASON THREE)

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 528

  • @shabaningaoga164
    @shabaningaoga164 2 роки тому +39

    Baada ya mda mref Leo nimefanikiwa kumuona mwanang mtawala namkubal mbay
    Wale wezang na mm wanaomkubal mtawala like zetu hap😁

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 роки тому +32

    Tunao soma koment uku tunacheki filamu tujuane uku tukiwa kilio chetu🙏🙏🙏kwa kitale japo kwa ✌️✌️tupate episode mbili 🔥🔥🔥kitale for life 🏃🏃

  • @abdullymalo3326
    @abdullymalo3326 2 роки тому +18

    Jamani walio mmic salome na mtawala maria na sobo gong like apa

  • @hendrypeter6182
    @hendrypeter6182 2 роки тому +21

    Wanao soma comment uku wanachek binadamu wa baya like apa

  • @minginhoathuman3361
    @minginhoathuman3361 2 роки тому +52

    Kitale pole na kazi sema mtusaidie jamani tunasubiria mda mrefu Sanaa kwawiki iwe ata Mara mbili☝️☝️✌️🙏

    • @D.P.O
      @D.P.O 2 роки тому +2

      Kweli kabisa inakaa sana mpaka watu tunasahau simu zetu zikipitiwa na panya road tutapata wapi huu utamu

    • @zuhurazzhura2291
      @zuhurazzhura2291 2 роки тому

      @@D.P.O 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @maryamdunga3896
      @maryamdunga3896 2 роки тому

      @@D.P.O 😂😂😂yani

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 2 роки тому +1

      Kweli kbs😄😄😄😄😄😄

    • @mazikuluchagula2704
      @mazikuluchagula2704 2 роки тому

      kweri

  • @KarisaKazungu-rk5be
    @KarisaKazungu-rk5be Рік тому +1

    I wish all the best that's why's it official &latest series...🤑 commented🤑by kaleli smax single boii...

    • @KarisaKazungu-rk5be
      @KarisaKazungu-rk5be Рік тому +1

      Kitale bana movie zako twazimisss kwell vp mbona mtulivu sana kitale changamka uwe poa zaidii...💤💤🤑

  • @hendrypeter6182
    @hendrypeter6182 2 роки тому +14

    Wa kwanzaa leo like 10 2 plz wadauu

  • @priscapaulpaul6254
    @priscapaulpaul6254 2 роки тому +2

    Vita vya panzi aaaah jamaa kapata mke kilahisi kweli penye majanga ushindi u karibu mogela wanaupiga mwingi na jini lake la mchongo

  • @petrovalonge1768
    @petrovalonge1768 2 роки тому +27

    Mambo ni 🔥🔥🔥 naombeni likes from 🇺🇬🇺🇬

  • @fatumalugazo9513
    @fatumalugazo9513 2 роки тому +26

    As'sallam Allekum ndugu zangu. Vp hali zetu Marshaallah kwa sapoti mungu atupe afya na nguvu

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 2 роки тому +1

    ndugu mogela,utakuja umbuka.
    utakuja yakumbuka.
    jini+binadam= na majanga,
    asanteni sana

  • @harunaramadhani7127
    @harunaramadhani7127 2 роки тому +7

    Hakuna sizon Kal kama hii bigp sn mussa kitaree🤟🤟🤟

  • @kulwachacha1478
    @kulwachacha1478 2 роки тому +4

    Tyr kila mtu ana vifaa vinavyoitajika darasn tuendelee kujifunza

  • @hamicdume602
    @hamicdume602 2 роки тому

    Stani stani stani bakora juz umenusurika kifo Leo wauni wanakuchapia kweli #BINADAMU_WABAYA 👍

  • @halimambena6110
    @halimambena6110 2 роки тому +3

    Hataree sana watu mko fasta sana isee duh leo mapema sana shukran kwa kutujali mafansi wako

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 2 роки тому +5

    Kwakweli binadam bonge moja la move

  • @shabaningaoga164
    @shabaningaoga164 2 роки тому +5

    Pedeshee ndende ujanja han Leo wamembamba 😁
    Sema anakiwasha

  • @abuumohamedi3731
    @abuumohamedi3731 2 роки тому

    Ukiona nyumba inasingo maza inamtihan kuluveti apo umeyakanyaga......mtawala pole, mwinyi mkuu nmekumic.....gonga like hapa waliommc Mwinyi mkuuu

  • @saidemomadefaque5490
    @saidemomadefaque5490 2 роки тому +7

    mi n wakuazam kutazama episod 30, i live mueda village mozambiq

  • @martinmwakila6992
    @martinmwakila6992 2 роки тому +9

    Kama kuna watu wanagusa dislike basi watakua wanachezea simu sio walio angalia hii kitu ni moto ni balaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Prophet_John_Rowland
    @Prophet_John_Rowland 2 роки тому +14

    Movie imeanza kupoteza utamu kaka...tunasubiri kwa muda mrefu mpaka tunasahau aiseee...emu rekebisha hilo kitale

  • @gastomasawe2396
    @gastomasawe2396 2 роки тому +7

    🤣🤣🤣Ety mchiro dada angu ndo alioniachia ziwa kz nzuri kwa kweli

  • @abdishivo6764
    @abdishivo6764 2 роки тому +3

    Safi sana ombi kwenu mnacherewa sana na ukizingatia mchezo wenyewe mfupi plz tusaidieni hili

  • @goodluckmwagubili6417
    @goodluckmwagubili6417 2 роки тому +4

    Aiseee more fire 🔥🔥🔥🔥🔥
    Jitahidin bs kwa wiki tuwe tunapata ata epsode mbili

  • @neykweyamba1784
    @neykweyamba1784 2 роки тому +10

    Majirani........ majirani.... tumevamiwa uku mkuje #BINADAM yuko hewani Team Oman & Free Wi-Fi tujuwani Apa...🤣🤣🤣🤣

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому +2

      😁😁

    • @rehemahassan4956
      @rehemahassan4956 2 роки тому

      Tupo team popo kulala saa nane kuamka saa 11 alfajir 😂😂😂😂

    • @azizatwaha2229
      @azizatwaha2229 2 роки тому

      @@rehemahassan4956 🤣🤣🤣🤣🤣 umenifurahisha eti timu popo dah yaani umoumo saa 8 kuamkaa saa11 hatari

    • @rehemahassan4956
      @rehemahassan4956 2 роки тому

      @@azizatwaha2229 😂😂😂😂hatareeee

  • @lizyonce7414
    @lizyonce7414 2 роки тому +4

    Kitale pamoja na uongozi wa move ya binadamj
    Kwa ushauri wang nikiwa kama mtazamaji kuanzia sehemu ya 1.mpaka 30 naombeni kwa wiki muwe mnatoa mara1 mnakaa sana wakuu mpaka tunasahau kama kuna move binadamu

  • @zenaathuman2619
    @zenaathuman2619 2 роки тому +8

    😂😂😂mngeona nivoidaka juu kwa juu hii movie ata nyie mngecheka

  • @hawamwalongo313
    @hawamwalongo313 2 роки тому +3

    Wa kwanza leo jmn mnipe like

  • @youngmoney7335
    @youngmoney7335 2 роки тому +1

    Munatengeneza safiii picha nzurii Ila munasahau Visa wapii jamaaa aliyepotelewa na mtt

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 2 роки тому +3

    Asee mogela ni kanafki ,
    Waah segment yangu ya mtawala na demu wake , waabeee

  • @amaanelso2753
    @amaanelso2753 2 роки тому +1

    Yaani mm nasubiri mpakanasau ni lini natakiwa kuangalia next episode

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 2 роки тому +6

    Mwaaaah jaman hii nayo yaja vby👌yaan ttz munaachia ep moja moja tuh ila iko swa kishenzi💪

  • @halima7255
    @halima7255 2 роки тому +9

    Bibi mkavu asante sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️

  • @fadhilmustapha6672
    @fadhilmustapha6672 2 роки тому +6

    Naitaji like zangu nimewai dakik ya nane

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 2 роки тому +3

    Wow... Suprise ahsnte kitale

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 2 роки тому +40

    Mogela: eti Mama mimi siondoki na mke wangu, hahahahaaa

  • @jumakhalid2219
    @jumakhalid2219 2 роки тому +2

    Shukran kwa kitale na timu nzima mulio shiriki

  • @mohammedkhalid5384
    @mohammedkhalid5384 2 роки тому +1

    Hhhhh mogela nimependa hio kwa ivo sasa mama mm siondoki na mke wngu 😂😂😂😂

  • @selemanzuber50
    @selemanzuber50 2 роки тому +3

    Leo hata like10 jamn

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +2

    Ila huyu mama hatari 🙌🤣🤣🤣🤣eti mimi mchiro dadangu khaaa mama kavurugwa huyu🤣🤣🤣🤣🤣😍

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому +1

    Daah hyu mama Noma 😀😀eti dada Ake mchilo sio mamaake😀

    • @mdmonir3988
      @mdmonir3988 2 роки тому

      Mtihani 😀😀😀😀😀

    • @tangwexerra1123
      @tangwexerra1123 2 роки тому

      Anameno makali eti ume long nombr ni shida🤣🤣🤣

  • @janvieryenga1419
    @janvieryenga1419 2 роки тому +5

    Asanteni sana saison iyi ya binadam, tunaomba kwa week muwe munatutiliya bu épisode ata 2 juu ninzuri sana, akisha uyu bibie #fettynseng# kwaaya mauza uza yake kwa familiya yawa Bakari

  • @frankjulius3026
    @frankjulius3026 2 роки тому +1

    Yes I'm a first priviewer

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +2

    Binadam wabaya asanten sana washiriki nyote mungu awabariki sana🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Relaxer02
    @Relaxer02 2 роки тому +1

    Ila Kitale na Kobelo nawamiss kuliendaje na hiyo baiskeli

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 2 роки тому

    Duh jmn mko fastaa wafatliaj w bnaadm like zenuuuuuu my friends

  • @HalimaHalima-tq2bc
    @HalimaHalima-tq2bc 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣bibi umejua kutukomeshea mtu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @musaathumani1545
    @musaathumani1545 2 роки тому +2

    Kwerii binadamu wabayaaa

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 роки тому +5

    Ngoja kwanza umesema umekuja kumstakia nani hasi yule mimi ni dada yangu kutoka yeye ndio mm nimecheka kweli 😂😂😂😂😂 ngoja pande linalo fata. Naomba kufika kipande cha mtawala mniambie nisiangalie nasikiaga hasiiira.

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 2 роки тому +14

    Kwahyo mama mimi siondoki na mke wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rubnamohammed7793
    @rubnamohammed7793 2 роки тому +8

    Leo mapema tu nimewahi😘😘😘😘

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 2 роки тому +8

    Wadada wengi sio wazuri sema tu ni vile wako vyuoni... Subiri watoke huko vyuo waje mtaani ndo utajua hujui...

  • @hamfreymbuma8415
    @hamfreymbuma8415 2 роки тому +2

    Wa kwanza like nyingi kwangu

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 2 роки тому +4

    Kwaiyo mama me siondoki na mke wangu ila Mogela 😂😂💥

  • @marianajoachim9411
    @marianajoachim9411 2 роки тому +10

    Eti mama kwahy siondoki na mke wangu 😀😀 Mogela bana kama ajui vile kinacho endelea na fetty wake

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 2 роки тому +2

      "RAHA KUJUA UNACHOKIJUA NA KUMTAFUTA MTU AMBAYE NI SULUHU UKIWA NI WEWE NA WENZAKO"🤝🏃🙏!!!

  • @logasianthadei9834
    @logasianthadei9834 2 роки тому +3

    Nimewai leo na mm naomba like

  • @lovenessrobert9815
    @lovenessrobert9815 2 роки тому +10

    Duuuh nmekua wa kwanza hata siamini😂

  • @rahimmwayaga3715
    @rahimmwayaga3715 2 роки тому +4

    Wapi yle jamaa wa kupnda kulia... Mtawalaa 🤣🤣🤣

  • @abasimfaume3091
    @abasimfaume3091 2 роки тому +8

    N kuenjoy na binadamu tyr huku weka handle hapa tupo pamoja sna kwa session hii ya binadamu

  • @fatmaomary3284
    @fatmaomary3284 2 роки тому +16

    😂😂😂mama mchiro alivyojizima data 🌚🤚

  • @emmanuelngailo7943
    @emmanuelngailo7943 2 роки тому +2

    First to view like then apoo

  • @azizatwaha2229
    @azizatwaha2229 2 роки тому +2

    Kuruuu kakutana na chizi mwenziwe eti mimi yule dada angu khaa kina watu wanamajibu ya kukelaa.

  • @mayombotz
    @mayombotz 2 роки тому +1

    Sema stani kazingua bhna😃😃😃 hachangamki

  • @husseinramadhani2041
    @husseinramadhani2041 2 роки тому +17

    Asante sana kwa movie

  • @خسنموس
    @خسنموس 2 роки тому +2

    Tz,Kenya,burundi,uganda,somalia na congo Gonga likes kama uko ndani

  • @jimminhomakweta9448
    @jimminhomakweta9448 2 роки тому +8

    Wanaaaaaaa ktu tayal......chuma tayal 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hamadeddymaclayz
    @hamadeddymaclayz 2 роки тому +1

    Mnaringa sana kutoa episode zenu ila poa Kombolela ipo inapiga bao

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 2 роки тому +5

    Kwaiyo mama mm siondoki na mke wng😂😂😂😂😂

  • @eliasjames148
    @eliasjames148 2 роки тому +3

    Hahahahahahahahahahaha aseeeeee bi mkubwa kadata mpk sio vzr ... Yan Culvet kakutana na mwehu mwenzie Alie zeeeka daaaadeq

  • @nichorausrichard2347
    @nichorausrichard2347 2 роки тому

    Sema mnakuwa mnatucheleweshea Sana jaman,,tunawapendaaa

  • @sabybaalveel7007
    @sabybaalveel7007 2 роки тому +8

    We love u guys ft
    From bujumbura x tz

  • @madamenia2757
    @madamenia2757 2 роки тому +6

    Binadamu wabaya🔥🔥

    • @burudikanamaruma8950
      @burudikanamaruma8950 2 роки тому

      Sehemu ya 5 (mwisho). MKASA WA KWELI: MKE WANGU ALIVYOGEUKA PAKA USIKU WA MANANE. |Simulizi Club
      ua-cam.com/video/FEjCuxOB7AM/v-deo.html

  • @paulomaona2466
    @paulomaona2466 2 роки тому +3

    Yule dadaangu 😂😂😂😂😂chambo la ulfu amsinii🤭🤭

  • @potinotz9157
    @potinotz9157 2 роки тому +4

    Wa kwanzaaaa😁

  • @ponsianofurahisha7136
    @ponsianofurahisha7136 2 роки тому +19

    Daaaaa huaga tuna imisss sana!!!!!!

    • @tangwexerra1123
      @tangwexerra1123 2 роки тому

      Kweli watutolee hata kwawik ziwe mbili hapo itakua sure.

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +2

    MASHALLAH KITALE NAKUBALI KAZI ZAKO NA WASHILIKI WAKO MPO VZR

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 2 роки тому

    Ngoja ni fast forward ifike week ijayo, mambo yanazidi kunoga haya

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 2 роки тому

    Kazi nzuri mnachelewa sana kurusha vipande

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 2 роки тому +2

    Tunaomba kwa wiki muwe mukituma mara mbili🙏

  • @neemaabdalla1252
    @neemaabdalla1252 2 роки тому +8

    Nimewini Leo mashaAllah

  • @psmagician6095
    @psmagician6095 2 роки тому +1

    Watu badlaa waangaliee wanawah ku commnt hahaa duh binadamu bnaa

  • @Fihim1
    @Fihim1 2 роки тому +5

    Munachelewa kutoa episode inayofata. Munakaa kimya mpk tunaamza kusahau

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 2 роки тому +2

    Asante sana.
    Nilikuwa naisubiri sana.
    Acha nisimamishe kazi niiangalie kwanza.
    🙏🙏🙏🙏

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 2 роки тому +2

    Wa kwanza leoo

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 роки тому +4

    Mmebarikiwa mnoo mnoo Jamn🙏

  • @zamratallly4148
    @zamratallly4148 2 роки тому +1

    Da mwazani anafananaga na esma platinumz

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 2 роки тому +6

    Yan mogala. Fala sana ety kwaiyo mama mimi siondoki na mke wangu 😂😂Yani kama hajui kitu vile 😂😂😂🙌

  • @lilianjulius917
    @lilianjulius917 2 роки тому +2

    Watu mnacomment ndio mnaangalia!

  • @sniperislam4547
    @sniperislam4547 2 роки тому

    dah kaka kitale unatufanya mpaka tuumwe maan tunakaa mda mrefu sana

  • @issakabelege4929
    @issakabelege4929 2 роки тому +2

    Kitale Kaka tunaomba uweunawahi tunaimisi Sana ombitu lakini

  • @mwakaribukhamisi7036
    @mwakaribukhamisi7036 2 роки тому +3

    Kwa hiyo mama mm siondok n mke wangu...😂😂😂😂😂😂

  • @aminasuleiman8120
    @aminasuleiman8120 2 роки тому

    Kitale upo makin hongera kwa Kaz nzur

  • @applebarkq9419
    @applebarkq9419 2 роки тому +6

    Leo nimewahi kwa mara ya kwanza 💃💃💃💃

  • @ramadhanabasi6369
    @ramadhanabasi6369 2 роки тому +1

    Tanzania 🇹🇿 tunaweza

  • @shabiriwasafi235
    @shabiriwasafi235 2 роки тому +7

    Daaah dakika 6 tayar mshaniwah sio POA kabsa🤣🤣🤣

  • @fatmahamadi8928
    @fatmahamadi8928 2 роки тому +1

    Jaman. Dah naipenda lakin naomba mtuletee kwa wiki ata mara tatu Jaman 😍😍

  • @hopeeve3558
    @hopeeve3558 2 роки тому +1

    Hamlali jaman nko wa 138...nipee like basi ata moja 😒

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 2 роки тому +2

    Bogela jamani kweli binadam wabaya!! wamefanya mpango mpaka dada wa watu ajielewi anachofanya!! Sasa hv anauliza ent siondoki na mke wangu 😂😂😂😂

  • @sharothegreat7908
    @sharothegreat7908 2 роки тому +9

    Asante ndio kwa move tunaomba tuwekee hata mbili kwa wiki🙏

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 2 роки тому +3

    Jamani kuweni mnatupatia vipindi viwili amavitatu 🔥🔥🔥