Ahahahahaaa yan me nainjoy nikicheki maisha ya beka since MANENO ya KUAMBIWA na kwnye hii BINADAM....yan inanifanya nifill kaa ana laana flan hv...asee big up director...
Wow nawakubali watuwang wote ambao mkokwahii saeson ya binadam ,.lakini jamani mna tuima uwondo sana maana Kwanza nifupi tena ni nzuri pili twahitaji muwemna turushia vipande ata vitatu au viwili .nitashukuru sana au kufurahi pale mtakapo nijib ni mimi shabiki yenu namba 1
Sema kuna makosa nimeona Director hakuzingatia utaratibu kila mtu anafaham ukikuta mtu kafa hauruhusiwi kushika Robby alimshika jamaa akaenda tena kuita watu wale wazee wakashika tena maiti jambo ambalo sio sawa na ukizingatia hawakuvaa grovuz
Duu hapa nakula zangu ugali na kabichi nikakumbuka leo jumamos kuangalia saa naona saa tatu na nusu nimeshindwa kula kwakweli ngoja kwanza niangalie binadamu nitaendelea kula baadae sio mbaya 🥰🥰🥰
Tamthilia nzuri Sana, tangu nianze kufatilia tamthilia za kitale kuanzia maneno ya kuambiwa, kimbiji na hii,zinamafunzo makubwa, ila kwa hii no nzuri bt aongezee tyu ulefu kidogo wa kila episode at least 35-40 minutes per episode,,
Asante sana kwaku tuma episode ya 2 yani nilikuwa nasubiria kwaamu lakini pia tunaitaji sehemu ya 3 na kuendelea episode mzuri sana mungu awazidishie kwa kazi munayo ifanya
Tuendelee kufuatilia Tamthilia Yetu Pendwa waungwana, huko mbele mambo mazuri zaidi.
Bakari hajawah niangusha huyu jamaa anajua sana sehem ya kuhuzunisha basi atafanya uhuzunike na sehemu ya kucheka basi atafanya ucheke nakubari sana
Tunao mfatilia MKUDE SIMBA series zake tukunje Nne na tugonge chairs 🍷to enjoy part 2
Watuongezee dak bhan
Nimesubili kwa mda sasa atma yake tumewekewa apsod ya pili wale time binadam wabaya tujuane kwa like🔥🔥🔥
Nipo jmn mi mshabik wenu...like zangu jmn hata 20.Ninawapenda sana...❤️💗♥️💕
Kwa namna tamthiliya hii ilivyotulia Ni Kama SQUID GAME...... Big CONGRATULATIONS to Director
Kabisaa
My love mtawala you always make me smile much love from Kenya 🇰🇪 I wish one day i see you
Kitale na Team yako mungu awaweka Salama Mnajua Mpk mnakera Kazi Nzur sana💯❤
Kitare pumbavu yaaani mnajua mpaka shenzi
Hahaaaaa
Nakubali sana
Tuongezee muda kitale unatutesa mashabiki zako kwa week mara moja duh tufikirie tamthilia
Ni kali kinoma
Shukran Sana Mapema Mapema Binadamu Kazi. Hongereni Sana Washiriki.Jini la raster Latisha.
Sanaaa mm hapa nawaza nalalaje jamn
@@husnamagayane5663 🤣🤣🤣🤣🤣 Pole Maana Latisha Mno.Hata Chooni Hakwendeki.
Yaan anatisha sana na ss tuliopo uku kwa watu ni shida
@@shopalareen4303 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Usinichekeshe Swahiba.
Amnaga kazi mbaya, kwanzia MANENO YA KUAMBIWA mpaka hii sasa!!! Big up to you MKUDE SIMBA
Hii movie ya binadamu wabaya nimoto wakuotea mbali dah very nice movie 💪💪🙏👌
Daaaaah sio poa ... mzigo wa 🔥🔥🔥sanaaa.. ila fanya juu chinii utie maandishi yaa kingereza kwa chini hapo .. yani utatisha Africa nzima kaka
Tamthilia ninzur sana natumain hatamuendelezo wake utazid kuwa mzur🔥🔥🔥
Aliemuona jini maimuna anatembea hfu huku wameonyesha kapotea I like
Wenye tunawatch tukisoma comments tujuane
Ninefurah kumuona mwinyimkuu ila mwenyez mungu amrehem mzee jengua angekuwepo tungeona uwezo wake zaid
Jamaa kitare uko vizuri sana Yan beka jasho linavomtoka hatri hana majanga huyu .
Baada ya maneno ya kuambiwa Mnatuletea BINADAMU filamu nzuri sana. From RWANDA,Kigali
Jini anakatiza kichochoro😃😅😂 jini maimuna umetisha sana jini anayevuka barabara na Mara ya pili kaonekana tena 2021😃😅😂
Beka hajawai kuwa na wakati mzuri 😂😂😂
Mwinyi mkuu oyee nilikumic wallah nafurah kukuona
Daah mmetisha sana hii KTU IPO vzursana haswa pa1 na kuwa inatisha
Tamthiria nzur Sana honger kwa kazi nzuri
Mama bashiru haonekan kuwa na huzuni... Bakari ana unyama wake flani... Sasa mwinyi mkuu ndo mnyama kabisa💯... Kazi nzuri
Oyooooooooooooo mwinyimkuu 😇😍😊😊 am so happy
Khaaaa😂😂 nilivyoisubir kwa ham jmni kuliko mshahara wa mwez😀😀😀 kitale umetuweza bab
😂😂😂
Naomba msituboe kama kwenye,maneno,ya kuambiwa ss,nidyo mafans,wenu kitale
Kazi nzuriii sanaa❤❤, one love
Yani natamani wew munatuekea vipande5 kwasiku 😋🤣🤣
Namkubali sana Bakari yupo serious sana
Ahahahahaaa yan me nainjoy nikicheki maisha ya beka since MANENO ya KUAMBIWA na kwnye hii BINADAM....yan inanifanya nifill kaa ana laana flan hv...asee big up director...
🤣🤣🤣
duuuh atar nayo hii bora mnatuooza machungu ya binadamu wabaya
Mtawala huna bahati ni bora ukasafishe nyota ⭐️ya mapenzi maana looh ! Kila mara unakimbiwa wewe tu
Mtawala namuelewaga sana yaan anatulia sana kwenye muvi yaan kama kweli kabisa
Huyu jamaa mwinyimkuu anapatoa scene ya uganga hataree
Mimi nasubiria kama atakuwepo beste yangu kobelo chapombe jamaa huwa ananikosha😁😆😄
Hahahaaah
Safari hii nimeona kaigiza Kama doctor
@@neemashabuke5106 ok, wacha nisubirie ila ile sekta yake ya ulevi huwa anaitendea haki Tu sana 😌
Mnajua na mnajua natena hii ndomichezo yakiafruca👌
Aiseee bongela move sema sasa mjitahidi alaukwawiki mtuwekeee epsd 2
Unajuwa adi unajuwa tena kitale alafu ujigambi walanini kama unajuwa adi unakela 🤴
Kitale your the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Beka anajuwa mpaka anajuwa tena jamani na mtawala big up
HIII NI ZAIDI YA TAMTHILIA JAMANIIIII.... MAAANA DAAAAAAH NI YA🔥🔥🔥 EPISODE 3 ....COME FAST
Nakubar kaka kitare hujawah kukosea na maneno ya kuambiwa Tuzo lazima ipate
Yan mnatuvurugaa mpaka mnatuvurugaa tenaa,,afu wekenii nyingii bhanaaaa
hongera mtunzi nzuli sana move muenderezo part 3 sijaiyona mimi
Tunzo mwaka huu yako💪💪💪
Wow nawakubali watuwang wote ambao mkokwahii saeson ya binadam ,.lakini jamani mna tuima uwondo sana maana
Kwanza nifupi tena ni nzuri pili twahitaji muwemna turushia vipande ata vitatu au viwili .nitashukuru sana au kufurahi pale mtakapo nijib ni mimi shabiki yenu namba 1
Nakubali picha limeanza kama linaishia saluti director na kikosi kazi Kwa ujumla
Nani kagundua mtawala amenenepa😂😂
Mm
Yaan kitalr wee baba lao nakubali kaka piga kazi
Sema kuna makosa nimeona Director hakuzingatia utaratibu kila mtu anafaham ukikuta mtu kafa hauruhusiwi kushika Robby alimshika jamaa akaenda tena kuita watu wale wazee wakashika tena maiti jambo ambalo sio sawa na ukizingatia hawakuvaa grovuz
Sasa si hawajui kama kafa au la
Kitale heeeeeeeeh daaaah we mwamba
Nilifuatilia ile ya maneno ya kuimbiwa had mwisho saa hii naenda nayo had mwisho mko sawa kabisa
Duu hapa nakula zangu ugali na kabichi nikakumbuka leo jumamos kuangalia saa naona saa tatu na nusu nimeshindwa kula kwakweli ngoja kwanza niangalie binadamu nitaendelea kula baadae sio mbaya 🥰🥰🥰
Picha linaanza,Mtoto kapotea,Mke haonekani,Mke anaumwa,Mtu kafa,Mtu kapigwa risasi.
Good creativity #Respect
Ni vya hatarii
@@leylaiddy5815 😂😂😂😂😂😂
Maji yanadamu🤣🤣🤣🤣🤣
Maji yanadamu🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu kaachwa pia
Tamthilia nzuri Sana, tangu nianze kufatilia tamthilia za kitale kuanzia maneno ya kuambiwa, kimbiji na hii,zinamafunzo makubwa, ila kwa hii no nzuri bt aongezee tyu ulefu kidogo wa kila episode at least 35-40 minutes per episode,,
Yn nimajanga2 umu, Ongeren sn kaz mzr🤝🤝🤝🤝
Hongereni sana ila kiukweli muda ni mchache sana alafu mara moja kwa wiki mmmmmh kitale tunaomba ulifanyie kazi hili,,,,
Asante sana kwaku tuma episode ya 2 yani nilikuwa nasubiria kwaamu lakini pia tunaitaji sehemu ya 3 na kuendelea episode mzuri sana mungu awazidishie kwa kazi munayo ifanya
Huyu hatufelishi yupo vizuri 💪❤️
Nimeikubali,hata maneno ya kuambiwa haijatisha!! Hii ni fire
Mkude umetuweza ss hv 😂😂😂 yn nguo imenidondokea hz kelele nilizopiga 😂😂😂😂 mpk mwanang alikuwa anakula hz mbio yn amenikimbia amekimbilia nje namwit hatk kuja 😂😂😂😂😂👌👌👌
Jamani uyu jini anaonekana anazamia kule konani Ila hongera jini hajacheka maanaaa apa bongo
Nakukubali sana mtawala unajuwa kucheza movie hatariii sana wewe
Bila kumsahau MWINYI MKUU mtaalamu mwenyew unatisha mwamba hatariii sana daahh nawakubali sana mnajuwa kucheza movie
Masha Allah good istor hongereni sana washiriki
Daah kwenye jini huyo au shetani sijui tumepigwa na kitu kizito Mana kayayuka alafu anaonekana anamalizikia kwenye ukuta 😂😂ila kazi nzuri
Umefanya nirudie ili nmuone maimuna😇
Picha la kutisha Ile kinoma nomaa 😎😎😎
Daaah huuu movie vifo na vitisho ni vingi🙆♂️🙆♂️
mbona fupi kitale ..tumezoea nusu saaa😚😙😗😘😍
Hiko powa lakn hivi visanga vingefanyika usiku ingekuwa powa zaidi
Mfalme #kitale we kwa tz hap umeshndkan
mashallah tearm ya maneno yakuambiwa muko sawa nove zina mafundisho sanaaa lov u all
Marahii hamna mapambano baina ya beka na akram😅😅😅 mkude mukiachia sat na sun itakuoa poa sana
You are the best..kitale
Unatamani move ata isiishe yani duu ,mwanzo mwisho ni moto
Bonge moja la movies imetulia sana
Mwinyi mkuu nilikumiss hizo mbwembwe zako kumbe umo 🤣
Shukran sana ombi langu ifanyeni kila cku ktk cku za wiki mupumzike jumamosi na jumapili hope mutalifanyia kazi ombi langu 🙏❤❤❤
Ila kafupi jmni bas ungetufanyia mara mbili kwa wiki eti kitale
Kumbe bongo tuna weza kitare 🙌🙌🙌🙌
The best tamthilia imetulia inaendana na mazingura yake hongera Sana kitale
Kaz ipo nzur tem hiii mumalize story mabando yamepanda sana Kitale isije kuwa kama maneno ya kwambiwa amkumaliza story
Kuangalia leo moja tukushinda maneno ya kuambiwa
Mmenifanyaaa niachee kulaaa kwanzaaa asee
Nimeiona hospital ya PCMC duh location nzuri sana ya kigamboni 👍good job kitale
aaah broh tungezee mudaa mamb ni mototttt👏👏👏👏🤙🤝
Kazi nzuri kaka na namkubali Sana mtawala
Mwinyimkuu ndan y nyumba👌🏽
Mtawala na humu ashaanza kuumia na mapenz ndio kwanza tunaanza sijui kama atamaliza series hii kam halijafa jitu😂😂😂kam kwenye maneno ya kuambiwa😂😂
🤣🤣🤣
Dah nimeijaribu kujizuwia sana sikutaka kuangalia mpaka ifike episodes ya 30 Lakin nimeshidwa coz najua nakua na arosto kiasi gani baadae😂😂😂
Thanks kitale una kazi mbovu ata siku moja yani naona marandhi yangu ya maneno ya kuambiwa yarundi
Nzuri Sana nawapenda jomon usitucheleweshee mwendelezo tfdhl
Jamani kitale napenda mov zako mno you are the one
Duh co pow Yan hongereni san tunaomb no 3 plz
Nice move tuna enjoy ila maimuna alivo potea kaoneka anatembea kwenda kujificha pemben ya fensi🧐🧐
Waoooo mwinyi mkuu nilikumis
Kama unamjua Yahya Bihaki Hussein basi hii sauti inayoimba utaitambua kua ni yeye.... One love
Kitale nakosa neno zuri la kukwambia kwa kazi yako hii
Dah hii n maneno ya kuambiwa part 2 Kali Sana Tena Zaid ya san
Mashallah broo mussa bwakila kazin mzurii mnoo