Watching from USA really enjoy your videos my friend the time i was in Zanzibar for two years it enabled to learn some Swahili and how to speak to people in Swahili,your videos are my teacher, i learn Swahili through your videos asnte sana rafiki 😊
kazania hii brother clam usije ukaacha kuwa serious na kazi baada ya kulewa sifa na pesa cause tumeshuhudia wengi wamepotea,, kazi nzuri brother Clam. We love you ❤
Kurekodi ni kazi kubwa, location ni taabu sana kupata maeneo husika ya kurekodi kwa muda husika, ghalama za usafiri kwa wahusika, wahusika kuna wengine wanakuwa na majukumu mengine ya kimaisha na kipande ili kiwe kamili lazima muhisika wa kipande husika awepo. Kutengeneza video pia ni kazi vile vile, kuzipanga sound effects hizo zinazo sikika kila wakati ni kazi ngumu, vipande kuviweka sawa mpaka iwe filamu kamili sio kazi ndogo. Kuiweka youtube kuna ghalama pia. Ukipiga hesabu kwakawaida ili video iwekwe youtube itapita wiki mbili, tatu au zaidi. Kwa wale wanao lalamika kucheleweshwa kwa video mbali mbali hilo mlitambue sio makusudi. Mkilitambua hamtasumbuka
Tunaopenda hii series tujuane hapa❤
ua-cam.com/video/pV_OUCfTZgk/v-deo.html
Npnda sna ile mbya mbya
❤ tupooo
Ni nzuri sna alaf ina mafunzo kweli
Mimi paulo
Nimeingoja sana... Watching from kenya😂😅wapi likes zangu
Daaah, watu mko fasta. Nimedhani nimekuwa wa kwanza ila kumbe hakuna tu.. ila sio mbaya, nipeni angalau likes 50 tu 🙏🙏
😂😂😂😂😂oooooohh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇲🇿❤️
🤣🤣🤣🤣🤣
Bravo #clam...nakubali💥
😊Sema namm nmechelewa
Mm leo nmekuwa wakwanza siamini kabisa ❤❤nkukubali sana clam na nakupenda buree🥰🥰🥰🥰✌️✌️✌️🙌
ua-cam.com/video/pV_OUCfTZgk/v-deo.html
😂😂😂 I have been waiting for this ✌️✌️✌️ representing Kenya
Clamp uwahoishe 4😂😂😂
Pia mm sanaaa
ua-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/v-deo.html
Unampenda Clam vevo tujuane kwa like tafadhali ndugu zangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ua-cam.com/video/pV_OUCfTZgk/v-deo.html
Mtukopa1 sana
Good
Wasanii wa Kenya awawezi pata creativity Kama hii💔🥺 Tz mko 🔝 Sana..hongera clam 🎉
Clam mpe sifa zake mwanga mgeni 😂😂😂 katisha sanaa na kijimbo chake Cha zuchu
Watching from USA really enjoy your videos my friend the time i was in Zanzibar for two years it enabled to learn some Swahili and how to speak to people in Swahili,your videos are my teacher, i learn Swahili through your videos asnte sana rafiki 😊
So good
Come inbox to learn swahil more friend❤
youtube.com/@IreneNIMBONA
Vvv
kazania hii brother clam usije ukaacha kuwa serious na kazi baada ya kulewa sifa na pesa cause tumeshuhudia wengi wamepotea,, kazi nzuri brother Clam. We love you ❤
ua-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/v-deo.html
kaka clam vevo uko good sana
Finally i ve got what I ve been waiting for watching from Kenya
Wakwanza naomba likes zangu😂😂🎉🎉
Yaaan watu washaona mbele yangu 😩😩😩😂😂,,,àithuru,,,,,love u all both the viewers na clam with the team 🥰🥰🥰🥰🥰💯
Nasema nani anaweza kulicheza 🤣🤣🤣🤣🤣😂🤗🤗adi uchawini duhhhh🤣🤣
wa kwanza leo naombeni ata like 10 jamn❤❤😊
Nauliza nani ana taka kulicheza sagarumbaa😂😂😂😂kama umeipenda hiyo tujuane😂😂
😂😂😂😂😂
Mwanga mgen😅😅
Congratulation Clam vevo tuna subiri sehemu yakufata gonga like basi tujuwane ♥️ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Jamani mbona nimekawa kufata muvi hii hatari sana bro ❤️❤️🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakupenda sana from Lubumbashi
Clam bravo dat's reality on our society life i do appreciate you my G
ua-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/v-deo.html
Kumbe clam mchumba 2 😂😂😂 hamumjui kumbe ng'ombe nyny
Nimependa kazi yako Kaka kalibu geita !!!
Nan anaweza kulchzA sakarumba ndo nymbo za kilngn😂😂 hongera clam❤😊
Wakwanza from Congo (RDC) wako wapi wa Congo mettez vos likes ici
❤tunakubali sana lakn unachelewa unachea next jitahidi Kaka tuna kukubali. 😊 From Zanzibar
Nauliza nani atakuwa wa kwanzaa kufaaa nasema mimi mchawi mgeni ndio nitaanza wa kwanza kufaaa chaliii na kiherehere chakeee😂😂😂😂
#Chogo Kama mwiko😂😂😂
Alie muona mchaw mgeni aki imba mafutataa ya zuchu agonge like apo tujuane...😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 nimecheka htr
Nimecheka hatari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🙌🙌🙌🙌nimenyooshq mkono
Mnipe likes.. Wa kwanza kabisa.. Clam, napenda kazi yako
Iv ukiwepewa like kunafaida unapata man nijuze
Emmm 2pen like
Huu ubunifu uko juu kaka Clam. Hongera ndugu
upo juu sana clam.. much love from 🇰🇪🇰🇪 .. kali sana bro 🔥🔥
Big up VEVO Salim from kenya
Much love from Kenya ❤❤next episode
ua-cam.com/video/pV_OUCfTZgk/v-deo.html
Wa Kwanza ni mimi like apo❤❤❤
Wakwanza apaa naomba like ❤❤❤❤ one love clam
Nimekuwa wa kwanza ku comment kutoka burundi 🇧🇮 nipeni mauwa yangu❤😂😂
Wew kutok Lugombo
Burundi wa nyok 😅😅😅😅😅
😂😂😂 Nani anaweza kulicheza segerumbaaa
Nimesubiri hii episode.. ongeza nyingine hivi sasa
Lewo wakwanza ku like naku comment nipeni like zangu kama munamukubali nayenda nyumbani love from germany 🇩🇪
Nyinyi wote niliwapa like❤️❤️na mimi like zangu basiii
Much love bro 👊👊
😂😂nani anaweza kulicheza sagarumba😂❤😂😮😮😅
Kichwa Ka mwiko😂😂😂😂
Sagarumba amekufa 😂😂😂😂😂 next episode wapenzi🥰🥰🥰
clam kweli anajuwa sna nimekua mtu wa kwanza leo
big clam supporters here🤲🏾🤲🏾😇😇😇
Alie taka kazi ya Sara kiricho mkuta 😂😂😂
Mon frère vraiment nous aimons beaucoup votre travail je t'aime fort
Sans l'inquiétude
Ila kiukweli kijana unaweza tena unweza zaidi na zaidi 💪💪💪💪💪
Shusha vitu mwamba Clam, sema nakukubali kinomaaaa From Kahama shy tz
Mambo ni fireee iko hot sana aiseees❤❤❤
Jamaa anaweza sana huyu sana na napenda sana kufukuzia hii series
I'm waiting for part four kwa haas yani. Clam keep up the fantastic work...ongera sana.🙌 mnatusaidiya na stress za research
Much love from Rwanda 🇷🇼 we clam tupe zingine brother
Daaah
Ila mzee wa chapat maharage unatisha ukovizuri bwana unaweza hongera
Mjuba umetisha sana❤❤
Nauliza nani anaweza kulicheza Sagarumbaaaaa😂😂😂😂😂Mafta taa mafta taa mafta taaaaaaa😂😂😂😂mchumba Zuchu kuja huku ujioneee manenoz😂
Big up Clam ✊️😊
endelea kaka
Big up sana bro , waiting for next episode
Can't wait to watch the next episode!!
Big Boss mko vizuri et Nani anaweza kulicheza saga rhumba chariiiii😄😄😄🙌🙌🙌🙌
Wakwanza naombeni like wadau wanaomkubali vevo
Ahsante sana jamani nimeipenda mnooo msicheleweshage kutuletea mwendelezo plz
Wa kwanza toka DRC mnipeni likes zangu
Wa kwanza😂😂😂
Baba boys mimi ndo wa kwanza leo
😂😂😂😂😂!!! Kavamia show mwamba anauliza Nan anataka kulicheza sakarumbaa!!!
Good job My brother Clam vevo..My from Mozambique
🎉🎉🎉❤
Clam clam nakukubali sana nakufollow time to time from Burundi but watching south Africa salute clam
Kipindi hiki kinapendeza wenzio duh❤❤
daaah uchawi na nyimbo ya zuchu wap na wap😂😂😂😂
Kali sana hii much respect 💯
Nani anaweza kulicheza sakarumbaaa hiii kiboko😂
Hongereni wapendwa kwa kaz nzuri
Clam top talent. Kila sku unazdi kua bora utafka mbali top g. Mungu akulnde na kukuepusha na mabaya ya dunia.
waa kwanz leo naomb like
Nauliza naniiiii.kazi nzuri CLAM umetishaaaaaa
COMEDIAN FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA KAMA UNAMPENDA CLAM NAOMBA LIKE 500
Bom trabalho Clam
Ko hii comedy au movie???? au series??
Leo mm wakwaza😂😂😂😂😂😂😂
Eti mwanga mgeni😂😂😂😂❤
Clam VEVO hakuna wakucheza na wewe tunangoja next episode itakua moto 🔥🔥
Nani anweza kulicheza saga rumba,😂😂😂...uchawi classic....
Kurekodi ni kazi kubwa, location ni taabu sana kupata maeneo husika ya kurekodi kwa muda husika, ghalama za usafiri kwa wahusika, wahusika kuna wengine wanakuwa na majukumu mengine ya kimaisha na kipande ili kiwe kamili lazima muhisika wa kipande husika awepo. Kutengeneza video pia ni kazi vile vile, kuzipanga sound effects hizo zinazo sikika kila wakati ni kazi ngumu, vipande kuviweka sawa mpaka iwe filamu kamili sio kazi ndogo. Kuiweka youtube kuna ghalama pia. Ukipiga hesabu kwakawaida ili video iwekwe youtube itapita wiki mbili, tatu au zaidi. Kwa wale wanao lalamika kucheleweshwa kwa video mbali mbali hilo mlitambue sio makusudi. Mkilitambua hamtasumbuka
Kwer kbs mi hata sion taab kusubir
@@mrsinia3064 shukran kwa kuliona hilo
Sure..
Pow pow
Hee kumbe🥵
Umeweza nakukubali sanaa clam💪💯🔥
jamani sija wahi kupata ata like 2 jamani plz nawaomba plz 🙏🙏 nataka ata 10 tu
Woow
Hongera kaka clam
Bom trabalho tropas 🔥💪
Part 4 please nakaa nikichungulia❤🎉
Ai em Tanzânia tão cheio de humorista até estou a gramar ❤❤❤
Harmonize
😂😂😂jaman nimecheka kwenye kuimba huyo sagarumba😂😂😂😂
Obrigado
Tazaniano fz uke
Kaka we mbunifu kinoma, nafasi ya Steven kanumba utaziba pengo 🙌🙌
Kazi nzuri sana
Wote mnajua sana kwa kweli.....huyo mafuta taa na huyo mwingine safi sana aisee kweli Sanaa ni maisha halisi kabisa
I can't wait for part 4🇨🇩🇿🇦
Clam ungekuwa unaachia vipande viwili
Number one munipe ma like ❤ clam
Nzuri ila mnachelewesha sana
Finally here it is clam uliamua we break our ribs
Nataka kwenda nyumbani😂😂😂😂😂😂
I like you guys
Part 4 wachawi wananyoosha mikono juu 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Kama unamuaminia Clam Nipe Like zenu❤😊
Clam wewe fundi ❤
Clam VEVO noma hii🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍💪