'Mavituzi' ya kocha wa makipa wa Simba SC huko Misri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2024
  • Tazama kazi ya kocha mpya wa makipa wa Simba SC, Wayne Sandilands.
    Eenzi zake kocha huyo alizitumikia Super Sports, Platnum Stars, Mamelodi Sundown na kumalizia Orlando Pirates msimu wa 2017-2022.
    Kwa sasa kocha huyo ana umri wa miaka 40 na hapa ni saa chache baada ya kuwasili kambini Misri na moja kwa moja aliingia uwanjani kuwapa ‘dozi’ magolikipa Ayub Lakred, Ally Salim na Hussein Abel.
    #KambiYaSimba #Simba
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 21