Highlights | Azam FC 4-0 Zimamoto FC | Mechi ya Kirafiki 12/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • Magoli mawili ya Feisal Salum dakika ya 34 na 58 na mawili ya Jhonier Blanco dakika ya 37 na 82 kwa penati yameipa ushindi wa 4-0 Azam FC dhidi ya Zimamoto katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Dimba la Amaan, Zanzibar.....
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 52

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 23 дні тому +2

    Timu yangu Azam FC niko hapa karibu na uwanja wenu nawakubali sana. Ila kwa vikosi wanavyoandaa wapinzani wetu Simba na Yanga mwaka huu ni hatari tuongeze quality nyingine na tutafute timu kubwa kidogo.

  • @teddysanga1840
    @teddysanga1840 23 дні тому +4

    fei anakula vizurii siku hizi kule alikuwa anakula ugali sukari 😂

  • @user-kq6zy9sl1y
    @user-kq6zy9sl1y 23 дні тому +2

    Azam fc tafuteni team bora zaidi ya hii kujipima nayo

  • @CleoThedone
    @CleoThedone 22 дні тому +2

    Naikubali cn azamu

  • @abubakarjuma443
    @abubakarjuma443 23 дні тому +3

    Fei jitaidi kukata tumbo la si ivyo utakua tajir mwenye team

  • @c.grealish
    @c.grealish 23 дні тому +1

    Desbest player faysal

  • @FiniasYotham
    @FiniasYotham 23 дні тому +4

    FEISALI ana kitambi

    • @mustaphawelder7022
      @mustaphawelder7022 23 дні тому

      Yanga kulikuwa na njaa ndio maana alikuwa amekoooonda

    • @ahmedjeizan4431
      @ahmedjeizan4431 23 дні тому

      Acha ushamba yanga kuna njaa ya babako
      Djuma shaban alinenepa kwenu mchezaji anatakiwa kumaintain shape kwa mazoezi sio sifa kuwa na kitambi kama safura pimbi wewe

  • @KasmiliAndrea
    @KasmiliAndrea 16 днів тому

    My we humkubalitu

  • @user-xb5ub7zj5n
    @user-xb5ub7zj5n 22 дні тому

    Namba 9 tunae 🎉🎉🎉🎉🎉 ligi ianze sasa

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 18 днів тому +1

    Sasa uyu fei mbona kitambi kinazidi tu jamani 😢

  • @KasmiliAndrea
    @KasmiliAndrea 16 днів тому

    Jamaa kama dube

  • @scorasticaclement6308
    @scorasticaclement6308 23 дні тому +2

    Mbn Sauti Hamna

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md 21 день тому +1

    Hv hata APR itakuwa kazi kuwafunga

  • @EliphasNyagwaru
    @EliphasNyagwaru 23 дні тому +4

    Kwa huyu blanco mm nishamsahau dube

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 23 дні тому

      😂😂😂 utamkumbuka ligi ikianza

  • @sailoo5722
    @sailoo5722 23 дні тому +2

    Kwani video imechukuliwa na simu, mbna mnatuonyesha giza ama mko unga

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 23 дні тому +1

    Feisal inamaana Azam wamekupa mikate hadi ume vembewa😂😂😂😂

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 23 дні тому +1

    Mumevaa jezi kama simba ila hamna mpango wowote

  • @maxmia100
    @maxmia100 23 дні тому +2

    Dah? Kweli dogo anakitambi dah? Ngoja abweteke tu kazi ndo inaishia hivyo

  • @SalumMadimba
    @SalumMadimba 23 дні тому

    Basi Fei anajiona staaaa😂😂😂😂

  • @nikky4757
    @nikky4757 21 день тому

    Sema fei kama ana kitambi fulani hivi

  • @muhamadmaulid694
    @muhamadmaulid694 23 дні тому +1

    Iv Zanzibar soka limeenda wapi ,mbona timu mbovu mbovu tu,inakera sana Yani ,misingi ya soka ipo ila mafanikio sifuri

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 23 дні тому

      Halafu ndo kombe la muungano limerudi Zanzibar tutakuwa tunashika mkia

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 23 дні тому

      Mpira ni pesa baba hakuna misingi yoyote zaid ya pesa.. Timu moja ya bara inawazaamini sita... Wakt tim za znz hazina mzamini hata mmoja

  • @yusuphTosha
    @yusuphTosha 23 дні тому

    Dube wanini tena!

  • @honoratielisha6543
    @honoratielisha6543 23 дні тому +2

    Mbn feisal ana tako

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 23 дні тому

    Azam tafuten timu ya kujipima zaidi sio zimamoto yanga na simba ni moto

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 23 дні тому

    Feisal mtuwmaan anakitamb

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 23 дні тому

    Fei akikajuu tu kitamb

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 23 дні тому

    Feisal sasa basi hana mazeezi

  • @fabianbenardngatunga2713
    @fabianbenardngatunga2713 21 день тому

    Mbn wamevaa nyekundu ili wajue wameifunga simba wawe wamelipa kisasi

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 23 дні тому

    Ni xavi mtupu

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 23 дні тому

    apr haooo wamefika

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 23 дні тому +6

    Mbona Feisal ana kitambi?😢

  • @getajo1153
    @getajo1153 23 дні тому

    Simba toeni hela tumchukue Feisal...