AHMED ALLY: UBAYA UBWELA KWA NINI CHAMA HATUJAMPA THANK YOU?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @TitoSarwat
    @TitoSarwat 12 днів тому +4

    Mashabiki wa yanga tulieni

  • @robertgagabhi8188
    @robertgagabhi8188 12 днів тому +3

    Hatari Sana

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 11 днів тому +1

    9:46 Ahmed ally ameonesha chama anamuumiza sanaaa..

    • @JFN99
      @JFN99 11 днів тому

      Apa Umecheza

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 11 днів тому

    Huyu jamaa Ana manemo mengi utafikiri muuza alkasusu kule goba....😂😂😂😂😂😂

  • @magazimagazi36
    @magazimagazi36 12 днів тому +3

    𝐍𝐞𝐞𝐝𝐬 𝐦𝐲 𝐥𝐢𝐤𝐞 𝐚𝐦 𝐭𝐡𝐞 𝐟𝐢𝐫𝐬𝐭 😉

  • @robertgagabhi8188
    @robertgagabhi8188 12 днів тому +1

    🔥🔥🔥

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j 11 днів тому

    comrade imeanza ongereni

  • @sleimankhamiss4586
    @sleimankhamiss4586 11 днів тому

    As we Speak with you Right now
    Kipande nkatiwe huyu jamaa Mbna kma mchovyo ila bila D2 huelewi 😂😂😂

  • @abdulyhassan3742
    @abdulyhassan3742 10 днів тому

    Best comedians

  • @user-ih9xy5vd5d
    @user-ih9xy5vd5d 11 днів тому

    Juma ngondae kama alivyosema haji manara😂😂😂😂😂😂

  • @yusufm1
    @yusufm1 11 днів тому

    Ila huyo mzee analishwa matango pori mikono juu tu wakila Chuma utasikia Mangungu Out 🤣🤣🤣

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 11 днів тому

    Masikini anajiropokea tu .huyu ndiyo wanamfanya chambo😅😅😅😅😅

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 12 днів тому +9

    Nnachompendea Ahmed akurupuki kujibu maswali ya waandishi tofauti na tule kichwa kikubwa mwili mdogo😂😂

  • @abuusaidy1506
    @abuusaidy1506 11 днів тому +1

    Team inawachezaji mazee kama watumishi wa koroshoo😂😂😂

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 11 днів тому

      Wachezaji wazee Kama chama na mkude😂😂

  • @HadiaMohammed-ec2dn
    @HadiaMohammed-ec2dn 2 дні тому

    😅😅😅😅

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 11 днів тому

    Uyo jamaa mwenye jez ya Simba Yuko na mzuka aisee

  • @elinisafiminja3049
    @elinisafiminja3049 11 днів тому

    Kwa kuwafarijii tu washabiki wa Simba upo vizuri😅

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 11 днів тому

    Ila onana ni mali bado katuokoa San last season

  • @Mshedede77-uv7cv
    @Mshedede77-uv7cv 12 днів тому

    Lama acha papala mbona unawah

  • @johnbarnaba8675
    @johnbarnaba8675 12 днів тому

    😂

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 12 днів тому +2

    😂😂 jamani anazarau sana et wachezaji wazee kama wafanyakazi bodi ya korosho😢

    • @kisinza6077
      @kisinza6077 11 днів тому

      Mayele aliwanyoosha Kwa sababu hiyo. Kwahiyo hapo tunategemea nguvu ya ziada Kwa wazee wale yajayo yatajulikana😂

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 11 днів тому +1

    Mnaenda kutembea kujifunza jinsi ya kuvumilia kipigo Cha mbwa mwitu shenzi nyie

  • @kijakazimussa9236
    @kijakazimussa9236 12 днів тому

    Mzee wa kuwafariji

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 12 днів тому +1

    Nendeni kzurula mkirudi kipigo Cha mabao mwaka huu ni 12

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 11 днів тому +1

      Wakizurura kwani wewe unateseka nini! Nimeamini kuwa ukiwa na roho mbaya unaumizwa na vitu ambavyo hata havikuhusu wacha wafanye watakavyo wanatumia pesa zao wivuuuu tu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 11 днів тому +1

      ..hawakubali kuambiwa, lkn baadae utawaskia MAKOLO wanalalamika, Ooo Mliemda misri kufanya Nini, hizo pesa si mngesajili wachezaji wa maana...yaani Hawa MAKOLO hawaendelei , wanarudia yaleyale 🤣🤣🤣