BARAZA LA WAZEE CCM ARUSHA WACHARUKA KUHUSU RC MAKONDA - "TUNAOMBA CHAMA KIMLINDE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 62

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 3 місяці тому +26

    Mzee umeongea vizur sana point. Kweli kabisa wapo baadhi ya viongozi wana fitina na husda kwa Mh Makonda Safi sana mzee umeongea point Mungu akulinde

    • @henrychacha5592
      @henrychacha5592 3 місяці тому +3

      Wazee ni hazina tuwatumie vizuri Ili tupate mafanikio endelevu

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 місяці тому

      @@henrychacha5592 Hakika

  • @LeonardmpembaMsemakweli-q8s
    @LeonardmpembaMsemakweli-q8s 3 місяці тому +6

    KWELI mzeee nawapenda sana makonda one love 💕💕💕💕💕💕💕💕❤❤❤

  • @DavidMwakila
    @DavidMwakila 3 місяці тому +6

    Makonda ,Mungu akulinde ,aendelee kukuhekimisha ,kukuinua ili wakati wa Bwana utakapofika uje ukalie kile kiti

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 3 місяці тому +5

    kwa kweli mzee wangu nashukuru pia hata kuunga mawazo yangu maana hata alipoitwa kuhojiwa na kamati kuu nilisema ni wakati wa wao kumpongeza na sio kumvunja mori kiukweli kila mwanadamu anakosea ila pale tunapo baini kuwa hilikuwa na nia njema ni kumuelekeza na kumfahamisha mbinu mbadala isiyoweza kuondoa nia na malengo ya utekelezaji. Makonda Nakuombea sana hata kama umepunguziwa eneo la kutoa huduma kwa kuwekwa Mkoa mmjoja tu naamini mama ana maana yake na ndio akaona msaidie Mkoa huo wa kistratejia kwenye kufikia alilojiwekea kwa manufaa ya Watanzania. AHSANTENI SANA BABU ZANGU

  • @ErasmusMakavery
    @ErasmusMakavery 3 місяці тому +9

    kakaagu makonda hakika ww nichicho la uhongozi ss kama viongozi vijana tunamengi makubwa ya kujifunza kutoka kwako chapa kazi mungu u pamja nawe!🎉

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 2 місяці тому +3

    Uhakika maneno mazima sana❤❤❤❤hana baya makonda

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 3 місяці тому +2

    Hapo ndipo ccm inapovipiga bao hivi vyama vya 2-2-× 3..
    Hazina kubwa ya Wazee..
    Mzee Wangu Big up..
    Watu dizaini ya Samia,Majaliwa, Bashungwa,Makonga na wenye uwezo mkubwa wa uongoza kama haoo...
    Tunawaombea Duwa nzito Mungu awalinde sisi Watu tunaojielewa Nchi mzima.

  • @pauloillakwahhi1802
    @pauloillakwahhi1802 2 місяці тому

    Mzee Gerald Gwaha,vzr sana

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 3 місяці тому +9

    Mzee kanena vema watu wanamuonea wivu sana Makonda!

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 2 місяці тому +1

    Asante mzee alindwe

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому

    Asante Mzee wetu, Makonda Alindwe.

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 3 місяці тому +2

    Safi sana kiongozi Mungu amlinde kijana wetu

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 3 місяці тому +4

    Mzee uko sawa kabisa

  • @VivianMkumbo
    @VivianMkumbo 2 місяці тому +3

    Mungu anawaona hao maadui wanaomchafua mtumishi wa Mungu Makonda.

  • @Jean-marieNiyonzima-f3e
    @Jean-marieNiyonzima-f3e 3 місяці тому +2

    Wazee warusha hongereni sana kwakuliona iloo

  • @jumasuleymani
    @jumasuleymani 3 місяці тому +3

    Mwenyezi Mungu hata mlinda Mh:kw mema anayo ya tenda

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 3 місяці тому +3

    Kweli Mzee , makonda oeeee Samia oeeeeee CCM oeee

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 місяці тому

      Makonda oyee uyo mwingine sioni hiyo oyee ni ya nini.

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 місяці тому

    Yaani msipojitathimini haki ya mungu ccm inawafia mikononi kitendo mlichowafanyia vijana na viongozi hatujafurahishwa hofu ya ni i au tunatamani vurugu hii mbaya sana haijakaa vizuri

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 місяці тому +1

    Mtu mzima dawa wazee hongereen Sana kwa kuona mbali

  • @DavidWandabwa
    @DavidWandabwa 3 місяці тому +4

    Mzee umeongea vizuri sana,inatakiwa usalama uimalishwe kwake

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 3 місяці тому +2

    Mzee ameona kura kwa CCM Arusha zimejaa mgongoni mwa Makonda kwa kazi zake watavaa sare za chama bila bughudha. Kwa kazi za Makonda Arusha akitoa agizo wanafuata wengi na anayebisha atanyoshwa siyo na pilisi bali raia wenzake

  • @FredyLazaro-us5mu
    @FredyLazaro-us5mu 3 місяці тому +2

    Kwakweli naamini kama kuna aliempenda mwonaji mze magu hakika atakupenda makonda nahuyo ndo atarudisha chadeka ccm nampenda makonda mpaka nakufa mttezi wa wanyonge ingefaa aje daresalam

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 місяці тому +2

    Huyo Mzee ameongea sana hongera mzee

  • @GosheSecurity
    @GosheSecurity 3 місяці тому

    Safiiiii sana wazee babaa

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

    Yuko wapi saivi makonda kashatolewa tayar hiii ndio Tanzania

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 3 місяці тому

    Chama hakina uwezo wa kumlinda makonda naomba ujue hilo someni maandiko matakatifu.....wailindao nyumba........waijengao nyumba.......mtajua wenyewe

  • @KarumeKindamba-lk1px
    @KarumeKindamba-lk1px 3 місяці тому

    Ni wazi PM ni binadamu na sifa mojawapo ya binadamu ni kukosea ni vizuri hanapokosea arudishwe njia kuu na sikuleta fitina.PM piga spana,kanyaga moto mpaka wakuelewe unataka Arusha ya aina gani.Ongela mzee wangu kwa mawazo mazuri

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 2 місяці тому

    Wansfiki wakubwa

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 3 місяці тому

    Mtazoaje kura zote wakati mmezungukwa na rushwa😢😢😢😢😢

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 2 місяці тому

    Kama mnaona chama kina figisu mtoke mnasubiri nn au majunngu tu

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i 3 місяці тому

    Makonda makonda makonda❤❤❤

  • @donaldelias2267
    @donaldelias2267 2 місяці тому

    Usikute Kilichomponza ni zle kauli zake ya kua atawataja wanaomchafua Rais

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 2 місяці тому

    Tuendeleee kusema ccm iyoooo!!! Atakama inatung'ata

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 2 місяці тому

    Kwakweri baba Makonda alindwe kila Kona wanataka ateteleke ili asifanye kazi

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 місяці тому

    Tutasoma alalbadr kwa wale wote waliohusika kumhujumu makonda

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone 2 місяці тому

    Tangu lini ccm ikapata kura za Halali bila rushwa mmm

  • @CharlesOnetu
    @CharlesOnetu 3 місяці тому

    Lkn mnatushangaza, ninyi viongozi wa ccm,
    Jamii ya wana Arusha ndiyo tunaona kuwa kazi ya kiongozi ni nn,
    Hakika mmelala mno,
    Makonda apewe ulinzi,,

  • @vintz338
    @vintz338 3 місяці тому +2

    Mzee yupo vzuri ila siasa za saiv znahitaji vijana ,Mzee wa umri wake anatakiwa awe mshauri tu na apumzike nyumban

  • @ndamarevocatus4918
    @ndamarevocatus4918 3 місяці тому +2

    CCM oyeeeeeeeeeeee

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 3 місяці тому

    MZEE GERALD GWAHA

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 3 місяці тому +1

    Makonda kiboko yaani Hana mbambamba safi mkuu

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 3 місяці тому +1

    Wanaosema kafanana namrema wapo

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b 3 місяці тому +2

    CCM ilikubali Harmonize atumie uchawi kuharibu youtube accounts za Wasanii wa WCB....Aibu Tanzania😂😂😂😂😂😂

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 місяці тому

    Tukipata wazee 10 tu kama hawa Tanzania itatakasika

  • @HansChuma
    @HansChuma 3 місяці тому

    Ngo zao wafukunyuliwe mbali hawa ngo wasenge sana wanaawaacha mashoga uko wasenge watoto wanalawitiwa hawaongei chochote ...

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 3 місяці тому

    Shetani kijifanya malaika

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 3 місяці тому +1

    Hao wanafikki wachamanaserikali ndio hao wanaotamani hata chamakiondoke.madarakani kwakukiuka utawala bora iwejemchi nzima mheshimiwahuyo tunaomba hata wangetokea wasaidizi waRais hatasitatu kama makonda nchi aumalalamiko mengi kwaserikali yangepungua sana haonao wanawakilisha sehemu nenelagiza serikalini weawa chunguze kunanini wamebeba nyuma yake.

  • @alexoswald1725
    @alexoswald1725 3 місяці тому

    Umenena vyema

  • @Ba63828
    @Ba63828 3 місяці тому

    Siasa za uwoga hizo mzee RC ni mbabe kama alovokua hayati Magufuli. The man dies in all who keep silent in the face tyranny - Wole Soyinka.

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 2 місяці тому

    Nunueni drones za kumwagilia dawa.
    ua-cam.com/users/shortsFFahCgzDmHA?si=vIjx-M65TPxAOicb

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 3 місяці тому

    Mambo yamefikashingoni

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 місяці тому +1

    Huo ni uwongo mtupu,acheni siasa Makonda abaki Mkuu wa mkoa,ajitoe siasa.Wewe mzee huelewi