MAKONDA MATATANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • DODOMA: TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imebaini ukiukwaji wa sheria na taratibu kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuhusu amri aliyoitoa kukamatwa mkazi wa mkoa huo hivi karibuni.
    Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu ameeleza hayo kwa waandishi wa habari mkoani Dodoma leo wakati akisoma taarifa ya chunguzi mbalimbali zilizofanywa na tume hiyo.
    Katika uchunguzi iliyoufanya tume hiyo kuhusu Mkuu huyo wa Mkoa ya tuhuma dhidi yake ya kutoa amri ya kukamatwa na kuwekwa mahabusu mkazi wa Mkoa wa Arusha kinyume na utaratibu wa kisheria mnamo Juni 2024, tume imebaini kuwa amri iliyotolewa na Makonda ya kumkamata na kumuweka ndani mkazi huyo haikuwa halali na haikuzingatia aina ya makosa na utaratibu ulioainishwa kisheria wa utekelezaji wa mamlaka hayo.
    Na pia mwananchi huyo hakuwa mhusika wa madai ya msingi ambayo Mkuu wa Mkoa huyo aliyatumia kushughulikia suala lililokuwa mbele yake.
    Aidha tume imebaini pia, Mkuu huyo wa Mkoa alivuka mipaka ya majukumu yake kwa kushughulikia na kutoa maamuzi katika suala ambalo ilipaswa kufuata mkondo wa kisheria wa kimahakama kwa kuwa madai hayo yangeshughulikiwa kama shauri la daiwa.
    Imeandaliwa na Fadhili Akida
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

КОМЕНТАРІ • 57

  • @nicodemashaggite8429
    @nicodemashaggite8429 2 місяці тому +5

    Upuuzi mtupu huu sisi ndo wananchi tuachieni Makonda wetu!!!

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 2 місяці тому +3

    Tanzania Nchi yangu. Makonda hana hatia yoyote. Maadui wa Nchi hii wako wengi

  • @ekisuka1
    @ekisuka1 2 місяці тому +3

    Iweje leo kwa Makonda, wangapi wanawekwa ndani mbona hamjawahi kusema, acheni Makonda afanye kazi yake.

  • @MawazoKitumbo
    @MawazoKitumbo 2 місяці тому

    Kwenda zako makonda naomba mmuajeche kabsaaaaa!!

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 2 місяці тому +2

    Kariakoo machinga wananyanyaswa mbona hamjitokezi kuwatetea?

  • @Tango696
    @Tango696 2 місяці тому +5

    Makonda piga kazi kaka....hizo tume zipo kisheria nawe upo kisheria

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 2 місяці тому

      Watu walishajua waz makonda kuhamishwa dar kupelekwa Arusha ulikuwa mpango wa kumpoteza

  • @ReginaldAplonary
    @ReginaldAplonary 2 місяці тому +5

    Yani mi nashangaa kwani mkuu wa mkoa hana amri ya kuamuru akamatwe mtu kama ana hatia jamaa embu msitusumbulie mkuu wetu acheni afanye kazi

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 2 місяці тому

    Nchi inamajambazi wengi sana😭

  • @FlorahKahemele
    @FlorahKahemele 2 місяці тому

    Nimegundua ccm wanalindana sana kosa la makonda liko wapi wangapi wako magereza miaka ila haki za binadamu hawajawaona walkomuona ni makonda

  • @SalumonEustace-cl4mk
    @SalumonEustace-cl4mk 2 місяці тому +2

    Tume hii nayoo inaonekana imeozaa , mnashindwa kuwawajibsha askari wa maliasili pamoja na askari polisi wanaouaa raiaa kila kukicha afu mnajiita tume ya haki za binadamu... au hiyo tume inafanya kazi Tamisemi tuu? mbona lile tukio lilotokea tanga polisi likiwahusishaa maofisa wa polisi kwa kumuuaa raiaa kutumia tindikali hamkusemaa
    Nyieeeee mwogopeni Mungu

  • @SaimonNgwito
    @SaimonNgwito 2 місяці тому

    Hii nchi bana ukifany vzur tu unaanza kuwekewa mikinzamo duu mungu na akulinde makonda

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому +4

    Muacheni makonda afanye kazi yake

  • @bumimwamasage5463
    @bumimwamasage5463 2 місяці тому

    Aliye wa rohoni anajua kinachoendelea. Vita yetu si ya mwili wa damu na nyama, bali ni katika ulimwwngu wa roho. Ukijua hilo utajua la kufanya kwa bidii.. Maombi

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 2 місяці тому

    Walio kamata wadada wanaojiuza hamuoni! Makonda mwacheni afanye kazi!

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 2 місяці тому

    Nchiii hii ngumu Yani ndo Yale Yale haki za kimarekani daa kazi iendeleeeee mama Yuko kaziniii

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 2 місяці тому

    Nimegundua na kujiridhisha kwamba:Viongozi hawana matatizo sana.Nilichogundua,wananchi ndiyo tuna matatizo,tena matatizo makubwa.Kubwa zaidi,ni kwamba hatuna uwelewa wa mambo mengi,ikiwemo haki zao ,haki za wengine.Maswsla ya haki za binadamu ni mazito sana kuliko kumshabikia mtu muhalifu.Tupunguze uchawa kwa viongozi,tunawaharibu.

  • @dorcasjonathan9793
    @dorcasjonathan9793 2 місяці тому

    Yesu asulubiwe baraba aachiwe huru wenye akili wamenielewa mhmm dunian mbona tutaona mengi mungu nisaidie

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 2 місяці тому +3

    Watu corupt hawapendi utendaji

  • @gasperaroni5751
    @gasperaroni5751 2 місяці тому +2

    Makonda achana nao hao awajui wasemalo

  • @maginusjumajuma
    @maginusjumajuma 2 місяці тому +2

    R.i.p magu😢😢😢😢

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 2 місяці тому +1

    Hakuna aliekuwa juu sharia

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 2 місяці тому

    Makonda hajawahi kuwa kiongozi hata siku moja.Sema makonda anabebwa na kitu kinaitwa ngekewa(bahati ya kupendwa)Makonda ni kivuruge kama alivyo Chalamila na Slaa .Huwezi kwenda kuonana na wananchi na dharau eti wewe ni waziri,mkuu wakoa.Weka ndani huyu,bila kumsikiliza,huo ni udhalilishaji,Kama kinachotakiwa ni haki basi sheria zifuatwe,siyo vitsho.Kiongozi hatakiwi kuwa na mihemko na ushamba.

  • @fridamossony2821
    @fridamossony2821 2 місяці тому

    Hivi mmekosa Kazi, kila kukicha Makonda, tuachie, Kipenzi chetu, Mahakama za Arusha zimejawa na Hila

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 місяці тому

    Makonda sio Malaika huenda akakosea Sasa akikosea jambo moja tu mnafanya uchunguzi hii Dunia

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 2 місяці тому

    Ubey nimubay san nbona akiwa apo aukugea leo hii aonekan unahoa aya

  • @WilsonMguba-bp2qs
    @WilsonMguba-bp2qs 2 місяці тому

    Hawa ndowalewale

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 2 місяці тому

    Muambieni rais..kwani ye kajileta arusha

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 місяці тому

    Mtu akiwa mchapakazi ana husudiwa.Kuna matatizo kibao ya wananchi wala hamuyashughulikii.

  • @sujaiazicani9510
    @sujaiazicani9510 2 місяці тому

    yameaza

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 2 місяці тому

    Huyu wanamlea kipumbavu sana huyu kwa nn na yeye asimalizwe kama anavyomaliza wenzake

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 2 місяці тому

    Kwendeni huko mwacheni makonda wetu achape kazi

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 2 місяці тому

    Mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya atalazimika kuamru mtu kutiwa ndani ikiwa mtu huyo anahatarisha amani maharia husika.Ikiwa usalama wa mtu husika mwenyewe umo katika hatari asipohifadhiwa.Lkn kwa tuhuma za wizi ,udanganyifu, utovu wa nidhamu nk hatua za kawida tu zipo ikiwemo kuonywa,kushitakiwa mahakamani au kama ni mtumishi basi mwajiriwa wake atamwajibisha kwa mujibu ww taratibu za kiajira.Tupunguze mihemko na ushamba wa matumizi ya madaraka kwa nafasi tulizo nazo.Achana na mambo ya kutafuta sifa.Mkuu wa mkoa kutwa nzima ushindwa hata kunywa chai unakalia umbeya

  • @jovitusiinnocent7534
    @jovitusiinnocent7534 2 місяці тому

    Nyie ni mmeshidwa kufatilua kesi zingine huko

  • @GodMziray
    @GodMziray 2 місяці тому

    Mjue MUNGU yupo na atawalipa.

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je 2 місяці тому

    Du aya majitu vip mbona mnakua maboya sana aya mpeni mtoto wa nape mkuu wa mkoo

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 2 місяці тому

    Yaani ya makonda ndo kichwa Cha habari toa upuuzi huo

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 2 місяці тому +1

    Haki zakijinga ndio nyingi muacheni makonda afanye kazi

  • @AlistidesAlbert
    @AlistidesAlbert 2 місяці тому

    Sisi tunamtaka makonda maneno yenu hatutaki nani atakuwa mwema kwenu mbona mnatuumiza watanzania!!!?

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 місяці тому

    Kwa makonda mtamaliza soli bureee bora mumjadili nape kakosea akatoboa siri kwamba walioko madarakani hawastaili waliiba kura

  • @FatmaChezo
    @FatmaChezo 2 місяці тому

    Mambo mazito yanatokea lakini hawaonekani,mnachuki nahuyu mkuuwamkowa wawatu

  • @EmmanuelJoseph-mn9jr
    @EmmanuelJoseph-mn9jr 2 місяці тому +1

    Tuma mmeoza hakuna kitu apo

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 2 місяці тому

    Ndio maana Jpm alikataa huu ujinga wa hizi tume

  • @ChelehaniKamoga
    @ChelehaniKamoga 2 місяці тому

    Achani makonda afany kaz

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 2 місяці тому +2

    Huna lolote achana kabisa na makonda

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 2 місяці тому

    Uyu jamaaa utawala Bora anaujua kweli ?

  • @FunnyHikingWaterfall-wv7dc
    @FunnyHikingWaterfall-wv7dc 2 місяці тому

    Tume hizi

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 2 місяці тому +1

    CHAPAKAZI DOGO MAK

  • @MirajiMbolile
    @MirajiMbolile 2 місяці тому

    Pumbavu

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 2 місяці тому

    Yaani hili zee limevaa na tai na suti kumbe bwege tu hamuoni watu wengine wanavyopata shida mkawasaidia? Mmeliona hilo la kijinga

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 місяці тому

    Hizo ni fitina wewe Sali na utende haki

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 місяці тому

    mbpna mmewakamata öashekh na kuwekwa maanusu öıqka 7/8/9... sasa mpka leo, na hakuna ushahıd wwote !
    Au mnaanza kujikimgia mgongo arudi nyumaa!!
    Achek faking acting!