LEMA ATOA MANENO YA UCHUNGU NIMESEMA SANA NIMEKIMBIA NCHI SIDAIWI CHOCHOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 98

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 11 годин тому +6

    Msema ukweli mpenzi WA Mungu Lema Mungu akubariki na kukulinda

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 16 годин тому +11

    Aibu sana ktk nchi yetu uoga ukizidi ni ujinga ktk taifa

  • @KesuYeile
    @KesuYeile 17 годин тому +12

    Mungu akubariki San mh lema,

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 14 годин тому +3

    Unasema kweli mkuu kazi yakujituma ni ngum sana.Ila Mungu yuko pamoja na wewe usiogope amini tuu.

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 17 годин тому +10

    Kwa kweli watanzania tunamatatizo ya akili

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 17 годин тому +2

      Labda wewe usijumuishe wote

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 17 годин тому

      Focus uliyonena ni ya ukweli

    • @HassanRubota
      @HassanRubota 16 годин тому +2

      Hata mm nafikili tungepimwa akili nchi nzima

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays 15 годин тому

      ​@@asinahussein2176kwani wewe mtanganyika?😂

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 10 годин тому

      ​@@asinahussein2176kwani amesema wote? Kasema watanzania.

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 11 годин тому +2

    Kweliiiii mh lema dah point

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 12 годин тому +2

    Nakubali kiongonzi

  • @NdoipoMollel
    @NdoipoMollel 8 годин тому

    Mungu akuzidishie ujasiri na akuepushe na lolote baya mkuu

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 11 годин тому +1

    Tuko pamoja sana broo🎉🎉

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 16 годин тому +3

    Lema hutubia watu ambao hawaja tembelea maeneo mbalimbali dunia...Mimi bara zote na nchi mbalimbali dunia nimesha tembea...USA ombaomba wako wengi kuliko Tanzania... Sicilia Italy kuna machinga kuliko Tanzania...Na hizo ni nchi zenye uchumi mkubwa duniani...

  • @KarutaHamza-rb1bn
    @KarutaHamza-rb1bn 10 годин тому +1

    Uko sahihi one day

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 10 годин тому

    Ni kazi ngumu na yakukatisha tamaa,ila shida Mungu ameweka mzigo mzito ndani yenu. Wakati wa Mungu utafika tu msikate tamaa tafadhali

  • @SimonpaschalMathias-j9p
    @SimonpaschalMathias-j9p 8 годин тому

    Ila lema Mungu akuinue siku Moja pole sana nina hasira sana ila Sina namna

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 18 годин тому +10

    Mm nmekaa bench mungu anisaidie. Watz wanalia kila kona lkn bdo wanapgia kura ccm. Kuna mtu nimempa elf 5 juzi alikuwa na mtoto wa mwaka mmoja alikuwa mgonjwa kaenda kituo cha afya dawa kambiwa kanunue sasa pesa hana kanieleza mm nikampa elf 5. Leo nmeenda kujiandikisha nimemkuta ni wakala wa ccm nmeumia sana

    • @ZephaniaKambaine
      @ZephaniaKambaine 17 годин тому +4

      Ungemdai ela ako apo apo kumamake

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 17 годин тому +1

      😢😢😢😢😢 jamaa nikweli

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 17 годин тому +2

      Ungengata lipua lake

    • @HamisLeo
      @HamisLeo 16 годин тому +1

      @@ZephaniaKambaine hilo ndo natarajia jion atoke huko nmfate anipe pesa yangu japokuwa nilimpa km kusaidia ila leo naifata lzma

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays 15 годин тому

      Pole kakubeba ujinga

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 9 годин тому +1

    Hakika hauna Denis brother

  • @AshrafLema-n5r
    @AshrafLema-n5r 10 годин тому

    Bismillah rrahmaani rrahiim.Bismllaah rrahmaani rrahiim, Bismillah rrahmaani rrahiim! Mwenyezimungu tupe moyo na nguvu kupigania haki za msingi,tuondoshee wadhalim ,watekaji na kila balaa la wasiojulikana.Aaaamina.

  • @khalifamwasha6648
    @khalifamwasha6648 14 годин тому +1

    Bro Lema tangu kitambo nimekuwa nikikusikiliza umekuwa ukijenga hoja na ukitumia busara sana ktk speech zako. These days baada ya issue ya maandamano umekuwa ukiwalaumu wananchi na kuwatukana softly. Kaka tambua watanzania hawajaandaliwa ktk misukosuko ya kisiasa. naamini unajua kuwa ktk siasa hawakosi mamluki. Siyo kila ahudhuriaye ktk speech za kisiasa ni mfuasi na kwamba yuko tayari likitokea la kutokea mfano hata hapo likitokea tim tim mfano mpira au tairi la gari au puto kupasuka, usishangae wanaokusikiliza usimuone hata mmoja. Jengeni hamasa na msichoke na kukata tamaa kwa kutoitika maelekezo. Leo waoga na unaowashutumu na kuwaona hawana maana kwa kuwa kimya ndiyo mnaowahitaji wakupeni kura kesho. Wapo manabii walikataliwa neno la mungu sembuse siasa. Tunahitajiana. Kaka unaonekana umechoka siasa. Tafakari Jitathmini. Mpe hadhi raisi unapolitaja jina lake hata wakubwa zako wanamuita kwa prefix mheshimiwa Raisi.... Siasa zitaendelea kuwepo sawa na wapanda miti ya matunda wengine hawabahatiki kuyala wanaokuja kula ni wajukuu au vitukuu.

  • @JohnGadafi-x8j
    @JohnGadafi-x8j 13 годин тому

    Ni kweli kabisa

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 16 годин тому +4

    Maneno ya lema ya umiza sana ni maneno mazito sana

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 11 годин тому +1

    sema ukweli hakuna mwanasiasa anaepiginia watu unajipaginia ww na famili yako

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 9 годин тому

    Huyu pa1 na mimi ni Rasilimali ya Taifa.

  • @Voiceofpeopleotz
    @Voiceofpeopleotz 9 годин тому

    Hii ndiyo mchi pekee polisi wanaweza kumkamata mtu kwa kutabiri kwamba huyu mtu atafanya kosa kesho. Walikamatwa watu kwa sababu watafanya vurugu kwenye maandamano..

  • @MerryWilliam-r4l
    @MerryWilliam-r4l 9 годин тому

    Lema nakuelewa mno

  • @rizmarkabraham3921
    @rizmarkabraham3921 17 годин тому +1

    Mungu alipiganie taifa

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays 15 годин тому

      Mungu amesha shoka jipiganie ndiposa naye atawesa saidia

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 8 годин тому

    Lema siku inakuja,

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr 16 годин тому +2

    🤣🤣🤣🤣nyie ni wana Siasa Lema.ndio maana WATU wa maana mmewapeleka Ulaya,MKE wako, watoto wako N.K una Cha kupoteza,🤣🤣🤣🤣

  • @MursalJuma
    @MursalJuma 8 годин тому

    mm kuipigia ccm kura yang bor nife

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 12 годин тому +1

    Hawa maccm wamefanya nchi ni mali ya familia yao.

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 17 годин тому +7

    Jamaa wanapiga makofi maadaye wanachagua ccm

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 17 годин тому

      😢😢😢😢😢

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays 15 годин тому +1

      Unafiki ni Mwingi sana nchi hii

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 12 годин тому

      Kwani wewe ulitakaje sisi siyo Wakenya kila siku fujo tulipata Uhuru kwenye Amani na tunaomba iendelee nyie mnatumiwa nchi isiwe na Amani

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 12 годин тому

      @@margarethpolepole7438 umejuaje mimi ni mkenya?

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 12 годин тому

      Hakuna anaekubali kufa pelekeni watoto wenu wakaandamane maskini wakiandamana wakavunjika miguu mnawasaidia nini kwa matibabu acha wajitafutie ridhiki zao

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 12 годин тому +1

    Lema hiyo imetoka ikirudi pancha Ccm huiwezi

    • @EdsonKilaga
      @EdsonKilaga 8 годин тому

      Ndio nyie ambae hamjitambui

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 16 годин тому

    Mzee Lema polen sana najua kuwa unaumia sana ila hiyo ndio nchi yetu sasa twende wapi maana ccm imegawa nchi kuwa makundu mawili wanaolindwa na kutunzwa na ambao hawana ulinzi wanaolindwa wajitaba kupita kias na ambao hawana haki.

  • @CosmasParkire
    @CosmasParkire 16 годин тому

    😢😢daah inasikitisha

  • @kajsun5918
    @kajsun5918 17 годин тому

    👏

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 10 годин тому

    Ninyi niwatumishi wa mung tupo pamoja tunaomba juu yenu msikate tamaawanaharakatitupo wote jaman

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 16 годин тому +1

    Kwani wewe hapo unapiga kelele unataka nini? Si uache sasa upumzike mdogo wangu! Uongozi mtamu!😂😂😂

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 9 годин тому

      Acha ujinga hii ni nchi guru

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 9 годин тому

      @@dionismutayoba3542 Nchi GURU tena! Ama kweli wewe una akili nyingiii!

  • @SimonpaschalMathias-j9p
    @SimonpaschalMathias-j9p 8 годин тому

    Lema hata huku machawa wapo wataongea utumbo

  • @christophermwatendela9500
    @christophermwatendela9500 13 годин тому

    Ccm walishafanya Yao kitambo , watu wa hovyo kabisa ,nadhani dawa Yao Bado haijapatikana

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 15 годин тому

    Hawajielewi Tatizo shule Tz tumelogw wp, elimu n tatizo, Tanganyika,

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 16 годин тому

    😢😢😢

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 14 годин тому

    Wewe ndiyo ujitambuwiiiii ,

    • @IbrahimMwakasembe-mu5fv
      @IbrahimMwakasembe-mu5fv 10 годин тому

      Kweli mtu ana kipimo anachokijua juu ya uzalendo. Siwez kukulaumu unaembeza lema. Uko upande salama, huwezi kujutia. Ila ubaya unalaana mbaya, kama hutalia wew watalia wanao

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 14 годин тому

    Hakuna mtu mpuuzi kama lema yeye alikua mbunge na walishika alimashauli alifanyanini zaidi ya kujiongezea posh tuu

  • @TallTallmysha-v3u
    @TallTallmysha-v3u 16 годин тому

    Hhhhhhhhh maboya hawa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 13 годин тому

    Mafisiemu. Mnatusumbua. Mnaumwa. Mavi. Mkanye mtuache bana

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 16 годин тому

    Amesema""Hakuna kazi ngumu kama kupigania "haki" ya watu ambao hawajitambui"" je ni kweli au sio kweli?

    • @IbrahimMwakasembe-mu5fv
      @IbrahimMwakasembe-mu5fv 10 годин тому

      Ni kweli kabisa, nikaz ngumu kumpigania asiyejitambua, licha ya kwamba asiyejitambua ukimwambia Hujitambui, utasema natukanwa, Wala hawezi kukubaliana

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 16 годин тому

    Ila wewe utaishi milele! Halafu huyu hata la kusema hana!

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 12 годин тому

    Kibaraka 😂😂😂haya ukishaharibu hata haka ka amani tulikonako kimbia nenda kwa mabwana zako ulaya wakupididi sisi tutafia hapa hapa na Tanzania yetu,ila mtajibu kwa mungu mwenyez

    • @idiphoncekiimbi2021
      @idiphoncekiimbi2021 10 годин тому

      Mama yenu mbona anapokea misaada kutoka kwa mabeberu ambao baba zako waarabu

    • @FranckDaniel-cc5rg
      @FranckDaniel-cc5rg 9 годин тому

      @idiphoncekiimbi2021 hakuna aliyekataa ila lisu hana akili zaid kusaliti taifa Lake kwa mabwanyenye,ngoja avuruge alaf wakishamaliza kumtumia utaon watakavombokoa makalio,lisu ni kama mobutu seseko,tu

    • @EdsonKilaga
      @EdsonKilaga 8 годин тому

      Mijitu ambavyo hamjitambui Iko mingi

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 17 годин тому

    Hata mimi nimesema wakiiba mungu atafanya kitu atazima soketi kabisa kweli mtaona

  • @TamimuGambo
    @TamimuGambo 11 годин тому

    Mama wa mtoto c wewe

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 12 годин тому

    Wwe ndio hujitambui

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 17 годин тому +3

    Lisu unamwiita mh ila Raisi wa nchi unamwiita Samia! Unawaita maboya! Hizo kauli zenu zitawagharimu! Kiongozi gani una kauli mbaya na unategemea watu wakuchague! Rekebisheni kauli za kibabe ni machukizo hata mbele za Mungu!😢😢

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 8 годин тому

    Haujitambui wewe na familia yako

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf 14 годин тому

    Kweli kabisa atuji tambui bilakatiba mpya siendy kujitambulisha

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 17 годин тому +1

    Lema kwisha kabisha watu wengi wako wapi????? Lema mambo yamegeuka sio miaka ilio pita.....Kwa sasa wana nchi wamejielewa zaidi...

  • @AdelinaAloys
    @AdelinaAloys 17 годин тому

    Ndg MUNGU akupe heri wewe ndy unaifanya kazi MUNGU watu wengi wanaganga njaa

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 17 годин тому +1

    Acha matusi wewe jamaa nani hajitambui ni njaa zako ndio zinakufanya utukane iache hiyo kazi uje tupige boda boda

  • @shabanikimpinga6769
    @shabanikimpinga6769 17 годин тому

    Hamasisha.watu.wajiandikishe.acha.blabla.mukoje.maneno.yeleyele.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 17 годин тому

      Yeye anafikiri kufokea watu kwa lugha za kihuni ndio watakupigia kura! Hamasisha watu kwa sera nzuri pia wajiandikishe kupiga kura! Acha maneno ya shombo hao watu wanajitambua!!😮😮

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 14 годин тому

    Chi iliisha piganiwa na kukombolewa acha uhuni

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 11 годин тому

    Msema ukweli mpenzi WA Mungu Lema Mungu akubariki na kukulinda