Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

KUSINI KUMEKUCHA:TAZAMA MSAFARA WA WANACHI KUELEKEA IKWIRIRI KUKIWASHA KWAAJILI YA WIKI YA MWANANCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

КОМЕНТАРІ • 25

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo Місяць тому +5

    🎉🎉🎉 kama unaamin mabingwaaa^ gonga like hapa❤❤❤

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Місяць тому +1

    Mmetisha wana Jangwani Mungu awalinde

  • @OmaryzingZing-jd3xm
    @OmaryzingZing-jd3xm Місяць тому +1

    Good tupo pamoja chama kubwa Yanga chama langu Ronaldo Jr apa kutoka Bagamoyo

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 Місяць тому +2

    Nigekuwa sijaolewa Mimi walah semaje Kila inapoenda yanga naenda lkn nipo kwenye ndoa naumia sana mume wangu ni kolozidad ananikataza 😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Ndoo yanga hiii makolo mtakufa na puresha sisi anganituu😂😂😂😂😂❤

  • @HemedyJumaa-sh2lb
    @HemedyJumaa-sh2lb Місяць тому +2

    Wananchiii💪💪💪

  • @emmanuelkimotoli1939
    @emmanuelkimotoli1939 Місяць тому +2

    wakwanza leo🎉🎉

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i Місяць тому

    Yanga forever

  • @JosephMhoja-k4h
    @JosephMhoja-k4h Місяць тому

    Haooooo 😢yanga 🎉❤

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 Місяць тому

    🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉

  • @KelvinRobert-mn2mn
    @KelvinRobert-mn2mn Місяць тому

    Uzi vp sasa wanaendaje hawana mpya😢😢

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Місяць тому +2

    Hiki kitengo cha habari cha Yanga kina watu wana akili nyingi sana za ubunifu wa hamasa😂😂😂

  • @freefromhunger
    @freefromhunger Місяць тому +1

    💛💚💙

  • @calmjnr
    @calmjnr Місяць тому

    Humu tu

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 Місяць тому

    Mzee mpili kiongozi wa msafara😅😅😅😅😅

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j Місяць тому

    😂😂😂😂😂Mzee mpili anasema yeyə nawatu wachafu sana pae unapoichokoza yanga unatafutia zambi. Lapili chama amekabidhiwa😅😅😅

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 Місяць тому

    Young Africans

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому +1

    Tulie muona mzee mpili tujuane

  • @NailaMickey
    @NailaMickey Місяць тому

    🔥🔥💚💛

  • @islamicstudywithradhiya8371
    @islamicstudywithradhiya8371 Місяць тому

    💚💚💚💛💛💛🔰✅

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Місяць тому

    Ukiona madada wazuri unue yanga😂😂😂😂

  • @FashmatMgalula
    @FashmatMgalula Місяць тому +1

    kil lakher tim yang

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo Місяць тому

    Mzeee😂mpili