ALLY KAMWE USO KWA USO NA MSEMAJI WA VITAL'O BAADA YA KUWANYUKA CHAMAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

КОМЕНТАРІ • 147

  • @godlightgodlight
    @godlightgodlight 25 днів тому +28

    Mimi leo🎉🎉🎉😢😢😅😅 za wananchi apa

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 25 днів тому +14

    Msemaji huyu amenifurahisha sana kongole kwake na tujipongeze wana Yanga kwa ushindi 🎉🎉🎉🎉

  • @issahpaul4510
    @issahpaul4510 25 днів тому +6

    Huyu jamaa anafurahisha kweli 😂😂 ni comedian 🙌

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 25 днів тому +35

    Hana tofauti na wachekeshaji wengine kama akina Ahmed Ally 😂😂

    • @lazarolakara979
      @lazarolakara979 25 днів тому +1

      Wewe ni msenge kweli

    • @farzanakhani2043
      @farzanakhani2043 25 днів тому +1

      Ahmed Ally kaigiaje hapo

    • @naomymuro2199
      @naomymuro2199 24 дні тому +1

      😂😂😂 na kwel yupo kama hamed aly😂😂

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 23 дні тому

      Anafuatilia mtindo wa wasemaji wa Tanzania na amegundua hivi ndivyo wabongo wanapenda nnje ya mchezo wa ndani ya uwanja😅

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 25 днів тому +9

    VITAL "O" itakuwa wanafadhilwa na GSM. Makolo Inawaumaaaaaaaaa,wanaumiaaaaaa.

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 25 днів тому +15

    Tunataka kolo akishtuka sie tushachukua billion kadhaàa

  • @user-qt9fm2lj6b
    @user-qt9fm2lj6b 25 днів тому +7

    Yanga bingwa❤❤❤❤

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 25 днів тому +17

    Ally una kipaji sana ktk wasemaji woote anaongea Kwa hekima Hana mhemko kabisa

  • @SuleimaniLuvanga
    @SuleimaniLuvanga 24 дні тому +1

    Nimesoma koment Dah YANGA kweli rahasana

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 25 днів тому +7

    The Higher the Tumbo the Finyu the Akili 😂😂😂

  • @alisteusarchard3656
    @alisteusarchard3656 25 днів тому +3

    Huyo msemaji, nimemuelewa, very professional.
    Lazima Ugangamale hata kama unajua unazidiwa ndo usemaji

  • @jumannejackson759
    @jumannejackson759 25 днів тому +26

    Nilikuwa najua ana akili timamu kumbe dish limeyumba

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 25 днів тому +1

      Lako likoje?

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 25 днів тому +1

      Asa ww mtu mnene kma hvo akili inatoka wapi

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 25 днів тому

      Hapana bhana! Ishu siyo dishi, kwani Ahmed Ally kinachotokea kwake ni nini? Hawa watu wanapokea mishahara yao kwa kufanya hivyo, unategemea afanyeje?

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 25 днів тому

      Hapana bhana! Ishu siyo dishi, kwani Ahmed Ally kinachotokea kwake ni nini? Hawa watu wanapokea mishahara yao kwa kufanya hivyo, unategemea afanyeje?

    • @AleemaAleemaoman
      @AleemaAleemaoman 25 днів тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 25 днів тому +2

    Umefanya kazi yako vyema sana wachezaji wamekuangusha sana

  • @RAJABUALLYCHANDEALLYCHANDE-n4i
    @RAJABUALLYCHANDEALLYCHANDE-n4i 25 днів тому +7

    Kweli dishi limeyumba😂😂😂

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig 23 дні тому

    Msemaji wa vitalo yuko vizuri na anajua ubora wa Yanga sema nilichogundua jamaa ni promo mzuri sana, naamini wangi walipata shauku ya kuona mchezo utakuaje kutokana na jinsi alivyokuwa anaipromo mechi tuelewe jamaa sio mjinga anajua anachofanya

  • @user-sv3if3uu2j
    @user-sv3if3uu2j 25 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉💚💚💚💚💛💛💛💛 raha sana jmn

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 25 днів тому +1

    Ally Kamwe hao Vital 0 wamepata zero yao yaan hatutaki mazoea kabisa Tuchukue Milion 50 yaan goli 10 iwe sherehe nzuri ya ufinguzi wa CAF CHAMPION LIGI

  • @CastoryKigahe
    @CastoryKigahe 25 днів тому +2

    Na simba wamefadhiliwa na GSM maana kila timu tunayoifunga makolo wanajua amedhamini gsm

  • @saimonmlay4295
    @saimonmlay4295 25 днів тому +3

    Mbona kama Bro wa Hamed Ally

  • @revocatusbenezeth2282
    @revocatusbenezeth2282 25 днів тому +2

    Kiukweli naiona Yanga iko mbali sana kwani timu sasa hivi zinafungwa na zinafurahi ukianza na simba,Azam na Vital'o Maajabu sana😂😂😂😂😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 24 дні тому

      Yanga wanajua...simba walisherehekea baada ya kufungwa 1.. wote wanaofungwa wameridhika

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 25 днів тому +3

    Mechi ya pili vitalo fc atakula 7 zingatieni koment hii

  • @samweledward7664
    @samweledward7664 24 дні тому

    Yanga Bingwa ✅

  • @sabamultimediabrand
    @sabamultimediabrand 25 днів тому +3

    Masaurakoze Nkorabwire

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya 24 дні тому

    Mama na sisi vital'O tufikilie hata kidogo maana joto kali Dar atujazoea sie😂😂

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba 25 днів тому +3

    Wenda huyo ni bro wake na Ahmed ally mana maneno na huyu jamaa wanafanana

  • @roseurio4983
    @roseurio4983 25 днів тому +2

    20 mil Kashi uwiiii

  • @anselmokidaboma9328
    @anselmokidaboma9328 24 дні тому

    In life, never be over optimistic!!! And never over promise

  • @AlfahKalinga
    @AlfahKalinga 24 дні тому

    Taratibu na semaji la caf Ahmed ally

  • @yusuphNgailo-p1q
    @yusuphNgailo-p1q 23 дні тому

    mechi yamwisho vitalo fc watakula 6 amini

  • @AngelaMkwava
    @AngelaMkwava 25 днів тому

    Hongera yanga kwa ushindi

  • @KhadijaMahai
    @KhadijaMahai 23 дні тому

    Familia ya kina lingo makintoshi,Martin White & Mkojani😂😂😂

  • @DuduBoysSilvester
    @DuduBoysSilvester 24 дні тому +1

    Hahahahaha hahahaaha hahahaaha hahahaaha Tumetoka Tanzania Mpaka Burundi Mbali Sanaaa

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 25 днів тому +1

    Niko tayari kumpeleka mirimbe kwa gharama yangu

  • @AtupeleFesto
    @AtupeleFesto 24 дні тому

    Mmh uyu ni ahmedy mtupu😮😮😮

  • @user-bo5qp9gz8m
    @user-bo5qp9gz8m 24 дні тому

    Na zinawauma sana kaka badala wapambane wanaumia kitawaramba

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 25 днів тому

    Kikosi kipana saana ALHAMDULILLAH

  • @user-ed5ki8yu2u
    @user-ed5ki8yu2u 25 днів тому

    Watu wasio na kichongo cjawahi wamimi 💚💛💛💛

  • @reubenchacha9688
    @reubenchacha9688 24 дні тому

    The guy is so funny 😂

  • @PacchaYassin
    @PacchaYassin 19 днів тому

    Anahamasisha jaman kwani mlitaka aseme vitali,o haiwez

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 25 днів тому +1

    Huyu hako sio mburundi huyu ni mtz tena wa kigoma maana akili za vijana wengi wa kigoma ziko hiv 😂 pimbi mwija baba levo wataje wengne wenye majisifu upofu km huyu mwamba 😂 watu wa kigoma hawajawahi kubeti wakatoboa ni baba levo tu ndio hutoboa kigoma mzima 😂😂😂

  • @ArseneMohamed
    @ArseneMohamed 25 днів тому +3

    Ukiona mtu mwenye tumbo kubwa kama tumbo la samvura core kama huyo Arsène bucuti hana hakiri

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 24 дні тому

    Chama aendelee kufanya mazoezi kuiweka fitness yake vizuri zaidi wanaosema hana speed au hakabi hipo siku atawashangaza pia mzidi kuzingatia fitness za wachezaji wote huko tunakokwenda ndio kugumu zaidi tujitahidi tusijekurudia makosa tuhakikishe tunazitumia nafasi vizuri maana tukifunga pia magoli mengi tunatengeneza record zetu wenyewe

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 25 днів тому +1

    Penalti ni safi, haina utata

  • @Onesmo-JB
    @Onesmo-JB 24 дні тому

    Ilooooo tumbooo kama ana😅😅😅😅😅😅

  • @MajaliwaJuma-c5g
    @MajaliwaJuma-c5g 25 днів тому +1

    Tim bola yanga

  • @godlightgodlight
    @godlightgodlight 25 днів тому +6

    Billioni

  • @BabyEmmy-bo2ew
    @BabyEmmy-bo2ew 25 днів тому

    Yanga bingwa kila siku

  • @dorahmwasanu668
    @dorahmwasanu668 25 днів тому

    Daaa huyo ndugu ni bonge la comedia usipime😂😂

  • @OskaPortas
    @OskaPortas 25 днів тому +2

    Disi rimeyumbakwerikweri

  • @shanimwanga4455
    @shanimwanga4455 25 днів тому

    huyu msemaji ni comedian pia😅😅

  • @RashidiAhmad-ow5fb
    @RashidiAhmad-ow5fb 25 днів тому

    Duuu! Tano bila

  • @roseurio4983
    @roseurio4983 25 днів тому +1

    Milioni 30=/ semaji letu

  • @VictorKilua-ms8it
    @VictorKilua-ms8it 25 днів тому +1

    Hili tumbo huko ndani hakukosi ubwela flani Ivi

  • @roseurio4983
    @roseurio4983 25 днів тому +1

    Aki huyu msemaji ana roho ngumu jmn

  • @WinnieDavid-hm9sb
    @WinnieDavid-hm9sb 24 дні тому

    Huyu jamaa alitakiwa aishi bongo sio kwa comed hiyo

  • @user-gu9dv6fh1i
    @user-gu9dv6fh1i 25 днів тому

    ana jipya

  • @innocentntabanganyimana2111
    @innocentntabanganyimana2111 25 днів тому

    YANGA TEAM. OOOOOOOOOO

  • @sadickcheyo2324
    @sadickcheyo2324 25 днів тому

    Ally kamwe nakbari una mbwembe

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 24 дні тому

    😂😂😂😂uyu mkaka bhn si alisema yeye anatupiga juu hatujazoea kucheza kwenye jua ama

  • @PillyLushete
    @PillyLushete 25 днів тому

    😢tunawapa pole upande wapili

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 24 дні тому

    Anaji brandi tuu

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 24 дні тому

    Hapo leo tulikua bujumbura ijayo tunakuja kwa Mkapa jiandae

  • @ramadhanomar5720
    @ramadhanomar5720 25 днів тому

    Leo nimeamin kuw warund wabishi

  • @juliusjaliwa9887
    @juliusjaliwa9887 25 днів тому

    Mtu yeyote ni bonge akili zao ni ndogo sana 😂😂😂😂😂😂

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 25 днів тому

    Akomi 😅

  • @ADELADamus
    @ADELADamus 25 днів тому

    Marudiyano kumi goliz

  • @AmanaAmos-hv3yz
    @AmanaAmos-hv3yz 25 днів тому

    Wasemaji comedian nilijua bongo tu kumbe wapo tu adi kwa majirani

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 24 дні тому

    Na mwamnyeto hajitahidi kuyafanyia kazi makosa yake ndani ya box hipo siku yataicost timu awe anakaa anarudia video anazo cheza ili kufanyia kazi makosa yake najua ana uzoefu mwingi ila kunamakosa anayafanya bado

  • @masumbukomoussa977
    @masumbukomoussa977 24 дні тому

    Inaonekana kuna kitu hakipo sawa ndani ya yanga japo ukimya ni mwingi kwani Manara yuko wapi jamani?

  • @Shija-g4m
    @Shija-g4m 24 дні тому

    Wapi baleke?

  • @lucasmartin4880
    @lucasmartin4880 24 дні тому

    Azam complex waweke mabarafu maan kun joto😅😅😅

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 24 дні тому

    Huyu hajitambui ,hata Afya yake tu na litumbo lake kama gunia,linaonyesha hajali afya yake,na anakula hovyo hovyo.

  • @salimhamisi990
    @salimhamisi990 24 дні тому

    Huyu Masau Bwire WA Burundi hahahahaaaaaaaa

  • @JohnHaule-rc3nk
    @JohnHaule-rc3nk 25 днів тому

    Huyo ni Ahamedy Ally aliyechangamka

  • @mr_mpweke
    @mr_mpweke 24 дні тому

    Sio ahmed ally wa pili huyu kweli???

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 25 днів тому

    Kwani hela za rais zinaisha?kila atakayekuwa anashinda lazima apokee hela kutoka kwa rais

  • @fadhilkhamis8971
    @fadhilkhamis8971 24 дні тому

    Hawa jamaa wamekula kibunda kingi sana 😂😂😂

  • @user-mi3dw2sj8y
    @user-mi3dw2sj8y 25 днів тому

    Kwel uyo nimasau bwile 😅😅

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 25 днів тому

    Sio amli yake mimba iyo inamsumbua akijifungua akili itakaa vzr

  • @christophermbuga9623
    @christophermbuga9623 25 днів тому

    Huyu ni Futuhi!! Timu yenyewe mlenda

  • @flaviabaruti7602
    @flaviabaruti7602 25 днів тому

    Naona kama hana uchungu timu huyu. Kwanza anafanya kaz kwa starehe , yamkin walio juu hawampi presha. Wasemaj wengine wapo kazin mambo yakienda vibaya hawana kazi.

  • @eugenmakiluli3025
    @eugenmakiluli3025 25 днів тому

    Kumbe dishi limeyumba

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 25 днів тому

    Waleteni Arusha kuna baridi ili wasiseme tena habari ya joto dar

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 25 днів тому

    Ilo tumbo jamani

  • @juliusejulius6704
    @juliusejulius6704 25 днів тому

    mbona mchekeshaji 😅😅😅😅😅

  • @user-td9zr7ur5h
    @user-td9zr7ur5h 25 днів тому

    Alsadaf wa Iraq aliwatisha wamerakani

    • @juliusmagoti5650
      @juliusmagoti5650 25 днів тому

      Huyu jamaa ni comedian, nadhani alikuwa anatumia nafasi hii kujitangaza, imesaidia kuita watazamaji wengi, ukizingatia kwamba wao ndio walikuwa wenyeji leo

  • @user-mw8qv8wf5c
    @user-mw8qv8wf5c 25 днів тому

    Mimi nilimuerewa huyu semaji wa vitaro, alikua anatafuta jina au kujitangaza

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 25 днів тому

    Ally alijiuzulu vip bado anaongea kama msemaji au msemaji mstafu

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c 24 дні тому

    😂ET TUKOMBE ZOTE BENK KUU

  • @RahimaIdd-yf9jo
    @RahimaIdd-yf9jo 25 днів тому

    Labda mpunguze goli kama makolo lakin sio kuwafunga

  • @denismalele7608
    @denismalele7608 25 днів тому

    Tukiwafunga Tena goli nyingi tuweke Bango mpakani wawe wanaliona Kila wakija Tanzania.

  • @faidha23
    @faidha23 25 днів тому

    Ila uyu jamaa haana akili au adi angepigwa tan

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 25 днів тому

    Fala wewe hujui ya nga

  • @robertmagubu4586
    @robertmagubu4586 25 днів тому

    Mechi ijayo tunataka Goli 8 ili tupate Milioni 40

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 25 днів тому

    Kwa mkapa atakuta majini ya vyura yamesimama gorini sijui kama atatoboa

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 25 днів тому

    Mwamba msemaji wa Vital'O haachagi ubishi

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 25 днів тому

    Huyu jamaa anafaa kuuguza wagonjwa mahututi

    • @naahmkama8789
      @naahmkama8789 24 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂ila

  • @othmanMoroko-zh8ct
    @othmanMoroko-zh8ct 25 днів тому

    Huna lolote wew pummbav t

  • @FloraKamanzi
    @FloraKamanzi 25 днів тому

    Hamnazo kabisa huyu

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba 25 днів тому

    Huyo dishi bovu