EXCLUSIVE: MJUE ALBERT CHALAMILA TOKA ENZI ANASOMA,Akiwa MWALIMU MPAKA kuwa MKUU wa MKOA WA DAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • #simulizinasauti #wasafimedia #cloudsmedia #efm #millardayo #exclusive #santzmedia #dullysantz #ccm
    FUATILIA HISTORIA INAYOSISIMUA KUHUSU MAPITO MAGUMU YA MHS; ALBET CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWASASA
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 35

  • @user-hj5hh4zg4e
    @user-hj5hh4zg4e 4 дні тому +1

    Namjua vizur tumetoka Kijiji kimoja nimtu makin sana alitwambia wahehe tufanye Kaz tusiwasingizie wenzetu wabena wachawi Yuko saf sana

  • @isayakiyeyeu6295
    @isayakiyeyeu6295 4 дні тому +1

    Hujui historia yake, naomba nyamaza mimi nimesoma nae darasa moja.

  • @-vu2cs
    @-vu2cs 29 днів тому +3

    Nilitaraji utamwelezea kiundani lakn hujafanya Ivo... Wakati mwingine twambie Hadi shule walizosoma , pia vujiji walivyokilia lakini kazi tunaenjoy keep on doing Broo.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  29 днів тому +1

      Ahsante. Kwa maoni yako Rafiki 🙏

    • @-vu2cs
      @-vu2cs 29 днів тому

      @@Santzmedia 🙏🙏

  • @mohamedrashidi8197
    @mohamedrashidi8197 18 днів тому +2

    Umemjua juzi 2021 ndipo unakuja kutudanganya yani tarehe za matukio zmeanza kuonekana 2021,huko nyuma unasema alikua mwalimu tuambie ni mwaka gan had mwaka gan na ktk shule zipi?chalamila ni mtunzi na mwimbaji hata you tube yupo mbona hujaonesha kwenye historia?umekurupuka jipange

  • @damasiasimba-lk5os
    @damasiasimba-lk5os 10 днів тому +1

    Msimuliaji ni mvivu wa kutafuta historia ya mtu, amesoma while gani

  • @izackkitomo6825
    @izackkitomo6825 28 днів тому +2

    Usitoe historia ya mtu bila kuonyesha details indeed..... Unasema kasoma shule ya msing,sekondar,chuo,kazaliwa Kijiji Cha iringa.... IRINGA inakijiji kimoja brother?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  28 днів тому +3

      Ahsante kwa maoni yako!!!?

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 25 днів тому +3

    Nimjue wa nini?

  • @user-hy8ux9ii5p
    @user-hy8ux9ii5p 7 днів тому +1

    Chalamila ni kiongozi wa kuzaliwa kuongoza watu sio mlala njaa ana stahili kuwa kiongozi

  • @emmanuelmahenge-z7u
    @emmanuelmahenge-z7u 19 днів тому +2

    Fatilia history yake vizuri ndo useme unaferi

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  19 днів тому +1

      Ok. Ahsante kwa maoni yako

  • @mussakasela1937
    @mussakasela1937 29 днів тому +3

    Kazaliwa mwaka gani?

  • @SurprisedCricket-gh4hj
    @SurprisedCricket-gh4hj 9 днів тому +1

    Huu ni uongo wa wazi kateuliwa kua mkuu wa mkoa wa mbeya 2018 iweje mpk 2021 atumikie miezi mi4 tu akiwa mbeya? Usikurupuke kijana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 днів тому +1

      Kama utakuwa Makini na hiyo simulizi Ulikuwa Huna haja ya kutukana!!! Mzee

  • @JapharyMawanza-mj1fv
    @JapharyMawanza-mj1fv 23 дні тому +1

    Suruhu

  • @mackchacha4114
    @mackchacha4114 8 днів тому +1

    Maelezo hayajajitosheleza

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 27 днів тому +2

    Mhehe tu.

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 24 дні тому +2

    Tujue habari zake kwa manufaa gani?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  24 дні тому +1

      Amekukosea nini Kwan?

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 23 дні тому

      Hajanikosea lakini kuna faida gani watu kujua habari zake ?

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 днів тому +1

    Hizo taarfa zako sio sahihi huyu chalamila ambaye namjua mmi mbna huyu jamaa akili zake zina mutosha ye mwenyewe

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 днів тому +2

      😆😆😂 Embu Tuambie Zinamtoshaje!!?

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 26 днів тому +1

    KUFAULU MTANGAZAJI BHANA NA SIO KUFAURU

  • @sharifunyengedi6322
    @sharifunyengedi6322 13 днів тому +1

    😢😢😢 the worst history in my history of history telling....haujafanyia research umechukua tu videos na fikra zako ukatusimulia tu. Jipange unaharibu future yako ....una sauti mzuri ila hauna material kichwani ...

  • @user-pj3eb2bo4o
    @user-pj3eb2bo4o 17 днів тому +3

    Baba huyu angekuwa komed angefaa sana tena timu yao ingekuwa timu Hananja na chalamila wangeuza sana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  17 днів тому +1

      😂😂😂

    • @ashamdemeka
      @ashamdemeka 12 годин тому

      Ni mwanamuziki Ata Ivo Sema now haimbi😂

  • @piusgadau6328
    @piusgadau6328 26 днів тому +1

    wewe ni hujafanyia reaserch habari yako ndo maana fupi ka mavi ya mwishoni

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  26 днів тому

      Fupi kivipi rafiki

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 19 днів тому

      @@Santzmedia huoni ilivyo..uchambuzi haujajitoshereza