'Niliteuliwa nikiwa mwaka wa pili chuoni sitasahau maishani'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Katika mfululizo mpya wa makala kuhusu vijana walio chini ya miaka 30 tunaangazia vijana waliofanya vizuri na wanaoendelea kufanya vizuri katika teknolojia, siasa na kijamii kwa nchi za Afrika Mashariki na leo tunae Bi Zainab Abdallah ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.
    Akiwa na umri wa miaka 23 ndipo aliaminiwa kufanya kazi kubwa ya kumuwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Mkuu wa Wilaya.
    Licha ya hilo hakusita kukumbatia kipaji alicho nacho cha utunzi na ughani wa mashairi ambacho kimempa umaarufu mkubwa hasa siku za hivi karibuni.
    #bbcswahili #tanzania #wanwake #talanta #uongozi

КОМЕНТАРІ • 172

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому +6

    She deserve more than mkuu wa Wilaya, she is asset for Tanzania if protected well and good wisdom.

  • @doreendinamica3473
    @doreendinamica3473 2 роки тому +3

    So Proud of her.....she performed a very bold Poem during our Jangwani Girls Sec School - 2008 Form Four Graduation day...she is a STAR...

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 2 роки тому +1

    Safi sana, huyu mama ni mwanamke jasiri na mwenye talanta ya uongozi. Mungu akulinde binti jasiri

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 2 роки тому +3

    Hongera sana Mheshimiwa nakupenda sana kwa ajili ya Allah. Nakuombe sana uje uwe hadi mkuu wa mkoa nakupenda mnooo

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 роки тому +9

    Wallah huyu ni super mama anazote sifa siijui roho yake lkn namuona kiongozi mzuri sana dada huyu.

  • @jamalrichmond2892
    @jamalrichmond2892 2 роки тому +7

    Hongera sana Zainab umetia moyo vijana wengi big up. "NEVER GIVE UP"

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 роки тому +5

    DC zainab you are a talented... Keep it up

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 роки тому +6

    Zainab you bless me a lot and I learn more from you. Let dayz go on

  • @mwanaishakatuli5707
    @mwanaishakatuli5707 2 роки тому +4

    Mungu akupe uhai Soma sana duaa umenirudsha kwa marehem Amina Chifupa

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 2 роки тому +6

    Hongera sana young lady you are an example of other girls no matter what happened keep on struggling there's a lot of great chance for you. Don't waste your time with narrow minded people, and congratulations also for your brave attitude to welcome co-wife in your life. Mungu akubariki.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +5

    Mashallah, hongera sana Bi zainabu Abdallah

  • @ayshalumuli2693
    @ayshalumuli2693 2 роки тому +2

    MashaAllah, MashaAllah,, ma role model,,one day..I will meet with you inshaAllah,,nijifunze mengi kutoka kwako..hakika nakupenda sanaa kwa ajili ya Allah

  • @user-tl1se8mx5d
    @user-tl1se8mx5d 8 місяців тому

    Kwa kweli nikupe Hongera sana. Mh. Rais wetu akuone kwa hizo talents ulizonazo it's a marvellous nakuombea Mh. Rais akupe cheo zaidi.

  • @stellashore3104
    @stellashore3104 2 роки тому +6

    Beauty with brain 👏👏👏👏

  • @user-pb4uh9lw8r
    @user-pb4uh9lw8r 6 місяців тому

    🙏 Bismillah Mashallwah 🙏 Nimejifunza Kitu Kutoka Kwako D.C Leoo . Uthubutu Ndio Mafanikio Yako Na Ndo Kuweza Kwako ❣️ Congratulations 👏👏

  • @engineeridrisgulluceomar1111
    @engineeridrisgulluceomar1111 2 роки тому +8

    This speech is very rich . im very inspired by you Zainab.. Congratulations

  • @graceburetha6194
    @graceburetha6194 2 роки тому +1

    Hongera sana sana kwahatua uliyofikia. Hakika umepitia changamoto tena kali. Lkn mungu amekupoza. Wanawake tunapitia changamoto nyingi sana zinazopelekea kushindwa kufikia malengo na kukata tamaa kabisa. Ni kweli kuwa watu humdhania mtu kwa mawazo potofu na kumhukumu wawezavyo bila kujua anapitia changamoto zipi. Naimani wengi waliosikiliza clip hii wamekuelewa na watabadili mitazamo yao juu yako. Nakuomba upambane zaidi utafika mbali. Usisahau kutushika mkono sisi tuliokata tamaa, huenda tukanyanyuka tena. Asante.

  • @bashirmrisho8491
    @bashirmrisho8491 2 роки тому +7

    U r genius n blessed Zainab...big up

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 роки тому +2

    Kweli naamini mlango mmoja ukifungwa mwingine utafunguka, shukuru mungu kwa kila kitu,allahamdulillah kila kitu.

  • @tullahtweve8852
    @tullahtweve8852 2 роки тому +6

    Kuna Cha kujifunza hapa kikubwa Sana. Umegusa baadhi ya maisha yangu kiuhalisia. Ipo siku nitashuhudia na Mimi. Kila lakheri katika majukumu yako ya kazi mpambanaji mwenzangu.

  • @frankbangimoto3462
    @frankbangimoto3462 2 роки тому +3

    Hongera sana sister Zainab for your inspiration story. Mungu akubariki wakati wote.

  • @andrewvedastus6958
    @andrewvedastus6958 2 роки тому +14

    Yes Dc big up for your struggle, as you said in every commitment we have to put God first.

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 роки тому +3

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Wanawake Tunaweza

  • @mename6020
    @mename6020 2 роки тому +4

    Kipenz Zainabu Abdallah... Allah akuzidishie kila la kheri...zidi kumtegemea Mungu... Penda sana wewe...

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 2 роки тому

      2015 ana MIAKA 22 😳😳😳kwahiyo ad mimi nimkubwa kwake au naota mbona anaonekana mmama

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому

    Ma sha Allah
    Mungu akubariki na familia yako

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 2 роки тому +3

    Nakupenda sana muheshimiwa muda mwingi nakufuatilia ,una zawadi za kiMungu nyingi ,weww ni dhahabu ,

  • @abdulmalickabdillah6739
    @abdulmalickabdillah6739 2 роки тому +1

    Kumbe mkuu wetu yupo vizuri sanaaaa

  • @georgekimboka9821
    @georgekimboka9821 2 роки тому

    Mwenyenzi Mungu Mtakatifu akubariki sana mdogo wangu
    Nikuambie kitu hiki inawezekana sitakuwepo Duniani kipindi hiko ila kwa mapenzi ya Mwenyenzi Mungu Mtakatifu nakutabiria hili na Mwenyenzi Mungu Mtakatifu ninamuomba uje kuwa Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke
    Chukua hili
    Ninachokupenda hauna kinyongo kbsa kbsa na mimi nilivyo hivyo hivyo
    Pole sana Mpendwa wangu mzuri mdogo wangu

  • @kainibachungege3430
    @kainibachungege3430 2 роки тому

    Dada Nimekupenda unavyojieleza. Mungu akubariki. Utafika mbali Sana!

  • @johnkimea7205
    @johnkimea7205 Рік тому

    Nafaham kidogoo DC wetu akiwa pale chuo cha kodi, kwa hiyo huyo pia ni mtaalam wa Mambo ya kodi.. Alikuwa very charming na mtu wa watu kwa kweli.. Pia alikuwa mwenye uthubutu.. Kwa hiyo she is very talented in different carriers.. Mungu akupe afya njema na baraka tele ktk majukumu yako ya kumsaidia Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan.

  • @annejacobilkiuyoni2971
    @annejacobilkiuyoni2971 2 роки тому +5

    Nimekupenda ,uko vizuri sana mdogo wangu.Mungu azidi kukuinua

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 2 роки тому +4

    Mungu akubariki sana

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 роки тому +2

    👏👏🇰🇪 nakuaminiya dada .kuna watu hawapendelei mazuri

  • @akilegeorge3554
    @akilegeorge3554 2 роки тому +6

    Yes you are right madame, it's like a lecture very good story. I have learn a lot through this story.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 роки тому +1

    Wow brilliant lady!

  • @jayfourtv115
    @jayfourtv115 2 роки тому +4

    Your exclusive interview D.c zainab makes me crying

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +1

    Hongera Mungu azidi kukusimamia bi zainab

  • @mkembechande2642
    @mkembechande2642 2 роки тому

    Hongera Sana Dada piga mwingi upo vizuri mkuu wa wilaya

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 роки тому +5

    Mungu akubariki mamy

  • @mwajumamasaiganah1641
    @mwajumamasaiganah1641 2 роки тому

    Hongera sana Bi. Zainabu. Mollah anaweza.

  • @hilaliabousalim2715
    @hilaliabousalim2715 2 роки тому

    Good speech keep it up HON.Zainab

  • @johnsemnkande3919
    @johnsemnkande3919 10 місяців тому

    Nimeipenda sana mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguliwa na momi naamini kila jambo linalo tokea mungu ana makusudi yake

  • @zainabkiluwa8650
    @zainabkiluwa8650 2 роки тому +1

    Hongera sana🙏🙏

  • @kalundemalale8837
    @kalundemalale8837 2 роки тому +4

    Hongera sana Mhe na asante kwa maneno ya hekima kiongozi wetu

  • @godlistenisack4412
    @godlistenisack4412 2 роки тому +2

    Kuna kitu nimejifunza...njia ya Mungu sio sawa na wanadamu

  • @neemamussa5220
    @neemamussa5220 2 роки тому +2

    🥰🥰you are blessed 🙏

  • @Juliandila
    @Juliandila 2 роки тому +1

    Zainab my role model jmny remember you from jangwani high school

  • @nabukalombi6818
    @nabukalombi6818 2 роки тому

    U r gud mamaa Zaynab,Allah bless ya,very inspired to others

  • @zalihsharo71
    @zalihsharo71 Рік тому

    Duhh hayo mashahiri ni superb👈🔥🔥💯

  • @ndistakalugendoalfred3181
    @ndistakalugendoalfred3181 2 роки тому

    Nimekupenda bureeeeeee Mh.DC.....MUNGU AZIDI KUKUINUA

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 роки тому +1

    Nimekupenda bure wow

  • @fatmaabdul1407
    @fatmaabdul1407 2 роки тому +1

    Cogratulation dear. You in courage others.

  • @evodiamusa2398
    @evodiamusa2398 2 роки тому

    Uko vizuri Mamy

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 2 роки тому +3

    Mungu ni mwema kwako

  • @merymassawe4370
    @merymassawe4370 2 роки тому +1

    I proud of you mama

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 2 роки тому

    Mungu akuhifadhi akubarikieni zaidi Ameen Yaarabi

  • @raymondjoas4118
    @raymondjoas4118 2 роки тому +2

    Mungu aendelee kukuinua

  • @shukranamos2699
    @shukranamos2699 Рік тому

    Respect to you.

  • @abdallahm86
    @abdallahm86 2 роки тому +2

    Masha Allah

  • @nattahvanguy
    @nattahvanguy 2 роки тому +2

    You are a gem! Keep it up and God bless you.

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 2 роки тому +2

    Tuna vipaji vimejificha vinahitaji kuinuliwa na exposed and used beneficially for the country, I'm looking to seeing higher up, may be I will no longer be there, rest be assured that I support and acknowledge you and pray for you dear 🙏 ❤

  • @felikitakilonzo6755
    @felikitakilonzo6755 2 роки тому

    Whaooooo....😍🙌 thank you.
    Uthubutu..

  • @gebrastemu5010
    @gebrastemu5010 2 роки тому

    Hongera mama, kazi iendelee .

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 роки тому +1

    I love kwaajili ya ujasiri na conference yako dada Allah akuweke

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 2 роки тому +12

    How do you call a self success to be a politician? No! to be a politician means a success to all people and not to an individual. If you call a success to be a politician that is a selfish mentality.

  • @Tai-1137
    @Tai-1137 2 роки тому

    Inspiringggggg

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +4

    Mama fanya mazoezi upunguza mwili huo na manyama uzembe ni hatari kwa maisha yako, huo unene kupita kiasi ni mwili wa kisukari huo na high blood pressure, lipia gym na punguza kula ovyo ovyo

    • @zainabkombo1724
      @zainabkombo1724 2 роки тому

      Jamn mpk namuonea huruma yuko ovyo ovyo maskin jitahid mdogowangu uwe smart jmn hee uko vizur lkn hujipendi kabisa

  • @francismapugilo2435
    @francismapugilo2435 2 роки тому +5

    Very sure mdada, you deserving to be on that post!

  • @neemamalakilevi2661
    @neemamalakilevi2661 2 роки тому +1

    Jamani kwa hiyo Sasa hivi ana 29 yrs

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 роки тому

    Waoo umeniinspire sana

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 2 роки тому +1

    Zainabu safi sana

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 роки тому +3

    God give you more chance in shaa Allah.
    My question to sister.
    Why you shatter doors for others even to talk to???

  • @gracekasege7777
    @gracekasege7777 2 роки тому

    Waoh

  • @hamadmhchande5633
    @hamadmhchande5633 2 роки тому

    We dada unani inspire sana.

  • @MUMOnlineTv
    @MUMOnlineTv 2 роки тому +1

    Hongera sana

  • @mangushapraygod
    @mangushapraygod 2 роки тому

    Hongera dana mdada kwa ujasiri wako

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 2 роки тому

    Hongera madame

  • @nillantamimu4727
    @nillantamimu4727 2 роки тому

    Ameeeeen nafata mimi hapa

  • @zubedanyakula7769
    @zubedanyakula7769 2 роки тому

    Nimekupenda bureeeee

  • @salomeemily9048
    @salomeemily9048 2 роки тому +1

    I love you ❤️❤️❤️

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 2 роки тому

    Amina

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 2 роки тому

    Maashaallaah Allhamdullaah

  • @barakaezekiel5610
    @barakaezekiel5610 2 роки тому

    True

  • @AbuuHamza-uq6om
    @AbuuHamza-uq6om Рік тому

    My umesoma dini basi jitahidi na sitara kwan ukiwa kwenye stara unapendeza sana

  • @jayfourtv115
    @jayfourtv115 2 роки тому

    Nakukubali sana

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Wow wow duug

  • @abdulmalickabdillah6739
    @abdulmalickabdillah6739 2 роки тому

    Nzuri

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @amonkasyanju8697
    @amonkasyanju8697 2 роки тому +1

    Hongera Sana Mh

  • @farajastudioandstationery5798
    @farajastudioandstationery5798 2 роки тому +3

    Kumbe haituhusu Sana wanaume hii eti.... It's all about WOMEN

  • @arlecoboazsote5056
    @arlecoboazsote5056 2 роки тому +5

    Kwenye maisha bwana, Ndani ya miaka mitatu watoto 3!!! Kweli hi Ni hatari

  • @amosmwampamba5503
    @amosmwampamba5503 2 роки тому +1

    Umetuinspire that's gud dada

  • @vuaikitwana2752
    @vuaikitwana2752 Рік тому

    Ili nafasi Yako iwe ni Bora zaidi basi kuwa na stara ya dini Yako Madam Zainab

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 2 роки тому

    Nikweli kbs mlango mmoja ukijifunga mwngn unafunguliwa.

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 2 роки тому

    You're going to be a president of TZ,uko vzr

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 2 роки тому

    Safi

  • @michaelsamwel2533
    @michaelsamwel2533 2 роки тому

    ok

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 2 роки тому +1

    Mama samia

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 2 роки тому +2

    Asee maneno kuntu Dada., full inspirational

  • @ibnhassan9980
    @ibnhassan9980 2 роки тому +1

    Wewe haujawai kuwa wa kwanza kumpongeza mume kwa kuoa mke mwingine Mimi nilipewa hongera kwa mke wangu kabla ya wewe hujajua kupenda

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      Wewe hukuwa Kiongozi wa nchi hivyo hatukufahamu kama ulipewa Hongera