Gospel is not an industry,Kwa nyie mnataka kumpangia mtumishi Cha kufanya,and if its an industry,let Only Jesus be the Star. may God's Grace be upon you a man of God Good luck,we love you 🔥🔥🤲🏽🤲🏽
I see great changes in these current songs from the servant of God Goodluck Gozbert, am blessed with this song and other more especially the 'NIFANYE IMARA' song, stay blessed servant of the most high God🤝
Namshukuru Mungu kwaajili yako mdogo wangu Godrack, kwa wimbo huu mzuri, for the fest time nausikia sikuamini kama niwewe enibariki sana naurdia mara zote nikiwa free, my God bless you
it should be time let's know the magnitude of these words and act on them,,,we are strengthened by your attitude as a servant of God,,thank you for your strength and the talent that GOD gave you,,continue to strengthen us well 🙏🙏🙏🎶💐💐
broo nyimbo kali sana !! nimekuwa nikipenda sana style yako ya uimbaji kwa sasa umetoa nyimbo nyingi sana bila video !!!! mungu akubariki utoe video zote
Wana wa Mungu tupo hapa na Roho wa Mungu akiwa hapa tunashinda na zaidi ya kushinda
Imagine nyimbo kali kama hii haina views wa kutosha bwana bwana you are winning brother 🎉🎉🎉🎉🎉 you are back and God is going to protect you
Aisee haikuwa kawaida....
WIMBO MZURI SANAA ,NMEKUWA WA KWANZA LIKE ZANGU JAMANI
AMEN
It's time to do a live recording album.
Karudi toka mbali ana nguvu kama Tai. 😂😂😂😂🎉🎉🎉😂😂❤❤❤❤😂🎉😂 waonyeshe
Kweli Mungu amekung'arisha tena wimbo mzuri sana lakni, ndio kwanza nausikia leo! ( kweli kujichanganya ni shida)
hii chuma ya mbele yako mbona ya moto sana
nyimbo nzuri ya mwakani😊
Wimbo una uvuvio wa Roho mtakatifu ubarikiwe sana mtumishi
Ameenda mbele yangu ili anitangulie, sitahofu lolote 💪💪🙏🙏
#MBELEYAKO
Jamani GoodLuck wewe ni baraka kubwa wa taifa la Mungu,wacha Mungu wako awe wangu pia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Brother umekuja Kwa mtindo mwingine wewe hatareeeee
Goodluck kazi hii nikubwa sana
Mungu akupe nguvu tena zaidi na zaidi
powerful song my brother
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Amen🙏
mungu Ako na wewe broo
Sijawahi Acha kubarikiwa na nyimbo zako utunzwe na Yesu godluck Gozbert ❤
ua-cam.com/video/8qwBDxs1q0E/v-deo.htmlsi=YWyIovr8psz7mmSV
Sijui huyu mwimbaji nimpe Nini
Mungu anampa inspiration sana . Hongera Mkubwangu naku support toka kongo DRC 🇨🇩
Huuu ni wimbo bwana mara ya 12 naurudia sasa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sitahofu my brother 🤝🔥
Hongera kwa Kazi nzuri.
Ameenda mbele yangu amenitangulia sitahofu lolote wala sitaogopa maana Yesu yuko mbele yangu
,🙏🙏 Kaz nzri sana barikiwa na MUNGU kaka
Wimbo mzuri sana wakubariki 🙏
Kubwa sana 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Video fanya live performance please
🙌be blessed brother 🙏hiiii nyimbo kaka Mungu akupe kibali ufanye live
Mungu akubariki kwa huduma 🎉
upekeee wako unafanya uwe mbali sana,mungu akutie nguvu
Ngoma kali,hakoseagi a man 4m Mwanza
Sitaogopa ameshatagulia❤❤
Hallelujah, ubarikiwe kaka
Ameeen Mungu yupo Mbele Yangu siku zote za uhai wangu
Gospel is not an industry,Kwa nyie mnataka kumpangia mtumishi Cha kufanya,and if its an industry,let Only Jesus be the Star.
may God's Grace be upon you a man of God Good luck,we love you 🔥🔥🤲🏽🤲🏽
jaman Jamani huu wimbo 2024 ndo nauona leo na mzuri hivi au macho yangu
Amen amen ni mwendo wa kubarikiwa tu
Sifa na utukufu kwa Bwana Yesu🎉
❤ God bless you
Amen. Barikiwa sana❤❤❤
Amen,YESU uko mbele yangu, hvyo,Sina hofu tena, maana ww ni hakika yangu na Kweli.
Wakati wa Mungu wa mbinguni kuinuliwa ni sasa be blessed bro
Mbele yako❤
hiyi wimbo ime ni bariki
This Song Deserve Live Video 💯🔥🔥🔥
Hii nayo Ni ya Kipekee 🎉🎉🎉
Gozbert ministries 🎉❤
Barikiwa sana ❤
Mtumishi nabarikiwa na huu wimbo
Oyaa kaka ngomma Kali ila Kiwashe Kama Zamani mtindo ule Tuludi nao
Leo kwa mara ya kwanza nausikiliza huu wimbo, wimbo mzuri lakin ulikuwa umefichwa na shetan
Nimeabarikiwa ❤
Great song.cant wait to see the video
Wimbo unatia nguvu na unaponya
Nanza nao kupafom aisee nimeguswa
Nyimbo imenibariki Sana Mungu aendeleze kutumia zaidi mtumishi wa MUNGU@goodluck Gosbert
Ameenda mbele zangu asubuhi ya Leo sitaogopa lolote vita SI vyangu
Ameen
I see great changes in these current songs from the servant of God Goodluck Gozbert, am blessed with this song and other more especially the 'NIFANYE IMARA' song, stay blessed servant of the most high God🤝
Mimi Niko naota nyimbo zako za mpya Na kabla sija zisikia
Ameniiiiiii ubrikiwe❤❤❤
Unanibariki sana utukufu kwa mungu
This song inspires me to always trust in the Lord...ubarikiwe sana🙏🏿🇰🇪🇰🇪
Kazi ni njema sana mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua zaidi ya hapa! ❤
Kaka ubarikiwe sana kwa huduma Yako tunaguswa sana ila natamani siku Moja ufanye live record na ninakuombea uimbe live🙏🏿❤️❤️
Hii nyimbo nzuri sana, video please Fanya live.
YESU ASANTE KWA UWEZO WAKO
Wimbo mzuri. Transformation ya maana. Keep moving mtumishi
Aweeeeeeee🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Mungu azidi kukubariki na kukuinua my friend 🙏🏽
This is on another level 🎚️
The beginning is the all deal
Mungu akubariki sana
Ameen batikiwe kaka goodluck Gozbert kwa wimbo huu mungu akubariki zaidi ya unavyonibariki❤❤❤❤🎉
I'm listening to this song and my eyes are soo teary ....oh my! So timely
Utukufu kwa BWANA Yesu , wimbo 🔥🔥🔥
Amina Yesu amekwenda mbele yangu kunifunguria mlingo ya baraka na mimi sasa ni zamu yangu
It's powerful song 🔥🔥🙌🎉🎉❤❤
Namshukuru Mungu kwaajili yako mdogo wangu Godrack, kwa wimbo huu mzuri, for the fest time nausikia sikuamini kama niwewe enibariki sana naurdia mara zote nikiwa free, my God bless you
HII ni hit song tyr
Amen amen ....🇰🇪 kenyans please let's gather here
it should be time
let's know the magnitude of these words and act on them,,,we are strengthened by your attitude as a servant of God,,thank you for your strength and the talent that GOD gave you,,continue to strengthen us well 🙏🙏🙏🎶💐💐
broo nyimbo kali sana !!
nimekuwa nikipenda sana style yako ya uimbaji
kwa sasa umetoa nyimbo nyingi sana bila video !!!! mungu akubariki utoe video zote
❤❤❤❤❤❤more nice worship bless you
Thanks be blessed more 🎉💘💘
Mbele yako
Powerful 🔥🔥🙌
Ameen mtumishi wamungu
Amen🎉❤❤❤❤
Im blessed my friend
Waoooh🎉
Live recording ❤
Nice one!!!
Amen kwa mungu
THANKS AGAIN FOR SKIZA TUNE CORD
Out of words! Mungu azidi kukutumia kaka yangu. Amen
Watching you my brother
This is amazing song...be blessed MOG
Sio wakwanza lkn kama wakwanza tu😅😅😅...
I love this G
Amina sana
Live recording will be best for this song🎉
Oh My God!!! THIS SONG IS INCREDIBLE. SHOW MY BROTHER SOME LOVE ❤