Goodluck Gozbert -NIFANYE IMARA(Official Audio) SMS SKIZA 6983633 TO 811
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Goodluck Gozbert - NIFANYE IMARA (Official Audio)
Goodluck Gozbert presents his brand new Single titled "NIFANYE IMARA". A song Produced at Asante Music Studio/Producer Goodluck Gozbert
Music Arrangement-AMS
Mixing & Mastering-AMS
Pianist-Daniel Joseph
Saxophone-Eme Sax
BackVocals
-Flora
-Hadassah
All Rights Reserved @goodluckgozbertofficial
Watch other Goodluck Songs here: • Goodluck Gozbert - Kin...
Follow Goodluck Gozbert:
Instagram: / goodluckgozbert
Subscribe to UA-cam Channel: / @gozbertministries
Digital Branding & Marketing By:
Asante Music Africa:
Mungu akipiganie uendelee kutubarik kupitia nyimbo
Ameeen♥️
Oooh!! Lord 🙌🙌 Kama uliwahi kupanga kumuinua Huyu Mtumishi wako Goodluck basi fanya mara mbili zaidi Ee Mungu🙏🙏
Asante Yesu kwa wimbo huu wa kukubariki wewe
❤❤❤❤❤ MUNGU akuinue maramia Zaidi ya vile ulivyo Kua mwazo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
e mungu nibariki kupitia upako huuu
🧎🧎🧎ndani ya wimbo huu kuna ibada kubwa mnoo nasikia kuomba kila naposkiza
2025 is my year of fruitfulness multiplication and Quantum leaps and the song is timely💯
Thankyou Minister Gozbert for this masterpiece.
This is deep, spiritual and annoited from Heaven. 🇰🇪🇰🇪❤️
🙏🙏🙏Aleluya Yesu wewe ni mwema Bwana Asante mtumishi Ubarikiwe ❤❤❤❤ Amina KUBWA mungu Asante sana mja wako nabubujikwa na kusisimkwa .Amen
Praise God,, oh Good luck, kwa kweli Mungu abaki kuwa Mungu maishani mwako. Ni mengi tena machungu umeyaona, tena ya kuvunja moyo. Ni kweli Mungu yupo binguni na anatuelewa zaidi. Ni ombi langu sana uinuliwe zaidi, ubarikiwe zaidi, na Mungu awe upande wako siku zote. Sijui niseme nini kwako ndugu yangu ila nakupenda sana. Nyimbo zako nazipenda pia, na ni za baraka kwangu. Natumai unaendelea vizuri bro. God be with you 😢😢🙏🙏🙏🙏
Endelea kutuimarisha mtumishi wetu kwa nyimbo za injili zenye ukubwa wa utofauti amen 🎉🎉🙏🙏
Ee mwenyez Mungu nifanye imara kwenye kulisoma neno lako
Hallelujah 🙏🙏 very powerful glory to Jesus
This worship is deep ministering, I will always lean on your strength Jesus. Be blessed always servant of the most high God.❤
Mungu akubariki Sana kaka kwa wimbo mzuri ni maombi ya moyo wangu pia kuwa nikafanyike Imara kupitia yeye Mungu aniwaziaye mema🧘
Wimbo huu umenifanya nitoe machozi ya bubujiko😢😢la moyo umeshuka kama mvua ya manyunyu ndani yangu..I blessed God Mr Good luck
🙌🏾Najiungamanisha na Maombi Haya
Baba Nifanye Imara🙌🙏
Ubarikiwe sana,Huu wimbo unagusa Moyo .Yesu akuinue upya kakayangu ,songa mbele zaidi
Huu mwaka wetu wa ma ngoma makali 🎉🎉🎉🎉
That's so heart touching indeed it inspires lots of people out here especially it motivates me and gives me a reason to be hopeful it's lit
Hongela Sana Mungu azidi Kukuinuwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nice song nimebarikiwa sana mtumishi 🇰🇪
Mtumishi wa baba yetu alie mbinguni Mungu akutumie kama wito wako ulivyoo hakika Wacha Mungu afanye kazi ndani yetu
Toka umebadilisha You tube channel mkuu watu tunahis umeacha huduma maana kukupata ni mtihani sana
Ameeeeeen
Nasikia utulivu wa ndan
Goodluck amerudi Sasaaaa
Barikiwa sana. Haya ni maombi yangu Kwa Mungu. Atuwezeshe kuwa imara zaid katika Dunia hii yeye mambo mengi inayobadilika. Nifanye imara Bwana. Mawazo ya MUNGU kwetu mara zote ni ya kutupa tumaini. 😢
Amen mtumishi ,,Mungu ananiwazia mema ,,good song🎉🎉🎉
Gozbert nuru angaza❤
Wow this is powerful my friend more Grace ❤❤❤
Listening from Lusaka 🇿🇲Zambia
Nifanye imara Bwana🙏!, kila nikisikiliza huu wimbo chozi linataka kunidondoka, wimbo unanguvu mnooo🙏,! barikiwe sana mtumishi
Hakika umeimba king
Aise nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka yangu,
🙌🙌🙌 Ameeeeen niombi langu Bwana unifanye imara 🙏🙏
🙏🙏👏nifanye imala mungu wangu
Kwanza nilikumiss jaman be blessed karibu Songwe jaman nakupenda mimi mpaka naumwaaaaaa❤
Barikiwa sana ❤
Jina la Yesu libarikiwe
Aweeeeeeeee huuu wimboooo ni wangu kabisa❤❤❤
Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi nyimbo zako nazipenda san goodluck
Nice work balikiwa sana
Amen brother
These are most powerful songs, keep going servant of God..
Deep! Unagusa sana wimbo huu moyo wangu blessed kaka
Wa kwanza mimi ku view. Huduma nzuri sana
Huu ni wimbo wa maombi 🛐🛐🛐🤲🤲
Wow!!!this song so deep 😢😢❤❤
Amen
Amina sana ubarikiwe mtumishi
Mungu azidi kukuinua goodluck
Nlipanga niwe wakwanza dah😢😢😢
Nice and spiritual
Mungu akubariki nabarikiwa sana na nyimbo zako
It's powerful song 🔥🔥🔥🙌❣️
More blessings dear nice song attached my heart ♥ ❤❤❤
Mungu akubariki sana ❤❤
Barikiwa sana my bro..😢Mungu azidi kukutumia
Very powerful message 🔥🔥🔥🔥
Nifanye Imara Bwana wangu 🙏🏻
Namsikia ambwene ndani yako, kwa hii ya leo unarikiwe sana
Upako kwa sanaaaa❤❤
🙏🙏🙏 mungu akubariki sana Kakangu hakika nifanye imala
Baba nifanye imara,eeh bwana najua unaniwazia mema😊
Barikiwa Brother
Mwenye haki ndie atakaeokoka 😢❤
🙏 nifanye imara nisitazamwe historia Yangu
Barikiwa sana kakaangu be blessed much
Waniwazia mema🙏
glory to God 🔥🔥🙏
Barikiwa🎉
Song is so anointed sir God bless you brother
Spiritual 🎵 songs
😭😭😭Nifanye imara Bwana ❤
Unatuonea sana Spotify huweki kazi
Usituache babaetu bila wewe sisi sikitu 🙏
Beautiful ❤
Kikubwa ni nyimbo ya kumtukuza mwenyezi Mungu lakini kutumia Jina la mtu mwingine kufanya kwaajili yako sio vizuri uyu sio Goodluck kaiga tu Jina hii sio nzuri kabsa
Ni yeye bhana sema amefungua channel yangu
@@Ivannkungu kivipi maana Kuna account mbili za gozbert
Hadi mimi nimeona hiyo sauti ni tofauti sana na yenye nimezoea
@@Juxteroxym Kuna kitu apa sema tukaushe tu
Ko amjuhi sauti ya goodluck,,uyu goodluck kabisa,,amebadilisha style ya kuimba tu
Good performance ,good song GOD bless you
Barikiwa my brother
nice👍👍👍👍👍
Nifire 🔥🔥🔥🔥
AMEN
Soo good
🙏🙏
Amen Amen
Glooorrrry
verry nice kaka
🙏🙏🙏💥💥
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Nice song
Ubalikiwe sanaa mtumishi wa MUNGU kwa wimbo mzur
Mafuta yamejaaa
❤❤❤
🙌🙌🙌🙌🙌
❤😢
Ulikuwa wapi kwanhizi nyimbo kaka ?? Mungu akubariki sasa unanipata vilivto
😢😢😢
Daa sijakuzoee hivi kaka nyimbo Gano hii?
My brother 👑🫡🙌🏽🤝
🔥🔥🔥🫡🫡