Goodluck Gozbert -Nimeacha Yote (Official Audio) SMS SKIZA 6983633 TO 811
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Goodluck Gozbert - Nimeacha Yote (Official Audio)
Goodluck Gozbert presents his brand new Single titled "Nimeacha Yote". A song Produced at Asante Music Studio/Producer Daniel "Rabi"
Watch other Goodluck Songs here: • Goodluck Gozbert - Kin...
Follow Goodluck Gozbert:
Instagram: / goodluckgozbert
Subscribe to UA-cam Channel: / @gozbertministries
Digital Branding & Marketing By:
Asante Music Africa:
ASANTE MUNGU LEO NIMEKUWA WA KWANZA KUSIKILIZA BARAKA HII KAMA UNASOMA SMS NAOMBA LIKE YAKO BASI TAFADHARI
youtube.com/@hekimalukosi?si=dljdLenwLxvZsjao
NIMEACHA YOTE KWAKO🙌😭
Wa kwanza leo gonga like twende saw 💪🏻
Hongela Hongela Sana Mungu azidi Kukuinuwa❤❤❤❤
Ubarikiwe mtumishi mashabiki zako Yuko na wew na yesu wetu jitahid toa video
Please like my comment. I am privileged to be the first one to listen to this music. God bless you
Mwenyezi Mungu akutunze na kukubaliki kupitia kazi ya mikono yako unapo sikia tungo hizi u nabarikiwa kabla haujaema amen sema asante Mungu wqngu❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu wangu nimeacha yote wew sema huu mwaka mimi kimya❤❤❤❤
Katika kipindi hiki cha ukimya kwenye EP ya USHINDI ulitueleza kile ambacho unapitia na kile ambacho unatamani Mungu afanye kwako na kwa kanisa ila sasa sisi wakristo tulishindwa kuelewa tukaishia tu kuongea maneno maneno kuhusu wewe tunatubu na Mungu atusamehe na azidi kukutunza mtumishi.
Mungu azidi bariki Kazi za mikono yako maana watendea haki talanta MUNGU aliyoiweka kwako
Nimeacha Yote hakika habaki mwenyewe Mungu pia anisaidie nimpe maisha yangu yeye ❤❤❤❤ Ubarikiwe
Mwana Goodluck Injili yako inanipa nguvu sana za kuendelea hata wakati nipo chini naaamka na kuendelea juu najua nina mtetesi wangu Mungu.🇰🇪🇹🇿💛
Hakuna raha kama kumuacha Mungu tu ndio awe yote kwenye maisha yako nimemuona Mungu sana akitusimamia kama familia daima tumemuambia Mungu sisi hatuna mganga wala mchawi wala hatuna tajiri wakumtegemea ila wewe Mungu na kweli hajatuaibisha❤❤❤❤❤
Atukuzwe Mungu Milele... Ubarikiwe Man of God
Nimebarikiwa sana mtumishi
Nimeacha yote kwako Yesu Amen wimbo mzuri sana wenye neema ya kuiganga mioyo ya watu wengi ubarikiwe mtumishi
Amen! Ubarikiwe Mtumishi , asante kwa wimbo mzuri
Good luck never disappoint
Uko viZuri my brother angalia unacho kifanya
Huu wimbo ni mzuri pita na kwangu
Nimeacha yote kwako sababu najua Wewe Ni mwaminifu hutanifail in Jesus Name Amen Amen 🙌
🎉🥳huna kazi mbovuu familia
Wewe ni baraka.. hata yasibadilike bado nitaamini. Hii ndio imani dhabiti ndani ya KRISTO
My Brother Be blessed #My Mentor
Nimeacha yote kwako mungu 🙌🙌🙌🙏🙏
Binafsi pia nilimiss Sana nyimbo zako barikiwa Mtu wa Mungu
My favorite minister 🙌🙌
Ubarikiwe Sana mtumishi
Eeeeh nakubali😢
Nimeacha Yote Kwako Mungu 🙌🙌🙌
MUNGU nacha yote kwako wewe sema😢
My song ooh ❤❤🙌
Such a Powerfull and anointed 🙌
powerful🙌🙌
Sina mtetezi ila wewe Mungu ivo naacha yote kwako unitetee
Another blessings in the world 🌍
Kwa kweli nimeacha sema yote
Wewe sema 🙌🙌
Nimeacha yote
Hoyaa huu ujio tutampata israel mbonyi wa bongo kutoka bongo gospel to live taste
Bakini humu watumishi wa Mungu, maana mnatuchanganyiaga mada sana muda mwingine😅 Ubarikiwe Sana!
Kazi nzuri nakuombea,,barikiwa sana na Bwana
Maua mengi sanaaa kwako kaka
Amen jina la yesu litukuzwa🙌🙌🙏
Nimeacha yote kwako Yesu 🙏
Hakika hapa Unaedelea vizuri mziki usiochosha Tena Umerudi kwenye line hii haichuji Leo hii
Woohoo 🎉🎉🎉 nilisubili salama mziki wa aina hii kutoka kwako kaka yangu asante Kwa sababu umetimiza matakwa yangu god bless u
Tunabarikiwa sana katika hicho ambacho Mungu amewekeza kwako,God bless you more❤❤
Brother saiv unanyimbo nzuri hatari kama za kanisa letu❤❤🎉
Nqkuombea sana kwa mungu azdi kukupigania na kama hutojari ukitoa video niruhusu niufanyie cover
kaka Goodluck naomba uachie nyimbo kaka
Nimeacha yote kwakoo🙏🙏
Kaka umekuja ki vingine powerful 🔥🔥
Hakika
Ata mimi naacha yote kwa Mungu aniweze na iwe kwangu kama atakavyo
God is owesome
Naskia kubarikiwa ❤❤❤❤
Haleluya, Mungu ni Mwema
Nyimbo nzuri sana hii, ukifanya video please fanya live..... 🔥 🔥
Nani amegundua there is a new energy here? Imenikumbusha "umeshinda"
Mungu akutunze Kijana wangu na akuinue tena
🎉🎉🎉🎉🎉uhuuuuuu! Safi brother Sasa umeanza kuirudisha hathi ya kipindi Cha SHUKURANI Asante sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waonyeshe my Dad❤
Kaka huwa hauna kazi mbovu,Mungu akubariki sana Goodluck
Wimbo una Nguvu ya Mungu Ndani yake hakika🔥🔥🙏
Ubsrikiwe sana mtumish
You are a great blessing Gozbert. Barikiwa zaidi.
cjamani nabarikiwa
We missed you so much MOG 😢😢
Asante Mungu kwa kwel
so inspiring..my mentor in music as an upcoming gospel minister.I love the way your ministry touches people and i pray God to give me such grace mine also to touch many.🙏🙏
Nifollow Hopeshine music hapa UA-cam...tumwachie yote Mungu
Good jobu 🎉🎉🎉🎉
Nice song wewe sema🎉
Kazi ni njema sana🎉❤
Blessed
Thank you for such a blessing. Laying it all down for the Lord to advocate for me.
Nimeacha yote ❤ #Yesu
ASANTEE MUNGU KWA KUTUEPUSHA NA YOTE MAOVU 🙏🙏🙏.... nipe njia sahihi
Fundi wa nyakati zote
(WEWEE SEEMAA) hyo sehemu mbona kama inafanana na wa Zabron Singers ( HAIKUA RAHISI KUFIKIA LEO HII.....sweet sweet sweet ...😮)
❤❤❤in jesus I believe
Semaa eeeeeh aaah nimeacha yote kwako eweeeh❤❤❤❤sina mtetezi ila niwewe
ubalikiwe sana
ww sema baba
Amen amen mtumishi 🙏
Glory to God bless my brother
Naomba korabu na huyu jamaa nafanyaje jamani
Like zangu from star music family kenya
Weka like hapa
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 WEWE SEMA
Haleluya ❤❤❤❤❤❤ God bless you
Always Love you every Time baba,good song, may god bless you
Nice song
Amen Mungu aendelee kukutumia apendavyo
Good job man
Wimbo mzuri sana Mungu akubarik sana
Nimeacha yote kwako Mungu wewe sema 🙌❤
🔥
❤
My best more grace and favour 💯🔥🔥🔥
uzid kubarikiwa mtumish
ubalikiwe sana kaka ❤🎉