Jamani waimbaji wa injir acheni kuimba majungu tu mungu apendi ukisemwa kidogo tu umeenda kuandika nyimbo ya majungu na umbea tu yn nyienikun za mungu kabisa wakiwaona huson wanajua mwimbaji mzr wa nyimbo za mungu kumbe moyoni pepo mtupu
ua-cam.com/video/YUc02lLPk_M/v-deo.htmlsi=frhK4eI2iQ95EgHV This song now is available to my UA-cam channel. Karibu kuutazama na MUNGU wa Mbinguni akubariki Usisahau kulike, kushare na kucomment be blessed 🙏Man of God.
Welcome back, nice to meet you again, gooluck gozbert, I had missed your songs, but now you are back again. Nina mushukuru yesu Kristu, bwana Mungu wa majeshi, amekurudisha.🙏🙏🥰🥰🙏❤
Niwaambieni Siri Moja! Me kiukweli kila nikisikiliza nyimbo za Mtumishi Goodluck Gozbert kuna Neema naiona kabisaaa... Yaani Sijui nisemaje lakini Mungu Wangu Shahid, especially huu wimbo Sijui Una nini??? Lakini nahisi huu wimbo siyo WA KAWAIDA!!? Goodluck Gozbert, Mungu akubariki na kukusamehe dhambi zako zotee maana umenipa nguvu kubwa ambayo sikuwahi kuiwazia maishani, najiona kama napata upako kila siku ... Nitakuwa nakuja hapa kila siku kuiskiliza kwasababu ya Gozbert na Baraka za Mungu alizo MPA... Simu yangu imejaa nyimbo zako tu❤❤❤❤.... Utawaaibisha Sana wanao kusema Vibaya kaka
@Samalentv1 sema huwezi jua yaliyo nyuma ya pazia... Huenda Watu wakaona amezingua ila kumbe mengi anayajua yeye... Kwahyo tusimlaumu. Me nipo nae asilimia zotee...
@claudendayishimiys9939 wow❣️💕💞💞💞... Yaani Acha Tu... Me hata wamseme Vibaya kiasi gani lakini Gozbert Ni MTU na nusu .. tena ananifanya nakuwa nakumbuka Sana kuhusu ufalme WA mbinguni
Na ametuonesha kweli kupitia wewe kuwa yeye ni mkuu, kikubwa usimsaliti kutumia boosta za kidunia, kwenye mziki wako sisi kwa uwezo wake muumba wako tutakuja kushuhudia Neno Mungu kwenye nyimbo zako. Bwana Yesu apewe sifa Gozbert wewe ni icon ya Yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waoooooo kwasababu umechoma gari ya nabii mku ivi nitasikiliza nyimbo zako unajuwa ulikuwa umepotea sasa umerudi kwa yesu waoooooo good luck yesu akulinde my brother 👍
Wow hongera sana Mtumishi wa Mungu. jamaniiii Yote yalikwisha pale msalabani Goodluck atabaki kua juu kwakua Yesu ashakufa kwajili yake. Hata mseme nini ameshamkubali Yesuuuuu na Yesu hageuki kama wanadamu so hatashushwa kamwe. Mungu azidi kukuweka juu Mtumishi wa Mungu tunakupenda sana
Mungu aendelee kukupaka mafuta mwana wa Mungu, Mungu ni mwema na mwaminifu Siku zote anatuwazia mema Siku zote, haijalishi Dunia inasema nini juu yetu, Mungu akipanga amepanga Ooo Yes 🎉
mambo yatakua makuu zaidi
Wakitubebea nyota tunatumia ya YESU 🎉🎉🎉
Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tunatumia ya YESU!!!! SUCH A GREAT REVELATION!
Kabisa
Ya Yesu kali kuliko zote🎉🎉🎉
toka nianze kumufatilia mtumishi wa mungu sijawahi pata like hata kumi basi
Pata leo
@Dj2nyi sijapenda
@@JefuChaula-bm5pe ua-cam.com/video/59TS9eK-EXE/v-deo.html
❤❤❤🎉🎉🎉
Bado ujasema
Hatimae Role model wangu karejea duuh 🎉🎉🎉🎉
Hii sasa ndio fireeeeee much love❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪 alafu watu 20 mnipitie na mimi nitawapitia
Done, pls nipitie
@yvonne_here done✅️
@@PamelaMaghuwadone
Done! Nipitie pia
😘
You're so biblical. Sty upright brother, let evil men keep murmuring.
Unaesoma comment hii mungu atuoneshe anavyotupenda🎉🎉🎉
ua-cam.com/video/59TS9eK-EXE/v-deo.html
Mungu na ianze kwa herufi kubwa tafadhari😮😊
Ameen
Amina
Kweli aisee sasshv mambo ni moto hatar kuikuwa na kila sababu
na Bado mpaka waseme huyu ndo mwana wa Mungu mwenye ujasiri na nguvu za Mungu. hakuna kufeli.
ua-cam.com/video/kt_WprctH8A/v-deo.htmlsi=CNGDNjbUd8yTPTEf.
Mungu nimkuu Hakika waoneshe God bless you mr Good Luck
Hallelujah Damu ya Yesu ikufunike milele🙌🏾
Msanii wa gospel bishoo kuliko wote TANZANIA
ua-cam.com/video/kt_WprctH8A/v-deo.htmlsi=CNGDNjbUd8yTPTEf.
Kweli kabisa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umetisha sanaaa kakaa mungu akuongoze na tupo pamoja na wewe my favorite song all the time
Mimi ni WA kwanza, kama wimbo huu umekubariki gonga like hapa🎉
ua-cam.com/video/59TS9eK-EXE/v-deo.html
Hakika huyu jamaa ni simba wa gospel kwa East AfrAfrica au nyie mnasemaj❤
Jamani waimbaji wa injir acheni kuimba majungu tu mungu apendi ukisemwa kidogo tu umeenda kuandika nyimbo ya majungu na umbea tu yn nyienikun za mungu kabisa wakiwaona huson wanajua mwimbaji mzr wa nyimbo za mungu kumbe moyoni pepo mtupu
Wew huna akili
Wewe ndo Pepo ayo Majungu ww ndo unayo?? Sisi tuna masufuria Majungu yako kapikie
ua-cam.com/video/YUc02lLPk_M/v-deo.htmlsi=frhK4eI2iQ95EgHV
This song now is available to my UA-cam channel.
Karibu kuutazama na MUNGU wa Mbinguni akubariki
Usisahau kulike, kushare na kucomment be blessed 🙏Man of God.
Pepo ushakamatika....
Dah afadhali umerudi bro. God bless you
Wanaoamini kama mimi very soon goodluck anakuwa zaidi ya mwanzo❤❤ like hapa
Dah wee gozbert ni nomaa sana🙌🙌
Waonyeshe❤🙏
Hiyo tesla ndo imenibariki mara 100🎉🎉🎉🎆🎆
Welcome back, nice to meet you again, gooluck gozbert, I had missed your songs, but now you are back again. Nina mushukuru yesu Kristu, bwana Mungu wa majeshi, amekurudisha.🙏🙏🥰🥰🙏❤
Jamani tarime wanasema hata kama kachoma gari wimbo ni mzuri sana na unaujumbe ❤❤❤
❤❤❤huyu ndo mtumishi wa mungu ambae nikimfuatilia sichoki nampenda sana god bless my mtumishi goodluck°❤❤
Apa tuna uhuru sasa acha tuwaoneshee❤
Tumia nyota ya yesu kijana❤
Kuishi katika kweli ni kazi mna kazi kuonyesha uwongo unaofanana kweli
He seems like a happy guy rightnow, Godbless you
Sawa Godluck....Sio mbaya endelea kufanya kile Moyo wako unakutuma...Tunaishi mara moja👍👍👏👏
Nzuriii broo go go go🙏🙏🙏
Sijawai kukufuatilia ila kwa hu mziki mbona nitakusiliza kila saa ❤❤❤
My fav is back again ❤ Glory to God 🙏
Hata tunenewe mabaya gani, ila hatupoteyari kumwacha Yesu wetu ndie ufunguo wetu milele 🙌💪❤️❤️
Barikiwa sanaa kaka🎉🎉
Mbona sijaona PRAY FOR CONGO 🤦🏽♂️😭🇨🇩
INGEKUA KWA WAZUNGU Mungeli andika to much Pray pray.God bring peace to my Country 🙏🇨🇩🙏🇨🇩
Tunawaombea 😢❤🇨🇩 Congo nawapenda sana Tanzanka tunawapenda forever nyie ni ndugu zetu🇨🇩🫂🇹🇿❤️🙏 Mungu awatete sana
peace and love all over the world AMEN🤲🏽🙏🏽
Tunawaombea jaman
🇨🇩
hongera kwa wimbo mpya Bro
🖤🖤Much respect Mungu akuinue 🙌
I told huyu hawaezani naye, ni Mungu amemshikilia. Congratulations Goodluck 🎉
Next ailotu kuna kiwangoni trust
Asante sana mtumishi wa mungu
Tuipeleke on Trending mara moja.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ namimina upendo wa Kristo kutoka Kenya 🇰🇪
Huyu jamaa ni PROPHET
Unajua bhnaa🙌🙌🙌💥💥
Mungu nibariki washangae "wimbo ni moto 🙏🙏"
Mungu akuinuwe mbele ya watesi wako🙏
Nyimbo zako zinatia nguvu kwa kweli asante kwa kurudi tunakupenda sana
Uyu dogo achananae anajua sana Tena sana
God is always Good love from USA 🇺🇸
Kaka YESU akutunzeeeee nakufurahia sanaaaa katika BWANA
Niwaambieni Siri Moja! Me kiukweli kila nikisikiliza nyimbo za Mtumishi Goodluck Gozbert kuna Neema naiona kabisaaa... Yaani Sijui nisemaje lakini Mungu Wangu Shahid, especially huu wimbo Sijui Una nini??? Lakini nahisi huu wimbo siyo WA KAWAIDA!!? Goodluck Gozbert, Mungu akubariki na kukusamehe dhambi zako zotee maana umenipa nguvu kubwa ambayo sikuwahi kuiwazia maishani, najiona kama napata upako kila siku ... Nitakuwa nakuja hapa kila siku kuiskiliza kwasababu ya Gozbert na Baraka za Mungu alizo MPA... Simu yangu imejaa nyimbo zako tu❤❤❤❤.... Utawaaibisha Sana wanao kusema Vibaya kaka
🎉🎉🎉🎉
Sure ni msanii mzuri ila ,, hakufanya sawa hata kidogo 😢
@Samalentv1 sema huwezi jua yaliyo nyuma ya pazia... Huenda Watu wakaona amezingua ila kumbe mengi anayajua yeye... Kwahyo tusimlaumu.
Me nipo nae asilimia zotee...
Waaaoooh na me pia
Nyimbo zake zote zinanifaa Sana Yaani SIM yangu imejaa nyimbo zake
@claudendayishimiys9939 wow❣️💕💞💞💞... Yaani Acha Tu... Me hata wamseme Vibaya kiasi gani lakini Gozbert Ni MTU na nusu .. tena ananifanya nakuwa nakumbuka Sana kuhusu ufalme WA mbinguni
Goodluck is back
Thanks almighty God
Na ametuonesha kweli kupitia wewe kuwa yeye ni mkuu, kikubwa usimsaliti kutumia boosta za kidunia, kwenye mziki wako sisi kwa uwezo wake muumba wako tutakuja kushuhudia Neno Mungu kwenye nyimbo zako. Bwana Yesu apewe sifa Gozbert wewe ni icon ya Yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤Goodluck umetisha naipenda nyimbo hiii jamani❤❤
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri
God bless you Minister G. Gozbert you are an iconic man of God This is Blessings from God above......
hili ni ombi langu kwako, waonyeshe unavyonipenda. wacha Mungu ajionyeshe kwetu
❤❤❤❤❤one talented gospel artist i love from TZ. Nyota yako na ing'ae zaidi.Upendo mwingi toka Kenya
Kwa KENYA hapa 🇰🇪
This song is a blessing 🎉🎉🎉gozbert may God bless you more
Kunamahali binadam anahis anaweza kuwa Mungu kwa watu wa Mungu.
Tumepewa sili tunamjua Mungu.
Imeandikwa msujudie Mungu pekeyake sio binadam.....
Nyimbo nzuri, sanaaaa 🔥🔥🔥
Wow wee nani ametabasam kuanzia mwanzo wa nyimbo adi mwisho wee mungu akuinue viwango vya juu🎉🎉🎉🎉❤
Mm hapa nimeona gar limeandikwa gozbert
ua-cam.com/video/59TS9eK-EXE/v-deo.html
Kazi safi halafu kachoma chuma mungu ka bless kapata gari nyingine god is good every time amen
Baada ya kuchomea tunguri kubwa songa Mbele shujaa Bwana yesu Kristo akulinde na akutegemeze KakA mtumishi milele amina
Nyota imerudi views elfu 54 ndani ya massa sita hongera Gozbert
Perfect sound track, for God's glory.
😢😢 asande mungu wangu kwa kurudisha mutumishi wako🎉🎉🎉
Sijawahi kuchoka kusikia nyimbo za huyu mtumishi jmni Mungu awe pamoja nawe ❤❤❤
Endelea kumtumikia Mungu unaemwamini si wanadamu
Ooh dhahabu ikipitishwa kwenye Moto ni lazima itan'gara #waonyeshe❤.
Husasa nio goodluck fire
ua-cam.com/video/kt_WprctH8A/v-deo.htmlsi=CNGDNjbUd8yTPTEf.
Waonyeshe unavyo nipenda balikiwa saana mtu wa mungu🔥🔥🔥🔥
Happy to see you back Gozbert,hope you're now fine totally
ua-cam.com/video/kt_WprctH8A/v-deo.htmlsi=CNGDNjbUd8yTPTEf.
Zao la wewe ni wewe najua una kipawa kikubwa kijana trust on God ziba vinywa vya maadui kwa maombi all the best Gudluck 🎉🎉🎉🎉
Wanao ona kuwa nyota ya Yesu ina power kuliko zote gonga like tukishuka ❤❤
Waoooooo kwasababu umechoma gari ya nabii mku ivi nitasikiliza nyimbo zako unajuwa ulikuwa umepotea sasa umerudi kwa yesu waoooooo good luck yesu akulinde my brother 👍
Hii song ni MORE 🔥 ❤❤❤
Goodluck tunaye na tunatamba naye 🕺
Ni wakati wa maadui kuoneshwa na Bwana 🔥🔥💥
Amen mungu azidi kukuinua zaidi ya jana
Weweeeee waonyeshe baba yakwamba unampenda mtumishi wako my goodness nice one.much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
A my favorite aiseh tunakupenda sana sjui ata nielezeje wimbo mzuri barikiwa
Haiwezi kubadilisha aliyonipangia mwenyezi mungu
Wakiiba tutatumia ya yesu,waonyesheeee
Wow hongera sana Mtumishi wa Mungu. jamaniiii Yote yalikwisha pale msalabani Goodluck atabaki kua juu kwakua Yesu ashakufa kwajili yake. Hata mseme nini ameshamkubali Yesuuuuu na Yesu hageuki kama wanadamu so hatashushwa kamwe. Mungu azidi kukuweka juu Mtumishi wa Mungu tunakupenda sana
Mungu akusimamie zaidi na zaidi🙏
Ad umepata nuru jmn vifungo sio vizur atukuzwe Allah 🎉❤
Allah 😂😂 ndo nani yake
@@MiriusEliudi kma humjui muumba mbingu na nch jishikirie!!
@@MiriusEliudimungu wake aliemuumba yy na vilivyomo ardhin na mbinguni
Mungu aibalikiwa kazi ya mikono yako naa alie ona huu ujumbee abalikiwe amen🙏🙏❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Weka advert... By watching the advert is one way of supporting you. I'm blessed
YOU ARE THE BEST OF THE BEST ❤️❤️
Aminaa Sanaa jambo nzuri na nyimbo nzuri jaman # Ni mungu tu!!!
Mungu aendelee kukupaka mafuta mwana wa Mungu, Mungu ni mwema na mwaminifu Siku zote anatuwazia mema Siku zote, haijalishi Dunia inasema nini juu yetu, Mungu akipanga amepanga
Ooo Yes 🎉
Nimebarikiwa kwa wimbo wako mtumishi wa Mungu❤❤
Daah Kaka Gozbert nimechelewa kidogo tu Mungu Asimame na wewe Mwanzo Mwisho
waibishe shetani ashindwe mungu ata kulinda❤❤ kaka
🙌🙌🙌BEST VIDEO TENA FROM THE GOSPEL ARTIST..UTUKUFU KWA YESU KWAKWELI🙏🙏
Wakiumia sihusiki maana waliniombea mabaya,waonyeshe unavyinipenda Yesu chaaa,watajiju tunasonga mbele na Mungu
Tutakusapot mpka maadui washngaeeee much love to you Goodluck from Kenya gonga like kama unamkubali Gozbert
Amen
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu 🙌
Jesus is first every day muamini atakuongoza watu hawana mambo
Yesu waoneshe yakuwa upo pamoja na Mtumishi Goodluck ❤❤