PART1:BINTI ALIELELEWA NA JINI NA KUFANYA MAUAJI/NAKULA NYAMA NA DAMU ZA WATU/NAPELEKA WATU KUZIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 270

  • @khadijamussa2081
    @khadijamussa2081 3 роки тому +1

    Davista pamoja sana asante japosijasikiliza Siku nyingi lakini pamoja sana, jamani napenda sana kazi yako

  • @mursallusinde9189
    @mursallusinde9189 3 роки тому +37

    Ila zabron tutamiss sna alikua anajua kuelezea kwa ufasaha wala hukupata shida kufanya nae kipindi popote ulipo zabron kunywa peps kubwa nakuja kulipa mzee😳😂

    • @popoali6641
      @popoali6641 3 роки тому +1

      Kweli kabsa Allah mponye zablon

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 3 роки тому +2

      Zabron na Yule jamaa wa kuitwa Juma 17 nae alikuwa yupo vzr

    • @minahally6897
      @minahally6897 3 роки тому +1

      Chief a.k.a Mr misosi

    • @rayaally4597
      @rayaally4597 3 роки тому +1

      Muungishe kitabu basi bwana misosi

    • @mursallusinde9189
      @mursallusinde9189 3 роки тому +1

      @@rayaally4597 sis tunavyo vyote bado wew😀

  • @zuhuraimran3659
    @zuhuraimran3659 3 роки тому +6

    Napenda story ya zablon na yule Jay wa juliet😀😀

  • @emmanuelmachibya2034
    @emmanuelmachibya2034 3 роки тому +1

    Zabron kaka nimekumis hatari popote ulipo Mungu Akubariki na Kukulinda,Ugali nyama choma ya 5,000/-😋😃😂😂😂😂

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +2

    Nimechelewa san leo kuanza hii story safi sana Davister

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 3 роки тому +1

    Simulizi nzur lakin changamoto ni kwamsimuliaji

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 роки тому +6

    Zabron mzee wa misosi huu mwaka umefunga record ya funga mwaka, 2021 haitaisha kabla haujatuletea skendo,

  • @maidevrasumbura1880
    @maidevrasumbura1880 3 роки тому +1

    mr davta nina stor ya maisha yang nataka nishea na watanzani ila sijaju utaratbu inakuje kukupata

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +1

    Hatari na nusu

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 роки тому +13

    Kazi hiyoo kulelewa na jini🙄🙄🙄wacha tutege sikio tusikie yalomsibu bi dada

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +2

    Ni sharud 🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️ ❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭 blessed Fm morn Nasra suleyma Eric cute emmy upooo? violine marius Fundi wetu Nura upooooooo? Neema na wengineo njooooooon mambo tayariiii❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 роки тому +1

      Aysha Asante kpnz!
      Nakusapigia saliuti, enzi hizi unajitahidi kuwahi.
      Pamoja 🤝🤝my, 😘!

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      @@Fm-MornStar2014 Nmefurai kukuona kipenzi 💞💞💞💞🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

  • @Zamb90
    @Zamb90 3 роки тому +10

    Daaaaaaaah!!!! Addiction mbaya sio kwa kuchungulia huku leo account hii

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +1

    mm nammisi zabron popote alipo apewe misosi bill juu yangu na fanta orange juu

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 роки тому +3

    Kazi IPO apa duniani aiseee..mtu anaingizwa kaburini anajikuta yupo ktk nyumba mzuri shetani uyu mbaya sana na majini wote ni maadui zetu Sisi binadamu...

  • @ianmakamba7562
    @ianmakamba7562 3 роки тому +4

    Davista rudisha system kama ya zamani basi ,hii system uliyoianzisha ya story kuwa na dakika nyingi kama dk 43 afu zinakuwa chapter kama tisa watu tunashindwa kuangalia bundle dah

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому +4

    Aliegundua kua kwa mgang miez miwil haikupit salam aje hap Akin bint all rashd💃

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣binti kaona kumbe wamemzidishia matatizo badala ya vidonda kajikuta jini anataka Donda lenyewe la ukweli🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 3 роки тому +1

      @@charlesmapunda5905 jini mshenz sana alitaka donda kubwa mamae

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому +5

    Aliegundua kua wengi waganga ndio huwap watu matataiz kisha nakusababish waend kwao wapige pesa pitia hp😬

  • @kanyangezafaraniddi6518
    @kanyangezafaraniddi6518 3 роки тому +2

    Mmh nimekuwa mvivu wa ku.comment naishiy ku 👍ila tuko mapoja saaan kka DAVI frm 🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 3 роки тому +2

    Hii stori ni nzuri tena sana tuu ila msimuliaji hasimulii vizuri kwa kituo anaruka sana vipengele muhimu

  • @chrisiasbrown2208
    @chrisiasbrown2208 3 роки тому +6

    This sounds interesting...

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 3 роки тому +2

    UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA 👍👍👍👍

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому +1

    Zabron ndio number 1, no 2 juma wa juliet. no 3 huyu wa John mjeruman madini ndio tatu bora zangu miss you brother zabron ❤️

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +1

    Ndio zao kujenga makaburini

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 роки тому +1

    Duu pole dada

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 3 роки тому +1

    Watu wa mwanza hawana mda wa kuziba sura

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 2 роки тому +1

    Uwongo mtupu

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +1

    Jini makaburi huyo uliyemkuta huko ndani

  • @cliffordmaboi2298
    @cliffordmaboi2298 3 роки тому +1

    Davistar keep up you are African teacher.

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому +1

    Bandua bandika sio. Pamoja

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Kanzu kibaraghashia ndokile kikofia cheupee🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓duu makaburi pia inamhimu pia mana ushalalahuku ndani asubuhi uko mzimaa 😊😊😊😊😊

  • @mariamshabani6853
    @mariamshabani6853 3 роки тому +2

    Thanks so big brother

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому +1

    Nakupendea hivyo maswali mavuri. Yani wajua kuwahoji vizuri sana

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +1

    Mmh hii story nayo ni nomaa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 роки тому +1

    Uyo ni jini au mwanga

  • @bomoa9162
    @bomoa9162 3 роки тому +1

    Mtu makini big up

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому +5

    Leo Davistar ana tabasamu, 😄😄😄

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 3 роки тому +5

    Mzee baba imebakia kidogo nikupgie leo sijaona kitu

    • @Mrdcobraa11
      @Mrdcobraa11 3 роки тому

      😹😹😹

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 😂😂😂😂😂😂

  • @didasrichard3068
    @didasrichard3068 3 роки тому +2

    Dope

  • @franciscashirima4000
    @franciscashirima4000 3 роки тому +1

    Yan dunia ina mambo jmn

  • @shristinangitu2607
    @shristinangitu2607 3 роки тому +1

    Pole kwa matatizo dada

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 роки тому

    Pole davistar mana mtu mwenyew hajui kujielezea kabisa

  • @francisgaudence511
    @francisgaudence511 3 роки тому +2

    Namba 2

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 роки тому +2

    Umeonaa eeh zabron gonga pepsi big na mm nakuja kulipa

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 3 роки тому +2

    Dav aiseeee mmependeza muulize kama hajaolewa uchukue jiko hilo 😘

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 3 роки тому +9

    First

  • @latifajanja2375
    @latifajanja2375 3 роки тому

    Hata sijui kwanini dunia ina mambo mengi sana ya ajabu freemanson,waganga,wachawi,majini na yote hayo yanatuandaman binaadamu ila solution ya yote hayo ni imani na kuwa na mungu basii

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 3 роки тому +2

    Zabron alitwambia ukiona mganga . Anajisifia sana ujue nitapeli itabidi huyu mti mkavu tumkalie kikao haraka upesi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    pili somoe Fatma Hidaya dee lissa Farhat sulum Hamis kevarist Nguwalo upooo? sapna shem lngu Eric malima Amina Aisha Aiyam Narudii🏃🏻‍♀️❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 роки тому +1

    "Pole sana Dadaangu"

  • @mursallusinde9189
    @mursallusinde9189 3 роки тому +4

    Mzeee baba davister mata tuleteeee ile story ambayo aliahidi zabroni ambayo alisema ni bonge la story ile jamaa ambae aalimtoa kafara mke wake au nafsi inayo ishi na alikwambia jamaa amekubali kufanya interview na wew tuleteee babu.😂

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 роки тому

    WaAah pole sana Dada Davista hustuki usiumwe😤

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 роки тому +1

    Hio ya kuingia ndani ya kabri inatisha! Ina maana watu waliozikwa makubrini hawaozi? Kumbe ndo wanaendaga kubadilika nakuwa majini? Afu huko chini ya aridhi kumbe kuna mijengo ya maana?

  • @jeremyson7729
    @jeremyson7729 3 роки тому

    hii ni kweli.

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +1

    Umependeza dada na hijab yako

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Mata Leo unàfurahaa tupe siri nass tulio banwaa nawarabu nakazi xao tutabasamu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Aiseee, miezi2 huyo baba alikuwa ashaangana na mganga

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +3

    Dunia ina mambo mengi yakutisha Mungu tuhurumie

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Sana

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Umehadimika ndugu. Umzima

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@pilimusa7770 sana 🤔 ulikua wp chidada changu rizik daman

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      Bi dada upooo? Nilijuwa umeolea Saudia huruhusiwi kushika simu bd mwalii??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 3 роки тому

      @@dorcaskidoti249 😂😂😂mm niko Lebanon nashukuru Mungu sim nashika sana tu

  • @husseinramadhani1345
    @husseinramadhani1345 3 роки тому +1

    Kumi bora, 😁

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 роки тому

    Kama umemsikia binti anawashwa nyama na kupelekwa bahari ya huko India gonga like

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 роки тому

    Twende kazi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    Alhamdulillah w mwishooo😥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🙄

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️ mie ndo naingia saivi

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@dorcaskidoti249 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pamoja 🤝🤝🤝🤝

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому +1

      @@ayshamahariq6665 🙏🙏🤝

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@dorcaskidoti249 🤗🤗🤗🤝🤝🤝

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Jirani alikuwa nijini alikuwa akikutesaa jamani hospital jamani mitihani pole mdogo wangu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Dhuuu, mzee anamuacha mtoto ake kwa mganga

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому

    Bar kwetu kuna mambo Jamani kuliko hata pwani

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 3 роки тому

    Top 30

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 3 роки тому +1

    Second

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Nimecheka hapo eti baba yy nayesu hapana🤣🤣🤣🤣jamani anan8chekesha huyu dada

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣Tena kaongea kwa msisitizo jinsi gani huyo baba anavyo mkwepa Yesu 😂😂😂😂

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      @@charlesmapunda5905 ameniachaa hoi

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 3 роки тому

    Zabrn ana endeleaje jaman

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 3 роки тому

    Duh hatari sanaa hayasemeki

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 роки тому

    Chapa nembo Davistar Nakubal

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому

    Asalam Aleykum💞💞😴😴🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 роки тому

    Tupatie story kazi hipo hapa napo

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +1

    Davita niko locked namsikiliza 🇰🇪

  • @steveboen5562
    @steveboen5562 3 роки тому +1

    Watatu leo😭😭

  • @solomonwilliam7131
    @solomonwilliam7131 3 роки тому

    Davista upo mwanza

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    15 mwanangu kabisaa jamani kuolewaa najini 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢duu mitihani

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +1

    leta story ya zabron ya nafsi inayoishi

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Huyu Dada kwa kweli no mdogo hata venye anaongea

  • @simonhaule6567
    @simonhaule6567 3 роки тому +2

    Mmmmmmmm 15hiyo kwio!!;

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому

    Nahuy ustaz kibarakashia ni jini zahuyo muganga😅😃😂et yesu,

  • @bobnaah7532
    @bobnaah7532 3 роки тому

    Kaka ww unashughulika na story za kichaw tu au aina zote ungetulitea na za mapenzi pia

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому

    Huenda hata maji na mafuta ya Mwamposa yalitoka huko huko😳😳

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 роки тому

    Jini hata akupende Kama hela ila mwisho lazima akuaibishe tu

  • @kudumshenzi9962
    @kudumshenzi9962 3 роки тому +2

    Wakwanza tena

  • @mussamgonda8953
    @mussamgonda8953 3 роки тому

    Mkn kk

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 3 роки тому +1

    2

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 3 роки тому +2

    Hii ndo dunia mambo yake aliomo ndani ya duni mengine yakufurahisha na mengine yakuhuzunisha ila muhimu tujikinge kwa dua kwa kila wakati

  • @faustinaalukungu8511
    @faustinaalukungu8511 3 роки тому

    🙏

  • @mgalulamatongo4079
    @mgalulamatongo4079 3 роки тому

    Naona km huyu Dada anatupotezea mb zetu tu. **** yau

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому

    Pomoj🙏

  • @fundiali4535
    @fundiali4535 3 роки тому +1

    Mwanzo mgumu tutaelewa tu

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 роки тому

    Atuonesh iyo kidonda

  • @victoriamwalonde8626
    @victoriamwalonde8626 3 роки тому

    Dunia ina mambo

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 роки тому

    Piga Kazi Nimewai Kabla Ya 20 Bola

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 3 роки тому

    Twendeni taratibu

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +1

    Mambo motomoto🐎🦓🦓🦓🦓

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 роки тому

    Nimefika ndan ya mjengo

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Tupo makini sana watu wako