PART5:NILIPENDWA NA JINI NA KUMUOA KISHA NILIFANYA NAE MAUJI MENGI SHULENI,MTAANI NA MGODINI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 34

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 Рік тому +14

    Nitammis sn wamayo, story yake ilikuwa kali n anasimulia vizuri pia hawezi kumaliza kipande cha story pasipo kuchekesha..Mungu azidi kukupigania wamayo

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Рік тому +5

    Wewe tayari wameshakutumia wamemaliza... sasa wale mnaosemaga kuna majini wazuri na wabaya.. haya huyu jini kamtoa kwa mganga kampeleka kwenda kuuwa.. majini walishaasi hakuna irafilki na jini

    • @emmanuelmachibya2034
      @emmanuelmachibya2034 Рік тому +2

      Majini wote wabaya hakuna aliye mzuri ,anaemsifia ni mwabudu mashetani vilevile .

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 10 місяців тому

      ​@@emmanuelmachibya2034waislamu ndo wanaoamini wapo wazuri,,na majini waislamu ni wa kutosha

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Рік тому +3

    Dada yenu nimefikamo.. ❤️❤️❤️❤️🔋

  • @mwakazijuma1607
    @mwakazijuma1607 Рік тому +1

    Ahsante davista imeisha ya wamayo unaendelesha hii. Sikuihizi kali tupu.

  • @luminismmedia631
    @luminismmedia631 Рік тому

    Samahani kaka davistar ,ningependa umuulize ni mambo yapi pengine aliyafahamu katika maisha ya giza ambayo sisi binadamu tunayafanya napasipo kujua kua yana madhala makubwa . Mfano inavosemekana kusikiliza mziki wa rock , kutumia marashi makali kunaeza mdanya mtu kutengeneza mazingira ya kuwa karibu na majini?

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 Рік тому +1

    Davistar huyu jamaa umeshindwa kumuhoji vizuri, story yake nzima amejumuisha jumuisha tu

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 Рік тому

    Davista tunaomba uludipo kwa wamoyo ukamhojipo maswali stori yake tumeimisimo 😁😁🔥🔥🔥🔥

  • @munaahkiogakioga7330
    @munaahkiogakioga7330 Рік тому

    Mwamba karudii

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 Рік тому

    Umeona ×100.i say hii kali

  • @PendoMakundi-iz1dw
    @PendoMakundi-iz1dw Рік тому

    Aitoe hiyo UMEONA inaboa story' wanayo atakumbumwa jamani hana janga lingine asimulie 😄

  • @petermwaibofu7580
    @petermwaibofu7580 Рік тому

    Nyinyi hamumpendi wamayo, hana pa kulala mbona hamumchangii!

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому

    Hii ni story nzur lkn kuchelewa kwake
    kumefanya kuea misunderstabled

  • @winniemuchai280
    @winniemuchai280 Рік тому

    Woi wamayo wetu ako wapi

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 Рік тому

    Nilidhani ilishaisha hii kumbe ilimpisha kwanza Wamayo.

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Рік тому

    Hivi tuachilia wapi hii story mbona nimesahau

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 Рік тому

    Titakumissimo wamayo.

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому

    Apologies sasa utakuta mwanamke ana mikucha ana mawigi unashangaa anaoga vipi uyu mwanamke anatembea mchafu japo anajiona kaoga lkn mchafu kupitiliza mijaba mihedhi mitupu

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Рік тому

    Sawa tuende na story

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 Рік тому

    .wambie wamayo aendeleze tu hata kwa kutunga tunga tufike naye mpaka 100

  • @lucymeck-ev2zh
    @lucymeck-ev2zh Рік тому +1

    Tusaidie wamayo we2

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    👊🙏✌️.

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 Рік тому +2

    Nimewaimo 😂😂