PART3:BINTI ALIELELEWA NA JINI NA KUFANYA MAUAJI/NAKULA NYAMA NA DAMU ZA WATU/NAPELEKA WATU KUZIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 311

  • @marryjoely8091
    @marryjoely8091 3 роки тому +1

    Amen kaka

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 3 роки тому +5

    Iyi simulizi nibala ni nzuri tena mbonge la zimulizi sema ingepata musimuliaji mzuri ingekua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌

  • @minahally6897
    @minahally6897 3 роки тому +2

    Story nzuri Ila msimualiji hawezi kujielezea (respect kwako brother Mr Zabron a.k.a Mr Misosi)

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 роки тому +3

    Huyu dada mbn anasimulia km Muongo??🤔🙄🤔

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 роки тому +1

    Wah mungu ni mungu

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 роки тому +9

    Ndugu zangu kujikinga na hawa watu ni kuijua dua ya kujikinga asubuhi na jioni yaani kuisoma iyo dua akita kudhuru chochote juu wala chini

    • @fadhiliswalehe9286
      @fadhiliswalehe9286 3 роки тому +1

      Weng hawajui hayo sasa kafiri atajikinga vp na uislam zero

    • @maimunatanzania1174
      @maimunatanzania1174 3 роки тому +1

      My mzima naonba no yako

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 3 роки тому

      @@fadhiliswalehe9286 kafiri mamaako mbwa wewe

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 3 роки тому +1

      tupe iyo dua my

    • @mariamripiti2137
      @mariamripiti2137 3 роки тому +1

      @@igurusitv6553 Una hadabu na heshima huna adamu kwa wazazi wako mpaka watu usio wajua kwani amekutaja jina jifunze kuu nyamazisha mdomo wako haswa kwa watu usio wajua nilizani hapa tunajifunza kumbe kuna watu wanaangalia kisha wanayaacha utamjua vipi uliye mtukana ni nani Ana Nguvu hipi umajikuta unaingia matatizoni

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 3 роки тому +5

    Hii simulizi ilivyo anza niliidhalau lakin ni konk nawaonea huluma wanaolilia madaraka na umaarufu .
    Bilakujua mafanikio ya duniani nimikataba ya shetani kutoka kuzimu

  • @rukiammangammanga1166
    @rukiammangammanga1166 3 роки тому +16

    😀 😀 Eeeee Naombeni lake jamani 😆sijawai kupata like

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 Рік тому +1

    Dada pole Sana kwanza

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 роки тому +3

    Sio Siri huyu dada Muongo!!!🤔🙄🔥

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +3

    Kwa kweli Freemason sai inazidi kukuwa manake mmbo mengi sai ni ya kumuaswi Allah na pia watu hufanya mmbo maovu mno, Allah atuepushe na mmbo haya na atujalie miongoni wa waja wema In Sha Allah

  • @aprilking8250
    @aprilking8250 3 роки тому +1

    Majini dah! Eti mazuri🤔

  • @khadijatonge3636
    @khadijatonge3636 3 роки тому +3

    Yaraby 2pe mwisho mwema waja wako🤲

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 роки тому +5

    Nasema shetani ni nyoka watu wanabisha shetani jini awa wote ni nyoka ila wanauwezo wa kuvaa mwili na kujigeuza vyovyote vile..

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 3 роки тому +1

    Huyo nae yuko na story nzuri kweli

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому +2

    India 😇😇😇😇😇 al rashd fany naww uend india

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +2

    safi dav makini sana

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +2

    Nimefika ndani na Mr Davista

  • @linetgreen1861
    @linetgreen1861 3 роки тому +5

    666 lucifer illuminati, free mansion mungu atuepushe

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 роки тому +1

    Aisee hadi wanaweza kumbadilisha mtu awe shoga paspo uhitaji wake

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому +5

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila kutuchapa viboko

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 роки тому +1

    Kweli duniani Kuna Mambo, mengi hatuyajui na wala tusiombe yatukute.. Duh na hii nayo ni bonge la Mkasa.. Mola atulinde na ulimwengu Kama huu.

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +4

    Yani unapangiwa watu na watu jinsi ya kuwafanyia hiyo noma sana aisee

  • @latifajanja2375
    @latifajanja2375 3 роки тому +1

    Mmmh matajili wengi freemanson marais wengi freemanson wasanii wakubwa wengi freemanson hii dunia ina nini lakni mungu atulinde na atusimamie tuko kwenye ulimwengu mbaya sana ulimwengu uliotawala shetani mungu atusimamie kwakweli

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +4

    Kawthar , Ayshaaa. Somoeee . jirani . njooni davista uwanjani

    • @zabiyafahmikhamis4873
      @zabiyafahmikhamis4873 3 роки тому +1

      Jaaman mzigo umefika muda umeenda sana kwetu nakuja kuangalia kesho insha Allah

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@zabiyafahmikhamis4873 sawa. InshaAllah.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      Asante chidada changu kipebzi 😍😍😍😍

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 karibu sana

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@pilimusa7770 Asante chidada changu 😍😍😍

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 3 роки тому +3

    Dah yaan hii story imenifanya niwaze mambo meng sana cha msing ni kuwa Karibu na M/Mungu na kumtaja yeye kila Wakat kwan hakuna wa kutunusuru zaid yake

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 3 роки тому +1

    Na miss mzee wa misosi mwita😃😃🤣🤣anajua story telling

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +4

    Huyu dada kwa kweli alipitia mmbo mabaya

  • @mamuuwesu7236
    @mamuuwesu7236 3 роки тому +1

    Allh atulinde n majini n mashetwani

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +4

    Pamoja🙏🙏

  • @happyoshea
    @happyoshea 3 роки тому +4

    Yaani nilikuwa wa kwanza mara naona video imefutwa fasta 😂🤭

    • @mariammgombayeka1824
      @mariammgombayeka1824 3 роки тому +1

      Hata mimi ilikua hivyo nikahisi labda mapicha picha tuu

    • @fundiali4535
      @fundiali4535 3 роки тому

      Hahahahaaaa

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      sikia hivo number moja uwa yangu huku😁😁😁😁😁

    • @mariammgombayeka1824
      @mariammgombayeka1824 3 роки тому

      @@moreenmbatha1147 😅😅😅😅😅🤸‍♂️🤸‍♀️

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      @@mariammgombayeka1824 😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂💃💃💃

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому +3

    Team kuchelewa kama kawa 💃💃💃

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 3 роки тому +3

    Shetani apigwe kwa Jina la Yesu!
    Ushuhuda mzuri!

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 роки тому

      Shetani hupigwa kwa kufanya matendo mema.Simple!

    • @fadhiliswalehe9286
      @fadhiliswalehe9286 3 роки тому

      Umefeli 100%

    • @linkreuben5804
      @linkreuben5804 3 роки тому +1

      @@fadhiliswalehe9286 wewe ndo shetani? Unakifua kweli cha kumkingia shetani? Au unapima maji yanayochemka kwa mkono!!!
      Chukua Onyo hilo kwa Faida yako!!

  • @gabrielsagai8476
    @gabrielsagai8476 3 роки тому +3

    Yaan stor nzur Ila kujieleza hawezi

  • @lameckdaudi1495
    @lameckdaudi1495 3 роки тому +3

    Yule mtoto aliyepewa kule india alimpeleka wapi?

  • @fatmamustapha6929
    @fatmamustapha6929 3 роки тому +3

    🙄maskn wakakufanya flash wabadili wimbo tu

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +3

    Ayshaaa. Sapna njoooniiii.Davistar uwanjanii

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      Asante chidada changu kipenzi nshafka💃😍😍😍

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 karibu sana kipenzi changu

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@pilimusa7770 Asante kipenzi changu 💞💞💞💞

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Duu freemason makanisa eti wasanii na marahisi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹hebu nikomae huku nikitafuta zaheri nanguvu yangu za freemason hapana nimtu ukifa Mali xaungua Xote hakuna faidaa

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 3 роки тому +2

    Haya maisha bana mda wote nikumwomba Mungu tu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +2

    Aiseee pole sana Dada kwa majanga

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому +3

    Mzee wa viduu unasinzia au ndio anakuchukua naww? 😂

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 роки тому +3

    Angesema tu viongozi na sio kusema maraisi sasa maraisi wamebaki 3😂😂😂😂🏃

    • @maimunatanzania1174
      @maimunatanzania1174 3 роки тому +1

      My naomba no yako

    • @mariamripiti2137
      @mariamripiti2137 3 роки тому +1

      @@maimunatanzania1174 Baby namba hapa aiwezekani wanaona wengi njo Instagram njoo dm @mariamlipiti_tz

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 3 роки тому +1

    Anasimulia vizuri sana

  • @salumosman4056
    @salumosman4056 3 роки тому +2

    Mzee wangu Davy tuko pamoja

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +1

    Mungu tulinde waja wako hii dunia ni tambara bovu. Kwa kweli.

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +2

    ndo maana zabron alisema makanisa mengi hufuata nguvu ya freemason hyu binti amesema pia sasa bora mtu ategemee yesu

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 роки тому +2

    Mfalme amekula mzigo huo toka uko mdogo bado wamoto,
    Sheria ya ndoa lazima muende kwenye hanemun ili uzindue mzigo au kama ulisha zinduliwa basi unakwenda nao kihalali ili watu wote wajue ni wakwako

  • @francisgaudence511
    @francisgaudence511 3 роки тому +1

    Hii inatisha sana Kishim 2

  • @alfredmahina9969
    @alfredmahina9969 3 роки тому +3

    Tunaomba sehemu inayofuata

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому +2

    Dah....mung atunusur na ivi vitu

  • @marysteven605
    @marysteven605 3 роки тому

    Smliz nzr ila simuelew vzr,kama vile hannyoshi Vizur maelezo

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +4

    Aiyam. Hamad. Eric.khulood. Blessed. Griezmann. Amina. Mariam. Shantelle. Kalssam. Nguwalo. Aisha. Smilley rafiki. Suleyman. Suleiman. Fatma. Somoe. Njooni. Davista uwanjaniiii

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 3 роки тому

      Hulal pili😂😂😂😂😂

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 роки тому +1

      Pilli mama nimekuja mamaangu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@suleymanally4729 silali mpaka nimalize part 3😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@sweetie6934 karibu sana wangu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@hamadwaziri121 karibu sana

  • @josephmassae2117
    @josephmassae2117 3 роки тому

    Pamoja sana mtu makini.

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 роки тому

    Iv hii stor ni kwel au tunaootezeana tyme🤣

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому +3

    Yani Hawa mashoga kumbe wengine wanafanya mambo bila kujijua ?

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому +2

    Hatari 👀👀

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +2

    somoe pili Fatma Hidaya sapna Fatm Amina Kevarist Farhat salum Hamis dee lissa Nasra Fundi wetu Nguwalo suleyman Fm morn blessed malima upoo? Sapna Aiyam Aisha Eric Rizki na wengineo njooon mambo tayari🇪🇭🇪🇭💞💞

  • @brenda1083
    @brenda1083 3 роки тому +4

    Tuendelee

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 роки тому +4

    🙏🙏🙏

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 3 роки тому

    Uyu Dada uyu sizan kama anatongozwa mtahan kwao kwa wanae mjua na story hii

  • @success-ly9ik
    @success-ly9ik 3 роки тому

    Iwe ya uongo iwe ya ukweli tunasonga nayo kihivo, bora tu iwe ya kuvutia

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому

    Mr Facts vipi ? Mbona una kaa usingizee umekuelewa

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 3 роки тому +4

    Nipo nipo

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +3

    Wa kwanzaaa🎉🎉🎉🎊🎊🎊🎊🎊🎈🎈🎈🎈🎈😍😍

  • @fundiali4535
    @fundiali4535 3 роки тому +2

    Nipo

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 роки тому +1

    Kuanzia leo staki mtu anishike begani kbs, Kubadili mkaka na kumfanya shoga mtt wwatu.😥😥😥

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому +1

    Cjui ni kwa nini hili kanisa Lina muunganiko na nguvu giza??!! Ee Mwenyezi MUNGU tupatie macho ya rohoni. Kanisa analotaja na eneo napafahamu kwa kuwa si mbali na home.

    • @lilykrafts4536
      @lilykrafts4536 3 роки тому +1

      Shetani hamsumbui mtu wake anamsumbua yule anayejua si wake ili amrudishe kwenye anga lake

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 3 роки тому

    Nasubili namba nne jamani story nzuri

  • @cosmaslagat5023
    @cosmaslagat5023 3 роки тому +3

    Kumanisha ashafanya mapenzi na mfalme mxee alieye ozeshwa nae, mbona ataji hapo,

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому +2

    Davita mtu alie maskini Jina lime kukubali. Hapo sasa

  • @stevenmwaisunga5090
    @stevenmwaisunga5090 3 роки тому

    Asant

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 роки тому +1

    Duuuhh kazi ipo Dunia hii!!! Ila dogo angalia usijichanganye sana tusije kukupoteza 😁😁😁eti Maraisi wetu wako humo na nchi inakua na Rais mmoja, tueleweje sasa 😅😅😅uzuri hujataja jina mweee.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому

    Uongo wenye digree!

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 роки тому +2

    Mkujee ndugu zangu

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 роки тому

    Sasa cjui nimechoka kama Davis make xtory ikifika mbele tu kidgo nasahau ckumbuki hata kidgo nakumbuka kichwa cha habari tu duh.

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 3 роки тому

    Huyu mimi simwelewi kabisa lakini haidhuru ...... nangoja part ingine. Damu ya Yesu yanitosha.

    • @daudlangson5639
      @daudlangson5639 3 роки тому

      Mbona amesema ile
      Cheni aliyopewa mmilik ndo alipata madhara kwa sababu yeye ni binadamu alivaa tu

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    wachawi mungu anawaona vile mnasumbua watu hata watu hawana hatia

  • @maimunatanzania1174
    @maimunatanzania1174 3 роки тому +1

    My naomba no yako

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 3 роки тому +2

    miaka yote na fatilia history zako ila story nilio penda ni ya zabroni mwita

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому

    Eee Mungu turemu

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 роки тому +3

    Tupo pamoja kwenye safari

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 роки тому

    ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 3 роки тому +2

    Haya wanazengo wa davistar mata kitu kipyaa tayar 😉😉😉😉

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    Alhamdulillah w mwishooooo😭😭🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      Pole

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      Mbona Tupo wangi 😥😥😥

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@fatmaalrshdii7615 Asante chidada changu 💞💞💞💞

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 pamkja sana chidada changu 😥😥💞💞💞💞

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      sikia hivo si jana ulinipita tulie pamoja😢😢😢😭😭😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃💃💃💃😁😁😁😁😁😁 wali upload kama tushaa lala

  • @pili3750
    @pili3750 3 роки тому

    Tobaaa wakristo kazi munayo muwe makin sana na makanisa munayo swali duuh

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +2

    Hii ndi ndoto au ni true story?

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 роки тому +4

    Jungu lipo mezani watu twalila la motrooooooo

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Sanaaaaa😂😂😂😂. Alafu tamu sanaaaa

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@pilimusa7770 teeeeeenaaaa sanaaaa🤣🤣🤣🤣

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому +1

      Ukweli kabisa tamu sana aaa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 😂😂😂😂

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 hapana chezeaaa yaani😧

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 роки тому

    Dui kumbe mbohayo yapo🤔🤔🤔

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому

    Km movie jaman dah kwl ulizanialo haliwez kan lawezekana

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 3 роки тому

    Kawekamo kaz mnayo

  • @mariahjoseph384
    @mariahjoseph384 3 роки тому +3

    God protect us with blood of Jesus.

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +2

    Jamaa awe shoga Subhanah Allah

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 роки тому

    Airtel Wanapigwa Kiki Na Weifa Lakini Bado Intaneti Yao Mbaya

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 роки тому

    Davix mbona unasinzia au wew nae tayali uko kwenye chupa make co kawaida yako hahahaaaaaa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    Asalam Aleykum 😴😴💞💞🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 роки тому +1

    Hadithi njoo, utam kolea.....

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    wewe dav itabidi umusaidie binti kusimulia vizuri juu kuna vipengele anaviwacha

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому

    Number 4/5 hipande

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 3 роки тому +5

    Yani Hilo litapeli ukilileta Tena davast tutasusi kipindi chako linamasifa sana

    • @maryamumapenzi1257
      @maryamumapenzi1257 3 роки тому +2

      @@minicooper9642 anaitwa mti mkavu

    • @maryamumapenzi1257
      @maryamumapenzi1257 3 роки тому +1

      @@minicooper9642 sijui kma misifa yke naiona pekeangu

    • @cosmaslagat5023
      @cosmaslagat5023 3 роки тому +1

      Hahaha

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      Nani huyo😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      @@maryamumapenzi1257 😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu. Unamchokoza mganga eee😂😂😂😂😂😂