PART2:BINTI ALIELELEWA NA JINI NA KUFANYA MAUAJI/NAKULA NYAMA NA DAMU ZA WATU/NAPELEKA WATU KUZIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 291

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 роки тому +17

    Aisee ndo ya Zabron yuko hoxpitali watu wanamuona ni yeye wanamletea misosi anakula kumbe sio ni lizee liko pale la gamboxhi ila hawajui hahaaaa

    • @upendoluv7197
      @upendoluv7197 3 роки тому +1

      Yaniii achaa tu na Waganga wengine Hawa changamoto

    • @ibrahimmohamedi4498
      @ibrahimmohamedi4498 3 роки тому

      Mzee ana twanga misos alaf anachagua nileteeni hiki

    • @stevemwakisimba5986
      @stevemwakisimba5986 3 роки тому

      Kkkkkkkkkkk nimecheka hadi basi kha ya zabron tena?

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 3 роки тому

      @@stevemwakisimba5986 eeeh aisee duniani kuna mambo unasikia watu wana edit hao ndo konki wa kuediti mnapeleka chakula hoxpitali kumbe linakula jitu jingine tofauti

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 роки тому +5

    Leo yuko vizuri huyo bint masha ALLAH usimuulizi maswali magum tafadhali mtangazaji.

  • @thewomanofsteel3970
    @thewomanofsteel3970 3 роки тому +1

    Kazi nzuri binafs nimejifunza mengi

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 роки тому +9

    Dunia ina mambo hiiiiii!!!!! Yaarabby tulinde na viumbe vibaya 🙏🙏🙏

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому +1

    Pole sana pia bado kama hayupo sawa

  • @karimiphoebe1796
    @karimiphoebe1796 3 роки тому +7

    Davistar mr handsome 👌🤩🤗

  • @rukiammangammanga1166
    @rukiammangammanga1166 3 роки тому +7

    😀 Naombeni lake na me ata kidogo

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +2

    Waganga Mungu awalaani kwa kuwatumikisha watu

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 3 роки тому +13

    Daah hii story nzuri lakini msimuliaji hasimulii vizuri 😉

  • @benwater4519
    @benwater4519 3 роки тому

    She’s so innocent hadi anatia huruma jamani, pole 😭

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому

    Pole sana kwa mitihani

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому +2

    Ahsante dada ,,, hahaha et wanaudhuria vzr hii inaonyesha jinsi gan wanaadam tumepotea

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 3 роки тому +2

    UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA 👍👍👍👍

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Hixo chain nizawahindi lkn sikuhixi mastr ndo fashion zao ukiangalia nyimbo ya mbosho sina nyota utazipata 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾nawengi tuu

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 3 роки тому +3

    Du,kweli kuipata pepo kazi sana maana shetani kaitawala dunia

  • @abubakarwadi5773
    @abubakarwadi5773 3 роки тому +7

    Wamkooooo Leo nipeni zangu basis kama mpo nadavsta

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 3 роки тому +1

    Dav hapa hakuna story ni full urongo wa wazi kabisaa find another one

    • @antoniokanga4703
      @antoniokanga4703 3 роки тому +1

      kalete stor ya baba ako ndo yaukweli

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +2

      @@antoniokanga4703 kabisaa

    • @fadhiliswalehe9286
      @fadhiliswalehe9286 3 роки тому +1

      @@antoniokanga4703 mtu mjinga hana hoja zaidi ya kutukana na mjinga hajibiwi kwa matusi ni just to give him a little knowledge

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Duuu yani Fatima anaua sasa kwa nafsi yako jamani hayaa yasikie tuu yasikupate 😢😢😢

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 роки тому

      Jaman huyu Fatma sijui ni yupi lkn sio mm

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      @@fatmamucha4419 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣somo mtu huyo

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@fatmamucha4419 inawezekana ndiyo wewe😂😂😂😂

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому

    Mbona kama uongo flani ivi amazing 😅

  • @shristinangitu2607
    @shristinangitu2607 3 роки тому

    Tupo pamoja kaka davistar stor nzuri

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому

    Ukiwa unafatilia sana kipindi vya sheikh Salum Maridhiyya hupati tabu kumuelewa huyu bint ni kweli waganga wote wanatumia vitambaa hivyo ni wachawi kwenye anga kuna majini ambao hushirikiana na waganga wa kichaw wa huku duniani na yule mtu wa kwenye kaburi ni majini wanaitwa Ubadul kubuur hiyo misikiti ni ibada za uongo kuwazuga wanaowaleta huko kwenye mambo yao hakuna mshirikina anaemuabudu Mungu kiukweli yote hayo sheikh Salum ametuambia

  • @fatmamustapha6929
    @fatmamustapha6929 3 роки тому +1

    Naomben taftari la wanaocommet utopolo😒

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Subhanah Allah, unalishwa nyama za watu na damu ndipo

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 роки тому +1

    Stry tam sana hii

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Sanaaa

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 роки тому +1

      Pili. Wee embu lala

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 😃😃😃😃

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@kawtharsaleh9229 silali mpaka nipate part 3😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      @@kawtharsaleh9229 kawthar. Wewe utalala saa ngapi. Siendi kulala mpaka uwende. Lasivyo nakaa hapa hapa😂😂😂😂

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 3 роки тому +1

    Stori nzuri sana lkn haina mpangilio mzuri

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому

    Bint asema akishika chain ana fika faster

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 роки тому +1

    Mbona Video Azipley Hi Youyube Vipi Na Airtel

  • @suleimanmustapha101
    @suleimanmustapha101 3 роки тому +1

    Hii inaitwa illusion,unaona na kuota usipokuwa makini unadhani ni kweli,kumbe ni ndoto endelevu!

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 роки тому

      Nyie ndo wale mnaoamini Dini zenu lakini hamuamini kuwa uchawi upo wakati vitabu vya dini zenu vimekili kuwa uchawi upo. Siku yakikukuta ndo utaamini.

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 роки тому

      @@abbyadams8691 kama ungejaribu kumeditate ungejua ukweli wa nini kinaendelea,hayo yote ni maluweluwe tu hata Zabron anafikiri alikwenda Gambosh kumbe ni mawazo yake ila ni ngumu kumfanya asione tofauti kwa sababu yeye ndiye Sterling wa move yote.
      Aliwazalo mtu ndilo litakalo mtokea kama halikutokea katika hali halisi litatokea kwenye mawazo!

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@abbyadams8691 uchawi upo

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@pilimusa7770 sanaaa

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 роки тому

    wenye mja watch hii part2 mmefanya tukaziwe part3 malizeni mchele ya lunch tuekewe chapati bata😁😁😁😁😁 supper

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍😍😍😍😍

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 😁💃💃💃😁😁😁😁

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@moreenmbatha1147 😀😀🤝🤝💃💃

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +2

    Mbona mambo ya majini ni zaidi huku Tz? Pole dogo ulipitia mazito

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому

      Mie pia nilijiuliza?!! 🤔

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 3 роки тому +2

    Davister w kipndi chako kizur sn 2najifunza meng sana Dunia inamambo sana

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 3 роки тому

    Aisee waganga wabaya sana

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому

    N sharud 🙄💃 somoe pili Nasra Fatma violine na wengine njoooooooon mambo tayariiii ❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 роки тому

      Tupo

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      Nimefika pamoja sana

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      Tupo tena sana 😘😘😘

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@fatmamucha4419 Nmefurai kuxkia hivo chidada changu kipenzi😍😍😍😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kuxkia hivo chidada changu kipenzi 😍😍😍😍😍😍🤝🤝

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    pole kwa mitihan chidada changu damanii😢😢😢😢🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Pole yake kweli😭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 Asante chidada changu kipenzi😭😭🤝🤝

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Duu mbona mitihani yasecondary walikuendaa kwa chupa huyo jamani eti chakula chako damu zawatu na nyama xawatu😭😭😭😭😭😭😭😭😭malikia wamajini

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 роки тому +2

    Kana anza kunoga haka kasimulizi inabidi ndugu yetu Mtu Makini uongeze kamuda kidogo, huyu ni ndugu na Zabroni kabisa

  • @adbulmama5065
    @adbulmama5065 3 роки тому +1

    Sio waganga wabitambaratu waganga wote ni wawuwaji si ni washirikina kwanza wanapinga Allah.kwanza kufanya shirki ni haramu kama wewe ni mshirikina basi pepo hutoingia ukubari usikubari habari ndo iyo .Allah anadutoshereza yanini kwa waganga?

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    nzuri ila musimuliaji bado hajui

  • @salimsalim-lj9uz
    @salimsalim-lj9uz 3 роки тому +2

    Keep up the good work mr. Mtu makini

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому +1

    Pole my dear kwa mitihani 😥😥😥

  • @mwantumkombo172
    @mwantumkombo172 3 роки тому +1

    Uyu ni pacha wa Zabron bwana misosi😜😆😆

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      Nafikiri pacha wa davistar huoni walivyo fanana

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 роки тому +1

    Kwahio wanao kuwa waganga wavitambara hivyo ni wauwaji

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +1

    Mmmmmh dunia ina mambo hiii usipime

  • @angelmlay4173
    @angelmlay4173 3 роки тому +1

    Ya kweli haya jamani

    • @victoriakyara8000
      @victoriakyara8000 3 роки тому

      Yaani binadamu tuna mambo ya siri mpaka shetani anaogopa

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    pili somoe Fatma Hidaya Hamis Nguwalo Fm morn Farhat salum sapna kevarist upooooo? Fundi wetu Eric Nura Neema malima upoooo? cute emmy rizik blessed Narud💞💞💞🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 роки тому +1

    Jaman Fatma mm😭😭😭😭

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 3 роки тому

      Hhhhhhh😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 somo yak 🏃🏃🏃

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      @@suleymanally4729 mmmmm

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 роки тому

      @@suleymanally4729 subir sk iwe zamu yko saiv tucheke tuu Akina fatma

  • @selemanali5053
    @selemanali5053 3 роки тому +1

    Davsta muuleze kwanini alizuwiwa kuzungumuza kiarabu

  • @happytz6190
    @happytz6190 3 роки тому

    Duuu hatariiìiii pole habimti

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 роки тому

    mh

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 3 роки тому +1

    Ndio nmefika, hivi wageni wanakaa upande upi,

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 3 роки тому

    Yeah

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 3 роки тому +2

    Jamani fatuma 😢

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @didasrichard3068
    @didasrichard3068 3 роки тому +1

    Dope

    • @kameronleighton517
      @kameronleighton517 3 роки тому

      I realize Im quite randomly asking but does anyone know a good website to watch new movies online ?

    • @danteameer4536
      @danteameer4536 3 роки тому

      @Kameron Leighton flixportal :D

    • @kameronleighton517
      @kameronleighton517 3 роки тому

      @Dante Ameer Thanks, I went there and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it !

    • @danteameer4536
      @danteameer4536 3 роки тому

      @Kameron Leighton Happy to help xD

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому +1

    Story sasa tumepata. Nzuri mnoooo

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому

    Yani mimi Jana niliota nimezaa nilivyo amuka nilikua NA maumivu. Lakini mtoto Hakuna. Heee kumbeee nihivyo

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 роки тому

    Chapa nembo Davistar Nakubal

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 роки тому

    Dah

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Sherehee yako unaolewa nafsi iko kwa fatmaa makubwaa walikuekaa kwachupa hutoki kivuli chafanyaa kazi hayaaaa ZABRON UKO WAPI dadamtu huyo alikuwa kifungoni😢😢😢🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️kama wewe

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    Alhamdulillah w kwanzaaaaa🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🙄❤❤

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      Itabidi upate zawadi 😘

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 mwambie Davistar akupe zawadi sio rahisi kila siku kua wa kwanza 🥰🥰🥰

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 itabdi nmwambie anpe zawad 🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤❤❤❤

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому

      Hongera mamaa

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 роки тому

    Yan Hawa paka Moto wao inabidi uwe wa kitofaut na sis wengine khaaaaaaa 😏😏mpk daftr la mauzulio

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 3 роки тому +1

    Wapi fatumaaaaaa

  • @aminamrope1797
    @aminamrope1797 3 роки тому

    Nimemuwahi Leo dada Mrs Kaka jini😋😋😋😃😃😃

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 роки тому +1

      Heri umewai😊😄😄

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому

      @@farhathamdansalum9725 😂😂😂😂

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 роки тому

      Usichelewe tena😊

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому

      @@farhathamdansalum9725 yaani hapa nipo nakasimu mkononi😂😂😂ikiingia tu niwahi

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 роки тому

      @@bintimrope ww hatari😄😄 inabidi habari mpya ikiingia tu unawai, bac utanijulisha na mm niwai😄😂😂😂

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 3 роки тому

    Dunia inasir za ajab sana nasisehem salama nguo kuzim,mateso kuzim,matajir feki, makanisa feki, kweli shetan anamawakala weng sana. TUSALI BILA KUKOMA SHETAN YUPO FIELD

  • @abubakarwadi5773
    @abubakarwadi5773 3 роки тому

    Oya Davis gongs mojabasi yaupendo

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 3 роки тому +2

    Hamjambo lakini wana davistar mata 😔

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому

    Mmmhh !!! Eti huna Mana wewe una taka kula chakula cha duniani

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 роки тому

    kumbe wana andikaga namajina 🤣🤣🤣

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Tupo makini sana watu wako kk Davi

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Dhuuuu, masharti gani tena hayo

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 3 роки тому

    Nimecheleweshwa na mwarabu wapenzi habari zenu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Kk Davi, ww unafaa uwe director wa movie eti kama staring anaenda eeehhhh😂🤣🤣🤣🤣

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому

    PAMOJA #MTUMAKINI🤝

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 роки тому

    Unaota unazaa? Kumbe nikwelii jmn🙄😭😭😭😭, Namturudishie watt wetu pambafe nyinyi.🙄

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      😂😂😂😂😂mtoto atakufa kimiujizaa nafsi wanachukuwaa

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому +1

      @@nurafedrick378 sio hivyo yaani unaota umezaa au unanyonyesha, ila cha ajabu huna hata ujauzito, ulimwengu mwingine umezaa kweli usiku ukilala analetwa mtt unanyonyeshaa,

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому

      @@dorcaskidoti249 kweli kabisa

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 роки тому

      Ndoto tu hakuna lolote!

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 роки тому

      @@suleimanmustapha101 lakini kupitia hiki kipindi nilisikia, kama ukiota unafanya mapenzi unakuta unafanya kweli na wachawii?

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +1

    Nmerudiiiii

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 3 роки тому

    Makin davistr

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 3 роки тому +1

    Wakwanza

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 роки тому +1

    💃💃💃WA kumi 😀

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 3 роки тому

    Devi bwana eti kama mov stering

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому

    Ulimwengu wa giza una mambo aisee duu!

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Kwa kweli huyu Dada anaongea uzuri

  • @fundiali4535
    @fundiali4535 3 роки тому

    Njooni tuelewane hapa!!!!

  • @mwamininyabenda5950
    @mwamininyabenda5950 3 роки тому

    Makubwa

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 3 роки тому

    Sasa kama anakunywa damu za watu na nyama za watu siku ukiitaji si utakula watu na kama umeolewa utamla mume wako

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄malkia mzuri etyeeeee😢😢😢😢😢😢jini watumia chain kupaaa dunia inamambo nguvu xagizaaa xatembea hewani
    Kwahiyo uliingizwaa kuximu dada pole sana kumbe kuna nguo zashonewaa kuximu zaletwa duniani ndomana kuna nguo nyingi xinakuagaa na chapa xaajabu 🤓🤓🤓🤓🤓🤓

  • @ashasalum444
    @ashasalum444 3 роки тому

    Weeee

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 роки тому

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому

    Bahar ya hindi au Bahar ya hindia

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 роки тому

    🔥🇹🇿🇴🇲37

  • @fauziayassin7987
    @fauziayassin7987 3 роки тому

    Mnatuchora nyie

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 3 роки тому

    Kwa maelezo yako wewe dada ni muongo nia yako kuuchafua Uislam ionekane majini na wachawi wote ni Waislamu.

    • @fadhiliswalehe9286
      @fadhiliswalehe9286 3 роки тому

      Kweli katumwa huyu

    • @benjaminkiteleke8458
      @benjaminkiteleke8458 3 роки тому

      Hapana usimfikilie vibaya, majini wanajua uislam ndo dini ya kweli . Kwahiyo majini yanajifanya kujiweka kama waislam ili kuwahadaa watu waache kuwa waislam. Kusikiliza story zote, majini yanakuwa na muonekano na majina ya waislam ili watu waogope kumbe uislam ndo dini sahihi kama watatumia akili

    • @nabirabakary4209
      @nabirabakary4209 3 роки тому

      @@benjaminkiteleke8458 ....nimekuelewa ahsantee

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@benjaminkiteleke8458 kabisaa

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 роки тому

    🇰🇪🎲🎲🎲

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 3 роки тому

    Hii story ina u(ta)^2