MAKALLA AMKAANGA VIKALI MBOWE ,WAPINZANI WAMEPOTEZA MWELEKEO ''TUNASUBIRI AJIUZULU''
Вставка
- Опубліковано 5 лип 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Mbowe ni moto 🔥 wa kuotea mbali, chadema vema. hata mkiwanunua wapinzani chadema haita yumba
Haya yanasadia nn weka maendeleo kwa jamii
Ili mwendee kuwa wezi!!
Chadema wapo ziarani Kilimanjaro kwa mpango na taratibu za chama chao mbn singida hata manyara wameenda?
Yaani mtu mzima anaongea UWONGO NA WANANCHI WANASHANGILIA,KAZI IPO
Kuna msemi :- Nyani haone kundule "
Bomu mochwar kumbe
ILA KWEL YAN CHADEMA UKIMTOA MBOE WENGINE HAMNA KITU NDO MAANA MBOE HATAKI KUACHIA UWENYEKIT NA SIKU AKIACHIA BAS CHAMA NDO KIMEISHA😢😢😢
Bom mochwari ni kweli ni kina Msigwa na Peneza
Wabaguzi ni nyie mnaimaliza nchi .Zungukeni nae dunia nzima safari hii lazima muondoke .Tena huyo ndiyo atakuwa nuksi kabisa kwenu
Kweli kabisa
Chadema haiwezi kuchukua nchi kamwe
Huu ubaguzi kaanza lini ?
Mwenda zake hayupo sasa iv makijan mjipange
Hatuwataki CCM tumieni pesa zenu maguvu na dula ila hatuwataki ccm
Kwenye miti hakuna wajenzi!.
Sasa kusoma hakukusaidii chochote!! Huwezi ongea utumbo wanamna hii!!
Hatuwataki hospitali hakuna madawa mnnunua wapinzani sikuzenu zinahesabika
Ccm .must .go .outside .some .like ruto
Ufai
Ukweli ndio siiraha tosha ushindi upo njenje
Kibaka kava jezi
Wananchi tutaamua
CCM mmeishiwa
Yani mtu mzima unaongea upuuz tyuu chama kimekosa mvuto mbona chadema wanajaza alafu hayo mnayoongea yanalisaidii nn taifa ccm mmechoka sanaaa na watu hawawatak hamjui tuuu
Mbowe ni kiboko yenu mnamuhara
Chadema chama cha wachaga nyie
Ccm oyeee.. Ng'ara ccm ng'ara
Mpumbavu sana hujitambui wewe makalla wewe acha ujinga ni mjinga sana
Ccm ni wIking dead
Wap ww uongo mtupu