Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
KUTOKA MISRI KOCHA FADLU NA KRAMO WAMOTO,NGOMA KUPEWA UNAHODHA MKUU,KRAMO AKIWASHA MAZOEZINI MISRI
Вставка
- Опубліковано 10 лип 2024
- eat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #news #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #jdg #utchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague ##afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimbatg #africanfootballleague
Simba ❤❤❤❤❤❤❤
Usajili Simba ungekuwa bora sana, tena sana kama wangewapata wachezaji 4 wafuatao: Nathan Idumba, Serge Poku, Feitoto na Mpanzu.
kuhusu poku tumemchukua mchezaji ambaye ni bora kuliko yeye Ahoua Jean Charles ndio mchezaji bora wa ligi ya ivory coast ambayo na poku yumo, kuhusu indumba fasiki ufanisi wake wa kuzuia umepungua sio kama zamani kwa sababu umri umeenda hawa wwengine namba zao zimezibwa vizuri kwa wachezaji wenye ubora kuliko wao kwa hiyo wachezaji walioko simba wanafaa sana zaidi ya hao uliowataja ndio maana wamesajiliwa ktk kipindi cha mapinduzi ya maboresho ya klabu ya simba
@@EliyaMloy-lf7vp bora umemjib maana hata haelew ki2 kwa sasa simba haitaji jina la mchezaji tunataka kiwango cha mchezaji hauji kwann chama baada ya kusema siongez mkataba naenda yanga kwann hatukuwa na shobonae jibu nikwamba amechoka
🤣🤣🤣@@ramamohamed492
Usiingie kwenye mtego wa Sizitaki Mbichi Hizi FC
Kasajili wew
safi sana kocha mkuu kwa ngoma kuwa nahodha😅😮
❤❤simba mmejitahid usajili ❤❤ hamwez kumaliza yote kwa mara moja lkn mtaendelea kuboresha zaid siku za mbele kwan timu ni kama inaanza upya so abaebeza aendelee tu maana wenqine wajuaji sana na huku ni makapuku
Wew ni mtu muhimu Sana umeona mbali sana
Pongezi nyngi sana kwa viongozi wetu wa msimbazi kwa kuboresha kikosi. Tushikamane pamoja simba nguvu moja. ❤❤❤
Dua muhimu sana
Simba nguvu moja ❤
Simba nguvu moja❤❤❤
Viongozi wetu wakae pamoja wachezaji waombewe Dua
Simba nguvu moja
Timu haijengwi kwa awamu moja naimani ndani ya miaka mitatu timu itakuwa vizuri.
Acha ushamba wenye pwenti ndogo do wanaanza awali
Usajili naukubali msimu mungu atuweshe utopolo wamejidai sana
Mbona kramo hayupo
Hii Simba ndo timuya kuishangilia nando timu ya mpira live bila konakona mala selekali imo mala maelekezo na wastaafu kibao Kama utopolo.ussjili mpaka na akina mwigulu eti.ya ninisasa.njoo Simba timu live timu mpira live bila ujanja ujanja
Huwezi kupata kila unachokihitaji
KRAMO ni bora sana mo usikosee kwa uyo jamaa
Ata Roma haikujengwa Kwa CK moja
Inaonexha umezamia kwenye meli ya wagirik sio dhambi kuzamishwa baharini
Mmi naomba wanaoposti habali zakijinga zisizokua naukweki wawekwe ndani
et jaman kramo bad yupo kwer
Hawa watoto wanatakiwa wakirudi tu wapigwe maombi
Mo.mlete Feitoto na mayele itakuwa imetulia sana
😂
Acha uongo, kasema lini?
Simba bhana wanajiona wakubwa eti kuanza round ya pili sisi yanga kuanza round ya awali niwaambie tu nyie Simba mnajidanganya tu sisi yanga ndiyo klabu kubwa awo CAF wanawapendelea tu kwa kipi mlicho kifanya mpaka msianze round ya awali mnabebwa na caf
Kula sumu kama umekasirika
Si huna akil
Na Bado ujasemaaa 😂😂😂
Tulia we ni mdogo mtuu
Huna akiri,,Ndy mana mmepewa jina jipya NSSF Wasitafuu
Simba ❤❤❤❤❤❤❤